Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
*Hi my dears, sorry kwenye video nimesema nusu kijiko kikubwa sukari badala ya chumvi. Hii recipe haihitaji sukari kwa sababu ya maziwa ya unga. I hope mumeelewa😊*
Chapati zangu huwa zinakatika katika je shida inakua unga au moto? Msaada please
Napenda mapishi yko madear uko vzr 👍
Nauliza hiyo pan nitapata wapi?
@@judithfimbo3743 Shida ni unga unakanda mgumu kanda uwe laini
Shukran dadangu hapa tumefahamu vizuri sana.nimependa sana chapati zako
Mashallah chapati nzuri mnooo, uyu dada sio mchoyo wa Elimu mashallah.. Wengine ndo wanasema mapichi onlin ada elf 50, au laki
Samahani nauliza inawezekana chumvi badili ya sukali kwenye chapati??.
Maa shaa Allah chapati nzuri zinavutia lkn maziwa ya unga🤔 Mnaharibu ladha asilia za vyakula.
Maa shaa Allah tomorrow I will take recipe in shaa Allah ilike it my dear
Asantee Shana Kwa pishiako zr nmependa saana aseee
I tried it na maziwa ya unga kidogo, maashaAllah very very tasty n more soft
Masha Allah. I'm glad you tried the recipe and loved it💕
@@Mapishirahisi Maziwa ya Unga ya aina gani au Nido brand??
One day nilijaribu kuweka maziwa ya unga kwenye chapat ila ladha ckuipenda ilikua tofaut na chapat nilizozizoea
MASHA ALLAH ❤❤mungu akueke daa🙏🙏
Uko vizurii saanaaa nimeelewa kitu ambacho sikujuwa miak 30
Asante tunashukuru dear ubarikiwe ❤
MashaaAllah bibie zivatia bado mbaazi 2
Maashallah! Thanks for your recipe
MashaAllah...nauliza jee kama sitki kueka maziwa ya unga naeza Endelea ivo ivo na ikatokea ivo ama....
Lakin mekosea kwa kusma sukari badala ya chumvi ❤❤ nmeipenda
Nzuru Sana mini inafanya chsti ikipigwa uprpo inakua ngumu
Yummy n delicious mashallah tabarakallah
Thank you 💖
Nijaribu sasa asante nitatowa kama hizoo
Mashallah i love it
Mashaallah chapati za kishua...👌
Zulisana na mm Nita tengeneza asate
Mashallah napenda mapishi yako sana
Good
Mbona sikuona kama umeweka sukari bali nuliona umeweka chunvi lkn umetaja sukari ni vipi hapo?
Je naweza tumia bluu band badala ya samli??
Dad km sina maziwa ya unga na nikatumia maji na mafuta haiwez kua lain
Nimeipenda
Asantenssana Dada kwa hivyo
Beautiful maashallah
Lazima kuweka maziwa ya unga?
Masha Allah nzur sana
I like it
Haujaweka sikari tena NI nikiasi ngani???
Unaweza tumia blue band mumy
mashllh
Hii pan yako ya chapati Nimependa. Naomba unisaidie na information ya pale nitanunua. Shukran
Njoo me nnazo
Kama Sina powered milk nitumie nini Asante
Assalam aleykum viphali yako mzima nilikuwa auliza nikipika na maziwa ya packet na mafuta ya kawaida
Mashallah Allah 💕
Looks delicious kabisa
Chapati ni nzuri MashaAllah, ila ulikosea kusema umeweka Sukari badala ya kusema chumvi.
Asante dear. Nimeona sasa asante kwa kunijulisha
@@Mapishirahisi mafuta yanakuwa yamoto ama!!! Me sjawah ndo nataka nianze kujfunza
Kitambara chini au? Nasikia harufu tamu adi uku
Ma shaa Allah
Very nice. Thank you
I love it this is really tasty....😋😋 May I ask which pan you're using? is it the Non - stick Pan?
Mbona mambo mengi sana?
3k
Iko sawa
napenda mapish yako sanaaa dear
Mashalha
Shukran kipnz
Asante sana leo najaribu kisha nitarudi kukoment
Masha Allah
Masha Allah ntajaribu
In sha Allah. Waeza ukanitumia feedback insta
Maa Shaa Allah
Abayo shukran
MashaAllah ❤️
thank you sister
My dear chapati nzuri sana na je kama cna maziwa ya unga ya kawaida hayafai
mm natumia ya kawaida zinatoka vizuri tu
@@Wardaskitchen1 ahsante mpendwa wangu ubarikiwe
Asante
Unatumia maziwa gani ya unga
Thx
Mashallah
Jisiyakupikachapatizabilamayai
Shukran
Na chumvi hamna ama?
check the recipe again, you missed it
Nimeweka 1/2 tbsp chumvi dear. Nimekosea nikasema sukari 🤦♀️
Hiyo ulioweka siyo chumvi nasuksr au umekosea kusema
Nimekosea dear hata nimeandika kwenye pinned comment. Ni chumvi sio sukari
Thanks
Ukichoma unapaka mafuta side moja
Ndio
❤❤
🥰🥰😋😋
😋😋😋😋😋😋😋❤❤👍👍👌👌
Hii samli gan au n blue band jaman naomba maelekezo
I think it's ghee available in supermarket
Ma Sha Allah
mashaAllah

@@Mapishirahisi
Maziwa ya Unga ya aina gani au Nido brand??