PACOME ASHINDWA KUJIZUIA MBELE YA WANANCHI BAADA YA KUMWAGIWA 'MAOKOTO' | ABEBA KIBEGI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 137

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 3 дні тому +28

    Nimewapenda wananchi jinsi mnavyowapa moyo wachezaji wenu. Big up!

  • @Cris4Elisante
    @Cris4Elisante 3 дні тому +18

    Hongera Pocome kwa kazi nzr sana iliyo fanya.wananchii wanawapenda wachezaji wakujituma.🎉

  • @fatmasuleiman3885
    @fatmasuleiman3885 3 дні тому +26

    Asanteni watoto wetu furaha inaanza ha mwaka mpya! Bado mwenyezimungu awalinde sana msiache maombi na dua pia msikubali kuchafuliwa kwa mdomo km alivo ongea yule kijana Gusa achia twende kwao imevunja bechi lote hii ndio yaga Asanteni sana 5G💚💚💛💛🫶🙏

  • @UpendoJoseph-o5m
    @UpendoJoseph-o5m 3 дні тому +14

    ❤❤❤❤❤❤❤ Pacome hii ndio yangu tunayoprnda hongera sana umeitendea haki timu yako. Hongera wachezaji wooooteeee❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ferdinandimani1517
    @ferdinandimani1517 3 дні тому +15

    Wananchi you the best man of the match anapewa hela na mashabiki

  • @Mari89wx
    @Mari89wx 3 дні тому +5

    Pacome maokoto mengi 👍🏽💚💛🌻🌻.wana yanga mnafanya vizuri kubariki mastar wetu⭐️⭐️

  • @SholaHawanga
    @SholaHawanga 3 дні тому +17

    kocha ampe nafasi mkude ❤

  • @Tatty-u8p
    @Tatty-u8p 3 дні тому +7

    Yani najikuta nasikia raha tuu yanga yangu naipenda sana 💚💚💚💛💛💛

  • @linnahcasmir5275
    @linnahcasmir5275 3 дні тому +7

    Tunawapenda Sana wachezaj wetu💛💚 inshallah tutafika naoo mbali

  • @fatmasuleiman3885
    @fatmasuleiman3885 3 дні тому +14

    Man sha Allah pacome💚💚🙏

  • @Boniphacetz-w9x
    @Boniphacetz-w9x 3 дні тому +10

    Amestaili kupewa pesa 🎉 iko hv hii yanga hatuna mbambamba ukitufurahisha tunakutunza

  • @davidtrezuget.379
    @davidtrezuget.379 2 дні тому +5

    Pacome Zouzoua, A sensational player, Great game, High quality performance.

  • @gsplundi1327
    @gsplundi1327 3 дні тому +10

    Team yenye upendo wa ajab🥰🥰🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @gsplundi1327
      @gsplundi1327 3 дні тому +1

      Am proud to be part and parcels of young africanz❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MonicaSimon-py3nx
    @MonicaSimon-py3nx 3 дні тому +4

    Thank you very much, my heroes, you are making us African fans happy. I love you very much

  • @Gyver8636
    @Gyver8636 3 дні тому +11

    Yanga huwa ni kugawa hela tu❤
    Ukifanya vizur unspongezwa
    Ukizingua utatujua 😂
    Hii ndo yanga
    Au KUBWA JINGA MAKOLO anasemaje😂

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 2 дні тому +3

    Hadi raha ijinia tunakupenda sana na watoto wako na bechi ra ufundi baba hongera sana

  • @aishabakari8040
    @aishabakari8040 3 дні тому +3

    Siku izi mashabiki wa yanga wanatokq na ela za wachezaji wao adi rahaa 💚💛

  • @assumedprivacy3940
    @assumedprivacy3940 3 дні тому +16

    Anachuma pesa kama matunda mtini, Wananchi wana upendo sana!

  • @TatuHusseni-hs7mu
    @TatuHusseni-hs7mu День тому

    Nimejikuta tu nafuraha jamani wananchi tunaupendo na wachezaji wetu sijawahi ona timu yoyote ile mashabiki wakiwatunza wachezaji wao zaidi ya yanga pekee inshallah Allah ajalie heri kila mechi tushinde inshallah 👏👏

  • @abuu-hx3ru
    @abuu-hx3ru 3 дні тому +3

    Wanchi atu jambo dogo ukifanya vizur kuwafuraisha wananchi na wao watakufarahidha bonge Moja la mchezaji✌️✌️✌️

