Boaz Danken ft Ruth Lyanga- NANI KAMA WEWE BWANA (official video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 499

  • @JacklineGasper-th3jl
    @JacklineGasper-th3jl День тому +1

    Nani kama wewe Bwana Mungu wetu❤❤ 2024🙏

  • @catherinejohn2024
    @catherinejohn2024 6 місяців тому +70

    Kama unasikiliza huu wimbo mwaka huu 2024 Mungu na akajibu haja ya moyo wako🙏

  • @christinemahenzoruwaruwa3154
    @christinemahenzoruwaruwa3154 2 дні тому

    Baki mwezi moja kumaliza mwaka , ni kweli hakuna kama wew Mungu wetu kw ulinzi n gharama zote za maisha . Thank you God 🙏🙏🙏

  • @lydiakatunge2312
    @lydiakatunge2312 3 роки тому +45

    From Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪tunasema hakuna Kama wewe Mungu wetu,,,🙏🙏🙏🙏

  • @victorkiprotich7851
    @victorkiprotich7851 3 роки тому +54

    Mnipe likes, am. Moved am touched. I want this song to be my addiction. Coz kwa kweli hakuna Mungu Kama Wewe Bwana! Hallelujah #It hits differently 🙏 🛐 🙌

  • @faithmbise9388
    @faithmbise9388 4 роки тому +11

    Kila nikimtafakari MUNGU,
    Naona amejipendelea kua yeye
    Yeye mwenye kuweza kutubeba sisi wanadamu
    Naiangalia huruma yake Katika madhaifu yetu yeye anaweza kuyabeba,kutusamehe na kusahau kabsa,
    Wanadamu tunakosa hata kua na tone la huruma aliyonayo Mungu tukasameheana na kuchukuliana madhaifu yetu na ni angali tunaonana,
    Tumekua wepesi kuhukumiana hakuna upendo kabsa
    Lakini Mungu wetu anatubeba na hayo yote,
    HAKIKA HAKUNA KAMA WEWE MUNGU WETU,
    Hongera Kaka Mungu aendelee kukutumia Katika kumsifu Yeye
    Nasi tunazidi Kumuadhimisha Mungu wetu kwa ukuu wake

  • @winniekasaya1264
    @winniekasaya1264 Рік тому +4

    Wimbo huu unakamilisha kila kitu,kwa kweli ni Nani Kama wewe bwana Mungu wetu
    You are a minister in spirit not a performer not an artist,,unaimba kwa roho na unaongozwa na roho na unahudumu kwa ukweli hakika
    Huu wimbo unatia mtu Moyo na unatoa mtu mahali

  • @AgnessMachui
    @AgnessMachui Місяць тому

    Hakuna kama Mungu wetu,naamini katka hili mana mungu alimponya mwanangu ktka hali ya ugonjwa,niliimba huu wimbo kila wakati,hakika nliuona mkono wa mungu

  • @benedicttito2405
    @benedicttito2405 3 роки тому +4

    Wakenya twakupenda mtumishi wa Mungu ,,,zidi kubarikiwa

  • @FaithNekesa-bi2xs
    @FaithNekesa-bi2xs 6 місяців тому +13

    😭😭unaye jua hesabu za nywele zetu,unaye majina yetu kwenye viganja za mikono zako eeeih nani kama wewe mwingine kama wewe mungu wetu😭😭😭

  • @henritachacha5154
    @henritachacha5154 2 роки тому +2

    Asante Yesu

  • @nautofaith8426
    @nautofaith8426 5 місяців тому +5

    Uuuuuuuuh🙌 Nani kama Mungu wangu🙇😭😭😭 Yale makuu anatutendea.....Tunaposhushwa Mungu wa Rehema anatuinua

  • @joskyshams4758
    @joskyshams4758 4 місяці тому +1

    Niko hapa 2024 kudhibitisha hakuna kama yeye 🙌

  • @MourineAchieng-q6g
    @MourineAchieng-q6g 22 дні тому +2

    Hakuna kama mungu

  • @ManagerCharles-cy1mz
    @ManagerCharles-cy1mz 5 місяців тому +4

    Nani kama wewe Bwana pokea sifa zangu siku ya leo 😭

  • @freiterbetuel9985
    @freiterbetuel9985 2 роки тому

    Hakika hakuna kama wewe Mungu wa miungu...ukuu wako hauwezi kufananishwa na kitu chochote hapa duniani.

