"MAGUFULI ALIPOKUFA SIKUTOA CHOZI" TUNDU LISSU AMSIFIA MAGUFULI SIRI HII HAPA...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 чер 2024
  • #OFFTRACKTV #offtracktv #mbowe #chadema #tundulissu
    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na watanzania wanaoishi Italia
    KWA HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA ELIMU,MAKALA NA BURUDANI KWA UHAKIKA MASAA 24,TUFUATILIE OFFTRACK TV.
    PIA USISAHAU KUSUBSCRIBE OFFTRACK TV
    / offtracktv
    Email | info@offtrack.co.tz
    🔴 JE, NA WEWE UNA HABARI AU UNAHITAJI KUTANGAZA NASI?
    🔴 WASILIANA NA OFFTRACK TV : (+255 621 149 014)
    🔴 Email: info@offtrack.co.tz
    Www.offtrack.co.tz
    𝙏𝙝𝙖𝙣𝙠 𝙔𝙤𝙪 𝙁𝙤𝙧 𝙒𝙖𝙩𝙘𝙝𝙞𝙣𝙜
    ...............................................................................................
    Subscribe: / offtracktv

КОМЕНТАРІ • 359

  • @onelovetz7935
    @onelovetz7935 26 днів тому +10

    Kura unategemea za chadema au za watu wa Magufuli hata samia ameisha jichanganya sisi wa Magufuli tunawaangalia tu

  • @user-xl3sr4jj4l
    @user-xl3sr4jj4l 26 днів тому +20

    Ila kwa magufuli 2tutakosana we

    • @zawadimbwambo1091
      @zawadimbwambo1091 25 днів тому +1

      Ujinga unakutesa ulianinishwa na akili zako hutaki kuzitumia unaona zitaisha.

    • @geofreycharles9972
      @geofreycharles9972 16 днів тому

      ​@@zawadimbwambo1091watu waliona na wanaona hata mtu asiposema hakuna Raisi Tanzania aliyewahi kufanya vizuri kama Magu.

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 26 днів тому +11

    Ulie usilie inatussidia nini .tatizo unatumia nguvu kupotosha jinga sana

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 27 днів тому +10

    Magufuli hakuwa napenda vibaraka kama wewe na samiah ndio hao hao sema umewaka 7bu hajakupa fungulako akishakupa tu utazimika kama mshumaa

  • @mohammedmussa7378
    @mohammedmussa7378 23 дні тому +7

    Wewe hawezi kua Raisi watanzania kamwe

  • @barnabaslushenshe523
    @barnabaslushenshe523 26 днів тому +13

    Tunataka uongelee ufisadi/ ubadhirifu/ report ya( CAG) na JPM NGOJA APUMZIKE.

    • @zawadimbwambo1091
      @zawadimbwambo1091 25 днів тому +2

      Wewe unampangia ninani limbukeni wewe. Ngoja ukombolewe ki fikra.

  • @paschalmartin9598
    @paschalmartin9598 26 днів тому +24

    Bora ungeachana na Magufuli hapo utapoteza zaidi mvuto kuendelea kumsema sema Magufuli

    • @ZakayoYohana
      @ZakayoYohana 20 днів тому

      Au magu nibabayako lazima asemwe unampoteza nani mjinga wewe

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 16 днів тому

      Kwani magu ndio nani.Alitaka kumuua lissu mwenye haki,mungu akamgeuzia kibao akafa yeye aliyetaka kuondoa uhai wa mwenye haki.

    • @paschalmartin9598
      @paschalmartin9598 16 днів тому

      @@MathewNathan-yb2bz una ushahidi kama Magu alitaka kumuua lisu au unaropoka tu peleka unafiki huko

    • @paschalmartin9598
      @paschalmartin9598 16 днів тому

      @@ZakayoYohana vyeti feki lazima mteseke mkisikia jina magu mnaona burudani magu akisemwa na huyo hayawani wenu akifisika kisera anakimbilia kumsema magu ili awafurahishe

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 15 днів тому

      @@paschalmartin9598 ww mtetee shetani tu

  • @zuberikupaza1184
    @zuberikupaza1184 27 днів тому +23

    Hata wewe ungetangulia JPM asingetoa chozi.

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 25 днів тому +6

    Huyu baba jamani nilikuwa nampenda sana lakini siku hizi hana jipya zaidi ya kulaumu

  • @frimatuslupimo2031
    @frimatuslupimo2031 22 дні тому +14

    JPM hakuhitaji kuliliwa na wewe, ameliliwa na watanzania ambao walimpenda sana.

