UMOJA DAIMA MEDIA
UMOJA DAIMA MEDIA
  • 94
  • 49 795
ELCT ND SACCOS KINARA YAPATA TUZO MBILI UBORA WA HUDUMA
ELCT ND SACCOS ya KKKT Dayosisi ya Kaskazini imepewa tuzo ya SACCOS bora ya jamaii nchini Tanzania pamoja na tuzo ya TEHAMA.
Tuzo hizo zimetolewa na Tume ya Maendeleo ya Ushirika
(Tanzania Cooperative Development Commission-TCDC)
Переглядів: 28

Відео

WATOTO WASIPOPITIA MCHAKATO HUU WATAVUTWA NA UPEPO WA MANABII
Переглядів 954 години тому
WATOTO WASIPOPITIA MCHAKATO HUU WATAVUTWA NA UPEPO WA MANABII
MAOMBI MAALUM WANAFUNZI 267 WA DARASA LA SABA WAKUSANYIKA USHARIKA WA MAJENGO KKKT DK
Переглядів 417 годин тому
Maombi maalum yamefanyika Leo kuelekea mitihani ya darasa la saba ambapo wanafunzi zaidi ya 200 wamekusanyika kwenye Kanisa la KKKT usharika wa Majengo Dayosisi ya Kaskazini, wanafunzi hao kutoka shule saba tofauti ikiwa ni mchanganyiko wa madhehebu mbalimbali wameimba nyimbo za kumsifu Mungu na kufurahi pamoja Mch. Macha ndiye Mgeni Rasmi kwenye kusanyiko hilo la wanafunzi ambalo hufanyika kil...
KWAYA YA FURAHINI WALIVYOFANIKISHA JUBILEE YA MIAKA 50 KWA NYIMBO ZA SHANGWE
Переглядів 3179 годин тому
Kwaya ya Furahini iliyopo usharika wa KKKT majengo wamesherehekea miaka hamsini tangu kuanzishwa kwake kwa kuimba nyimbo mbalimbali za shangwe na kumshukuru Mungu
HIVI NDIVYO WATU WANAVYOITAZAMA KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI
Переглядів 16012 годин тому
Naibu Katibu Mkuu Misioni na Uinjilisti KKKT Rev. Lazaro Rohho ameeleza hayo wakati akitoa salamu kwa niaba ya KKKT ofisi kuu kwenye Mkutano wa 38 wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini uliofanyika Hururu Lutheran Hotel, Mjini Moshi tarehe 30/08/2024
MAADHIMISHO YA JUBILII YA MIAKA 50 YA KWAYA YA FURAHINI
Переглядів 68614 годин тому
Kwaya ya Furahini usharika wa majengo imeadhimisha mika 50 tangu kuanzishwa kwake ambapo mgeni rasmi mkuu wa jimbo la Kilimanjaro Kati aliwakilishwa na Mc. Anold Temu
ASKOFU DKT. MBILU ATAJA HIRIZI ZA KISASA MAJI, CHUMVI, MAFUTA NA VIBOKO VYA UPAKO
Переглядів 9216 годин тому
Askofu Mbilu amesema hayo wakati akitoa neno kwenye mkutano mkuu wa 38 wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini uliofanyika tarehe 30/08/2024
ASK. DKT. SHOO AKEMEA UTEKAJI, WIZI WA KURA, RUSHWA, USHIRIKINA WAKATI WA UCHAGUZI
Переглядів 1,7 тис.21 годину тому
