Wachezaji wetu tunataka warudi kambini sio majumbani kwa sasa tuna kazi ngumu viongozi msiwaache wachezaji sasa mtatuuwa na presha tunaumiya mno tunapoona Tim inafanya vibaya
Hii hatari sana kama kutawanyika wangekua watawanyikia kambini kwa usalama zaidi mm hii sijaipenda hata kidogo kwa usalama wao lakini na kutunza utimamu walionao
Kwakweli huu utaratibu sio mzuli sisi mashabiki tupaze sauti kupinga wachezaji wetu waondoke na basi pamoja wakatawanyikie kambini Sasa mbona bado kama utaratibu wa gamond unaendelea sio sawa injinia hersi badilisha hilo
Mimi binafsi huu utaratibu huwa siupendi sana,mngekua mnaenda kutawanyikia kambini ndo magari yenu yanaenda kuwasubili huko, ila hapo hapo uwanjani imekaa kienyeji sana aseee
Sijapenda wqchezaji kutoka uwanjani kila mmoja kivyake Tim kma yanga kama kuwaqcha basi lingewqbeba hadi avic than mkafanya hivo hapo wanatoka kama vile Tim za vichochoroni sihapenda enginiya vipi tena wachezaji wanasambaa kama madagaa baada mechi?
Wachezaji wetu tunataka warudi kambini sio majumbani kwa sasa tuna kazi ngumu viongozi msiwaache wachezaji sasa mtatuuwa na presha tunaumiya mno tunapoona Tim inafanya vibaya
Hawa watu walipewa mapumziko ya siki Moja kwahio tusi walaumu wao ama viongozi
Hii hatari sana kama kutawanyika wangekua watawanyikia kambini kwa usalama zaidi mm hii sijaipenda hata kidogo kwa usalama wao lakini na kutunza utimamu walionao
Kwakweli huu utaratibu sio mzuli sisi mashabiki tupaze sauti kupinga wachezaji wetu waondoke na basi pamoja wakatawanyikie kambini
Sasa mbona bado kama utaratibu wa gamond unaendelea sio sawa injinia hersi badilisha hilo
Itakuwa walipewa day off baada ya mech hii then labda kesho yake ndo warud kambin ndo maana Kila mtu akaondoka kivyake,....
Eehh kazi yake itakuwa kuwakimbiliaa tuu😂😂😂😂
Mimi binafsi huu utaratibu huwa siupendi sana,mngekua mnaenda kutawanyikia kambini ndo magari yenu yanaenda kuwasubili huko, ila hapo hapo uwanjani imekaa kienyeji sana aseee
Wachezaji sio wafungwa
Wachezaji wanatoka kienyeji sanaa kama wanacheza ndondo cup asee sio poa kabisaaaa haijakaa sawa enginier angalia sanaa hilo tatizo
Uoni walinz hao?
Ndio utoe ushauli kwa tff waweke packing viwanjani
Sio kila kitu muelewe, hebu aminini viongozi wenu, kila kitu. Wanafanya kwa faida ya yanga! Hizo ni mbinu tu, nawanachofanya wanaijua kina mana gan!
Wamepewa mapumziko siku mojA
Uwanja umejengwa vp na wewe huoni 😮
Hiyo mbinu mpya yakivita,wanaenda kukutana mbele,!hawaendi nyumban
Kweli inabidi wakae kambi maandalizi na game ya kunguru wa lubumbashi jumamosi inshallah Allah awajalie afya njema na maandalizi mema !!!!
Kibwana anamlinzi mmoja 😂
Hii sio poa kabisa😢
Sijapenda wqchezaji kutoka uwanjani kila mmoja kivyake Tim kma yanga kama kuwaqcha basi lingewqbeba hadi avic than mkafanya hivo hapo wanatoka kama vile Tim za vichochoroni sihapenda enginiya vipi tena wachezaji wanasambaa kama madagaa baada mechi?
Miamba irudi Avick town aisee
sasa trh 4 kna gemu home watu wanaenda kfanya nn warudi haraka kambini
Eng team itakushida hawa inabid warud avic kama magari yao bora yawafate uko
Jamani viongozi mnawaacha tena wakatafunwe na wakina mabeto mngewaacha baada mech na tp mazembe mwee
hkn huo muda yanga itacheza tar 3,10,17 januari
Wamezingua
Mbona ww shabiki unarudi kwako Acha kamdomo walipe ww sasa
Angalieni na Msimamo msije mkajisahau tuu
mllikua mnaringia magoli saivi mmehamia kwenye point 😅😅😅😅😅 hiyo mbona tutaichukua hata kwenu
Msimamo unann ww shinda mpaka mwisho nass ndo tunashinda gem zetu 2takutana ss sio milima kk
Screenshot huo mcmamo Ili iwe kumbukumbu kama ulivyofanya mcmu uliopita
Sasa hiyo point moja si tunaichukua kwenu au
Mbona wachezaji wanatokea majumbani sio kambini .. tunataka kambi sisi Mpira wetu Bado amateur..
Hawa wachezaji tena wanaenda mageton
Lazima wakapumzike kesho jion wataingia kambin