ROBOTI EUNICE AWA GUMZO BUNGENI, APOKEA WABUNGE, AMSHTUA WAZIRI ALIVYOTEMBEA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 1 тис.

  • @HashimSalim-qj7zn
    @HashimSalim-qj7zn 4 місяці тому +29

    KAMA UMESIKIA ATAKUPA TENA MKONO NA UKAJUA KM LIMESETIWA HIVO KWA UJINGA BASI GONGA LIKE

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 місяці тому

      Hilo sanamu wanatupumbaza. Mzungu atupe roboti waafrika tokea lini. Hilo Ni sanamu tu Kama sanamu za mashine. Hakuna jipya

  • @HashimYahya-cl3tx
    @HashimYahya-cl3tx 4 місяці тому +18

    Duuuuuh mungu azidi kumrehem magufuri maana sio kwaa huu ujinga na ukosefu wa maarifa

    • @AngelBaraka-bo2bl
      @AngelBaraka-bo2bl 4 місяці тому

      Yan hii nchi sijawahi ona vituko kama hivi..kama wanataka mapokezi Si Kuna vijana kibao hawana ajira wangewaweka hapo Ili wawapokee..

  • @merckmdamu2942
    @merckmdamu2942 4 місяці тому +78

    Wasomi lakini akili kisoda, watu wanakufa maospila mnaooteza hela kumlipa mzungu kuwatengenezea ufyuz,, Rip jpm😢😢

    • @rayaalhabsi1725
      @rayaalhabsi1725 4 місяці тому +1

      Kweli kabisa maneno yako

    • @abdulrahmanally1412
      @abdulrahmanally1412 4 місяці тому

      Utopian conservative theory has to come to an end, you people, you need to understand that everything has two sides negative and positive, the perfect on is ONLY THE ALMIGHTY ALLAH, you need to adjust yourself from anthropological concepy and beliefs, the World is not standing still, it always moves and you have to move on, otherwise you will stand still as you are

    • @danielishachiluge8301
      @danielishachiluge8301 4 місяці тому +1

      Umesema ukwel

    • @NassourBimkubwq
      @NassourBimkubwq 4 місяці тому

      Inasikitisha kweli Hawa mayahudi tusipokuwa makini watatupoteza

    • @rayaalhabsi1725
      @rayaalhabsi1725 4 місяці тому

      @@NassourBimkubwq kabisa Mwenye Enzi Mungu atustiri yaarab

  • @aziza9093
    @aziza9093 4 місяці тому +201

    Mnaacha kufunya mambo ya wanaichi mnatuletaa upuuzi

  • @festovenas502
    @festovenas502 4 місяці тому +23

    Kwann Lakin mnatufanyie ivi wana nchi MUNGU awape mnacho sitahili😭😭😭😭😭 mnaacha kufanya kaz ya maendelea kwa wana nchi mnafanya ujinga ujinga tu

  • @robikachembeho5284
    @robikachembeho5284 4 місяці тому +14

    Aisee JEHOVAH aturehemu Tanzania tunakoelekea sio sahihi kabisaaa.

  • @ivonaevarista4654
    @ivonaevarista4654 4 місяці тому +12

    Mimi n Bwana Mungu wako usiabudu miungu mingine Wala kuitumikia kwakua Mimi Bwana n Mungu mwenye wivu,napatiliza Wana Maovu ya baba zao.tubuni tubuni tubuni Tanzania,msifikiri Mungu amekufa Kama nyie,na mizaha mnayomfanyia hakika mtalipwa,kiburi Cha pesa kisiwadanganye hata shetani alikuaga Lucifer kwaiyo nenda taratiibu Tanzania kubali kuongozwa na Yesu Kristo, Mungu atuhurumie Sana.

  • @judithlejalearnmore2236
    @judithlejalearnmore2236 4 місяці тому +47

    Neno latimia, bi siku za mwisho,bible yasema siku za mwisho maarifa ya wanadamu utazidi kufikia kutengeneza mwanadamu ila walishindwa kutoa punzi,.Tukiona mambo hayo hujui Yesu yukaribu, ilaniwale wenye ufahamu wa bibla

    • @AbiaWilliam-s1s
      @AbiaWilliam-s1s 4 місяці тому +2

      Bora umeruona ilo

    • @samboreeadam4273
      @samboreeadam4273 4 місяці тому

      Kwahy unahisi mwisho wa dunia utakuwa lini man,ili nile vyakwangu mapema😂😂😂

    • @PericyKiko
      @PericyKiko 4 місяці тому

      ​@@samboreeadam4273si muda mrefu sababu yaliyonenwa km ndio dalili za kurudi kwa Yesu yametimia kilichobaki ni njaa haijawahi kutokea, watu watakatazwa kumuabudu Mungu wa mbinguni aliyeziumba mbingu na Nchi na kuabudu miungu na dhiki kuu

    • @mjaweathman6519
      @mjaweathman6519 4 місяці тому

      ​@@samboreeadam4273😂😂😂😂😂😂Tusivunjane mbavu pumbavu zako 😅😅😅😅😅😅 Wataka umalize kila kitu usiache kitu duniani 😅😅😅

  • @abednegomawalla8747
    @abednegomawalla8747 4 місяці тому +14

    Mungu tusaidie Mambo ya ajabu sana!.Tunaacha kuwajali watu tunaangalia vitu vya ajabu ambavyo naona tu mkono unakwenda na kurudi!.