Askofu Dkt. Frederick Onael Shoo ametoa wito wake kuelekea uchaguzi mdogo na mkuu kwa kukemea vitendo vya Utekaji, Wizi wa kura, Rushwa na badala yake amewataka washarika na watanzania kuchagua viongozi waadilifu Ametoa wito huo kwenye mkutano Mkuu wa 38 wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini uliofanyikia Uhuru Lutheran Hotel, Mjini Moshi ambapo wajumbe wa mkutano mkuu wamemwomba aiongoze Dayosisi hiyo ...
WACHUNGAJI WA KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI KATI WALIVYOJIFUNZA UDIAKONIA UNAOFANYWA NA KKKT DK
Переглядів 1,1 тис.День тому
Wachungaji wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Kati wameeleza jinsi walivyojifunza Udiakonia unaofanywa na KKKT Dayosisi ya Kaskazini kupitia Kituo cha BCC Wachungaji hao zaidi ya 40 kutoka Dayosisi ya Kaskazini kati wameongozana na msaidizi wa Askofu wa jimbo hilo Mch. Laretoni Loishiye Lukumay
WACHUNGAJI ZAIDI YA 40 WAZURU DAYOSISI YA KASKAZINI KUJIFUNZA UDIAKONIA MCH. MSANYA AWAPOKEA
Переглядів 1,1 тис.День тому
Msaidizi wa askofu Mch. Msanya akiwakaribisha wachungaji zaidi ya 40 waliotembelea Dayosisi ya Kaskazini kwa lengo la kujifunza mambo mbalimbali zaidi sana udiakonia unaofanywa na Dayosisi kupitia kituo cha BCC kinacholea watoto wenye ulemavu wa akili Wachungaji hao kutoka Dayosisi ya Kaskazini kati wameongozana na msaidizi wa Askofu wa jimbo hilo Mch. Laretoni Loishiye Lukumay
"KUWAHUDUMIA WATOTO WENYE ULEMAVU KUNALETA FURAHA"
Переглядів 8614 днів тому
"KUWAHUDUMIA WATOTO WENYE ULEMAVU KUNALETA FURAHA"
KATIBU MKUU MHANDISI Z.S MOSHI ATOA UFAFANUZI MKUTANO MKUU WA 38 KKKT DK
Переглядів 42714 днів тому
KATIBU MKUU MHANDISI Z.S MOSHI ATOA UFAFANUZI MKUTANO MKUU WA 38 KKKT DK
MALIASILI ZA KICHAGA ZILIHAMISHIWA UJERUMANI "ZIKIRUDISHWA NI UTAJIRI MKUBWA"
Переглядів 9214 днів тому
MALIASILI ZA KICHAGA ZILIHAMISHIWA UJERUMANI "ZIKIRUDISHWA NI UTAJIRI MKUBWA"
ITIKIO LA WAZAZI WA WATOTO WENYE ULEMAVU BAADA YA KUPOKEA VITI MWENDO KARATU
Переглядів 2314 днів тому
ITIKIO LA WAZAZI WA WATOTO WENYE ULEMAVU BAADA YA KUPOKEA VITI MWENDO KARATU
KARATU: UGAWAJI VITI MWENDO FARAJA KWA WAZAZI NA WATOTO
Переглядів 2714 днів тому
KARATU: UGAWAJI VITI MWENDO FARAJA KWA WAZAZI NA WATOTO
HUDUMA YA UDIAKONIA YALETA TABASAMU KWA WATOTO WENYE UHITAJI KARATU
Переглядів 23821 день тому
HUDUMA YA UDIAKONIA YALETA TABASAMU KWA WATOTO WENYE UHITAJI KARATU
MCHUNGAJI MSANYA ATOA MWAROBAINI URAIBU WA POMBE, AELEZA SABABU