  • @user-gv8yn9lg1i
    @user-gv8yn9lg1i 26 днів тому +5

    Tundu badilika , siasa zako za kuwasema wenzako! Tamka ukiwa raisi utawafanyia nini watanzania, acha kuwasema wenzako.

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 22 дні тому

      Asante na awache kumtukana Rais Samia. Kuna siku na yeye atakuja kuadhiriwa kwenye majukwaa na Wananchi hao hao wanao msifu na kumpigia MAKOFI.

  • @MussaMuhammad-rv6vw
    @MussaMuhammad-rv6vw 27 днів тому +5

    Tuachie chadema yetu umefanya umbea kwa mboe ukafanikiwa kuwagawa akina mdee na wenzake mbaguzi sana we baba utakua pekeyako kwenye chamaa

  • @JoalAlma-ci1hi
    @JoalAlma-ci1hi 27 днів тому +4

    People ageting sick with yo sick scandals we ar sick...hunakitu unachiweza kusifia nchi yako wewe ungepewa hii nchi nchiingeingia vitani

  • @LovelyDiamondRing-nr7lq
    @LovelyDiamondRing-nr7lq 26 днів тому +6

    Wewe unasema makufuri alikufa ukutoa chiozi wewe unafikili chiozi lako lingesaidia nini ata wewe ukifa nani atatoa chiozi Kwa lipo la maana

  • @MussaMuhammad-rv6vw
    @MussaMuhammad-rv6vw 27 днів тому +10

    Ukishafanikiwa kubagua tz na znz unaami kubagua kandaa ya kati na kaskazini mbaguzi mkubwa wee

    • @ahmedhamis
      @ahmedhamis 26 днів тому

      Hujaelewa Nini? Zanzibar ni nchi Tanganyika IPO wapi?

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 22 дні тому

      @@ahmedhamisAsante kaisahau Tanganyika bado yuko na Tanzania 😂😂😂😂

  • @user-vl4rz6lf6d
    @user-vl4rz6lf6d 27 днів тому +11

    Mjinga wewe unadanya watu kila siku Maneno hayo hayo ni Mbaguzi huna maana yoyote unaongea upumbavu mtupu eti anataka kuwa raisi huyo mhuuu Hana hata jambo lamaana zaidi upumbavu

    • @tumainielimwakiyambe6801
      @tumainielimwakiyambe6801 27 днів тому

      Hayo maneno kamwambie mamaako ambaye sio mbaguzi

    • @tumainielimwakiyambe6801
      @tumainielimwakiyambe6801 27 днів тому

      Hayo maneno kamwambie mamaako ambaye sio mbaguzi

    • @sundaystanley5322
      @sundaystanley5322 21 день тому +1

      Urais ataupata kwenye mtandao wa X,kumpa lissu uongozi wa Nchi tutakuwa tumeitupa tanzania kwenye dampo

    • @hamishasan7737
      @hamishasan7737 15 днів тому

      @sunday kaka umeona mbaali Sana ubarikiwe

  • @mudhihirugara8845
    @mudhihirugara8845 26 днів тому +8

    Wewe chizi huwezikutowachozi kwasababu unarohombaya yakichawi muache magufuri apumzike

    • @brucardkomba616
      @brucardkomba616 25 днів тому

      Apumzke motoni

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 22 дні тому

      @@brucardkomba616Duuuuu

    • @user-jn2qj5wf6c
      @user-jn2qj5wf6c 14 днів тому

      @@brucardkomba616 Baba kama unamuogopa mungu Sina uhakika lakin JPM ana asilimia 60 kupata sehemu nzur kwa aliyo yafanya dunian

    • @mariadominick5062
      @mariadominick5062 9 днів тому

      Kwhy ilitàka afe bwege ww me mwenyew sijaliaa!