  • @samuelzurungi5062
    @samuelzurungi5062 2 роки тому +13

    This is not a song. It's a deep Exaltation to Our Father. Blessed Be Him Alone.

  • @themeetandmeat
    @themeetandmeat 10 місяців тому +3

    This song was first released in Exodus 15 immediately after the Israelites crossed the Red Sea.
    Who is like unto thee Oh Lord, who is like unto thee?
    Fearful in praises, glorious in holiness, doing wonders.
    Indeed hakuna kama wewe Bwana 👑🏆

  • @Bless638
    @Bless638 2 місяці тому

    None like you my Lord😩👏... Receive all glory and praises lord🙏

  • @nelimahsarah7584
    @nelimahsarah7584 2 роки тому

    Indeed hakunabkama yeye

  • @VestineNduwimana-l1d
    @VestineNduwimana-l1d 17 днів тому

    Ivininani kama wewe bwana mungu wetu😢😢😢😢😢😢

  • @ntibahezwaharuna9507
    @ntibahezwaharuna9507 2 роки тому +2

    Binafsi wimbo huu unanibarki na sichoki kuusikiliza, ukweli unagusa moyo wangu kwa mguso wa ndani kabisa, Mungu akuinue daima

  • @tumpengusa86
    @tumpengusa86 4 місяці тому +2

    Nani kama wewe Bwana

  • @francismaganga5403
    @francismaganga5403 Рік тому +1

    Hakuna Kama MUNGU Wetu jina Bwana+YESU Libarikiwe ubarikiwe Sana mtumishi wake+YESU

  • @raphaelkinyua369
    @raphaelkinyua369 11 місяців тому +2

    Ohh yes Lord God Almighty hakuna mwingine kama wewe your deeds are mighty give me a supernatural encounter this season as we commemorate your birth let rivers of living water flow from my belly to the Glory and honour of your Almighty name, Amen 🙏🙌😇.

  • @NancyNeema-q8t
    @NancyNeema-q8t 6 місяців тому +2

    Neema ya MUNGU iliyoeka ndani Yako isikupungukie milele ishi milele ukibariki vizazi Hadi vizazi 2:27 ❤❤

  • @innocentnnko2292
    @innocentnnko2292 3 місяці тому +2

    My All Time Song ever🤝 Huu wimbo bhana dah!

  • @peterhobson3016
    @peterhobson3016 Рік тому +1

    Hakuna kama Mungu, He is alpha and Omega, na asante ka yote anayoyafanya

  • @feruzcelestine9935
    @feruzcelestine9935 4 роки тому

    Huu mwimbo umekuwa baraka sn kwangu.kuna kipindi kuna mtu alitaka kutapeli eneo langu akawa ameshilikiana na baadhi ya viongozi wa eneo na majirani.alijiaminisha.na mimi nilimwamini Mungu nikasema Mungu wadhalimu wanakuogopa Mungu.Mungu alinitetea kwa namna ya ajabu sn.haijalishi adui ana nguvu kiasi gn hazifui dafu kwa Mungu.

  • @neemamjengi9913
    @neemamjengi9913 2 роки тому +6

    Nasikia nguvu ya Mungu kila niusikizapo wimbo huu,,,Mungu aendelee kukutumia zaidi Masihi wa Bwana

  • @humphreypeter5641
    @humphreypeter5641 2 роки тому +3

    Sauti ya Boaz ina uhai wa neno la Mungu ubarikiwe Mtumishi

  • @cynthiawaithera1382
    @cynthiawaithera1382 2 дні тому

    This is really a blessing to one who just feels like worshipping and nothing more than worship. May God continue upgrading you to continue blessing using tje songs. May God bless you abundantly.

