UTAMUONEA HURUMA ANITA MATONYA AONGEA KWA MAGUMU ALIYOPITIA , KISA VIDEO YA ANITA NILITESWA KUFA ?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 вер 2024
  • KWA HABARI , SIASA, MICHEZO NA BURUDANI USISAHAU KU SUBSCRIBE UA-cam CHANNEL YETU YA LOKOMATV HAPA
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: shorturl.at/wFP67/ || shorturl.at/jwQSU
    TWITTER: shorturl.at/luzLZ
    FACEBOOK: shorturl.at/rCL12
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 Empire Lokoma Limited . 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #yanga #simba #yangasc #simbasc #simbavsyanga #tff #nbcpremeireleague #mwakinyo #samatta #zuchu #wizkid #Davido #nandy #wasafi #diamondplatnumz #alikiba #harmonize #instalive #youtubelive #mboso #lavalava #beyonce #Mariacare #mwijaku #babalevo #hbaba #kondeboy #afrima #notjustok #exclusive #lokomatv #trending #tanzania #marioo #mrpimbi #rickmedia #millardayo #ayotv #simulizinasauti #utamu #mpenjatv #globaltv #bonatv

КОМЕНТАРІ • 114

  • @femidayahaya4882
    @femidayahaya4882 4 дні тому +9

    MashaAllah nimefurahi hapo uliposema Ndoa yako ina Amani sana.

  • @tamimakhalfanikhani8403
    @tamimakhalfanikhani8403 5 днів тому +10

    Dada mstaarabu sana vile vile mpole kama kwenye nyimbo yake nampenda huyu dada

  • @PillyKassembo
    @PillyKassembo День тому

    Nakukumbuka my dear nilikuwa nakuja kukusuka kwa uncle wako sinza mori hongera sana ulikuwa unanilipa vzr 🌹🌹🌹🌹

  • @SalumJuma-iz2gj
    @SalumJuma-iz2gj 4 дні тому +7

    Jamaa anajua Sanaa kuhioj yuko sawa

  • @CarolineDominic-c8d
    @CarolineDominic-c8d 4 дні тому +5

    Ukweli ni kwamba Kuna mambo ambayo tunapitia ambayo yanaumiza lakini tunasamehe na maisha yanaendelea

  • @OmanSaniwo
    @OmanSaniwo 3 дні тому +9

    Nimuongo uyo dada hakuwa anasoma kipindi icho uwo umli alioutaja ni wauongo, alikuwa ameolewa nakumumewake walikuwa wamepanga kwetu tabata chan'gombe alikuwa ajatulia vibaya mno kweny ndoa yake kipindi icho alikuw moto atar. Jina lake alisi anaitwa ZUWENA, na mama yake nikweli anaish kijijini kwao kondoa alikuwa anakuja pale kwake nimlev atar anakunywa gongo za mitaani zile, akilewa anatukana balaa nandio maana alishindwa kuishi namama yke na amezaliwa peke yake. Kwaiyo namjua vizur mno nawala hakufukuzwa kwamumewe alidai talaka kwnguv kwa mumewake baada yakuingia kweny maswala ya muzik na kuingiza. Uyo dada nimuongp mno jamaan tena anajiliza eti amefukuzwa akati yeye ndiye aliyekuwa anamnyanyasa mume wake. Tena alibaatikakweli mume wake alikuwa mpole nmo jamaan. Eti anajifany analia leo khaa... kipindi icho hakiwa anasoma niamini mimi jamaan alikuwa ameolewa kipindi inatolewa iyo nyimbo.