    • @FatumaMuya
      @FatumaMuya 4 місяці тому

      😂😂😂

    • @JasmineMasiga
      @JasmineMasiga 4 місяці тому

      Adi linatia kichfchfu😂

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 місяці тому

      Si tunachezea sanamu 😂, Yaani wazungu washawapumbaza watoto Kwa masanamu Na SASA tunaletewa watu wazima tuchezee sanamu😂😂😂. Huku viongozi WA kupambania nchi wamedanganywa ati ilo ni roboti 😂😂😂. Wabunge Kama mtu Hana master Bora asipewe nafasi maana naona wanatupumbaza Kwa ujinga walio Nao. VIPI SIE KIMA WA AFRICA TUSITAWALIWE?😂😂😂

  • @Datius-z5o
    @Datius-z5o 4 місяці тому +70

    MTukuzeni Bwana Mungu Wetu kwa uhumbaji wake hacheni kumkosoa hiyo furaha mnayoionyesha kwa huyo sanamu mungekuwa munaionyesha kwa mnaowahudumia Mungebarikiwa sana na Bwana Yesu.

    • @theresiagideon2178
      @theresiagideon2178 4 місяці тому +5

      Ndugu yangu umenena mambo makubwa sana ubarikiwe, ndio siku za mwisho hizi Biblia haijadanganya

    • @Datius-z5o
      @Datius-z5o 4 місяці тому +5

      Barikiwa sana Dunia hii hipo ukingoni kabisa lakini bado watu wanakimbizana na ulimwengu Badala ya kumtafuta Bwana Yesu

    • @SaraMathew-xd2vp
      @SaraMathew-xd2vp 4 місяці тому +4

      Taifa limepata maafa ya mafuriko wananchi awana makazi wanaleta roboti sasa linatusaidia nn . Alafu wanataka kupigiwa kura

    • @thefinalstand2022
      @thefinalstand2022 4 місяці тому +1

      Hiyo inaitwa teknolojia...ndiyo uliyotumia kutuma maneno haya mtanaoni...ndiyo anayotumia mmarekani na mchina kuitawala dunia...ndiyo anayotumia mrusi kumpiga Ukraine, ndiyo anayotumia Iran dhidi ya Israel...na sisi tunawakimbiza...SEMA alaaaaaaaa, kumbe mimi mjinga, sikuwa najuwa umuhimu wa technology!

    • @kwangahudispensary7238
      @kwangahudispensary7238 4 місяці тому +3

      ​@@thefinalstand2022akili za hovyo sana hizi,,,je umepata vyote vya muhimu hd kufika huko?

  • @khamisswalehe
    @khamisswalehe 4 місяці тому +61

    ALLAH NI MKUBWA HAYO MASANAMU HAYAWEZ KUFANANISHWA NA VIUMBE

    • @thefinalstand2022
      @thefinalstand2022 4 місяці тому

      Hiyo inaitwa teknolojia...ndiyo uliyotumia kutuma maneno haya mtanaoni...ndiyo anayotumia mmarekani na mchina kuitawala dunia...ndiyo anayotumia mrusi kumpiga Ukraine, ndiyo anayotumia Iran dhidi ya Israel...na sisi tunawakimbiza...SEMA alaaaaaaaa, kumbe mimi mjinga, sikuwa najuwa umuhimu wa technology!

    • @kombidin..2583
      @kombidin..2583 4 місяці тому

      😂​@@thefinalstand2022

    • @alexchamy2289
      @alexchamy2289 4 місяці тому

      Acha ujinga. Kama Kuna Mungu basi jua Kila anachoweza kufanya mwanadam kakiruhusu. Kuna vitu ambavyo asili hairuhusu mwanadam kuvifanya kama kusafiri kwa Kasi ya mwanga na kujua muustakabali wa chembe ndogo kama electron.

    • @alexmatt9504
      @alexmatt9504 3 місяці тому

      ​@@thefinalstand2022
      Elewa mada,hapa kinachojadiliwa ni matumizi bora ya pesa ya walipa kodi,siyo kukataa teknolojia. Hapa tulipo tuna madeni lukuki na tunatakiwa kulipa,halafu hiyo pesa unayokopa unaitumia kwenye vitu ambavyo havitazalisha, hapo hapo tuna uhaba wa ajira,vijana wetu wahitimu ni wengi na kazi hamna halafu unaleta robotic- technology? Hizo nchi zenye kutumia robotic- technology kwenye uzalishaji zimeisha jitosheleza kiajira.Kuweni welewa na muangalie maslahi ya nchi kwanza.