  • @triceyanga
    @triceyanga 3 дні тому +12

    WANANCHI TUJISALI NA TULIPE ADA

  • @hamisamajoka3284
    @hamisamajoka3284 2 дні тому

    Mungu awalinde wachezaji wetu msiwe majeruhi🤲🤲🙏🙏🙏💚💛💚

  • @JumaMtengevu-s3m
    @JumaMtengevu-s3m 2 дні тому

    Nchi yetu Yanga yetu big up wananchi kwa utamaduni bora Pacome na wenzake oeeeeeee

  • @LeylaSaria
    @LeylaSaria 3 дні тому +10

    😂😂😂tunaipenda yanga jamn achen utan

  • @HabibaKhamisi-xo8tz
    @HabibaKhamisi-xo8tz 3 дні тому +5

    Hongera 👏 pacome kwa magoli yako leo pia kwakuwa man of the match 🎉🎉🎉professal wa boll⚽⚽⚽

  • @claratango9262
    @claratango9262 2 дні тому +1

    Mungu Ibariki Yanga Mungu Ibariki Tanzania 🙏🙏🙏

  • @PetermollelmollelMollel
    @PetermollelmollelMollel 3 дні тому +5

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤😊😊😊 nampenda sana ninge pata namba zake ninge mtumia dollar

  • @browntv1119
    @browntv1119 3 дні тому +4

    Tujisajili na tulipe ada tunaweza kuitengeneza hii timu mpaka dunia ikashangaa

  • @hamisamajoka3284
    @hamisamajoka3284 2 дні тому

    Tushajiwekea mazoea wananch makofi kwetu💛💚💛🙌🙌🙌👏

  • @abdulkheri7322
    @abdulkheri7322 3 дні тому +2

    Full maupendo wananchi 💚💛👍

  • @fatmaomar8335
    @fatmaomar8335 3 дні тому +5

    Hii ndio yanga 🔥🙌🙌

  • @devothaignatius5256
    @devothaignatius5256 2 дні тому +1

    Jmn mpe begi kakome 💚💚💚💚💚

  • @OmaryMajivuno
    @OmaryMajivuno 3 дні тому +4

    ❤❤❤❤ good 👍👍👍👍

  • @GodfreyKarino
    @GodfreyKarino 3 дні тому +5

    Pacome zouzouaaaa naona ana ludi kwenye ubora wake ule og

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 3 дні тому +6

    Yanga washabiki wake wana nongwa sanaaaa😂

  • @fabiandanielkatikiro1478
    @fabiandanielkatikiro1478 3 дні тому +3

    Sisi ndo YANGAAAAAA 5G💛💛💛💛🏆

  • @AngelMposewa
    @AngelMposewa 2 дні тому +1

    ❤ yanga n wachezaji wangu

  • @chaba9109
    @chaba9109 3 дні тому +6

    dah watanzania tuna upendo sana❤

  • @beatricepallangyo2821
    @beatricepallangyo2821 3 дні тому +2

    I love this

  • @ArnoldRwegasira-hp9gt
    @ArnoldRwegasira-hp9gt 3 дні тому +3

    Hardwork pays

  • @ChrisCharles-e5o
    @ChrisCharles-e5o 3 дні тому +9

    Kudadadekii kumbe tunaweza kumlipa mshahara mchezaji humuhumu uwanjani

    • @Muna-en4yq
      @Muna-en4yq 3 дні тому

      😂

    • @Muna-en4yq
      @Muna-en4yq 3 дні тому

      Shida itakuja pale asipo Ieta ushindi hatuna nguvu hizo zakuweza kmlipa itabaki kumtusi tu Na asiambulie ata tsh moja😅😅😅

    • @zakiakondo2849
      @zakiakondo2849 3 дні тому

      😂😂Kabisa kabisa

  • @Dominicakamwela
    @Dominicakamwela 3 дні тому +4

    Yanga inanipa raha mie jaman

  • @makejamaduhu7618
    @makejamaduhu7618 3 дні тому +4

    Utamaduni huu niwa yanga tuu wengine hawana hela😂😂😂😂😂😂

    • @ImamuAsii
      @ImamuAsii 3 дні тому +2

      Na ole wao waige tutawapiga mawe😂😂😂 na hata wakiiga haitanoga kama kwetu

  • @WatuShazi
    @WatuShazi 3 дні тому +2

    Mi mwenyewe ningekuwrpo ningetoa twenty tuma namba pa come

  • @LeylaSaria
    @LeylaSaria 3 дні тому +4

    😂😂😂ila yanga

  • @bonicurtius8108
    @bonicurtius8108 3 дні тому +3

    Hii Ndio yanga

  • @BabaMkuu-q4n
    @BabaMkuu-q4n 3 дні тому +4

    Huu mfumo wa kutunza wachezaji hawauwezi na hawatoufanyapo my wetu coz hawana ubunifu