Переглядів 12721 день тому
MCHUNGAJI MSANYA ATOA MWAROBAINI URAIBU WA POMBE, AELEZA SABABU
ASKOFU DKT. SHOO "KUKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI NI SAWA NA KUKUTANA NA MALAIKA"
Переглядів 1,2 тис.21 день тому
ASKOFU DKT. SHOO "KUKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI NI SAWA NA KUKUTANA NA MALAIKA"
MIAKA 50 TANGU KUANZA KWA ULUTHERI ROMBO
Переглядів 23821 день тому
MIAKA 50 TANGU KUANZA KWA ULUTHERI ROMBO
ASKOFU DKT. SHOO - TAIFA LINAANGAMIA KWA ULEVI, AWEKA WAZI MADHARA YAKE
Переглядів 72821 день тому
ASKOFU DKT. SHOO - TAIFA LINAANGAMIA KWA ULEVI, AWEKA WAZI MADHARA YAKE
SERIKALI YATAKA MSAADA WA KANISA JANGA LA ULEVI ROMBO
Переглядів 8128 днів тому
SERIKALI YATAKA MSAADA WA KANISA JANGA LA ULEVI ROMBO
ASKOFU DKT SHOO: KIFO CHA MCH. KANTATE NI DHORUBA "ALIGUSA MAISHA YA WENGI KWA UTUMISHI WAKE"
Переглядів 2,5 тис.28 днів тому
ASKOFU DKT SHOO: KIFO CHA MCH. KANTATE NI DHORUBA "ALIGUSA MAISHA YA WENGI KWA UTUMISHI WAKE"
Serikali imechukua hatua ajali iliyosababisha kifo cha Mchungaji na Mzee wa Kanisa
Переглядів 1,8 тис.28 днів тому
Serikali imechukua hatua ajali iliyosababisha kifo cha Mchungaji na Mzee wa Kanisa
RISALA YA MCH. KANTATE, IMEJAA MEMA ALIYOYAFANYA
Переглядів 5 тис.28 днів тому
RISALA YA MCH. KANTATE, IMEJAA MEMA ALIYOYAFANYA
ATHARI ZA ULEVI NI KUBWA MNO INAHITAJIKA NGUVU YA PAMOJA
Переглядів 176Місяць тому
ATHARI ZA ULEVI NI KUBWA MNO INAHITAJIKA NGUVU YA PAMOJA
KUELEKEA MKUTANO MKUU WA 38 WA KKKT DK, MKUU WA JIMBO LA KARATU MCH. PANGA AELEZEA WALIVYOJIANDAA
Переглядів 722Місяць тому
KUELEKEA MKUTANO MKUU WA 38 WA KKKT DK, MKUU WA JIMBO LA KARATU MCH. PANGA AELEZEA WALIVYOJIANDAA
WACHUNGAJI NA WAINJILISTI WALIVYOGUSWA NA MSIBA WA MCHUNGAJI NA MZEE WA KANISA
Переглядів 2,3 тис.Місяць тому
WACHUNGAJI NA WAINJILISTI WALIVYOGUSWA NA MSIBA WA MCHUNGAJI NA MZEE WA KANISA
MBUNGE Prof. PATRICK NDAKIDEMI ALIVYOONGOZA HARAMBEE, UJENZI WA KANISA USHARIKA WA KIWALAA
Переглядів 517Місяць тому
MBUNGE Prof. PATRICK NDAKIDEMI ALIVYOONGOZA HARAMBEE, UJENZI WA KANISA USHARIKA WA KIWALAA
MCH. MOSHI AELEZA JINSI MKE WAKE ALIVYOMKABITHI HUDUMA KABLA YA KUFARIKI
Переглядів 567Місяць тому
MCH. MOSHI AELEZA JINSI MKE WAKE ALIVYOMKABITHI HUDUMA KABLA YA KUFARIKI
ZAIDI YA MILIONI 100 ZAPATIKANA NGIRA UPANUZI KANISA LA KWANZA
Переглядів 314Місяць тому
ZAIDI YA MILIONI 100 ZAPATIKANA NGIRA UPANUZI KANISA LA KWANZA