    • @fridanaafya7511
      @fridanaafya7511 3 дні тому

      😂😂😂😂😂😂😂duh kwahiyo ametupanga

    • @OmanSaniwo
      @OmanSaniwo 3 дні тому +2

      Amewapanga kweli kweli Wallah naapa, tena anasema anamiaka katikati 35 yani kwanzia 30 mpaka 35 kitu ambacho sio kweli maana nakumbuk kipindi icho yuko pale nyumbn mimi nilikuw shule yamsingi kipind icho tulikuw tunamwamkia yani ji mdada tu sasa leo anasema anamiaka iyo inamaana ni egi yangu mimi.? Aje apa mimuumbue maana mi ninamiaka 32 sasa kaka yng anamiak 34 ambapo wote tulikuwa shule yamsing natulikuw tunamsalimia wot na alikuwa ameolew. Labda angesema anamiaka 30 kwelekea 40 ningemuelew

    • @OmanSaniwo
      @OmanSaniwo 3 дні тому

      Nauyo apo anamaX kama wote maana anavyo simulia hamuez kumuelewa anasimulia wanaume tofati tofaut sio sioX mmoja apo

    • @ZamoyoniMaulidi-et6sx
      @ZamoyoniMaulidi-et6sx 2 дні тому

      Ukkweliniup?

    • @vanemmy6043
      @vanemmy6043 День тому +2

      Nauzuti wote uyo kumbe muungo😂😂​@@OmanSaniwo

  • @auleusmuyamba4208
    @auleusmuyamba4208 День тому

    She's very humble.

  • @flinchclassic1531
    @flinchclassic1531 День тому +1

    Dada mstaarabu sana

  • @LylianeBauma
    @LylianeBauma 5 днів тому +5

    Kaka unajuwa sana Ku hoji❤❤

  • @andrewkilave3532
    @andrewkilave3532 5 днів тому +7

    Huyu mwamba anajua sana kuhoji. yaani Anita nakumbuka kipindi kile daah au basi tu

  • @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
    @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 4 дні тому +6

    😢😢😢kumbe hii tz watu wote n sw,,, nilidhan nmimi tuu napita kwa watu makatili. Yaan ukiwa tegemez utateswa mpk ukome .walonilea wote walininyanyasa vby mno ila now wanajuta maana wametengeneza mtu ambaye sishtuki shida zao nawala stak ukaribu nao.

    • @fatmaally7252
      @fatmaally7252 3 дні тому +1

      Tupo wengi wanajeshi wa kweli tunapambana kivyetu na mungu anasaidia tunasimama

    • @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
      @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 3 дні тому

      @@fatmaally7252 mashallah. Mungu anakusud lake ktk Kila mapito tunayopitia.

  • @norobo205
    @norobo205 4 дні тому +5

    Siku iz video za wasanii wanavua mpaka nguo wazaz wanachekelea tu

  • @TatoOman-s5t
    @TatoOman-s5t 4 дні тому +1

    Pole sana wanawake tunapatikana sana tunapo egemea Wanaume 😢 hakuna liwalo ni kupotez mda tu tupo wengi wahanga

  • @hassanparamana2215
    @hassanparamana2215 2 дні тому

    ngoja nikaitazame tena nyimbo yngu umenikumbusha mwenyewe ANITA...🏆💚💛💪🇹🇿🇦🇪

  • @Mojabo-qi7sv
    @Mojabo-qi7sv 2 дні тому +1

    Mashalla alla akupe itaji la moyo wako

  • @idrisakiwavi9272
    @idrisakiwavi9272 4 дні тому +5

    Jamaa hujui kuuliza maswali asee em jifunze kubadilika iga kwa wenzio yani unaboa

    • @bonifas814
      @bonifas814 4 дні тому

      Kabisaaa aisee sautuu anayo ila ubunifu zero

  • @boraimanijumamahenge7554
    @boraimanijumamahenge7554 2 дні тому

    Pole sana Dada Yangu....

  • @ummuwawili
    @ummuwawili 5 днів тому +7

    Pole sana lkn Huyo rafiki yako alikusaidia pamoja na yote msamehe ...... vp kama ungeingia mitaani hauna pa kulala ukafanyiwa mabaya usku?

