"Mawazo" Sehemu Ya 55 (Thoughts) Dr Elie VD.Waminia..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 27

  • @lionewstv6333
    @lionewstv6333 5 місяців тому +1

    Dr Ahsante sana kwa Kuwa mafundisho yako ni Nuru kwa Maisha Yetu

  • @olemonah
    @olemonah 5 місяців тому +4

    Asante sana Kwa kushare Tena mapema mno! Mungu awabariki nyote. Dr. Ellie Akhsante sana

  • @hamidafundi-pw1gw
    @hamidafundi-pw1gw 5 місяців тому +2

    Kizingiti namba mbili ni UPENDO.Upendo ni dhamira ya kutokufelisha mambo na maisha ya watu wengine. Asante Chomoza. Pongezi Dr Ellie, ❤🎉 nimejifunza.

  • @zakazakazi-fn6zy
    @zakazakazi-fn6zy 5 місяців тому +2

    Hakika dr wewe utabaki kuwa ww kiupekee daima umenitoa mbaali hapa nilipo niseme t Mungu azidi kukuzidishiaaa zaidii🙏🙏

  • @BahatiMwl
    @BahatiMwl 5 місяців тому +1

    Mbarikiwe sana team chomoza

  • @SalumuSaid-vq2kp
    @SalumuSaid-vq2kp 5 місяців тому

    kwapamoja tunajifunza

  • @MartinaMrosso-qu8dt
    @MartinaMrosso-qu8dt 5 місяців тому

    Thanks dr ellie

  • @SoleilNdayizeye
    @SoleilNdayizeye 5 місяців тому

    Asante sana,Mungu awabaliki

  • @shafymkeremy7653
    @shafymkeremy7653 5 місяців тому +1

    Tangu Umeanza Kufundisha Dr now nina PhD Ya Madini unayo tufundisha. # Sina Neno Zuri Zaidi Ya Kusema Shukuran Na Mungu Akubarki Zaidi.Maaana NAMI nmekuwa Mtu wabaraka Kwa wengine Kupitia Ww Dr.

  • @ebonybhoke5321
    @ebonybhoke5321 5 місяців тому +1

    Asante sana dr Ellie,ninajifunza mengi na mafundisho yalo yamebadili maisha yangu kabisa na mtazamo wangu wa maisha

  • @Rajabukanyima-fj4js
    @Rajabukanyima-fj4js 5 місяців тому

    asante baba ad nataman selekali ingetengeneza utaratib juu yaulinzi wako japo mungu yu nawe ubarkiwesana baba

  • @toyikudratullah1466
    @toyikudratullah1466 5 місяців тому +1

    As usually from burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @marrykundya5629
    @marrykundya5629 5 місяців тому

    God bless you Dr. ❤

  • @josephkarabhona3538
    @josephkarabhona3538 5 місяців тому

    Asanteni sana kwa kutuhudumia.Sisi hatuna cha kuwalipa. Mungu mwenyewe atawalipa. Amina. Jimmy, sehemu ya 8 na 9 hazionekani. Tunaziomba. Asanteni.

  • @ilampahamisi5777
    @ilampahamisi5777 5 місяців тому

    Dr. Ellie, nakufuatilia Sana na unatoa elimu kubwa Sana ambayo nami nanufaik nayo Sana. Natamani siku Moja ufungue code juu ya Kanisa la kwanza in relation to denominations/Religion and other beliefs after 100 years AD.

  • @christophernilongo364
    @christophernilongo364 5 місяців тому

    Shukran Sanaa kwa ujenzi huu wenye msingi wa ukweli harisi wa maisha ya umilele, Hakika MUNGU Ni mwema

  • @celinestevens8871
    @celinestevens8871 5 місяців тому

    God bless you.

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 5 місяців тому

    Mashaalah ya salam ya salam. Kwa hakika nafurahia kipindi hichi

  • @ZachariaAlex
    @ZachariaAlex 5 місяців тому

    Sina maelezezo mungu wewe ni mwema

  • @HawaAlly-nl8rf
    @HawaAlly-nl8rf 5 місяців тому +3

    Jamani like tafadhali views 250 kwa like 30 sio sawa kabisa.

  • @JumaNgasinda
    @JumaNgasinda 5 місяців тому

    Sehemu ya 56 vipi

  • @pearl3696
    @pearl3696 5 місяців тому

    Nitajiungaje kwenye madarasa ya dr Ellie

    • @zakazakazi-fn6zy
      @zakazakazi-fn6zy 5 місяців тому

      Tayari umeshajiunga fatilia mengine chomoza tv utabarikiwa sanaaaa

  • @SoleilNdayizeye
    @SoleilNdayizeye 5 місяців тому

    As

  • @ghismelodie
    @ghismelodie 5 місяців тому

    Sasa ina maana gani kufeli ili usi felishe wengine, Hao ndio upendo huyo

  • @jerrydenis7165
    @jerrydenis7165 5 місяців тому

    je kufukuza mfanyakazi ujalenga kufelisha naomba jibu na ufafanuzi