КОМЕНТАРІ

  • @JafeDaudi
    @JafeDaudi 2 дні тому

    Waeleze hao wabaya wetu wasije jaribu kuchafua inchi yetu

  • @JimbokkAfyaMsingi
    @JimbokkAfyaMsingi 3 дні тому

    Hii kwaya nina miaka 8 sasa nikiimba sipendi kukosa siku za mazoezi naburudika fulani hivi. karibuni mjiunge tumuimbe Mungu

  • @davidmziray2048
    @davidmziray2048 5 днів тому

    Hongera sana kwaya ya furahini kaka yangu mzee mziray ameimba Kwa miaka 50

  • @JaphetRingo
    @JaphetRingo 5 днів тому

    Hongera sana Kwaya ya Furahini kwa huduma njema ya uimbaji

  • @AliceKangwa-f4g
    @AliceKangwa-f4g 6 днів тому

    Hongera sana.

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj 7 днів тому

    Hongera sana Dr mbilu kwa.mafundisho yenye uhalisia.

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj 7 днів тому

    Wakatae waepuke wanaokudanganya, ni wajinga wakuponza wakupoteza wewe, ila wewe ukatae kuondoka kwa yesu, njoo upesi njoo upesi, baki hapo ulipo.Amen

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 7 днів тому

    viongozi wa dini mkipaza sauti zenu bila kuogopa sisisem wataufyata tu

  • @MassaweKimaro
    @MassaweKimaro 8 днів тому

    Mungu akulinde sana

  • @saidmtetwa4363
    @saidmtetwa4363 8 днів тому

    Good job dkt Shoo

  • @JaphetRingo
    @JaphetRingo 8 днів тому

    Mungu wetu mkuu aendelee kulitunza kanisa lake

  • @violethmrema2869
    @violethmrema2869 9 днів тому

    Hongera sana sana Baba kwa kuchaguliwa tena kuongoza Dayosisi yetu ya kaskazini Mungu akutunze sana na kukulinda .sifa na heshima tunamrudishia yeye.

  • @noekenny3771
    @noekenny3771 9 днів тому

    Baba Askofu Mungu akutunze, aendelee kukufanya chombo chema cha kuhubiri Amani na haki. Usikae kimya, maana ukinyamaza mawe yata sema. Umesha timiza wajibu wako na wala dhambi haiko tena mikononi mwako.

  • @irenemmari5054
    @irenemmari5054 9 днів тому

    Amen

  • @TrumpetIsrael
    @TrumpetIsrael 9 днів тому

    Amina baba

  • @hosearwechungura5391
    @hosearwechungura5391 9 днів тому

    Mungu wetu nakuomba uendelee kuribariki kanisa letu KKKT na viongozi wetu wote tudumu na kuishi ktk imani yetu daima na milele++

  • @ELIASIFIWEKILEO
    @ELIASIFIWEKILEO 9 днів тому

    Hongera sana baba askofu shoo sifa na utukufu kwa Mungu

  • @fadhilisecha4268
    @fadhilisecha4268 9 днів тому

    Hongera kwa kipindi kingine baba Askofu Shoo. MUNGU azidi kukutumia

  • @josephinekirenga7863
    @josephinekirenga7863 9 днів тому

    Hakika utukufu wa Bwana umeonekana ktk mkutano huu Mungu wa mbinguni awabariki viongozi wetu na wote walioshiriki amen

  • @ephraemsilayo
    @ephraemsilayo 9 днів тому

    Hongera sana mhe Baba Askofu Dkt. Fredrick Shoo kwa kuchaguliwa tena kuiongoza Dayosisi Yetu. Tunakutakia Heri na baraka za Mungu. Hongera pia kwa Mhe. msaidizi wa Askofu Mchg. Deogratius Msanya kwa kuchaguliwa tena kwa kazi hii ya Mungu. Nawatakia utumishi uliotukuka. Dkt. Ephraem E Silayo (Ardhi University)

  • @elizabethsilayo3888
    @elizabethsilayo3888 9 днів тому

    Mungu apiganie ampe afya njema na nguvu mpya. Tunamshukuru sana Mungu kwa ajili ya kutupa sisi wa Kaskazini Baba Askofu Shoo🎉

  • @ericangao2243
    @ericangao2243 10 днів тому

    Hongera sana baba Askofu Shoo kwa kuiongoza Dayosisi ya KASKAZINI kwa kukubali tena kazi yako ni njema nguvu yaRoho Mtakatifu ikuongoze Mungu akupe nguvu na afya njema

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj 10 днів тому

    Good bishop Dr shoo congrats

  • @prospermariki8316
    @prospermariki8316 10 днів тому

    Hongera baba askofu😊

  • @msechuandrea550
    @msechuandrea550 10 днів тому

    Hongera Baba askofu kwa kuingoza Dayosisi ya kaskazini kwa kipindi kingine cha miaka sits damu ya Yesu Kristo aliye hai ikufunike

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj 10 днів тому

    Dayosisi yetu ya dkms na.dk ni ndugu na.marafiki umoja huu udumu, ni Dayosisi bora kabisa. Mungu bariki kikao hiki.muhimu, Amen

  • @tumsifushoo3544
    @tumsifushoo3544 10 днів тому

    Hongereni sana baba Askofu na uongozi wote wa Dayosisi yetu mliyoamwua kuonyesha wazi mkutano huu..tunafarijika sana kuona kwa uwazi