  • @carlosmzena548
    @carlosmzena548 4 місяці тому +22

    Nchi ya ovyo sana hii
    Hawa ndio tunawategemea 😅

  • @TatuCharles-f5m
    @TatuCharles-f5m 4 місяці тому +7

    Wengine tumekosa mkopo tunaambiwa hela hamna watu wanakatisha masomo kumbe mnatengeneza robot 😭😭😭😭daah hii nchi ngumu sana

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 місяці тому

      Na Wewe umesoma Nini Hilo Ni sanamu unaamini Ni roboti😂. Wameuziwa mkenge watupumbaze

  • @marychuwa8159
    @marychuwa8159 4 місяці тому +12

    Yaani wanapigia makofi kweli kazi tunayo

  • @GodfreyLukoo-c4y
    @GodfreyLukoo-c4y 4 місяці тому +6

    Mwenyezi mungu atawapa adhabu yenu

  • @HappyHiker-nz9vg
    @HappyHiker-nz9vg 4 місяці тому +21

    Wapi.. magufuli mungu akuhifahdi inshallah 😢😢😢😢😢

    • @dubai8594
      @dubai8594 4 місяці тому

      SHETANI NI MBAYA SANA SASA NINI HIKI
      YAANI NI ZAIDI YA UPUMBAVU

    • @NdageKitahama
      @NdageKitahama 3 місяці тому

      Hivi kweli Hawa ndio wabunge wetu kweli tutamkumbuka magufuli hivi ni vichekesho hivi kweli mnachukua Kodi zetu mnaenda kununua upuuzi hiyo sanamu inasaidia nn hapo bungeni naona hamjui Hali ya watanzania maskini mnashiba Hadi mmejisahau ndio maana mnachukua pesa za watanzania mnaenda kununua huo upuuzi hata mungu kakataa kuabudu sanamu Leo sanamu mnaikeka ndani ya bunge mungu anawaona mwisho wake utafika

  • @obrigadoofficial1506
    @obrigadoofficial1506 4 місяці тому +38

    Bunge tukufu la Tanzania linaheshimika Sana na Wabunge wamebeba dhamana kubwa sana ya kwenda kuwasemea wananchi wao na kuwaletea maendeleo kwenye miji na mitaa yao swali langu jeee robot hili ni kwaajili ya nini kwenye bunge letu tukufu....? Mungu ibariki Tanzania.

    • @mwanyongamama4407
      @mwanyongamama4407 4 місяці тому +1

      Ni ghalama Sana si ajabu

    • @SaraMathew-xd2vp
      @SaraMathew-xd2vp 4 місяці тому +3

      Ni maajabu san hii nchi imefka hapa sasa inchi inapotea . Hyo ni mbinu ya upelelezi ya wazungu wanataka kuitawala ten Tanzania. Maana mambo yote ya nchi yanayojadiliw bungeni uyo robot atayajua je icho si kifaa cha wazungu. Wanaleta robot alafu wanasema inch aina income. Kwel tutamkumbuka magu

    • @thefinalstand2022
      @thefinalstand2022 4 місяці тому +1

      Hiyo inaitwa teknolojia...ndiyo uliyotumia kutuma maneno haya mtanaoni...ndiyo anayotumia mmarekani na mchina kuitawala dunia...ndiyo anayotumia mrusi kumpiga Ukraine, ndiyo anayotumia Iran dhidi ya Israel...na sisi tunawakimbiza...SEMA alaaaaaaaa, kumbe mimi mjinga, sikuwa najuwa umuhimu wa technology!

    • @rehemayona2223
      @rehemayona2223 4 місяці тому +2

      Alafu wanachekelea to baada ya kuwa saidia wanachi

    • @nellywizz9631
      @nellywizz9631 4 місяці тому

      Dah unaongelea nini?​@@thefinalstand2022

  • @islamyasin7203
    @islamyasin7203 4 місяці тому +3

    Watu ambao tunawategemea nchini hao wametoa pesa mingi Kwa kitu ambacho akina manufa nchini

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 4 місяці тому +5

    😢😢😢nchi yangu Tz watu wasomi Awana kazi wapo vijijin baada ya kuwasajili mkatengeneza robot aina ata matako

    • @JosephMroki-gg9nc
      @JosephMroki-gg9nc 3 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 місяці тому

