Wewe bado mnzur sana dada yangu wala usiwe na wasiwasi yaan wewe barnaba ni wakwako na kama hivi umefuga ndowa watoto Aa we bado barnaba ni wakwako 2❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Pendeza dada kula vinzur oga vinzur paka loshen yako vinzur dada tena pendeza mpaka Akuone wivu huyo wa buza yaani hapo kwenyewe2 Ameshakuona ila anaumiya moyon kwasababu umemzid kwa unzur halafu wewe ni mrembo sana Asilimiya 100 dada ringiya unzur wako dada yangu kwanza ukicheka mm napenda na hizo dipoz
Wana wake tuko wahajabu sana ulimuacha barnaba ju yaule kijana .sasa nashangakusikiya unasema muliachanaga nahuyo jama . Barnaba alikupendaga sana sasa leo unabidi uvune ulicho kipanda sasa hivi nazani unajuta .
Ambao mnamlaumu Zuu hamjui barnaba na kama mnataka kumjua kaskilizeni nyimbo ya tuzo ya dulla makabila kulia alilia fulani wakat Zamaradi anaolewa hayo yanakua matokeo ya mwanaume muhuni haamini akiachika
Yaani dada ni mpele sana sijuy barnaba kwafeli wap yaan m kaniuz sana sema walimweza kwakumloga barnaba wala siyo Akiliyake bwana ila usijali dada malipo ni hapa hapa duniani wala siyo mbali
@@queenkaiza2880 Tatizo wanatazama tu sura na uongeaji wa watu lkn huyu dd nae mapepe tu sasa yupo kwenye makundi yakutunzana na kina Shuu Saloon Darleen Mamy Kido patamu hapo
Ana jitambuwa sana mashaallah ❤
Nampenda zuuu❤❤❤
Mwanamke kuruhusu ukaribu huu Kwa mumeo unahitaji moyo sana . Hongera Rayya .
Dada huyu ni pis sana jaman m nampendaa🥰🥰🥰🥰🥰
Mashalla mrembo haswaa 🎉🎉mwanamke jicho mashalla
Kweli uko vizuri, maisha ni hayo nimekupenda❤
Kama kuna watangazaji ninaowapenda kwenye interview basi ni huyu Chris Fevaz, ana content sana kichwani❤🎉🎉
Nakupenda sana dada🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Barnaba yuko peace and love❤❤
Wewe bado mnzur sana dada yangu wala usiwe na wasiwasi yaan wewe barnaba ni wakwako na kama hivi umefuga ndowa watoto Aa we bado barnaba ni wakwako 2❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ww Barnaba wameachana huyu aliolewa na mwingine sasa wake vp na Barnaba ana mkewe wa ndoa😂😂
Mama stivu wewe ni mzur sana kuliko hata huyo mwenye domo kubwa kama siniya kwanza umependeza sana na umenenepa na piya umengaa sana❤❤❤❤❤❤
🤣🤣🤣 mbavu zangu jmn
😂😂😂
Unapomuazinia😂😂😂😂ni kumuadhinia
Huyu bado anampenda Barnaba
Itavew Nzuri ; Kwaukweli Mwamba Unisha Kwa Ma Swali; Naipendaga Sana Iyi Chanel Yenu Kwa Ukweli!; Big UP Bro!.; Wewe Ni Noma Kwa Ma Swali KK!.
Jamani huyu Dada ni mzuri kuliko Raya
Utuletee na mke wa shetA jmn
Kajichubua hatar😢😢😢😢
Huyu dada alindoka Kwa nyodo sana Sasa jamaa na yeye kamwaga mzigo Yuko pekeake kwenye maisha watu tujifunze vitu
Binti mzur wew kwa barnaba ulifata nin
Mashaallah wallah ni mpole mnoo Barnabar ulifeli wapi kwa hii pis?
Mhm hapo kwa tatoo ni masikitiko😢😢😢
Uyu mwanamke anaakili sana kbs apewe tuzo lake🎉🎉🎉❤
Pendeza dada kula vinzur oga vinzur paka loshen yako vinzur dada tena pendeza mpaka Akuone wivu huyo wa buza yaani hapo kwenyewe2 Ameshakuona ila anaumiya moyon kwasababu umemzid kwa unzur halafu wewe ni mrembo sana Asilimiya 100 dada ringiya unzur wako dada yangu kwanza ukicheka mm napenda na hizo dipoz
Kajua kujidabua khaaa😂😂😂😂😂 ka mzungu
😂😂nimempenda sana
ila wanawake😊,,,eti B
😂😂😂😂😂😂😂😂 mbona B
Recho,ray na hyu wamefanana mijicho yao
Ila huyu wa sasa Aaaa barnaba kayatiba
Kidogo sasa😂
Wana wake tuko wahajabu sana ulimuacha barnaba ju yaule kijana .sasa nashangakusikiya unasema muliachanaga nahuyo jama . Barnaba alikupendaga sana sasa leo unabidi uvune ulicho kipanda sasa hivi nazani unajuta .
