WACHUNGAJI ZAIDI YA 40 WAZURU DAYOSISI YA KASKAZINI KUJIFUNZA UDIAKONIA MCH. MSANYA AWAPOKEA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • Msaidizi wa askofu Mch. Msanya akiwakaribisha wachungaji zaidi ya 40 waliotembelea Dayosisi ya Kaskazini kwa lengo la kujifunza mambo mbalimbali zaidi sana udiakonia unaofanywa na Dayosisi kupitia kituo cha BCC kinacholea watoto wenye ulemavu wa akili
    Wachungaji hao kutoka Dayosisi ya Kaskazini kati wameongozana na msaidizi wa Askofu wa jimbo hilo Mch. Laretoni Loishiye Lukumay

КОМЕНТАРІ • 3

  • @Jackson_Kisanga
    @Jackson_Kisanga 19 днів тому

    Asante sana kwa taarifa

  • @Jackson_Kisanga
    @Jackson_Kisanga 19 днів тому +1

    Naomba nishauri jambo kama hamtojali. Tunaomba mtuwekee art yenye kuonesha Jina la mzungumzaji, tarehe na topic kwa ufupi. itakayopita vizuri

  • @rev.tumainieliminja6836
    @rev.tumainieliminja6836 17 днів тому

    Pongezi sana UMOJA DAIMA
    Hii tuliisubiri kwa hamu, ni kama vile tulichelewa hivyo naamini tutakwenda speed tufike wengine waliopo.
    Kwa uzoefu mdogo niliona kwa wenzetu nitaleta ushauri na maboresho muhimu.
    Hongereni mnoo tupo pamoja