  • @makejamaduhu7618
    @makejamaduhu7618 3 дні тому +5

    Mayele aliko anatamani kurudi😂😂😂😂😂😂

    • @JenifaNyamhanga
      @JenifaNyamhanga 3 дні тому +2

      Daaah nimecheka akikumbuka zile ng'ombe huko misri hazioni 😊😊😊😊

    • @evertheobald1811
      @evertheobald1811 3 дні тому

      Hahahahahahaha umewaza mbali sana aisee 😂😂😂🎉😂🎉😂🎉😂

  • @danielsimwanza1046
    @danielsimwanza1046 3 дні тому +2

    Awa wakiondokaga bongo wanaliaga liaga Sana Wana miss ivi vitu

  • @YussufShakka
    @YussufShakka 2 дні тому

    Hongera yanga ushindi lazimaaà

  • @hamisramadhan-eb3ie
    @hamisramadhan-eb3ie 3 дні тому +7

    Asantesana pakome 😂😂😂

  • @neemaadam9256
    @neemaadam9256 2 дні тому

    Safi sana Wananchi huu ni upendo wa dhati kwa Wachezaji wetu, ila tuwe makini sana, kwenye msafara wa Mamba na Kenge wapo, nafikiri inaeleweka 😳

  • @johnmash2553
    @johnmash2553 2 дні тому

    Big up.

  • @wilfredpeter-i7s
    @wilfredpeter-i7s 2 дні тому

    hii ndiyo tufauti ya sisi na wao, tunawapa hamasa wachezaji ili kesho wafanye kilicho Bora zaidi, wao wanang'oa viti uwanjani daaaaah, kweli apa nao wanauona utofauti

  • @JacquelineKihongo
    @JacquelineKihongo 2 дні тому

    Mashabiki wa yanga wanaupendo sana

  • @AziCure
    @AziCure 3 дні тому +1

    Hii ndo yanga🎉🎉🎉🎉

  • @Erickomondtz08
    @Erickomondtz08 2 дні тому

    Yanga laha sana jaman

  • @mitinjemaziku
    @mitinjemaziku 3 дні тому +1

    Duu mashabiki wa yanga huu mfumo mzr sana wachezaji watajituma kinyama

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 2 дні тому

    Yanga daaa rahavsana

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 3 дні тому +1

    Yanga wananchi wake wanaupendo hakika

  • @RamadhanYusuph-xi3rh
    @RamadhanYusuph-xi3rh 3 дні тому +1

    Jamani iyanga mbona mnawatamanisha watu kunawatu wanaumia kwaili

  • @ngorshermelody2021
    @ngorshermelody2021 3 дні тому +5

    Boss hakuna haja yakutoa bonus anaepambanuwanja. Hel zipo kwa wananchi

    • @shukurukitamuka6829
      @shukurukitamuka6829 3 дні тому +1

      Ila kweli hersi sanaona hela zipo muwanainchi bonus zanini wapambane wenyewe kilambuzi hula kwa urefu wakamba yake🎉🎉🎉

  • @HemedyMustapha
    @HemedyMustapha 2 дні тому

    Tanzania tunaupendo sana

  • @gracemtonga3263
    @gracemtonga3263 2 дні тому

    Hivi ndo vijimambo vinawaumiza kolopist dunduks 😂😂😂😂
    Hivi ndo vijimambo vinawafanya wachezaji waishi sana YANGA Africa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
    Upendo wa mashabiki kwa club na wa hezaji.🎉

  • @evertheobald1811
    @evertheobald1811 3 дні тому +1

    Yanga jamani mnanitamanisha sana hizo hela at, si ada ya mtoto kabisa January hiyo tena kukaa hostel 🙆🙆🙆🙆

  • @johnngalaba3295
    @johnngalaba3295 2 дні тому

    Jamaa kaokota sana

  • @RestyLeopold
    @RestyLeopold 3 дні тому +2

    Duuh pacome😢 mpaka anashangaa yeye mwenyew 😂😂

    • @lucymsheshi5871
      @lucymsheshi5871 3 дні тому

      😂,,,,😊😊😅😅mpaka anashindwa kuziokota

    • @damianmcba9525
      @damianmcba9525 3 дні тому

      Maokoto ya maana yale,, updating nchi yeyote zaidi ya bongo na Wengine wamebakia nazo mkononi. Sababu mda akuna awezi kupitia zote lkn begi limejaa

