Hiv hawa waandishi nao wanasomea au?? Mbona kuna tofauti kubwa sana bana ya hawa na wale wanaokaa studio??!! Hawajui kuuliza maswali, yaan wanauliza maswali na kutoa jibu "pengine gusa achia ya kwenye ligi imehamishowa club bingwa" "Taarifa zitamfikia mama juu ya hikk kilichotokea" Uwezo wakuuliza maswali uliporomoko tangu kipindi cha mwendazake... Kila mtu anauliza maswali yasiyomhitaji muulizwa kufikiria
😮😮😮
🎉
Hiv hawa waandishi nao wanasomea au??
Mbona kuna tofauti kubwa sana bana ya hawa na wale wanaokaa studio??!!
Hawajui kuuliza maswali, yaan wanauliza maswali na kutoa jibu "pengine gusa achia ya kwenye ligi imehamishowa club bingwa"
"Taarifa zitamfikia mama juu ya hikk kilichotokea"
Uwezo wakuuliza maswali uliporomoko tangu kipindi cha mwendazake... Kila mtu anauliza maswali yasiyomhitaji muulizwa kufikiria
🎉🎉🎉🎉🎉
Uko vizuli kwa kauli yako mwana