  • @LusajoKabuka
    @LusajoKabuka 27 днів тому +14

    Sasa kama hukulia yanahusu tulilia na tunalia na tunalia mpaka Leo unapomtaja magu wawanyonge we jamaa kumbe ni kulipza visasi unajipuguzia kura kwa kinywa chako

    • @anastazialushika
      @anastazialushika 27 днів тому +1

      Kwer tena m namuona kama anapyayuka tu bora akae kimnya magu ni mwamba wa Tz na Afrika kwa ujumla

    • @youngsachafurniture5482
      @youngsachafurniture5482 26 днів тому

      Sasa kilichompata aanqnzje kulia

    • @jeffhard5773
      @jeffhard5773 26 днів тому

      Ccm wamechoka ila kutamka tu ndio imeshindikana

  • @lidyakisoka-is4ru
    @lidyakisoka-is4ru 27 днів тому +7

    Siasa isikie tu Leo kashfa kesho sifa,kesho kutwa sifa mtondogo kashfa shikamoo Lisu

    • @zawadimbwambo1091
      @zawadimbwambo1091 25 днів тому

      Umemuelewa lissu? Au una tatizo la akili? Lissu anasema ukweli tuu. Na sio vinginevyo

    • @mwirafundi9577
      @mwirafundi9577 19 днів тому

      Wewe kila sehemu unatukana watu jamani una matatizo gani​@@zawadimbwambo1091

  • @sundaystanley5322
    @sundaystanley5322 26 днів тому +25

    Kwa swala la magufuli bora ukakaa kimya tu,wewe lissu ulikuwa msaliti kwa serikali,tunakumbuka,sauti yako imenaswa ukiwa kwenye mipango yako ya usaliti kwa kampuni ya accacia,na sio lazima udondoshe chozi,tupo tunaolia mpaka leo kwa sababu ya magufuli

    • @user-gv8yn9lg1i
      @user-gv8yn9lg1i 25 днів тому +4

      Umesema kweli, Tundu Lissu msaliti, nakupongeza kwa kutunza kumbukumbu, maana watanzania wengi huwa tunasahau.

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 21 день тому +3

      Tundu Lissu ni sawa mchawi tu

    • @rabsonchisumo6640
      @rabsonchisumo6640 20 днів тому

      😮 ujielewi wewe

    • @rabsonchisumo6640
      @rabsonchisumo6640 20 днів тому

      Utaitwa munyonge paka lini katiba ni suruhisho ya mambo mengi kwenye hii nchi tutasubiri kupata rais atakae ongoza kwa utashi wake paka lini tunaitaji rais aongoze kwa mujibu wa Sheria ili akiwa chizi aendane na Sheria mzee

    • @user-gv8yn9lg1i
      @user-gv8yn9lg1i 20 днів тому +1

      @rabsonchisumo6640 usifuate jambo kwa kukalili, katiba mpya!.... katiba mpya!... katiba mpya!... tunaomba ufafanue vifungu vya katiba ya zamani makosa yake, halafu utuambie umeandaa vifungu gani vizuri kwenye katiba mpya. Unafuata mkumbo tu, hata hiyo katiba ya zamani huijui.

  • @user-zy6vq6lz7z
    @user-zy6vq6lz7z 27 днів тому +5

    Si mnasema Anaupiga mwingi leo tena umemugeuka

  • @alinabhan952
    @alinabhan952 27 днів тому +9

    Wewe bado maneno hayo hayo ya upuzi huna illi chuki tuu

  • @ALLYMTAWATAWA
    @ALLYMTAWATAWA 27 днів тому +10

    Wazungu munawapenda kwakua wanaleta ushoga

  • @MussaMuhammad-rv6vw
    @MussaMuhammad-rv6vw 27 днів тому +8

    We mbaguzi

    • @anastazialushika
      @anastazialushika 27 днів тому

      Hizi ni sera za kutugawa na kuvuruga muungano wetu

    • @frankjohn8706
      @frankjohn8706 26 днів тому

      ​​@@anastazialushikaili tusigawiwe tukae kimyaaa huku unaumia na huku unapigia makofi anaekuumiza

  • @ALLYMTAWATAWA
    @ALLYMTAWATAWA 27 днів тому +3

    Tunawajua. Sana wakabika

  • @salhaomar5382
    @salhaomar5382 26 днів тому +18

    Muwache magufuli wetu apumzike kwa amani.