      Hilo sanamu Ila Kwa kuwa binaadamu mweusi kaanzia kima 😂😂😂, acha tu watupumbaze

  • @kuyengamoris4140
    @kuyengamoris4140 4 місяці тому +2

    MAGUFULIIIIIIIIIIIII😢😢😢😢😢😢 WAPI BABA NJOOOO UONE VIJANA ULIYO WACHA WANACHO KIFANYA HAPA DUNIANI

    • @mwangosikennedy9643
      @mwangosikennedy9643 3 місяці тому

      Wanafanya mambo ya kipumbavu sana, ee Mungu tuanagalie sisi waja wako maana hatujui nchi yetu inaelekea wapi... Magufuli baba amka amka amka uone yanayojiri maana hukuacha upumbavu huu uliacha maendeleo ya nchi kwa asilimi kubwa...😢😢😭

  • @hoseakavubu2844
    @hoseakavubu2844 4 місяці тому +6

    Nafikiri kuna shida sehem

  • @zabronjoseph
    @zabronjoseph 3 місяці тому

    Naumia sana karibu ya kupasuka Mungu awape hekima

  • @salehwaziri5062
    @salehwaziri5062 4 місяці тому +5

    Kama mungu aliwaazibu wanadamu kwakuaabudu Masanamu vipikuhusuhuu ujingatuno ushadadia ndiomaa mwakahuuMajanga nimengi Tusamehemungu usituazibu kwaujingawawatuwachache

    • @ChristinaGomisi
      @ChristinaGomisi 4 місяці тому +2

      Kabisaa yani wamethamini marobotii kulikoo watu Magu wetu wetu aamkee aonee nchii ilivyotekwaa uwiiiii

  • @PanchoValentino-wh7wt
    @PanchoValentino-wh7wt 4 місяці тому +1

    Aweeeee

  • @TwahaKahatan-pt9hg
    @TwahaKahatan-pt9hg 4 місяці тому +3

    Ndo mjuwe yakuwa sio kila anaefunga tai anaakili timamu. Huu ni ugonjwa wa mwisho na WA juu zaid kutokea karne 21 unasalimia SANAMU

  • @MichaelLinda-vd8rx
    @MichaelLinda-vd8rx 4 місяці тому +2

    Hili bunge la mchongo ndo wanavoingiza mabomu ya milipuko nchini

  • @chidi_don
    @chidi_don 4 місяці тому +3

    Dah sio poa kabisa yani sio poa 💯

  • @gaudenciamsrikale956
    @gaudenciamsrikale956 4 місяці тому

    It's a good trial, keep it up

  • @SamsoniRuhasha7
    @SamsoniRuhasha7 4 місяці тому +3

    Robot limetengenezwa VETA 😂😂

  • @Ejbl3zt
    @Ejbl3zt 4 місяці тому +2

    Technology sawa ila upuuzi badala ya kuwawezesha vijana wa Tz wakaboresha katika ubunifu mpo nmashangaa robot

  • @fadhilimbotela1049
    @fadhilimbotela1049 4 місяці тому +7

    Tunakoelekea ni kubaya sana watanzania hii bajet ingetumika ata kwenye vituo vya mayatima wakasoma hata kwa kodi zetu kuliko huu upuuzi

  • @wariobaJoseph
    @wariobaJoseph 4 місяці тому +1

    S bora hata Mplan kujenga Barbara za chini watu mtaan wamekaaa na vyet Vyao hawana kazi mnatengeza roboti sasa hautaki kuajili watu au 🎉🎉🎉

  • @joycemashikolo9096
    @joycemashikolo9096 4 місяці тому +27

    Upuuzi mtupu Afrika tupo wengi sana hakuna sababu ya kuelekeza pesa za watanzania wanyonge kutengeneza misanamu ya kuwa karibisha hospital madawa hakuna watu wanakufa ya kukosa huduma wazee wanateseka mitaani n.k inatia uchungu sana kuona tunaviongozi wa hovyo namna hii

    • @BenjaminAyo-p4i
      @BenjaminAyo-p4i 4 місяці тому

      Kikokotoo😅😅

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 4 місяці тому

      ​@@BenjaminAyo-p4i😢😢😢😢😢😢😢

    • @thefinalstand2022
      @thefinalstand2022 4 місяці тому

      Hiyo inaitwa teknolojia...ndiyo uliyotumia kutuma maneno haya mtanaoni...ndiyo anayotumia mmarekani na mchina kuitawala dunia...ndiyo anayotumia mrusi kumpiga Ukraine, ndiyo anayotumia Iran dhidi ya Israel...na sisi tunawakimbiza...SEMA alaaaaaaaa, kumbe mimi mjinga, sikuwa najuwa umuhimu wa technology!

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale 4 місяці тому

      @@thefinalstand2022 Ukisoma komenti unajua kabisa kama umasikini ni mbaya. Mtu anachukia teknolojia kwa vile yeye hajui. Aisee! Roho mbaya hizi.

    • @AngelBaraka-bo2bl
      @AngelBaraka-bo2bl 4 місяці тому

      Roho mbaya kuliko waajiri vijana hapo Kwa ajili ya mapokezi wanaweka sanamu iwapokee😅😅

  • @tunuwilla
    @tunuwilla 4 місяці тому

    Daaa, Kazi tunayo, hili ndo bunge la CCM kununua midori

  • @mfalmekaitaba2425
    @mfalmekaitaba2425 4 місяці тому +6

    Kwa nn halijaitwa sami.. na likaitwa Eunice??
    Na veep linafaida gani ktk taifa letu?

