Nyie nyie mimi huu wimbo naupenda jamani yani nikiuskiliza naguswa had ndan kabisa ya Moyo wangu, n wimbo ulikua unanifariji wakati napitia maumivu makali ya ugonjwa Ila moyo wangu daima ulimshangilia Mungu wangu... Mungu akubariki mtunzi , waimbaji wote na benchi la ufundi.
Kila ninapotazama na kusikiliza wimbo huu sipati cha kusema zaidi ya kupata kile kinachokitarajia. Mungu ambariki mtunzi wa wimbo kwa kuwa ameulezea vema ukuu wa Mungu na hali yetu ya kibinadamu. Waimbaji, Kwa kweli kwa maana ya kuimba mmeuvaa uhusika wa wimbo, panapohitajika kupunguza mmepunguza panapohitajika kuchangamka mmechangamka, kwa mpiga kinanda sina shaka kabisa, huwa ninafurahi sana mpigaji anapofata wimbo ulivyotungwa, inaleta ladha kabisa, Ndugu zangu wa kapotive, nahisi hii ni moja kati ya kazi zenu za mwanzo hivyo naamini kadiri siku zinavyosogea mtazidi kuimarika zaidi. "Kwa ujumla hii ni kazi inayolitambulisha kanisa(Katoliki Kwa namna ya kipekee).
Your name be Glorified oh Lord,what a nice piece 🎉2024 still listening.The Organist 🔥🔥🇰🇪🇰🇪
Nyie nyie mimi huu wimbo naupenda jamani yani nikiuskiliza naguswa had ndan kabisa ya Moyo wangu, n wimbo ulikua unanifariji wakati napitia maumivu makali ya ugonjwa Ila moyo wangu daima ulimshangilia Mungu wangu... Mungu akubariki mtunzi , waimbaji wote na benchi la ufundi.
kazi nzuri hakika Utukufu ni kwa Bwana pekee
Hongera sana wimbo mzuri uimbaji mzuri pia
Asante sana mzee Kashumba. Mziki unazama hadi damuni, mziki hauna papara yoyote. Napenda sana mziki wako na kinanda
Mzee Kashumba hapa umeua kila kitu bonge la utunzi bonge la uimbaji bonge la mpangilio mzuri.. ...mbarikiwe sana na Bwana
Wimbo una kila kitu!! Mungu azid kukubariki mlm kashumba
Kila ninapotazama na kusikiliza wimbo huu sipati cha kusema zaidi ya kupata kile kinachokitarajia. Mungu ambariki mtunzi wa wimbo kwa kuwa ameulezea vema ukuu wa Mungu na hali yetu ya kibinadamu. Waimbaji, Kwa kweli kwa maana ya kuimba mmeuvaa uhusika wa wimbo, panapohitajika kupunguza mmepunguza panapohitajika kuchangamka mmechangamka, kwa mpiga kinanda sina shaka kabisa, huwa ninafurahi sana mpigaji anapofata wimbo ulivyotungwa, inaleta ladha kabisa, Ndugu zangu wa kapotive, nahisi hii ni moja kati ya kazi zenu za mwanzo hivyo naamini kadiri siku zinavyosogea mtazidi kuimarika zaidi. "Kwa ujumla hii ni kazi inayolitambulisha kanisa(Katoliki Kwa namna ya kipekee).
Kazi nzuri sana Mwl Kashumba, mbarikiwe sana wanakwaya wote kwa uinjilishaji
Kwakweli wimbo ni mzuri mtunzi hongera,waimbaji asante kwa uimbaji mrwa mungu awabariki kwa utume huo.
Uimbaji wa kikatoliki inatia raha sana kuusikiliza wimbo huu mbarikiwe sana waimbaji kwa uinjilishaji mzuri
Huu ndio upigaji bora was kinanda thanks
Sifa na utufuku viwe kwa MUNGU
hongereni saaana
iko vzr sana nimeipenda nawatakia uimbaji mwema jamani wapendwa katika bwana
One of my favorites❤
Tamu sana
Wow ❤🎉🎉🎉
Inavutia sana. hongera sana kwa uimbaji mzuri na wa kujiamini. Safi sana.
Ninaomba mnisaidie kupata sidii ya nymbo zote inapouzwa
nyc video,parokia ya yohane Paulo2
hadi rahaaaaa! ununio no kununa full kutabasam very nice song
😍😍