Huwa naipenda lakin nikisikiza nalia wakat nyimbo inatoka nilikuwa single nikawa namkumbuka niliachana nae mana nilimpenda akanites nakunipiga ilikuwa ngum kusahau but maisha yakaenda nayo furaha sasa nimeolewa na alhamdulilah
Asee ni Mimi kabisa.. nikasafiri kumfuata mtoto wa mama mkwe kipindi hicho kazi Bado sijapata aliponiona nilivyovaa kasema hapana.😢😢😢. Nikatafuta katoto nikatia kwenye omo week nne na kukanywesha supu buana buana wee ...katoto kakaiva mtaa mzima OMARY kaoa muarabu..❤❤❤😂😂. Yule tena akataka kulidandia wakati nampeleka wife chlini lazima nipige picha tunatembea niiweke status... Maua kipenzi nakupenda sana
Moyo umesalitika sababu macho yangu tena nitaadhirika nipoteze roho yangu Mwisho nitadhoofika nipoteze roho yangu kupenda kitu si changu Nilaumu moyo wangu au macho yangu Na moyo hauusikii umeshitadi wala haujizuii kuficha siri yangu bali wafanya juhudi kupoteza pendo langu
Wimbo bad aujaza hyoo dada akata mauno hatariii kama wezio wachezea hvyo tusigepewa tuzo ss wa watoto wa kitanga na kijavi chetu pole yako we dada 😂😂😂😂😂
Macho ndio ya awali mashakan kukutia na moyo kuwa wapili lawaman kuingia moyo hauna akili jicho halina pazia laumu vyote viwili usilaumu kimoja,,,hilo ndilo jibu la suali lako
Jamani Zanzibar ni asili yao Taarab. Kwa makini mtu anaimba maneno ya maana na watu wanasikiliza. Ndio maana ya Taarab❤❤❤❤❤❤
Imenigusa sana mpaka nahisi kulia perfect one
Dahh...noma sanaa namkubali sanaa huyuu jamaa mana anaimba kwa hisia zaidii
Asante kaka kwakunipokea nakaziyangu
Anajua maashaallh
@@tamtamband maashaallh Maashaallh
macho yangu yamenena lawam hizo c zangu swadkt kbsa kak❤❤❤
Hii songs nilikuw nkitaft kwli kwli nilion titok. Ila leo nmeipt daa. Song nzr sn inajumbe mzito 🇧🇷🇧🇷🇹🇿🇹🇿💯🔥
Asante
Nyimbo nzuri lakini hawa kina dada wana laana na pia musituonyeshe ujinga wao
Macho Kwanza yalaumiwe then moyo, ahsant Kwa maneno na mashairi yalopangika
Masha Allah nyimbo imenilenga mimi.wakumshauri cna akajua hali yangu.amenikimbia .😢😢😢😢
Pole sana
Huyo Dada hajapendezesha, kukatamauno , taarabu safii saana
Mie Hilo Piyano Nakupa Ene Kofiiiii. Tenaaaaa Naaa Athilika Kupendaaa Kitu Sichanguuu. Nilaumu Machooo Yangu Au Moyooo...NAMBIEEENI
Asante
Mm natokea lamu hunipa faraja naipenda sana hapo cna mume ❤
baba anacharaza kinanda km hana akili vzr dahh salute sana afu uku anaimba saf salute once again big up aisee.
Najikuta machozi yananitoka sielewi napendwa au sipendwi😭😭
❤❤❤❤ mmhu macho yanaona,moyo unapenda 😢😢
Usiuraumu MOYO yaraumu macho ndio yalioanza kuona na moyo umepokea daaaaaah neno kubwa sana from Mafia island Tam Tam band
😭😭😭😭😭😭😭🙌navyokupenda we kaka na huwa unaimba taarabu nizipendazo ..allah akuweke tu 🥰🥰🥰♥️
Asante sana nawe mungu akupe umrimrefu pia
Vitaaa umetisha broooo Safi sana kazi mzuri na tabasamu lako zuri au moyo nambieni teynaaaa lete matamu broooo
Mashallah nyimbo imenigusa sana sababu nipo ktk hali yamateso yamapenz
Pole Sana kaka
Tupo wengi tunaoteseka na mapnz
@@faridamahir2338 hata weee mwnamke wateseka??
Mm nilijua tunaoteseka n cc wanaume
@@juxjemc5768 mapenzi hayana mke wala mume kaka
@@faridamahir2338 tobaaaa!!!!