    • @nabiilucas8576
      @nabiilucas8576 4 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mbavu zangu

    • @mfalmekaitaba2425
      @mfalmekaitaba2425 4 місяці тому

      @@nabiilucas8576 usicheke maana kuna vitu vinafikirisha sana

  • @directorabiero340
    @directorabiero340 4 місяці тому

    Mungu tuhurumie

  • @Japanese-lz1or
    @Japanese-lz1or 4 місяці тому +3

    Mbona mbaya na kichwa chake kama gongonada

  • @EnockAdam-h1l
    @EnockAdam-h1l 4 місяці тому

    Wabunge hivi kweri mnahakili Mungu ichukue tu tz hata utuwe wote tu...mm naumia malipa kod halafu upuuzi kama huu ndio hununuliwa then mwaka huu first year tumepewa asilimia 18 za ada hivi hii pesa si bora watuongezee

  • @DhulkifliMkiji
    @DhulkifliMkiji 4 місяці тому +5

    Uongozi sio vyeti tu hekma pia iwepo

  • @glorynyarandu-ln8rc
    @glorynyarandu-ln8rc 4 місяці тому

    Mungu atuhurumie sana mpendwa huku tunakoelekea siko salama kabisa

  • @josephjamesdagharo
    @josephjamesdagharo 4 місяці тому +5

    Binafsi sijaelewa bunge tukufu ni jengo au wabunge ndiyo wamejipa utukufu? Badala ya MUNGU kwa anayefahamu vzr

    • @michaelhancy6759
      @michaelhancy6759 4 місяці тому

      Kasome historia ya mapunduz ya ulaya ndio utaelewa aya mambo

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 4 місяці тому

      ​@@michaelhancy6759non sense!

    • @michaelhancy6759
      @michaelhancy6759 4 місяці тому

      History aidanganyi mna akuna jipya dunian

  • @jeniphermyingajeniphermyin8029
    @jeniphermyingajeniphermyin8029 4 місяці тому

    Yesu wee mmmh

  • @aliissahaji33
    @aliissahaji33 4 місяці тому +3

    Yaani watu wanakuga njaa huku mitaani, haya Mungu anaona yote hayo.

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 4 місяці тому

      Unataka tukuletee chakula au pambana

    • @ChristinaGomisi
      @ChristinaGomisi 4 місяці тому

      Wanatutozaa Kodi kibaoo umeme hakuna mara maji hakuna vijijini watu wanakunywa maji pamojaa na ngo,mbe na fisi mara wawafutiee wanchuo bumu afuu ujingaa ndo huoo afuu mtegemee watu waajiliwee heeeeeh heeeh

  • @agnesssongay9942
    @agnesssongay9942 4 місяці тому

    Which country is this!!??🤔🤔

  • @ndiiyolazaro1125
    @ndiiyolazaro1125 4 місяці тому +9

    Upuuzi mtupu hakuna la maana

  • @frankmfuse6990
    @frankmfuse6990 4 місяці тому

    Bunge la CCM , Bunge la magufuli, ulipaswa kufa mapema sana Baba , wale vilaza uliowakusanya watuwakilishe wanatufanyia haya , nibora hata wao mungu angewaondoa pia , ili ulipo na wao wawepo

  • @leejems142
    @leejems142 4 місяці тому +3

    Vijana mtaan hatun kaz mnafany mamb yas na maan mnazib rizk za wat mungeniwek mm je ap ingekuaj

    • @AllyMaya-yj3xd
      @AllyMaya-yj3xd 4 місяці тому

      Yaan dunia ndio inaenda huko wewe kama huna kazi pambana

  • @AngelMmbaga-f3d
    @AngelMmbaga-f3d 4 місяці тому

    Hahahhahha haki ya mungu tanzania sihami mimi naipenda nchiii yangu ❤❤❤❤

  • @jazilambaji2789
    @jazilambaji2789 4 місяці тому +4

    Limeukizwa how are u?nalo linasema habar ya asubuh mheshimiwa mbunge,,upuuz mtupu lime karirishwa kwenye hizo spika

    • @Theo-r4l
      @Theo-r4l 4 місяці тому

      😂😂😂😂

    • @Teddy-z4i
      @Teddy-z4i 4 місяці тому

      😅😅😅😅😅

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 4 місяці тому

      😢😢😢😢😢😢😢😢😢

    • @HashimYahya-cl3tx
      @HashimYahya-cl3tx 4 місяці тому

      😂😂😂😂 Kweli kabisa yani ni ujinga usio na kifani

  • @NickisonEvarista
    @NickisonEvarista 4 місяці тому +1

    Sasa hiyo roobt ya kaz gan yan watu wasomi kabis lakn akili kam za watu ambao hawajasoma 😢😢