  • @JacksonKiwike
    @JacksonKiwike 2 дні тому

    Pacome anakimbia pesa😢

  • @LatifaHassan-bd9ru
    @LatifaHassan-bd9ru 2 дні тому

    Raha hizi unazipata yanga to 🤗

  • @dottogabrielmelani823
    @dottogabrielmelani823 3 дні тому +2

    Hii ndiyo Yanga sasa

  • @myself-T2
    @myself-T2 3 дні тому

    hongereni jamani

  • @MariaMsuku
    @MariaMsuku 3 дні тому +4

    Pacome leo tajiri

  • @Jayasu_viatu
    @Jayasu_viatu 2 дні тому

    Mimi ningeokota mpaka miambili, nisinge acha kitu aiseeee 😅😅😅

  • @omaryamiri3175
    @omaryamiri3175 2 дні тому

    🔥🔥🔥🔥💯💚

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 3 дні тому +1

    Mnawaumiza kolo 😅😅😅😅

  • @rachelcheyo-p5z
    @rachelcheyo-p5z 3 дні тому

    Love yanga

  • @lilangasayi1689
    @lilangasayi1689 2 дні тому

    Mashabiki wa kolo hawana hela wakimpa mchezaji wao hela wanakosa nauli

  • @zaidihussein4311
    @zaidihussein4311 3 дні тому +1

    Pakomeeee zuzwaaaaa pakome zuzwaaaaa

  • @ndulatv2373
    @ndulatv2373 3 дні тому +2

    Hawa ndo wananchi

  • @salumumawaya
    @salumumawaya 2 дні тому +1

    pacome kajilia fedha kama mpumbavu😂

  • @ZiguanGiant
    @ZiguanGiant 3 дні тому

    Daima Mbele Nyuma Mwiko

  • @PatridaMraponi
    @PatridaMraponi 3 дні тому

    Hakika ni raha sana

  • @Mr.Banton
    @Mr.Banton 3 дні тому +1

    🎉🎉

  • @HemedyMustapha
    @HemedyMustapha 2 дні тому

    Njoo yanga alafu jua mpira ustar tutakupa sisi😂

  • @PendoSamweli-dz3up
    @PendoSamweli-dz3up 2 дні тому

    Upendo naomba unitafute mdogoangu

  • @miltonmachage2462
    @miltonmachage2462 2 дні тому

    Alf gamond alikuwa anamweka bench aiseeee

  • @watupipo
    @watupipo 3 дні тому +2

    TRA kesho watafanya kikao cha dharura😂

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 3 дні тому

    Yani mashabiki tulivyo na umoja hadi raha kwakweli ☺️☺️🔰🟢🟢💚

  • @YussufShakka
    @YussufShakka 2 дні тому

    Honereni yanga 2:50

  • @RashidiMkongewa
    @RashidiMkongewa 3 дні тому

    🎉🎉🎉

  • @mitinjemaziku
    @mitinjemaziku 2 дні тому

    Yanga ubunifu mzri mtaua wapinzani Kwa stress

  • @JumanneShaaban
    @JumanneShaaban 2 дні тому

    Daaaaah hadi machozi ya fraha yamentoka

  • @marymoshi572
    @marymoshi572 3 дні тому +1

    🎉

  • @annamashauri7421
    @annamashauri7421 3 дні тому +1

    Pacome umejuwa kutupa raha Leo wana yanga kocha max nzengeli uwe unampanga jaman

  • @GeofreyMwafinga
    @GeofreyMwafinga 3 дні тому +1

    sasa Kwa upendo huu mchezaji ahame yanga aende wapi apixhane na raha hiz

  • @elishamwakalinga1708
    @elishamwakalinga1708 2 дні тому

    Haya mambo ndio yanafanya wachezaji hata wakiletewa ofa wanaamua kubaki jangwani😂

  • @--------GEO_SPORT_EARTH_EA
    @--------GEO_SPORT_EARTH_EA 3 дні тому

    #timuyawananchi

  • @PatridaMraponi
    @PatridaMraponi 3 дні тому

    Nyie jaman yanga hiii

  • @JulianaMushi-nq3kc
    @JulianaMushi-nq3kc 3 дні тому

    Ila watu wanaupendo na timu yao ukiwa mchezaji bora wa mechi ujue kibegi kinajazwa kila mchezaji aje na kibegi kaabisa

  • @salcle9702
    @salcle9702 2 дні тому

    Bonans ya mwaka mpya