Baaas sawa tuendeleee kuteseka mwenzangu ila ukipata suluhisho utaniambia maana mm nitaaban tena
Huwa naipenda lakin nikisikiza nalia wakat nyimbo inatoka nilikuwa single nikawa namkumbuka niliachana nae mana nilimpenda akanites nakunipiga ilikuwa ngum kusahau but maisha yakaenda nayo furaha sasa nimeolewa na alhamdulilah
Ishalla mungu azid kukufungulia kher maisha yawe mazur kwakila hatua amin
Mashallah 🥰
Wkt nymbo inatoka wee ushaaliwa Wkt hata kweny zipu hujakarbia😂
Full stres but sauti ndo imenkosha baba hongeraaaaaaaaaaaa😍wimboo umengusa nilaumu macho au moyo
Asante
Kweli nalaum macho yngu
Laumu moyo macho kazi yake kuona moyo ndio unachagua
Umetonesha kidonda professor imewezaaa Sanaa 🔥🔥🔥
MASHALLAH PONGEZI ZAIDI KWAKO KIPAJI KIKUBWA SANAAAAAA 👏🏽
Asante udugu
Kijana safi sana unaimba vizuri sana hlafu twaarab yenyewe kabisa haina shaka
Mungu abariki kipaji chako kaka angu man hii nyumbo sio poka kabisa yaani sija wahi kuichoka kila ninapo sikiliza nyimbo nziri broo❤❤
Amin Asante sana
Naomba ufanye cover ya sema kweli yako. Unapendeza zaidi ukiimba taarab za zamani
Mashallwaa 👍👍
Naumizwa sana ktk mapenz,nilaumu macho yangu au moyo nambien
Nampenda sana mumewangu najikuta machozi yananitoka
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Laumu vyote viwili usi laumu kimoja macho ndio ya awali mashakan kukutia moyo ukawa wa pili lawamani kuingia moyoo hauna akili jicho halina pazia
Umetisha mpendwa tarabu safi sana kiboko
Mashaalla nyimbo nzuri sanaa waoooo
Asante
Yani sisi watanzania kwa muziki mungu ametujalia hongera
Asante
hongera sana wifi ake mwenyezi Mungu akuongezee uweze kuwa viwango juuu mtumishi
Kilio cha penz kumbe kitambo sana tang enze ya wahenga, wazee mapenz yaliwatesa
Duh umenirogha kaka nahisi kisunzi cha mapenzi
Imeniliza xnaa nice one kakangu
Pole sana
Nyimbo nzuri sana 🇿🇦 home sweet home
Asante sana
Mashaallah naipenda sana hii taraab natokea lamu hunipa faraja
Kazi nzuri brother....nitfurah sana ukiirudia Mazoea yana Tabu
Ok
Nasikiliza hapa inanifanya nikumbuke mbali Sana hii bonge la mwambao
Asante
Nipogeto nakurasabun Niko mpweke nani wakunipenda Dada vuvuzera no
From Mombasa 🇰🇪 hii ndio Taarab sasa nice song MashAllah
Asante
Mashallaa
nyimbo ndio , ila bado hujamfikia mwenye nyimbo
@@tamtambandin
From Tanzania or
MaashaAllah nme ipenda sanaa yani
Hilo bonge linajizalilisha tu hapo kiuno chenyewe kigumu
Wp weeh tam tam bend akuna kma w am from Oman 🇴🇲 ndugiako kutoka unguja nakukubal miaka mianane 🥰💯😅😅
Unajua mpaka unajua teeeena go bro
Kweli moyo umesalitika sababu ni macho yng
Best song sijawahi sikia Fz from kenya
U need to listen the original from bakari abedi
Pambeeee Sana kiboko ya stress 😘
Kwa kweli kibogo ya stress uwiiih
😭💯
Naaam
Ongereni kwa kazi zenu nzuri ila mnachelewa kupoosti kazi zenu
Asante kaka tutajitahid tusichelewe maana tulikua tunajipanga natayar kazi zipo zakutosha
@@tamtamband nashkulu tunawasapoti kwa vyovyote vile ili Bendi yetu ifkie malengo
Nimependa sana nikiongeza mkee nitakuleta uniimbie
Asante sana
Nimara yakwanza kuskia uyu wimbo nimeupenda kutoka burundi
Honger San mk uko pwa honger kaka hongra San
Hongera San
Asante
Asante Sana
Laumu moyo laumu macho au mdomo na pua ukitaka..nnacho jua ...wimbo mtaamu na silaumu mtu 🤣😂
Hahahaha asante
Unamanisha mambo mengi sana huwo wimbo kwakweli
Mm husikiza kila siku Yani haiishii siku bila 😘😘😘😘😘😘 ❤️
Asante sana
Nyimbo mzuri sana mashallah unajuwa unajuwa na tena yani nimeupenda sana😍😍
Asante sana
Unalau macho yake
mambo ya Zanzibar ayo poa sana profesa unajua broo
Asee ni Mimi kabisa.. nikasafiri kumfuata mtoto wa mama mkwe kipindi hicho kazi Bado sijapata aliponiona nilivyovaa kasema hapana.😢😢😢.
Nikatafuta katoto nikatia kwenye omo week nne na kukanywesha supu buana buana wee ...katoto kakaiva mtaa mzima OMARY kaoa muarabu..❤❤❤😂😂.
Yule tena akataka kulidandia wakati nampeleka wife chlini lazima nipige picha tunatembea niiweke status...