  • @Abdulrahmaniluhumba-kf6sd
    @Abdulrahmaniluhumba-kf6sd 4 місяці тому +6

    Wabunge ni wapumbavu kama wapumbavu wengine tu ....na mnaingizwa kwenye kundi la hao walioingilia kazi Allah katika uumbaji kufuru imepewa jina zuri kwamba ni teknolojia ila teknolo kiama itafika ... ALAAH ATUONGOZE KATIKA KUTENDA MEMA NA ATUJAALIE KUWA NA MWISHO MWEMA

  • @elviratrasias7726
    @elviratrasias7726 4 місяці тому

    Iyo ela ya kuwasaidia watu wasiojiweza kwenye nchi yetu mnatengenezea ujinga kweli msemo huu watu wangu wanahangamia kwakusosa mahalifa ndoivo

  • @lucymtui8680
    @lucymtui8680 4 місяці тому +10

    Ndo matumizi ya Kodi zetu😢😢

    • @RamadhaniOmary-z3p
      @RamadhaniOmary-z3p 4 місяці тому

      Hahahahaha

    • @Mariam-w9s3b
      @Mariam-w9s3b 4 місяці тому

      Watu wazima ovyo ndio iyo

    • @isayashayo4777
      @isayashayo4777 4 місяці тому

      😂😂😂 waheshimiwa wanashangaa kitu kilichojengwa na mwanafunzi alieishia la tatu 😂😂😂😂

    • @pastorzakariatv1786
      @pastorzakariatv1786 4 місяці тому

      Kwenye milioni 50 hapo ndo panapo niumiza Tanzania tutaendelea lini? Mbona tunaiibia sana nchi

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 4 місяці тому

      Soon hii nchi itakuwa skeleton 😢😢

  • @khadijaabdallah3074
    @khadijaabdallah3074 4 місяці тому +1

    Mungu afanye miujiza liwasemesheni watu wazima kumbe 0 kabisa

  • @BrunoNjonjo
    @BrunoNjonjo 4 місяці тому +3

    hilo dude sh ngapi

  • @shebyabdallah5854
    @shebyabdallah5854 4 місяці тому

    Siyo kila kiongoz ana jitambua wengine wa ovyo ebu fikirieni watu maskini Leo munachukua Kodi kwa nguvu

  • @avituskatunzi1180
    @avituskatunzi1180 4 місяці тому +8

    Yaan baada ya kufanya mambo ya maendeleo mnadili na Midori tupeni faida ya iyo lobot😢😢

    • @FahymaIsmail-m4q
      @FahymaIsmail-m4q 4 місяці тому

      Litakuwa linafanya operation eti mloganzila😂😂

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 4 місяці тому

      ​@@FahymaIsmail-m4qwewe acha utani bac😢😢😢😢😢😢

    • @rosetreffert4179
      @rosetreffert4179 4 місяці тому

      U​@@FahymaIsmail-m4qhuu upuuzi mtupu hii ni kucheza pesa

  • @JasmineMasiga
    @JasmineMasiga 4 місяці тому

    Kama kweli wao wanaweza waliwekee pumzi liheme ,mana limekakamaa tuuu alihemi wala halijambi acheni mungu aitwe mungu na hamuwrzu kushindana na mungu ata mbong,oe ayo matako yenu mtembee uchi lakini bado hamtaeza

  • @avocadomatala2883
    @avocadomatala2883 4 місяці тому +8

    Wabunge wanaongea na maroboti ndio maana hata bungeni wanaongea upuuzi kumbe Wana akili ya kiroboti robot tu Mungu tusamehe sana

  • @MagdalenaFortunatus
    @MagdalenaFortunatus 4 місяці тому

    Mungu aturehem

  • @EbiaElton
    @EbiaElton 4 місяці тому +3

    Haieleweki kabisa ni ujingaaa huuu

  • @MaryNgoi-
    @MaryNgoi- 4 місяці тому

    Which country is this?

  • @eliudezekiel8615
    @eliudezekiel8615 4 місяці тому +7

    Mnacha mambo ya msingi mnatumalizia Kodi zetu kwenye ujingaaa

  • @gracejulius6913
    @gracejulius6913 4 місяці тому

    Ilaa hii nchi ngumu sana dahh... watu wazima na akili zote wanapoteza muda kwauyo mdoli

  • @FrankSamson-r6s
    @FrankSamson-r6s 4 місяці тому +6

    Yaaaani ina faida gani sasa me sijaelewa na haijavutia

    • @nkelyasahani5090
      @nkelyasahani5090 4 місяці тому

      😊😊8i😊😊😊😊😊😊😊😊❤❤❤

  • @alikassim9302
    @alikassim9302 4 місяці тому

    Hii sio kweli tuache kupitoshana,, Limesetiwa Kuna watu wanaongea kupitia mfumo maalum mfano km wa cmu

