Alikiba na diamond na wasanii wengine wanakata viuno uzuur, tuacheni na ngoma zetu tuburudike sie, hizi ngoma zipo tangu zaman mtuachee, professer mk na team yako zidini kutupa raha sie👌👌mambo yetu ya pwani❤❤
na nyie muno comment kua ujinga jueni hizi zote sanaa 2 km uyo diamond au ali kiba anavoimba acheni ufala m2 actafte riski kupitia kipaji chake na sanaa yake w2 wana familia uo nimziki 2 we km hutapendi c pita 2 lzm ukosoe

@@nahlahassan-fd6le Asante
Mm napita tu ww ukiaamua lako hushindwi na huna baya kwa Zanzibar csemi kua ww kila kitu nmba moja Mashallah 🥰
Hao waume kukatisha hivyo jamani haikupendeza
Hatari
I am from not understand your language but I like this voice and song am headset use play this song but awesome 🪘 beat🔥🔥🔥🇮🇳🇮🇳
Professor Kuna hatr unaifanya ww ndo namba 1 kwa sasa
Asante
na nyie muno comment kua ujinga jueni hizi zote sanaa 2 km uyo diamond au ali kiba anavoimba acheni ufala m2 actafte riski kupitia kipaji chake na sanaa yake w2 wana familia uo nimziki 2 we km hutapendi c pita 2 lzm ukosoe
Asante sana kwakuongea sahihi
Kuna kufa wanawake munaneng'eka vichwa wazi na wanaume hizo ngoma wachezeeni waume zenu vitandani 😢😢
Kuna tofauti ya kiuno cha nje na cha ndani
Jamani siku hizi Wanaume wanakata viuno.???😂😂😂😂😢😢😢😢😢
Nomaa mh
Jamani njooni uku kumekucha ❤😊
Kazi kazi 💪🏼Zamu yetu ifike huku omn tuje zuzuka nasie 😂😂
Hahahaha usijali zamuyenu inakaribia
Hawa wanawake wote hawana ndoa
Kidumbaki mnakiharibu kucheza wanaume
Weye kwani kidumbaki wanaume hawachezi ucjisahau wengine marehem hatutaki kuwataja ila kidumbaki hakina mwanaume wala mwanamke
kidumbak lzm acheze mwanamke mbele mwanamme nyuma we wa wp anco
Hukijui kidumbaki nyamaza
❤❤
Hatari sana
Hatari 🔥🔥🔥🔥🙌🏻
Jamani hii hatari tumuogopeni Mungu
Hawa wenye muonekano kama wa kiume wote kwa jimsi wanavyokata na kutingisha makalio hawafai kua mashahidi kwenye kesi yeyote.😂
Sasa na hii mijibaba inataka nini
🤣🤣
Tarab kidumbaki
Jamani riski HALALI ziko , ila hapa mhuuu mitihani
Kwan kutafuta riski Kuna kipaji chakuimba tu , Kuna njia nyingi zakutafta riski halali