    • @zawadimbwambo1091
      @zawadimbwambo1091 25 днів тому

      Kuna amani Gani kaburini shetani yule apate adhabu Kali kabisa nyang'au

    • @makobamasawemangu4122
      @makobamasawemangu4122 25 днів тому +1

      Magufuri wenu ndo alietuma watu kumuua ngoja amseme kidogo

    • @sundaystanley5322
      @sundaystanley5322 21 день тому

      @@zawadimbwambo1091 ungekuwa wewe ndiye unayetoa hukumu pengine mpaka babako mzazi angekuwa kaburini

    • @evansmudaki4772
      @evansmudaki4772 16 днів тому

      Magufuli yuko mbele ya hukumu. Alitaka kumua mwenzake mungu akamuondoa

    • @salhaomar5382
      @salhaomar5382 16 днів тому

      @@evansmudaki4772 nayeye pia. Siku yake itafika. Alivyokuwa na mdomo mchafu kama mtaro tena mungu amuunguze. Kwenye ule mdomo wake mchafu atapiga kelele. Na ikulu ataiskia kwenye bomba...

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 22 дні тому +2

    Wewe ni jasusi unatumiwa na watu wako Huaminiki kabisa.Ongea sera mzee ja siyo kulaumu watu tu.Wewe siyo malaika.Unatafuta ubunge tu.Chakula😮

  • @Kim19onlinetv
    @Kim19onlinetv 27 днів тому +8

    Siasa uchwara hii

    • @zawadimbwambo1091
      @zawadimbwambo1091 25 днів тому

      Akili ndogo unazo utamuelewa lissu ? Mpaka uliwe nyum a Bado utasifia ujinga tu

  • @susumantalanta8505
    @susumantalanta8505 22 дні тому +1

    HAWA WATU NI VIBARAKA WA NGURUWE, HATARI SANA KWA BARA LA AFRIKA.....UTAPOTOSHA WASIYOELEWA DUNIA INAKWENDA JE......UNAONGEA PUMBA MAFALA WANACHEKA

  • @benardpeter3562
    @benardpeter3562 16 днів тому +1

    Achana na Magufuli mzee piga siasa isiyokuwa na mihemko pambana na Samia unazingua wengine tulimuelewa sana Jiwe

  • @yahyawatuta3902
    @yahyawatuta3902 24 дні тому +1

    We Lisu hivi Huna sera za chama chenu? Kila ukisimama ni kukandia CCM na watu wake. unawa boa wananchi. hivi unaona jinsi Wana chadema wanavyo zaidi kukimbilia CCM? Nadi Sera zenu achana na ccm

  • @ibrahimusagondo5228
    @ibrahimusagondo5228 21 день тому +1

    Hata wale waliokuona una akili kipindi kile sasa ndio wanajua walifanya kosa kuamini una akili 😂

  • @julianamasunga3458
    @julianamasunga3458 21 день тому +1

    Mwambien lisu ili tumuelewee ,aachane na magufuli siku tutamvunjiia heshima ,

  • @MathiasKalele
    @MathiasKalele 25 днів тому +2

    Wewe ndo mwizi Acha kupotosha watanzania

  • @kakanicodemus3632
    @kakanicodemus3632 27 днів тому +4

    Ila makonda ana viewers weng aisee kuliko hata ....sema wanajitahd sana ku balance mambo....lazima usikie pande zote mbili

    • @Uwezohussein-me2gp
      @Uwezohussein-me2gp 26 днів тому +1

      United state of america, ni muunganiko wa nchi nyingi sana, unahoji tanganyika, au zanzibar ili upate nn kwny maisha yako.

  • @MathiasKalele
    @MathiasKalele 25 днів тому +2

    Wewe ni shida tu

  • @RBMBAKARI-bv6wn
    @RBMBAKARI-bv6wn 27 днів тому +4

    Huyu jamaa ni mdini sana ukimchunguza sana unaweza ukafhani anatetea wananchi .lakini huyu ni mbaguzi anamsema vibaya sana vibaya magufuli yeye Kila kiongozi kwake sio safi .utu wa namna hii ni hatari sana Katika uongozi

    • @yassinrajabu6511
      @yassinrajabu6511 26 днів тому

      mdini tena kwani hapo amemtaja yesu?