    • @NoorynMody
      @NoorynMody 4 дні тому

      Rafiki kma hyo me piah nilikua nae rkn nimemuachia Mungu to kwa yote alio nifanyia

    • @YNacharo
      @YNacharo 4 дні тому

      Hajui ata kuhoji uyo jamaa ana maswali ya kujirudia rudia😂

    • @spartachize122
      @spartachize122 2 дні тому

      Alikuwa anamchukulia advantage kwa kua alikuwa anamlisha kila siku... Ila anapaswa amshkuru na amsamehe tu

  • @modricseif1018
    @modricseif1018 3 дні тому

    Ni mzuri mashaAllah

  • @sekelamwangomo5458
    @sekelamwangomo5458 4 дні тому

    But she's humble ❤

  • @sirh490
    @sirh490 День тому

    Maisha yako speed sana

  • @DanielGaspel
    @DanielGaspel 2 дні тому +1

    Nyimbo ya Anita haijatoka 2009 hii nyimbo imetoka 2005 harafu 2006 matonya alitoa nyimbo ya Vailet

  • @kamalbashir5127
    @kamalbashir5127 5 днів тому

    Pole my sister

  • @TatoOman-s5t
    @TatoOman-s5t 4 дні тому +1

    Utafanikiwa my love

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 2 дні тому

    Mtangazaji uko vizuri mashaallah 👌👌👌🔥

  • @Mwanah-cg3ie
    @Mwanah-cg3ie 4 дні тому

    Daah mm kabisaa hii😢😢😢😢

  • @sekelamwangomo5458
    @sekelamwangomo5458 4 дні тому +1

    Kua form one with 16yrs it not issue labda alichelewa shule, shida ni alkua anaonekana yupo kwny early twenties

    • @estermathias8354
      @estermathias8354 3 дні тому +1

      Zamanj tulimaliza la saba 14 au 15 had 16 ni kawaida Sana

  • @celestinemakolo3954
    @celestinemakolo3954 4 дні тому +3

    WENGI TUMEPITIA MAGUMU KWA MARAFIKI WALIOTUTANGULIA KUFANIKIWA WANAKUWAGA NA ROHO FLAN YA UBAGUZ NA DHARAU

  • @BoniThomas
    @BoniThomas 18 годин тому +1

    Ktk nyimba ile hakua chin ya miaka 22 actupge et miaka 16 kwa matrako Yale et awe almzid tifa wa mond miaka 6 tu😂😂😂 kwanza alkua na miaka 23

  • @BakariMalembeka
    @BakariMalembeka 5 днів тому +1

    Mmm mpunga usha inama uyoo

  • @MaryyBenjamini
    @MaryyBenjamini 5 днів тому +3

    Mtangazaji mwishoni uwe unaweka hata kionjo basi

  • @esterabonga7947
    @esterabonga7947 4 дні тому +2

    Hapo kwa miaka 16 tumepigwa😂😂

  • @NeemaAloyce-xg1dn
    @NeemaAloyce-xg1dn 2 дні тому

    Tamaa bin tamaa huyo anamiaka 43

  • @user-bx2xr1go8w
    @user-bx2xr1go8w 3 дні тому

    Mtangazaji bwana da! .....

  • @user-cc2ll7bw7u
    @user-cc2ll7bw7u 4 дні тому +1

    Hapo kwa form one umetupiga ,ila nakupenda

  • @MomadeMudimoz70-cs2ud
    @MomadeMudimoz70-cs2ud 4 дні тому

    😢😢😢😢😢😢💕💕💖💖💖

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th 4 дні тому +1

    mungu wangu umechakaa sana lakin pia ni muongo hukuwa na miaka 16

    • @rehemavickie6521
      @rehemavickie6521 4 дні тому +1

      Mbona hajachakaa bado mrembo oamoja na kwamba umri unaenda. Ulitegemea awe vilevile kama ako na 16 years?

