@mamalange2277 kila mtu na maoni yake ni huru kuongea na kutoa maoni ww unaepiga nani? Ni mama wa huyo kijana Teja au Mimi nimeona ni mwislamu mwenzangu anaharibika katika maadili, na daawa za kulevya kwani ukipita bila kujibu kuna tatizo mpk uonekane umemjibu mtu,
Magufuli alipambana sana na madawa ya kulevya..watu hawakuelewa.. sasaivi mtajua hamjui 😂😂. Dadeki.... ngada hazifai.... wanauza wengine wanapotezwa wengine
Dah maisha sio mchezo, ukikumbuka enzi hiyo Chidi Chidi kweli
Shati kali sana sema uvaaaji....ndio kipengere 😂😂
Sijawahi kukupa salut umeongea maneno mazuri sana bro
Chidi akili kubwa sana.
BRO HAMISI BIG UP SANA MKUU
CHIDY MY BRO MUNGU AKUONGOZE UTOKE KWENYE HILO DIMBWI LA DEMU WA KIHINDI KAKA NENDA KAOE KIBINDU KWENU
Mjomba amekunywa kisungula chid
Chidi funga vifungo vya shati yako 😂😂😂
kweli kabisa watu wengi wana vipaji lakini wanabaniwa hapa kwetu
naaaachiiiiiidiiiiiiiy....mkono 🤝ulio mshika hamis mwakinyo Inshallah uwe wa kheri mikanda ije Tanzania 🏆💚💛💪🇹🇿🇦🇪
Chid anazidi kuwaka na kulipuka ....
Kasongo yeyeeeeee eh Mobali nangaiii
Hahahaaa 😂😂😂kasongo yeyee
Kweli bwana Mzigua wa Kibindu Kwamnyaliva sure
oyaaah Tanga kuna watu
Jamaa kabakiza UKATUNI tu kila mahali....ngada noma
We nani nakujua kama katuni au choko
Wewe ndie katuni mbaka Leo hii hakuna mtu yoyote wa maana nae kujuwa
Umesema kweli lakini akili fupi zitakutukana ISMAIL
CHIDI ni kichwa. Lakini alijipoteza mwenyewe.
naimani sikumoja ntafika hii atua 🤲 god
Kumbe chid mtoto wakitanga ndo mana walawala toomuch
Chid kilaa msaniii mwanatasinia amwmsaidiaa km pdidy
Mfumo wa maisha unajichagulia mwnyw
Yani khamis sio muongeaji kabisa yan bro mpole sana
Daah kijana wa kiislamu ameharibika kwenye madawa
Daaaah! Kijana wa kislamu anajaji watu kupitia picha na video na ni watu ambao hajawai hata kuwaona
Kila dini ina watu aina mbalimbali. Ni dhambi kunyoshea wenzio vidole
@mamalange2277 kwahiyo apo kimekuuma nini
@mamalange2277 kila mtu na maoni yake ni huru kuongea na kutoa maoni ww unaepiga nani? Ni mama wa huyo kijana Teja au Mimi nimeona ni mwislamu mwenzangu anaharibika katika maadili, na daawa za kulevya kwani ukipita bila kujibu kuna tatizo mpk uonekane umemjibu mtu,
@AbdulIssa-o7e ndio.
Dar mawe yanapigwa keko na tandare mzee hk kwngne mashauzi tu
Hamiss mwakinyo ni bonge la tren
May Allaah bless him please❤❤😂
kumbe hom boy cheed
Magufuli alipambana sana na madawa ya kulevya..watu hawakuelewa.. sasaivi mtajua hamjui 😂😂. Dadeki.... ngada hazifai.... wanauza wengine wanapotezwa wengine
Huyu jamaa hatumii DAWA ila POMBE ndo tatizo kupita kiasi
Hiiiii hivi chidiii bado anabwiaaa ungaaa?,,
Madawa sio poa kwa kweli
Acheni kuandika vichwa vya habari vya uongo
Hadi sauti haitoki vizuli kweli unga mbaya xna kilikuwa kidali
Wadau inaweza kuwa pombe tu, sio kila akiwa nyingi basi ni ngada tu.
Madawa mabaya mola hatuepushe aki daa
KASHAPOTEZA KING KONG
Chid anaongea kwel ila wajinga awamuelew
Chidi acha unga bro unakumaliza😢
Mbona mwakinyo simuoni apo
Khamis mwakinyo ujamuona au umjui😂😂
Jamaa hajawai kufake life Aisee
Comment zote wewe ndyo nimekuelewa