  • @hadharaally6523
    @hadharaally6523 4 місяці тому +6

    Huu ni mtihan sasa ajira zinaenda Kwa masanamu sasa wakat majumba wasomi wamejaa tele hawana ajira jee kwenye nafasi hii wange waajiri watanazania hata mm naitaka nikaribishe watu na kuwapa mikon ili mwisho wa mwezi nipate chochote 😢😢😢

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 4 місяці тому

      Kumbe we ushaelewa kama mm.Tunaanza kuzoeshwa mapema.Badae ajira zote zitafanywa na maroboti

    • @pulikisia7963
      @pulikisia7963 4 місяці тому

      Duh!! Ndio unanifungua macho yani Dah!!

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 4 місяці тому

      @@pulikisia7963 Huko tunakoenda ni kubaya zaidi.Mungu atusaidie Watanzania 😪

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 4 місяці тому

      Vijana ajira hakuna mnaleta upumbavu huyo kasha beba ajira ya mtu😢😢😢

  • @HidayaHamisi-q4l
    @HidayaHamisi-q4l 4 місяці тому +1

    Upuuzi mtupu 😢yaani akili zao ziko ovyo kabsa kama wehu

  • @AbuuThabiti
    @AbuuThabiti 4 місяці тому +4

    Kuanzia leo nimewashusha daraja mnazingua mnatumia vibaya kodi zawatanzania

  • @ChampionTz-fj1si
    @ChampionTz-fj1si 3 місяці тому

    Aya bana

  • @HassanMshaur
    @HassanMshaur 4 місяці тому

    Tanzania tumefika kwenye Hali mbaya hizi pesa zilizotumika hapo Lau Kama wangepelekewa wahitajia Kuna watu wanalia njaa alafu unafanyika huu upuuzi. Dah. 😢😢😢

  • @NoelyTz
    @NoelyTz 4 місяці тому

    Eee mungu muumba halizi na mbili 🙏🙏

  • @YavanMussa
    @YavanMussa 4 місяці тому

    Nimegundua huyu roboti ukitikisika tu yeye anakupa mkono😂😂😂❤❤❤

  • @abdulrahmanmandandu8519
    @abdulrahmanmandandu8519 4 місяці тому

    Kazi sana

  • @MaheHema-cr9px
    @MaheHema-cr9px 3 місяці тому

    Changamkeni ×4wakristo na wananchi maana taifa laenda kuanguka maana maovu yetu yamefika mavhoni pa mungu,tuwaomnee wasimamizi wetu rehema maana hatujui wanakotupeleka,mungu turehemu,tusaidie

  • @AnithaMambo
    @AnithaMambo 3 місяці тому

    Jaman naomben m niambie kz ya hyu roboti maana na ushamba wangu sielewi kabisaaaa anachokifanya hapo

  • @onlyyoujesus8232
    @onlyyoujesus8232 4 місяці тому

    Hamna la maana hapa. Matumizi mabaya ya muda na pesa za mlipa kodi

  • @NgukiJulius
    @NgukiJulius 4 місяці тому +1

    Jaman jaman inaniuma Sana, Vijana tunahangaika mtaani hatuna Ajira, halafu kazi ambayo tungefanya sisi wanapewa Robots! How comes? Kuna maana gani ya kusoma ICT ikiwa Kuna Robot wa kufanya kazi hiyo! Mbona inauma Sana jaman Watanzania?
    Tanzania Ina Watu weng na Wenye Elimu ya kuendesha kazi au mifumo mbalimbali bila kutumia Robots, Nchi za Ulaya Zina watu wachache that's why wanatumia Robots as an alternative way..... Kwa Hali hii ya Robots Hakuna haja ya kuendelea Kuongeza Wasomi wa kada mbalimbali, Tuwe na Wasomi wachache tuu kuliko kuwa na Wasomi Maelfu wanaohangaika mtaani😢😢 Eee Mwenyezi Mungu tusaidie kwa hili🙏🙏, tunakoelekea ni kubaya Sana tena Sana! 😢😢😢
    #Nchi yangu Tanzania!

  • @gracemacha9357
    @gracemacha9357 4 місяці тому

    Hizi pesa mngezipeleka Mahosptalini kutibu Watoto bure ila Mungu anaona

  • @annamussa185
    @annamussa185 4 місяці тому +2

    Eunice ni Mchumba mpya wa Dr janabi😊

  • @EnockAdam-h1l
    @EnockAdam-h1l 4 місяці тому

    Hivi daaaaaah hili li nchiiiii sibora hiyo Hera mtuongezee ada vyuoni yaani asilimia 18 halafu sawa bhana RIP mg

  • @deboramuhoja1777
    @deboramuhoja1777 4 місяці тому

    Hivi lkn Kwa nini apewe Jina la mtu Yunis😔😔 Binafsi sijapenda😔

  • @NoelyTz
    @NoelyTz 4 місяці тому

    Allah Akbar

  • @DicksonEdson
    @DicksonEdson 4 місяці тому +2

    Mambo ya kitoto sana

  • @samwelikastuli9890
    @samwelikastuli9890 4 місяці тому

    Haki ya Mungu hii nchi yetu sijui wapi inaelekea yaan mnaacha kufanya mambo ya msingi mnatu tengenezea hichi kitu hakina manufaa jamen kweli?????