    • @NeemaAloyce-xg1dn
      @NeemaAloyce-xg1dn 2 дні тому

      Tena Sasa ni mrembo zaidi ​@@rehemavickie6521

  • @allykwaya
    @allykwaya 4 дні тому

    Aninta

  • @Fantastic.-gm1eo
    @Fantastic.-gm1eo 2 дні тому

    Ndugu mtangazaji ulifanikiwa kufika hata form four kwel😂😂😂

  • @kyangwesignermohamed7867
    @kyangwesignermohamed7867 4 дні тому

    Mtangazaji mbeya hayo msisha Binafsi😊

    • @mathubeJrTz
      @mathubeJrTz 4 дні тому

      JIFUNZENI KUANDIKA KISWAHILI VIZURI MNATUPA SHIDA WASOMA COMMENT, ASANTE

    • @ViolethAmos
      @ViolethAmos 4 дні тому

      😅😅😅😅😅😅​@@mathubeJrTz

    • @NeemaJuma-os6uo
      @NeemaJuma-os6uo 2 дні тому

      ​@@mathubeJrTzkwakweli

  • @rukaya-jg7hj
    @rukaya-jg7hj 4 дні тому

    Foŕm wani mi nilianza na miaka15

  • @Yanarichbiz
    @Yanarichbiz 4 дні тому +1

    16yrs afu form1😢

    • @mtabevilaini6527
      @mtabevilaini6527 4 дні тому +1

      Si zamani kidg ase

    • @nasramohamedi4095
      @nasramohamedi4095 4 дні тому +1

      Unashangaa Nini hiyo ilikuwa kawaida tu mi form one nilikuwa na 15 years

    • @mjaweathman6519
      @mjaweathman6519 3 дні тому

      Afadhali yeye Mimi 15 nilikua class 8 zamani na sasa tofauti class 1 unaanza na 7 au 8

    • @NeemaAloyce-xg1dn
      @NeemaAloyce-xg1dn 2 дні тому

      Muongo nimemzumu aiseeh kifupi katumika mpaka katumika tena mungu tupe mwisho mwema

  • @nanaritho6850
    @nanaritho6850 4 дні тому +1

    Form one na dred? MH...

  • @elizabethcharles6527
    @elizabethcharles6527 4 дні тому

    Ila kwenye miaka apo umetudanganya Mana mi nakujuwa ata miaka kumi na mbili nilikuwa sina sasa mbona si kweli mmmmmm

  • @LutenganoCharles-d7t
    @LutenganoCharles-d7t 5 днів тому

    Vip alifanikiwa? Ndio alifanikiwa ila kwa mbinde sana

  • @AllySalum-j9y
    @AllySalum-j9y 4 дні тому

    Nirikuaaa nakipendagaaa ikiii kirimboooo kukosaaa kuorewaaaa ningekuowaaa nipoooo debeniii ukuiii

  • @beatricerobert8985
    @beatricerobert8985 4 дні тому

    Kwani mme wake WA zamani ni nani

  • @ramadhanimohamed2272
    @ramadhanimohamed2272 2 дні тому

    Nitafute tuongee nikusaidie kupata MTOTO, serious sana

    • @shabanielia6905
      @shabanielia6905 2 дні тому

      Weka namba zako apo atakutafuta

    • @hassanparamana2215
      @hassanparamana2215 2 дні тому

      ​@@shabanielia6905 🤣😂🤦‍♂️🏆💚💛💪🇹🇿🇦🇪

  • @veronicangwale7159
    @veronicangwale7159 2 дні тому

    Dada muongo uyuuyy

  • @FatmaHamad-g6s
    @FatmaHamad-g6s 4 дні тому

    Kwenye umri mnatupiga za uso

  • @rerisamba
    @rerisamba 3 дні тому

    Shetani akikutumia mtu wacha tu shida wewe ulikua huna mtu wakukuongoza ulikua ufate moyo wako uache story ya kuoleka