    • @yassinrajabu6511
      @yassinrajabu6511 26 днів тому

      mimi ninachokiona kinachotusumbua umaskini upo kichwani 😂😂😂

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 22 дні тому

      @@yassinrajabu6511Umasikini na Ujinga pia Upo. Nyiye ni MAKOFI tuu mkimuona mtu kwenye jukwaa. Mkifaham msifahamu MAKOFI. Inasikitisha

  • @kostajoseph5811
    @kostajoseph5811 25 днів тому +4

    RAISI SAMIA MITANO TENA, MUNGU BARIKI VIONGOZI WETU🖐🖐🖐

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 10 днів тому +1

      Kumi na tano tena asipokuwa madarakani miradi ataimaliza nani😅😅😅

    • @kostajoseph5811
      @kostajoseph5811 9 днів тому

      @@hassanmfaume4522
      WE MWAMBA SANA Tanzania kwanza SSH KWANZA👍👍👍

  • @ngalamawecheslous9976
    @ngalamawecheslous9976 27 днів тому +2

    Hapo jamaaa yuko vizr umeshusha point za kwer ambao hawakuelewi ni wale ambao akili hawana tuu

  • @nancyenock5601
    @nancyenock5601 25 днів тому +1

    Kila leo naingia kutazama video nikijua kuna kitu utaongea lkn wap ubadiriiki uko butu kwenye siasa na hata sasa huyo JPM hakuna wakufanana nae

  • @protamwenyegzaketv7408
    @protamwenyegzaketv7408 21 день тому +1

    Hapo kwa magufuli Tunaomba usitutibue

  • @petromtakati2975
    @petromtakati2975 21 день тому +1

    na jpm boss wangu ata usemaje huwezi kutushawishi ata robo

  • @sharafisaidi7999
    @sharafisaidi7999 26 днів тому +21

    Hauweleweki Tena unapomgusa kipenzi chetu jpm maacha kabisa kukusikiliza

    • @zawadimbwambo1091
      @zawadimbwambo1091 25 днів тому +2

      Kipenzi? Pumbavu jambazi yule. Anatumikia adhabu jehanamu Sasa .

    • @JumaNjiku-df1fd
      @JumaNjiku-df1fd 24 дні тому +1

      Magufuli alileta matatizo makubwa sana kwa Watanzania. Wanaomsifu ni watu maskini ambao hawakuguswa na madhila aliyoleta Magufuli. Alivuruga uchumi, aliwaambia Watanzania wajiandae kukonda, kuishi Kama Mashetani, kuhama mijini na mambo mengine kama kuingilia account za watu. Bora ameondoka mapema angetupeleka kwenye matatizo yaleyale yaliyotokea huko nyuma kwa Yule anayesifiwa sana na Watanzania waliokuwa na maslahi naye.

    • @zawadimbwambo1091
      @zawadimbwambo1091 24 дні тому

      Masikini waliumia Sana tu. Ila kwa ujinga mwingi walimsingizia mungu na kumsifia mtesi. Magu alikataa hata wasioewe msaada wa mahindi walipokua na njaa iliyosababishwa na ukame. Na akasema serekali haina shamba. Umesahau?

    • @ibrahimsengo2506
      @ibrahimsengo2506 23 дні тому

      Unajua Magofuli ni best president,, yaan kupoteza muda kwa koment kumponda ni ujinga.
      Lissu pia nakubali sana na anafaa kua raisi ingawa ideology ake na magu tofauti ila wote ni BORA

    • @zawadimbwambo1091
      @zawadimbwambo1091 23 дні тому

      Sasa ukweli nikuponda!!!!! Ukweli ni ujinga. Mbana unajua sehemu ya wajinga? Niliyoyasema ni maneno yake na singiziwi. Alikua kajaaliwa upuuzi mwingi tu na ukatili. Ila wajinga wa kuzaliwa walimsifu Sana.

  • @khamismohammed7500
    @khamismohammed7500 17 днів тому +1

    Yani katiks mtu mwizi wewe ndio nambari 1

  • @festokivuyo7121
    @festokivuyo7121 21 день тому +1

    Ata ww ukifa nitakula keki siku hiyo

  • @willygwaikana
    @willygwaikana 13 днів тому

    Mie naona tatizo haliko kwa wanasiasa, wana harakati za haki sawa, au wanaojiita watumishi wa Mungu, bali tatizo liko kwenye ufahamu wa hao mashabiki wao. Ukweli ni uongo na uongo ni ukweli. Ndio maana kila kona wanaibuka na hoja zingine maana wateja ni ovyo kabisa kupambanua.

