"Mawazo" Sehemu Ya 52 (Thoughts) Dr Elie VD.Waminia.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024
  • Kwa MaonI, Ushauri Wasiliana Nasi Kwa Simu Namba (0747-744744 CHOMOZA MEDIA LIMITED) Au Kwa Barua Pepe Email. chomozamaoni@gmail.com
    Pia Unaweza Kutufatilia Facebook @ChomozaTV Na Istagram @chomozanews TikTok ChomozaTV
    Mungu Wetu Wa Mbiguni Akubariki......Endelea Kujifunza Na Kushare Mafundisho Haya Kwa Rafiki Na Nduguzo
    Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
    Facebook : / gospeltvshow
    Instagram : / chomozanews
    UA-cam : www.youtube.com...
    #ChomozaTv#2024

КОМЕНТАРІ • 18

  • @bushimani1544
    @bushimani1544 6 місяців тому +3

    Da. Uyu mzee akiri nyingi Sana kwa nini asiwe raisi wetu atuo goze mungu apa afya na pesa kwa kweri aweza kuishi maisha marefu

  • @hamidafundi-pw1gw
    @hamidafundi-pw1gw 6 місяців тому +2

    Mawazo ni ufunguo wa maisha ya wanadamu,nguzo nne ni matumizi ya mema na mabaya.Kutambuwa maana ya maisha ni muhimu sana ili kuyamudu. Nguzo nneni SHERIA,kujipenda.HISTORIA,marudio ,mzunguuko kujifunza mtu mwenyewe na kugeuka. KUTENDA,KUONA. Tujifunze kuona wenyewe ili tuishi kwa kutenda ipasavyo. Nimejifunza,Asante Chomoza pongezi kwa Dr Ellie ❤🎉

  • @barakabusima
    @barakabusima 6 місяців тому +3

    Dr. ubarikiwe umekuwa msaada kwangu na hamna kipindi nimemisi tokea 2016 ...Hadi Leo 2024

  • @joycekajivo915
    @joycekajivo915 6 місяців тому

    Team chomoza Mungu awabariki kupitia ninyi tunabarikiwa

  • @aishavogelmann5021
    @aishavogelmann5021 6 місяців тому

    Mola awabariki sana kila siku twasoma wema wenu hata kwafedha hitoshi Ila mola awape maisha marefu na kila laheri kwenu.

  • @HELLENLAPUKENI
    @HELLENLAPUKENI 6 місяців тому

    Asante Doctor asanta chomoza God bless you ❤

  • @lwengephillip7516
    @lwengephillip7516 6 місяців тому +1

    Huyu mzee anafundisha uhalisia wa maisha ulivyo .

  • @mkamalwelenja6407
    @mkamalwelenja6407 6 місяців тому

    Mungu akubariki Dr eri.

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 6 місяців тому

    Asante sana

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 6 місяців тому

    Sheria (1) kujipenda, kuwapenda wengine ili ujitengenezee legacy, kujipenda, kupenda, kuona,(2) Historia ikimanisha mizunguko kujipima kama umekamilika kwa kujifunza, kuandika nyaraka, (3) kuona, kuota ndoto, anayepinga hakuota yeye, watu wengi hawaoni ndio maana mtu anakuwa mpingaji, mtu akikuonea utaonewa, usiwe kipofu, ona unavyopaswa kuona, Maono yako ndiyo yawezayo kuchuja mawazo ipasavyo. Haya ndio niliyonasa kidogo.

  • @gadimbajo
    @gadimbajo 6 місяців тому

    Nakufatilia sana, nakukubali pia Mungu akubariki, unafundisha God's principles 100% na najua ni mtu wa Mungu ila nimeshituka kidogo hiyo psychic si ni ungodly?.

  • @sophiabryson2735
    @sophiabryson2735 6 місяців тому

    🤲🤲👏

  • @johnmagubo4269
    @johnmagubo4269 6 місяців тому

    Hakika leoo,, doctor 100% nimepata vipofu

  • @officialsaitoti492
    @officialsaitoti492 6 місяців тому

    My favorite time of the week

  • @PaulBrownLife
    @PaulBrownLife 6 місяців тому

    Perfect 💯

  • @HenryMizambwa-ft5qo
    @HenryMizambwa-ft5qo 6 місяців тому +1

    The another albert einstein in Tanzania dkt elli vd waminian

  • @CharlesKagama
    @CharlesKagama 6 місяців тому

    Nice

  • @yamungummungulo633
    @yamungummungulo633 6 місяців тому

    Uncle Jimmy wap the missing element