  • @Sampovoice8088
    @Sampovoice8088 3 дні тому

    16 Acha uongo dada usitupange

  • @hildagabriel1003
    @hildagabriel1003 5 днів тому

    😂😂bongo sihami

  • @nasramohamedi4095
    @nasramohamedi4095 4 дні тому

    Huyo mtangazaji maswali km darasa la kwanza 😏😏😏

  • @BoraHamisi-zl6xy
    @BoraHamisi-zl6xy 4 дні тому

    Ivi ni kwanini Huwa wasanii hawasaisiagi video viksa

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th 4 дні тому +1

    Umalaya ndo ulikuponza wala usijilize uongo hapo

  • @SapnaMtinang
    @SapnaMtinang 4 дні тому

    Aise mtangazaj n mbovu na unakera maswal yako so negativity lione

  • @SapnaMtinang
    @SapnaMtinang 4 дні тому

    Hufany interview huuliz maswal muhmu ya wengne kujfunza umekomaa kwenye chuki tu hufundish cchte

  • @googleus4903
    @googleus4903 4 дні тому

    Miaka 16 FORM 1 NCHI GANI HIYO😢😮😅😂
    TANZANIA FORM 1 MIAKA 12 AU 13

    • @user-bt1vl8nu5n
      @user-bt1vl8nu5n 4 дні тому +4

      Zamani ilikuwa sawa ata mie nimeanza form one nikiwa na 16

    • @AblahmanJuma
      @AblahmanJuma 4 дні тому +2

      Zaman watu dalasa la tano miaka kumi na 17 yaan tulikuwa atupimwi umri ni ulefu ujishike sikio mkono wa kulia ushike sikio la kushoto ndo unachukuliww skuli

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 4 дні тому +1

      Kwa zamani kawaida mpaka miaka 18 4m one me nakumbuka Kuna watu walikuwa wanajiandikisha kad za upiga kura tukiwa form wan tuna😂😂😂😂 tunajua utan mtu ana ndevu form one

    • @editorfrank7471
      @editorfrank7471 4 дні тому +1

      Miaka ya 2000 wengi tumeanza form one miaka 15

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 4 дні тому

      @@editorfrank7471 sawa kabisa na ndio tuliokuwa na umri mdogo lakin Kuna watu walikuwa wadada na wakaka wakubwa mpaka unaogopa kumchokoza kama akikutia Kofi sijui kama unaamka😂😂😂😂😂

  • @abdul-hamidali6534
    @abdul-hamidali6534 4 дні тому

    Hapa tumepigwa yaaaani alikuwa shule mdogo. Mara nyimbo inatoka anapigwa simu. Nakumbuka form four kipindi hiko sijui kama kulikua na simu kwa watoto wa shule. Than vile alivyo kwa miaka 16 sio kweli

    • @Yanarichbiz
      @Yanarichbiz 4 дні тому

      I think she was 21

    • @itzsnazzyjazzy472
      @itzsnazzyjazzy472 4 дні тому +1

      Wengine jamani wana miili mikubwa jamani tusijudge sana dear

    • @SaudaKhamisi-wm6xy
      @SaudaKhamisi-wm6xy 4 дні тому

      Umeona eeh heti kumi nasta mtu mzima hyo😂😂😂😂

    • @wemaMichael-fr4th
      @wemaMichael-fr4th 4 дні тому

      muongo na wala hakuwa na miaka 16 alikuwa na miaka 20 na alishaacha shule kitambo anaona haya tu kufunguka

    • @NeemaAloyce-xg1dn
      @NeemaAloyce-xg1dn 2 дні тому

      ​@@itzsnazzyjazzy472ww huyu kahaba nyie aache umbea wa kujiliza

  • @AngelAlphonce
    @AngelAlphonce 3 дні тому

    Jaman huyu dada anatumia akaunti gani instagram