  • @user-jx2oc9ll2j
    @user-jx2oc9ll2j 25 днів тому +1

    MUNGU isadie TANZANIA

  • @user-ml2jh2bw4q
    @user-ml2jh2bw4q 20 днів тому +1

    Ww uwezi kuwa raisi

  • @fauzseif7344
    @fauzseif7344 25 днів тому +7

    Huyo ni mwehu mbaguzi

  • @user-md4xw4ui6b
    @user-md4xw4ui6b 27 днів тому +8

    Huyu jamaa anajishusha kisiasa kwakuwa vingine muongo huyu

  • @uwezomayonko5101
    @uwezomayonko5101 27 днів тому +6

    Ktk nchi hii hakuna mwanasiasa yoyote ambae anasema ukweli wakati wote kama mh tundu lisu.

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 26 днів тому +2

    Tatizo watanzania sio wazalendo na nchi yao manake huko bandarini walikuwa wanaiba sana na kuikosesha serikali mapato na ndio maana mama akaikodisha ili angalau serikali iambulie mapato.

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 22 дні тому

      Maneno yako 100% ni ya kweli na MTanzania wa kwanza kusupport Kama wanaiba sana Bandarini.

  • @abdulrahmankafuku3449
    @abdulrahmankafuku3449 27 днів тому +11

    Kila siku unasema wameuza bandari tutajie na Bei sh ngapi???

    • @williamgeorge-hd2tn
      @williamgeorge-hd2tn 27 днів тому

      00000%

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 25 днів тому +1

      MAMA KAWAINGIZA CHOONI HAWANA JIPYA 😢😢😢😢😢

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 22 дні тому

      @@williamgeorge-hd2tn😂😂😂😂 na hao walokuwa njiani sijuwi wakishika URaisi na wao watauza nini subirini tuu. Mchezo utaendelea. Hapo ndio mtajuwa Kama Rais. Sami kauza au kaigawa hiyo Bandari. 😂😂😂

  • @user-kk3fp2yq2d
    @user-kk3fp2yq2d 14 днів тому

    Tayari Watanzania umwe watenganisha na Wenzao wa Zanzibar

  • @lawskuli9876
    @lawskuli9876 26 днів тому +2

    Weye ni lawama tu kila siku

  • @elizabethmakala
    @elizabethmakala 22 дні тому +1

    Mm sio mwanasiasa, lakini naumia sana unapomsema mtu aliyekufa. Yaani ww hata useme vipi mungu kampokea magufuli kwa kazi nzuri aliyofanya Tanzania

    • @elizabethmakala
      @elizabethmakala 22 дні тому

      Nilipenda Magufuli, nitampenda siku zote na machozi yangu hayatakauka machoni mwangu. Namlilia Magufuli siku zote

  • @rechomoris1325
    @rechomoris1325 22 дні тому +1

    Nawewe ukifa hatutoi chozi

  • @MussaMuhammad-rv6vw
    @MussaMuhammad-rv6vw 27 днів тому +3

    Unajifanya msomi huna hata chausomi kitu kibaraka wa wazungu wee na utafukuzwa tuu kina mdee warudi usiokuwa na haya we mbaba chefuu

    • @tumainielimwakiyambe6801
      @tumainielimwakiyambe6801 27 днів тому

      Tunajua Mmehongwa hela nyingi za kumchafua lissu lakini hamtaweza wajinga nyie

  • @user-nr3ym2ku6y
    @user-nr3ym2ku6y 26 днів тому +8

    Watanzania hatujafikia moyo kama wako tundu huenda wewe sio mtanzania halisi huna chembe ya huruma hata kama siasa ni mchezo mchafu ila wewe umezidi kila mtu kwako hafai mpaka wenzio wamekususia chama haya hangaika nacho sasa

  • @RashidSaid-zm8hi
    @RashidSaid-zm8hi 27 днів тому +3

    Huyu Mzee ameanza kudata

    • @user-gv8yn9lg1i
      @user-gv8yn9lg1i 26 днів тому

      Ni kweli 😂😂😂😂😅😅😅😅

  • @e11said23
    @e11said23 27 днів тому +8

    Kwa siasa hizo sidhani utapata uraisi oman 🇴🇲 hatuna shida mzee ninauhakika oman uijui hakuna inchi isio hitajia nchi nyengine sera za sasaivi leta umoja wa Africa kelele nyingi na njaa inakusumbu wewe huombi ubelgiji una uzalendo mzee

    • @yousuphnzira3209
      @yousuphnzira3209 26 днів тому

      Huyu ni mjinga kama wajinga wengine.
      Hana sera

  • @KassimuMbarack
    @KassimuMbarack 20 днів тому +1

    Magufuli anahusika nn tena jamani mbona mnakera watu pumbavu zenu ndyo upate urais kwa kuwasema marehemu mjinga wewe

  • @IsdoryHiyani
    @IsdoryHiyani 25 днів тому +2

    Vulugu zoote mnazo fanya lakini rais yupo kimya unafkili haumii anavo wabeba lakin mnajifanya vichaa mnatakiwa mufike wakati muungane mjenge nnch so kupondana hivyo

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 22 дні тому

      Rais Samia ni muungwana. Siyo Rais (Mwanamke ) wa kusimama kwenye MAJUKWAA na kutukana watu. Huo ni ukweli.

