Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Myself napenda kinanda kimechangamsha ata kuimba mko vizur❤❤
Asante
Hii ni tanga au asante profesa
Vinanda haviendi sambamva , km munakokoteza au kwa kua nimazowea original singer Abdullah Issa ?
Jamaa kajitahidi lakini bado sauti na rhythm ya nyimbo haviendani
Umekumbuka utamu ❤❤
Hata kama umetubu kukupa tena haram
Usilete tasnifu kuchezewa sikubali,leo tena?
Wataka tena zabibu umekumbuka utamu?Leo tena?
Good
Dah wallah watu wa tanga twaenjoy sana najisikia furaha sana kuzaliwa pangani tanga
WANA ENJOY NINI SASA NGOJA CKU MTU AKIFA NDIO ATAENJOY UZURII
JARIBU KUMALIZA PISI ZA VINANDA KWENYE UPIGAJI BADO HAIJATIMIA
Kaka wewe ni fundi kiukweli ninabuludika sana ninapo kusikliza
Asante sana kaka