Maua kipenzi nakupenda sana
Kaka ongera sana umeimba kweli
Asante sana
Nice one .... imetrend mombasa ....nauliza kwani hiii nyimbo haipatikni kwa Instagram
Nitafute wsp nikutumie 0715116051
@@tamtamband I want it on Instagram story.....
Siku tatu nasikia huu mwimbo sichoki Ila huu jamaa anasauti nzuri n'a maneno mazu
Many people don’t understand the talent this guy has, singing and playing piano simultaneously , this is a very difficult task
Nyimbo inanigusa panapo hasaaa cnt get tired of listenin to it
kwely
Wacha weee shuushah!
Good music
Naumia sana kusikiza hii sijui nimlaumu nani aaaaa naumia sana
Apewe sifa kwakweli ameitendea haki sana huyo kaka ❤❤❤❤❤❤
Asante
Umeonaeeee
Nakwalika mombasa uniimbia kwa harusi yangu Ishallah
Ok Asante
Mashallah nyimbo hii mtunzi katunga jamani
Mashallwa sijui lakusema Faiza malindi
Asante
💯💯💯💯 nyimbo inagusa na haichoshi kuskiza
Listen from Qatar wimbo mzuri sana
HONGERA KAKA keep it up 😍👊🔥💯❤
Asante sana
Sijawahi kupenda Taarab lkn hapa umenipunga
Hahahah Asante sana karibu sana
Hii nyimbo umeitendea haki hongera yako🥰
Asante sana
Bado sijaipata ile ladha kamili
Bado Yuko hai huyu Kaka?
Daaah jamaa mkali xna umetixha
Asante
❤wew fund mungu akuzidishie ujuz wak amin
Amin yarabil alamin
Safi sana mzee baba
Asante
Professa wallahi umenigusa nabalikiwa Sana na nyimbo na sauti na uimbaji wako. Ongera sana
Asante sana
Asante sana
All the way from Qatar bro ….hii nyimbo yaniliza 😢sjui nilaumu macho yangu au moyo nambieniii🥹nimpendae sjui ajua kma aniumiza
Mapenzi mapenzi jamani kaka umepiga kwenye mshono nilaumu macho yangu au moyo nambieni 😭😭😭😭😭😭😭
Tena mdhono wa ndani
Tena mshono wa ndani
Laumu moyo
Nauwomba uwo wimbo uwo ni meupenda San ni laum mcho yangu au moyo nambien uko swa honger
Wow!! Sauti tamu hii, na mpangilio wa ngoma ni wa ajabu
Asante sana
Sanaaaaa tu
Hii song ukimtumia mtu mpenzi wako.. usiku aipate asubuhi..ushammaliza😂😂
Uko vizur sana utafika mbali
Jmn huu Wimbo unanitoa machozi 😢Daah nakumbuka mbali sana
Heee pole sana
Wonderful song Mashaallah I salute you haki
Macho yakiona ndo moyo ushaona top sana
Moyo umesalitika sababu macho yangu tena nitaadhirika nipoteze roho yangu
Mwisho nitadhoofika nipoteze roho yangu kupenda kitu si changu
Nilaumu moyo wangu au macho yangu
Na moyo hauusikii umeshitadi wala haujizuii kuficha siri yangu bali wafanya juhudi kupoteza pendo langu
I listen to this song 30 times a day month I mean daily it's super hot ❤..#kenya Lamu
Jamani haya mapenzi yatatuua ❤❤❤
Moyo subira hauna nifanyeje wenzangu😭😭
Uko vizuri mzee
Wimbo bad aujaza hyoo dada akata mauno hatariii kama wezio wachezea hvyo tusigepewa tuzo ss wa watoto wa kitanga na kijavi chetu pole yako we dada 😂😂😂😂😂
Yenyewe iko juu sana 🔥🔥🔥🔥
Mashaallah sichoki kuisikiliza
Mumeee akiongezaaa mkeee uwaaa unatakiwaaa kuona raaah kwani kapunguxa ka,z
Moyo na macho kipi chakulaumiwa
Napenda Sana nyimbo zako good idea
Asante sana
Mbona Kama huu wimbo unanisema mimi jamani😭😭😭😭
Kama yamekukuta pole sana huu wimbo sio kitu rahis isimguse mtu katika mapitio ya maisha kama wakat upo kwako kwasasa pole sana vumilia yatapiata tu
@@tamtamband shukran ila ni ngumu hata sijuwi ni laumu macho yangu au moyo wangu maamuzi nimehama kbs na nchi ni kuenda mbali 😭😭😭
Macho ndio ya awali mashakan kukutia na moyo kuwa wapili lawaman kuingia moyo hauna akili jicho halina pazia laumu vyote viwili usilaumu kimoja,,,hilo ndilo jibu la suali lako
Huu wimbo unanugusa na ndo nilivo hautoshi kusikiliza
Mashaallah napo sikia hii nyimbo najiskia raaha Sana hizo ndio taarab
From tanzania🇹🇿hii ndio taarab asilia maqam ajam
Huyu mwanamke wa kwanza kulala chin ni kujiainisha tu