  • @hamishasan7737
    @hamishasan7737 15 днів тому

    Mie mpaka leo naonaga chadema ni chama cha uhuni uhuni tuuuu

  • @JohnKuyokwa
    @JohnKuyokwa 25 днів тому +3

    Unaogea vya machozi hauna sifa ya kuwa rais

    • @haruntongo6703
      @haruntongo6703 17 днів тому

      Wasio kujuwa..watakusikiliza jeshi ulilo azisha pwani likauwa viongozi wa selekali na.laia
      .tena.ungekufa tu.mpumbavu

  • @user-gv8yn9lg1i
    @user-gv8yn9lg1i 26 днів тому +1

    Umekosa cha kuongea, hata hueleweki, pumzika sasa huna lolote.

  • @hamishasan7737
    @hamishasan7737 15 днів тому

    Hiki ndcho kinanifanya niipende ccm hadi kufa

  • @mohammedmussa7378
    @mohammedmussa7378 23 дні тому +3

    Bora waarabu kuliko mashoga wenzio

  • @DaudiSaid-bj7dh
    @DaudiSaid-bj7dh 13 днів тому

    Huwezi toa chozi ikiwa unajua nini ulikifanya. Muda utaongea tu

  • @mohammedmussa7378
    @mohammedmussa7378 23 дні тому +1

    Awaùzie mashoga wenzio wazungu

  • @josephmazinge6234
    @josephmazinge6234 27 днів тому +1

    Kweliii

  • @HASSANMKUYASALUM-wu4ey
    @HASSANMKUYASALUM-wu4ey 18 днів тому

    POLENI SANA WENA CHADEMA HAPO HAMNA KIONGOZI NI JINAMIZI TUPU
    MGOJWA WA AKILI WA MIREMBE NYINYI MUELEWENI

  • @FundiHussein
    @FundiHussein 15 днів тому

    Acha uchochezi Mzee huna nyimbo.kila kiongozi ni mwinzi? Kwani we malaika

  • @asingizibwejacobkalokola7351
    @asingizibwejacobkalokola7351 20 днів тому +1

    Ni mama!
    Pia suara la bandari tunalijua lina manufaa kwa Watanzania.

    • @user-le1mo8ru7u
      @user-le1mo8ru7u 19 днів тому

      Kwa nini msilipeleke zanzibar kwanza wafaidike

    • @user-le1mo8ru7u
      @user-le1mo8ru7u 19 днів тому

      Sio maghufuli ila ni ujinga wako ulikupiga risasi

  • @selemsigala4771
    @selemsigala4771 19 днів тому

    Ongelea bandari kuuzwa ila ukimgusa Magufuli unatutonesha vidonda vyetu watanzania ambao ataleo atokee mtu kugombea ashindanishwe na kaburi la Magufuli akika tutalipigia kura kaburi kwa mema liyo tutendea.

  • @emmanuelmatiko7307
    @emmanuelmatiko7307 15 днів тому

    Udini ni mwingi sana hii nchi.

  • @SaleheMkomwa
    @SaleheMkomwa 20 днів тому

    KWA WANAUME WAKE KULE ANAENDA LINI NASKIA ALIOLEWAGA

  • @samsonsamson7936
    @samsonsamson7936 20 днів тому

    Sisi watz bado sana yani tunawabeza wenye akili kama hawa kwa makusudi tu lkn hali zetu za maisha zinazidi kuwa ngumu

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 27 днів тому +1

    Et ukapige kura huku umelewa 😊😊😊

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 26 днів тому

    Umeeleweka..labda wale wanaofikiri kwa itikadi zao...