  • @SelestinaJondo
    @SelestinaJondo 3 місяці тому +1

    From kenya nimebarikiwa sana ndugu uzidi kubarikiwa kweli hakuna kama Mungu

  • @janechengula2833
    @janechengula2833 2 роки тому +1

    Hakuna hakuna Kama wewe yesu bilawewe hatuwezi chochote baba 💯🙏🏻🙏🏻

  • @chrisblessedson
    @chrisblessedson 2 роки тому +1

    Amen 🙏 Amen.
    Neema iongezeke Mtu wa Mungu

  • @rebecamanyanda2185
    @rebecamanyanda2185 4 роки тому +5

    Nawaza kimya kimya hiv bahar ikiamua kujaa ikafurika na ikavuka mipaka yake nini kitatokea ulimwenguni?maana sehemu kubwa ya dunia ni maji na misingi ya dunia ipo kwenye maji kweli HAKUNA KAMA WEWE MUNGU

  • @Wiselov3r2.0
    @Wiselov3r2.0 9 днів тому

    I just discovered this song and I can't get enough of it.

  • @neemaneychricious6493
    @neemaneychricious6493 11 місяців тому

    Kwakwel Mungu hakuna kama wew na mtumish wako huyu mpe neema zaidi ya Sasa 🙏🙏🙏🙏🙏 wanyama wakali wakutisha wanamweshim naniiii kama cyo wew Bwaana Mungu wetu 👏👏

  • @buqi38
    @buqi38 3 місяці тому +1

    Thank you JEHOVAH RAPHA for everything 🥰🙏

  • @agnesjemutai6946
    @agnesjemutai6946 4 місяці тому

    Hakuna kama wewe bwana mungu wetu.May God continue using you greatly. Be blessed🙏

  • @AgreyTweve-b8o
    @AgreyTweve-b8o Рік тому +2

    Ubarikiwe sana mpendwa kwa huduma mungu azidi kukutumia

  • @stellakussaga3537
    @stellakussaga3537 Рік тому +2

    Hallelujah aaaaaamen kubwa sana huu wimbo Huwa unagusa sana moyo wangu!!! barikiwa Kwa viwango vingine mtumishi kaka Boaz Danken!

  • @bronsonkazungu2655
    @bronsonkazungu2655 3 роки тому

    Hakuna na hakutapatikana mwengine kama yeye Mungu Baba

  • @njanejakes9219
    @njanejakes9219 Рік тому +2

    ohh.., How I loovee this!!! SURELY, WHO IS LIKE OUR GOD?

  • @GideonWambua-p6t
    @GideonWambua-p6t 5 днів тому

    I am very much blessed servant of the lord

  • @rehemaulimboka450
    @rehemaulimboka450 2 роки тому

    Hakika hakuna kama wewe Mungu wetu.Endelea kumtunza mtumishi wako Boaz Danken

  • @IreneMueni-y7n
    @IreneMueni-y7n 20 днів тому

    Nani kama wewe mwenye nguvu na uwezo...

  • @tulinavemgeni3523
    @tulinavemgeni3523 3 роки тому

    Hakika hakuna Kama wewe Mungu ujuaye mwisho mwanzo

  • @riveroflife015
    @riveroflife015 Рік тому

    Nani Ako na Funguo za kifo,Kama sio Bwana,Mungu wetu ni wa kuogopwa

  • @shalomuezra5972
    @shalomuezra5972 2 роки тому

    Kusema kweli kabisa kutoka ndani ya kilindi cha Moyo wangu hakika nyimbo zako zinanibariki Sana MUNGU aliye akubariki

  • @LydiaMuthoki-bz2xg
    @LydiaMuthoki-bz2xg Рік тому +1

    Wimbo unabariki kweli

  • @ekisasnr
    @ekisasnr Рік тому +1

    Shukrani na ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu wetu. Amen Kwa kunibariki na wimbo huu. Furaha moyoni mwangu

  • @shanyisaelizabeth474
    @shanyisaelizabeth474 2 роки тому +11

    Each time I play this song tears just flow..I remember that He is God and forever He will be

  • @KarenLusweti
    @KarenLusweti Рік тому +2

    This song reminds me alot everytime l listen to it tears always flow justto remind me no one like him

  • @edsonlewa6690
    @edsonlewa6690 2 роки тому +1

    Mungu akubariki ndugu kwa kazi njema mana unatubariki na pia mungu anapenda

  • @linetkabibi8580
    @linetkabibi8580 Рік тому +1

    Nani kama wewe Bwana Mungu wetu❤❤

  • @kevinkyalo2016
    @kevinkyalo2016 3 роки тому

    Mtumishi wewe ni baraka kwa kizazi hiki, mungu azidi kukuinua na kukunyunyizia upako zaidi.

