ANITA WA MATONYA, BAADA YA VIDEO NILIFUKUZWA SHULE, NYUMBANI HAWAKUTAKA KUNIONA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • MAHOJIANO MAALUMU NA MREMBO ZUWENA MUSSA MAARUFU ANITA WA MATONYA .LICHA YA KUPATA UMAARUFU MKUBWA BAADA YA VIDEO YA MATONYA LAKINI ILISABABISHA MATATIZO KATIKA MAISHA YAKE. SUBSCRIBE CHANNEL HII @Gangana Info Channel

КОМЕНТАРІ • 10

  • @mwana4599
    @mwana4599 11 місяців тому +2

    Natural beautiful. Hongerah sana Anita wimbo mzuri sana hauchuji.

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 11 місяців тому +2

    Nimependa rangi yake Yuko natural ❤❤

  • @mbwanarajab4756
    @mbwanarajab4756 11 місяців тому +3

    Uislamu ni dini ya maadili na ukiifuata hutajilaumu ila nyingine kinyume na hiyo , ndizo zinaharibu mfumo mzima wa maisha ya mwanadamu..
    Huoni wanawake wanavyoweza kukaa uchi wakiona kwamba wameusaliti uslamu kumbe ndio wanazidi kupotea na kujiongezea matatizo tu kwenye maisha

    • @pulikisia7963
      @pulikisia7963 10 місяців тому

      May God of heaven have mercy on you.🙏🏿

  • @barakamwasenga2143
    @barakamwasenga2143 Рік тому +3

    Mpo vzr tupo pamoja

  • @dicksonexavery726
    @dicksonexavery726 Рік тому +3

    Kimsingi nimekumbuka miaka ya nyuma kidogo ila inaonesha mziki ulikutoa kwenye msingi wa maisha

  • @jumanassoro1552
    @jumanassoro1552 11 місяців тому +3

    Pisi kweri kweri mpaka sasaivi

  • @rashidiramadhani4342
    @rashidiramadhani4342 Рік тому +2

    WAKAI

  • @lightnessabdallah2340
    @lightnessabdallah2340 Рік тому +2

    Anita amebadilika amekuwa mtu mzm now

  • @GeorgeSikazwe-mm7nn
    @GeorgeSikazwe-mm7nn 11 місяців тому +1

    Walikuonea t kwani sanaa sio zambi dini mnaisingizia tu