  • @KasangaKalanga-vo6od
    @KasangaKalanga-vo6od 4 місяці тому

    Serikali yetu bwana! Mnahangaika na vitu visivyo na maana wakati wananchi wanateseka

  • @johnsonphilliminus4199
    @johnsonphilliminus4199 4 місяці тому +1

    Wengi naona mnaponda na mna complicate sana. Hii ni technoligia tu na wale waliosoma au wanaotegemea kwenda kusoma Computer Science watakutana na hii course inaitwa *Artificial Intelligence.*
    Ni kitu cha kawaida kabisa na wala hamkutakiwa kwenda Far na kuona watu kama wanamtukuza robot, wanamkufuru Mungu au wametumia pesa katika vitu visivyofaa. Tufike mahali tuwe wachunguzi wa mambo bila kuropoka na kuongea vitu msivyovijua

    • @thereziaaloyce3430
      @thereziaaloyce3430 4 місяці тому

      Roboti ni mbadala wa mtu, wenzenu wanatengeneza roboti idadi Yao ni ndogo kufanya Kazi , hakuna sababu ya roboti Tanzania, bunini teknolojia kwenye maeneo mengine siyo kuigaiga tu mnasingizia teknolojia. Halina maana Hilo roboti hapoo

    • @Melchizedek_
      @Melchizedek_ 4 місяці тому

      Unatengeneza robot na hakuna hospitali watu wanasafiri umbali mrefu wanafia njiani, hakuna vifaa tiba watu wanafika hospitali na hawapati huduma wanakufa, barabara mbovu ajali kila leo watu wanakufa. Unawekezea kwenye mdoli ambae anasema hajawa trained kwenye kiswahili anaulizwa kwa kiingereza halafu anajibu kwa kiswahili.
      Hayo mambo unayosema tuchunguze, haina haja ya kuchunguza kama unashindwa kusolve mambo yaliyohadharani, unahangaika na mambo ambayo hatuhitaji.

  • @agnesssongay9942
    @agnesssongay9942 4 місяці тому

    Kwahiyo ni hamtaki kuajiri watu ama??Mungu aturehemu jaman na ndo mnategemea kutuomba kura!!!!???😕😕

  • @BarakaGaspary
    @BarakaGaspary 3 місяці тому

    Mwana siasa natajili ningumu Sana kuona ufalume wamungu

  • @CHRISTINAYOHANA-oy7vo
    @CHRISTINAYOHANA-oy7vo 4 місяці тому

    Tanzania Tanzania ,mungu awenasi daima.

  • @KhadijaJacob
    @KhadijaJacob День тому

    Hata mm sijabarikiwa kbs na hiki kitendo

  • @barnabaslushenshe523
    @barnabaslushenshe523 3 місяці тому

    Nchi hii ndo unaweza kuona kuigq kunya kwa tembo. Kagame apewe nchi hii tukombolewe

  • @EzraNyolobi
    @EzraNyolobi 4 місяці тому

    Ee mungu tuhurumie mana tunakoelekea pagumu Sana !!Kuna cku watu wataabudu roboti

  • @ernestgeorge8412
    @ernestgeorge8412 4 місяці тому

    Wabunge lkn akili kama watoto wa chekechea sasa cjui kinachowashangaza ni kitu gani hapo badala ya kufanya Kaz tuliyowatuma jimboni

  • @mkobakobero4474
    @mkobakobero4474 4 місяці тому

    Hivyo Tanania inaenda wapi

  • @hezronsanga5197
    @hezronsanga5197 4 місяці тому

    Ila mnafanya kaz kimazoea sana ipo sio sio ujingaa huuu

  • @JoyceFungo-c8k
    @JoyceFungo-c8k 4 місяці тому

    Mungu naomba niwe na mwisho mwema jaman yaliyo tabiliwa yanatimia.

  • @officialyoungxure
    @officialyoungxure 4 місяці тому

    Hii nchi usenge ndio mwingi yan majitu mazima tumeyapigia kura yanashindwa kupeleka maebdeleo kwenye majimbo yao yamekaalia usenge tu

  • @RhodaMloge
    @RhodaMloge 4 місяці тому +1

    Daah ndio useme nipige kura mimi😂😂

  • @PendoPogwa
    @PendoPogwa 4 місяці тому

    Alafu nmegundua ktu kumbe kuwa kiongozi Haina maana unaweza kuwa msaada kwa taifa Mungu atusaidie