  • @esthergichuru301
    @esthergichuru301 4 роки тому +6

    For sure there is non like jesus NANI KAMA WEWE BWANA?❤🙏🏿🙏🏿❤🎶💞

  • @golderlynne
    @golderlynne 3 місяці тому

    For those doubting if there is God,this is an answer.Nani anayeweza fanya Haya yote kama sio Mungu 🙏🙏🙏Yupo Mungu mbinguni

  • @kiriambuedits
    @kiriambuedits 2 роки тому +1

    More grace my brother BOAZ DUNKEN

  • @injilihalisitv2023
    @injilihalisitv2023 4 роки тому +3

    Amina Mtumishi Wa Mungu. " Ni nani Kama Wewe" Ni Wimbo Unaobariki Sana Moyo Wangu!!

  • @lydiahwaithira3654
    @lydiahwaithira3654 3 роки тому +3

    Hakuna mwingine kama Mungu wetu.🙏🇰🇪🇰🇪

  • @GudilaBrighton
    @GudilaBrighton Рік тому

    Upako wakiungu huwa unashuka Sana kwaibada nikiimba hii nyimbo utukufu nkwa Bwana ongera mtu wa Mungu

  • @rosekalu309
    @rosekalu309 6 місяців тому +2

    Boaz and your team be blessed

  • @lucanziku7836
    @lucanziku7836 2 роки тому +2

    YESU n mzr mnoo. N mfalme mwenye nguvu ni Mungu asiyebadilika, hakika tunakuhimidi Bwana.

  • @rosenjeri3582
    @rosenjeri3582 2 роки тому +1

    My morning song...each day huyu Mungu ananishangaza. Barikiwa brother

  • @GodfreyMzava-u2i
    @GodfreyMzava-u2i 2 місяці тому

    Amina mungu ndo mweza wa yote

  • @benardkaunda2726
    @benardkaunda2726 4 місяці тому

    Who is like Him?for sure there is none

  • @beatriceomolo8140
    @beatriceomolo8140 2 роки тому +5

    Indeed there's no one to be compared to the Lord our God. He fills out heart with immense peace when trouble rocks our lives. Blessed be his name forever🙏🙏🙏

  • @puritycherotich8591
    @puritycherotich8591 9 місяців тому

    There's none like you God

  • @sweetthomas3294
    @sweetthomas3294 2 роки тому

    Boaz umeokoka hongera kwa kuwa karibu na Mungu

  • @gladysndawa6440
    @gladysndawa6440 Місяць тому

    Nani kama wewe bwana wetu😢😢😢

  • @ongorimosongostephene
    @ongorimosongostephene 10 місяців тому

    This song leaves me ever humbled to my Creator for His wonderous and marvelous works to my life🙏🙏🙏

  • @davidgikonyo5427
    @davidgikonyo5427 10 місяців тому

    Watanzania Mungu awabariki sana. Mantle ya Worship imerudi kweni. Tuendelee na unyenyekevu. Asante ndugu Boazi..

  • @limbuamos4155
    @limbuamos4155 3 роки тому

    mtumishi tunakupenda sana tunaomba utusaidie biti ya huu wimbo kikundi chetu cha praise tunatamani kuuimba kwajili ya bwana

  • @CarolinePeter-gc8fp
    @CarolinePeter-gc8fp 9 місяців тому

    Hakika maishani mwetu hakuna kama wewe Bwana❤️❤️❤️

  • @tetemallya9921
    @tetemallya9921 4 роки тому +21

    Wow..Powerful...God bless u servant.. Mbingu iendelee Kuwa upande wako, Familia yako na huduma Mungu aliyoiweka kwako!!!👌👌👌👌👌👌👍👍👍😃😃

    • @abomadlomokuse160
      @abomadlomokuse160 3 роки тому

      Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349155255546) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you...

