FAHAMU MITUME 12 WA YESU MWISHO WAO WALIVYOKUFA KISHUJAA KWA SABABU YA INJILI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 19

  • @BenjaminMahenge
    @BenjaminMahenge 3 місяці тому +1

    Tupo pamoja mwalimu

  • @wilsonkabole7066
    @wilsonkabole7066 4 місяці тому

    Brother lsaìah we love you so much mwalimu wangu l understand because of you be blessed

  • @DennisKapinga
    @DennisKapinga 4 місяці тому

    Kwann hasa mitume wa Yesu walikufa vifo vibaya sana sana.

  • @JacksonNyangi-i8j
    @JacksonNyangi-i8j 6 місяців тому +1

    Mafundisho mazuri sana Mwalimu Mungu akubariki sana,mie najiuliza swali katika fundisho lako unaambatanisha picha ili msikirizaji na mtazamaji aelewe vizuri,je hao wanafunzi tajwa wote walikuwa na rangi nyeupe kama mnavyotuonesha kwenye video na kama jibu ni hapana nashauri itumike njia nyingine ya kufikisha ujumbe kupitia lugha ya picha

  • @barthazalluboyelwa6278
    @barthazalluboyelwa6278 6 місяців тому

    Safi sana mwalimu

  • @AsheryRabani
    @AsheryRabani 6 місяців тому

    Yes yesu mungu

  • @STEVENRingo-vf7ox
    @STEVENRingo-vf7ox 6 місяців тому

    Je wote hai hawakuoa

  • @HabonimanaFelix
    @HabonimanaFelix 6 місяців тому

    Mwalimu niko naswali moja nataka unijibu je yesu ni mungu ? Niko Félix from Burundi 🇧🇮

  • @AlfredMwakabana
    @AlfredMwakabana 6 місяців тому

    Nataka nijifunze haswa kikristo kwanini daudi Alizimia na muke wa ulia bado akawa mpendwa wa Mungu hadi kujitwalia mtoto kwa mke wa ulia akaitwa solomoni mfalme

  • @antonychitara5707
    @antonychitara5707 6 місяців тому

    Hivi hao wanafunzi wote walikuwa wazungu tu???

  • @KiwiaCasmir
    @KiwiaCasmir 6 місяців тому

    Naomba kujua katika hao wanafunzi wa Yesu hapakua mwafrica ata mmoja?.na kwa navyoamini na navyomnukuu kamanda wangu Vladimir Putin anakiri Yesu alikua mweusi!.

  • @BURTONMWAKALOBO
    @BURTONMWAKALOBO 6 місяців тому

    Hayo ya vifo vya mitumie hao 12 yameandikwa kwenye bitabu vipi kwenye bibilia?

  • @hosanaministryofallnations
    @hosanaministryofallnations 4 місяці тому

    AMINA MWALIMU WA NENO LA MUNGU SWALI KWANI AGANO JIPYA LIMEANZIA KITABU KIPI NDANI YA BIBLIA?

  • @goldmansun5859
    @goldmansun5859 6 місяців тому

    Wanafunz wa Yesu na Yesu waliuawaw kwa ajil ya wanachoamin,sasa kuna jambaz alikuja miaka mia sita (570AD) ,hahahah
    Huyo kachinja ,kabaka ili aaminiwe,😂😂😂
    Halaf mm nimuamin😂😂😂😂

  • @thadeombani7869
    @thadeombani7869 6 місяців тому +1

    A.kwanini yesu alipowatuma wanafunzi wake kwenda kununua mikate isiyochacha kwa ajili ya kalamu ya mwisho na wanafunzi wake aliwatuma watatu(3),
    B.Musa na Eliya walipomtokea yesu akiwa kwenye maombi walio ona hilo tukio ni wanafunzi watatu(3)
    C.Yesu mwenyewe pia alifufuka siku ya tatu baada ya kifo chake
    D.yesu aliposulubiwa msalabani jumla walikuwa watu watatu yeye na wale wharifu wawili
    E.petro alimkana yesu mara 3 kabla ya jogoo kuwika kuna siri gani kwenye namba tatu(3) katika maandiko? NAOMBA KUJIBIWA

  • @dieudonnearahama
    @dieudonnearahama 6 місяців тому

    Naitwa Dieudonne arahama swali langu ni hili :ni kitabu gani wanafunzi wa yesu walikuwa wakikitumiya kwa kutangaza injili sababu biblia ilikuwa Makati ule.

    • @masalumayenga1865
      @masalumayenga1865 6 місяців тому

      Kwa nin tunaendelea kuomba wakati yesu alitufia msalaban ilikutukomboa ,naitwa masunga nyalwisila