Waona baada ya hilo ila umesahau kuwa barnaba alimsaliti huyu dada mara kadhaa mpaka akazaa nje na mwanamke mwingine hayo yote mazuri kwa barnaba??
Kuta nne Zina Siri....... Kama Barnaba angesalitiwa na huyu dada mpaka Leo wangekuwa maadui
@@AshuuuBakarihuyu naye alimchukulia mwenzake yule Neema au Neyonce
Ndugu zangu tafuteni pesa njo eshima ya b8nadamu kumbukeni uyu mama alivyo mumizaka jama hadi anasema eti alitami mume mweupe kasha ambuliya matukio
❤❤❤
Yaaan huyu..atamsumbua sana barnabad kitendo cha barnaba kubadili dini kuja uku aliferi sana
Kwa ukaribu huu na baby daddy basi kurudiana ni rahisi munoo 😊
Ambao mnamlaumu Zuu hamjui barnaba na kama mnataka kumjua kaskilizeni nyimbo ya tuzo ya dulla makabila kulia alilia fulani wakat Zamaradi anaolewa hayo yanakua matokeo ya mwanaume muhuni haamini akiachika
Hapa lazima kiporo zipashwe siyo kwakupenda huko hata huyo Raya hakufik hata kidogo mama stivu
Yaani dada ni mpele sana sijuy barnaba kwafeli wap yaan m kaniuz sana sema walimweza kwakumloga barnaba wala siyo Akiliyake bwana ila usijali dada malipo ni hapa hapa duniani wala siyo mbali
Alizaa nje ndipo huyu dada akakasirika
Chanzo Cha wao kuachana wala sio Raya waligombana baada ya barnaba kuzaa nje yule mwanae wa kike
Muonekano wa huyu mwanamke kwasasa ni malaya tu wa aina fulani. MBWA ZA MJINI HIZI 😮
Barnaba alijuaga kumsumbua huyu dada khee,kwakweli ilibidi asonge mbele. Kuna namna mwanaume anakuchukulia poa ila ukifanya maamuzi magumu ndo anaamka usingizini......
kwanza huyu mrembo sanaa kuliko wa sasa na wanume wakishajuaga amekuoa mrembo anakuwa hajiamini anakutesa japo sio wote
@@aboudijaaboudija Barnaba kamsumbua je na huyo mwanaume mwingine aliyemuoa nae alikuwa anamtesa mbona wameachana😂
Humjui uyu dada vizuri ila uyu dada ndo aliimbwa na nyandu kamuumiza sn barnaba
@@queenkaiza2880 Tatizo wanatazama tu sura na uongeaji wa watu lkn huyu dd nae mapepe tu sasa yupo kwenye makundi yakutunzana na kina Shuu Saloon Darleen Mamy Kido patamu hapo
Nyimbo gan iyo
@@queenkaiza2880
Raya anaandika gazeti huko 😂
Yani nyie mlikua mnapendana sana sema basi shetani aliingilia kati ila mlikua mnapendana sana na mlipendezana sana
Ila huyu uliyomuoa ni umeyatimba na huo ndio ukweli
Wazazi hawaachani
Kipolo Wanapasha Mda wowote. 😎
Sio kila mtu mzinifu
@@pengefeza2563 Na hao wasio wa zinifu ni 1.0% Na wewe Humo. Upo upande wetu sisi wazinifu. 😎
@@itNeza Acha kupakaa kila mtu uchafu wako.
Wewe endelea kujichafua tu .
Chris unapouliza maswali acha mpe mtu muda ajibu sio unauliza alafu unajijibu mwenyewe tena . Iyo ni interview na sio conversation
Hata kama ni wazazi hakuna ulazima wa kumwambia mambo yako. Eti nataka kutoka kwenye haya mahusiano
Ngoja Raya ajehewan
Yani nawaza😂
😂😂😂😂😂leo instagram 🔥🔥
nasubili na.mimi
We bidada a ha kujipeleka kwa barnada heshimndoa yakeTafuta mume wako
𝖠𝗄𝗂𝗇𝖺 𝖹𝗎𝗎𝗎 𝗁𝖺𝗍𝗎𝗇𝖺 𝗄𝗎𝗇𝗀𝖺𝗇𝗀𝖺𝗇𝗂𝖺 𝗎𝗄𝗂𝗍𝖺𝗉𝗂𝗄𝗐𝖺 𝗇𝖺𝗐𝖾 𝗍𝖺𝗉𝗂𝗄𝖺𝗁𝖺𝗄𝗎𝗇𝖺 𝗄𝗎𝗋𝗎𝖽𝗂𝗌𝗁𝖺 𝗆𝗍𝖺𝗉𝗂𝗌𝗁 𝗍𝗎𝗆𝖻𝗈𝗇𝗂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉💖💖