  • @Lissy-w3b
    @Lissy-w3b 10 місяців тому

    Hakuna kama wewe bwana Mungu wetu❤

  • @erenestmwachi2657
    @erenestmwachi2657 Рік тому

    From Kenya Hakuna kama wew Barikiwa sana

  • @winniekasaya1264
    @winniekasaya1264 Рік тому +1

    I love the song,part ya Boaz danken only
    Nikiuskiza wimbo huu kila siku unashusha uwepo wa Mungu hta nikiwa pekee yangu,lakini ikifika hio part ingine hua natoa sijui kwa nn
    Lakini mtumishi huduma Yako ni ya kutoka mbinguni sio ya kawaida
    Tafadhali achana na collabo itakuharibia na itakua kipawa.
    Kwa sababu Kuna gharama unalipia kwa hicho kipawa ya kizungu Sasa mtu mwengine hawezi na uje ujichanganye na yeye hapana
    Kuna watumishi wengi wa injili lakini hawapendi kulipa gharama

  • @maiyojerez363
    @maiyojerez363 11 місяців тому +2

    This song is so uplifting, full of power and grace that touches the heavens and people's heart. More grace sir❤

  • @gerinejonasy
    @gerinejonasy 10 місяців тому

    Hakuna kama wew muweza wayote😊

  • @joannjue
    @joannjue 9 місяців тому

    can't get enough of this song.... blessing my heart

  • @bettyleiyan4638
    @bettyleiyan4638 4 роки тому

    Ukweli Nani kama wewe bwana hufananishwi na chochote

  • @ninnahpesh
    @ninnahpesh 4 роки тому +2

    Hakuna kama Wewe Bwana

  • @MargorethSimon
    @MargorethSimon 5 місяців тому +2

    Hallelujah 😭😭🙌🙌🙌🙌

  • @sammymuthuurikinyua4756
    @sammymuthuurikinyua4756 Рік тому +1

    The heaven gates open when the "hakuna kama wewe Bwana" part starts.. This is not just a song, it is a deep expression of who God is in our lives❤❤

  • @salomesikunyi
    @salomesikunyi Рік тому

    Hakuna kama wewe Bwana Mungu wetu

  • @cynthiaoduor9996
    @cynthiaoduor9996 2 роки тому +1

    Hakuna kama wewe bwana... glory to God

  • @nicodemaslema9110
    @nicodemaslema9110 3 роки тому

    Ibada nzuri kwa Mungu wetu.......

  • @otanajairus7700
    @otanajairus7700 2 місяці тому

    Nani kama wewe Bwana❤

  • @MdawidaMdawida
    @MdawidaMdawida 2 роки тому

    Nani kama wewe Bwana. Mungu wetuu.. 🎵 🎵

  • @MillicentOdhiambo-y2h
    @MillicentOdhiambo-y2h 2 місяці тому

    Ooh Yesu hakuna kama wewe balozi

  • @athanasosiah8641
    @athanasosiah8641 2 роки тому

    Non other you,the Lord above everything

  • @Mwl.Nickson_Mabena1
    @Mwl.Nickson_Mabena1 4 роки тому +43

    Ahsante sana Boaz.
    Huu Wimbo (Ile Version ya kwanza) nilikuwa naupiga Ofisini, hata nilikuwa sijui Ameimba nani, nilikuwa naupenda sana.
    -Sikumjua Mwimbaji hadi pale Emmanuel Ndeka aliponitajia jina, akanijuza kuwa Mlikuwa wote CASFETA pale Sauti.
    •Ahsante kwa KUUIMBA TENA HUU WIMBO.
    Ubarikiwe sana!.
    •Kila Wimbo Wako UNANIHUDUMIA KWA NAMNA YA AJABU SANA!!.
    YESU AKUINUE ZAIDI NA ZAIDI.

    • @nonnymeshy167
      @nonnymeshy167 4 роки тому

      at last you know!

    • @lucytama4569
      @lucytama4569 3 роки тому

      Waaa leo juu wimbo umukuwa mpya sana kweli hakuna kama wewr

  • @alexkioko8930
    @alexkioko8930 6 місяців тому

    Hakuna kama Mungu wetu

  • @chamblainreuben7431
    @chamblainreuben7431 3 роки тому

    Akuna akuna akuna kama wewe YESU

  • @annamwanjabala6248
    @annamwanjabala6248 3 роки тому

    Ubwarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @andrewsamson3179
    @andrewsamson3179 3 роки тому

    Nyimbo nzuri Sana Mr boazi,Mungu azidi kukutumia kadri awezavyo.

  • @bonifacelazaro1025
    @bonifacelazaro1025 2 роки тому +1

    Wimbo umenibariki sana, kweli hakuna kama Mungu, Mungu azidi kuwatumia kwa ajili ya utukufu wake Mbarikiwe