  • @mwl_bennehemiah
    @mwl_bennehemiah 10 днів тому

    😂❤😅

  • @gebbyreuben7216
    @gebbyreuben7216 10 днів тому

    Safiii sana mkutano wa uwazi

  • @dorcasmoshi5140
    @dorcasmoshi5140 10 днів тому

    Mungu awatangulie mkafanye kwa hekima na sio kwa uonevu wa hali yoyote ile

  • @fadhilisecha4268
    @fadhilisecha4268 10 днів тому

    Mungu awatangulie mfanye maamuzi sahihi katika Kristo Yesu

  • @emanuellyamuya515
    @emanuellyamuya515 10 днів тому

    Mungu bariki kanisa lako dk

  • @andreafredrickutou4013
    @andreafredrickutou4013 10 днів тому

    Hii imekaa vizuri sana,tunapata uzoefu mkubwa kwa kusikiliza watoa mada mbalimbali,kwa Mafundisho mbalimbali 🙌🙏

  • @EsterShao-s3i
    @EsterShao-s3i 10 днів тому

    Bwana Yesu apewe sifa sana,,nawatakia mkutano wa Baraka na Mafanikio tele watumishi wa Mungu

  • @oscarnderongo-fv8wx
    @oscarnderongo-fv8wx 10 днів тому

    Bwana Yesu asifiwe watumishi. Nawatakia mkutano wenye baraka za Mungu.

  • @rev.tumainieliminja6836
    @rev.tumainieliminja6836 10 днів тому

    Pongezi sana UMOJA DAIMA Hii tuliisubiri kwa hamu, ni kama vile tulichelewa hivyo naamini tutakwenda speed tufike wengine waliopo. Kwa uzoefu mdogo niliona kwa wenzetu nitaleta ushauri na maboresho muhimu. Hongereni mnoo tupo pamoja

  • @Jackson_Kisanga
    @Jackson_Kisanga 12 днів тому

    Naomba nishauri jambo kama hamtojali. Tunaomba mtuwekee art yenye kuonesha Jina la mzungumzaji, tarehe na topic kwa ufupi. itakayopita vizuri

  • @Jackson_Kisanga
    @Jackson_Kisanga 12 днів тому

    Asante sana kwa taarifa

  • @Jackson_Kisanga
    @Jackson_Kisanga 12 днів тому

    Ahsante sana kwa taarifa

  • @OswadiKimaro
    @OswadiKimaro 19 днів тому

    Asante sana baba kwa msahaada huo

  • @johansonmonyo3898
    @johansonmonyo3898 27 днів тому

    🌹🌹🌹🌹🤝

  • @fadhilisecha4268
    @fadhilisecha4268 29 днів тому

    Poleni sana wapendwa.Mungu azidi kuwa pamoja nanyi

  • @janelyatuu1135
    @janelyatuu1135 29 днів тому

    Baba asikofu mungu akutunze baba yetu

  • @janelyatuu1135
    @janelyatuu1135 29 днів тому

    Usharika wangu wa kisamo poleni sana washarika wote wa kisamo mtaa wangu wa kichunguni mungu akawe faraja kwenu poleni sanaa

  • @janelyatuu1135
    @janelyatuu1135 29 днів тому

    Pole sana mchungaji moshi mungu akawe faraja kwako na watoto na familia nzima pole sana kaka

  • @janelyatuu1135
    @janelyatuu1135 29 днів тому

    Pole sana mchungaji moshi mungu akawe faraja kwako

  • @janelyatuu1135
    @janelyatuu1135 29 днів тому

    Pole sana mchungaje moshi mungu akawe faraja kwako pamoja na watoto

  • @rickrossrickross9169
    @rickrossrickross9169 29 днів тому

    R.I.P MCHUNGAJI,ulinisaidia sana pale usharika wa Nkweseko Machame

  • @EdenMcharo
    @EdenMcharo Місяць тому

    Dunia sijui inaenda wapi,ukweli hata mmiliki wa basi lililomuua mchungaji hakufika kwenye mazishi

  • @dicksonulotu7427
    @dicksonulotu7427 Місяць тому

    😭😭😭Rip Pastor Kantate