  • @Bittertruth-u4n
    @Bittertruth-u4n 24 дні тому

    Kumbe hii ni vita dhidi ya lissu na uislamu ,sawa bhana

  • @ALLYMTAWATAWA
    @ALLYMTAWATAWA 27 днів тому +3

    Tunampenda raisi samia

  • @CatherineAmos-zw8dx
    @CatherineAmos-zw8dx 15 днів тому

    Achana na Magufuli ww Mwache apumzike kwa Amani Raisi wetu

  • @salomemlagila5757
    @salomemlagila5757 22 дні тому +1

    Gusa vyote baba usimguse magufuli tafadhari utakimbizwa mchana kweupe

  • @AibaSaidy-jz3xs
    @AibaSaidy-jz3xs 10 днів тому

    Lisu anapo kosea ni kumsema Jpm, anakosa mvuto kisiasa kila kukicha, siasa inahitaji kuwajenga wanchi kw hoja na siyo kuwasema marehem.

  • @MeenaHassan-fd9vv
    @MeenaHassan-fd9vv День тому

    Lissu na wewe ukifa mimi sitatoa machozi ila tutachoma nyama kw wingi then tutakula nyama yetu vizuri

  • @luismchayano4796
    @luismchayano4796 2 дні тому

    Kwa sasa huna mvuto tena kisiasa.kila siku Magufuli na mtu hayupo,ww ungepewa hii inchi ungefanya kama aliyoyafanya magufuli kwa muda huo mfupi?

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 16 днів тому

    umeanza kujenga hofu hata uchaguzi bado leo una muuliza Rais katoa wp

  • @user-wr7io8lh6j
    @user-wr7io8lh6j 18 днів тому

    Mtanganyika ni mijinga sana kudadeki.....check comment zao humu ndani.....haijielewi hata

  • @StefanoShirima
    @StefanoShirima 18 днів тому

    Mana fala kabisa huyu mrudisheni Zanzibar

  • @tobiaspaul9203
    @tobiaspaul9203 25 днів тому

    Piga kazi mheshimiwa

  • @majaliwabwitonde6900
    @majaliwabwitonde6900 27 днів тому +3

    Na sisi ukifa hatutoi machozi

  • @lilangasayi1689
    @lilangasayi1689 23 дні тому

    Mzee utaongea sana lkn hii nchi ina watu wasiojielewa nadhani kila mmoja apambanie familia yake

  • @molexevelist813
    @molexevelist813 18 днів тому

    Magufuri hukumuelewa ww ukawa msariti leo ndo umeanza kujua alikua yuko sahh 🎉

  • @NeemaNeem-ex2oi
    @NeemaNeem-ex2oi 19 днів тому

    Wewe huna akili ata kidogo ugekua unajielewa huwezi kumsema marehemu mbwa wew hakuna mwananchi mwenye akili zake timamu akakupingia kura wew kwa izo pumba unazo ogea acha ujiga fara wew

  • @CharoHarrison-lf3jc
    @CharoHarrison-lf3jc 20 днів тому

    Maskini ndio wengi, ndio wenye kura,, chunga kauli zako lisu

  • @modestusndunguru7183
    @modestusndunguru7183 26 днів тому

    Huyu naye si wangefyatua za nakalioni tuuuu ..angekuwa anatoa udenda tuu 😂😂😂😂😂

  • @FadhiliMwaitete-ls2li
    @FadhiliMwaitete-ls2li 24 дні тому

    Wewe chizi Nini magufuli kwanini asisemwe kama Kuna maovu aliyafanya tusiseme kunamazuri Nayo kayafanya nayo tunayasema. Sasa nashangaa kwa Nini Kila kitu anapewa marabu akuna mataifa mengine niwarabu tu hapo Kuna Jambo limejificha tuombe mungu tu katiba ipatikane tuweze kupata haki zetu huyu mama anauza Kila kitu atatuacha watupu ccm mjitasmini

  • @romamtalambuga7
    @romamtalambuga7 24 дні тому +1

    Huyu jamaa akili hana! Ongea yote ila usimguse JPM kwa kejeri ngedere wewe

    • @JumaNjiku-df1fd
      @JumaNjiku-df1fd 23 дні тому

      Wewe ni miongoni mwa wale walioimbishwa nyimbo na kulishwa matango pori na amarula mpaka wakalewa hawajitambui maana akili ziliwaisha wakaamini mnyongaji kiuchumi wa wanyonge wasioisha ni mtetezi wao. Pole kwa kuwa mgumu kuelewa.

  • @user-ti6tn7bs9q
    @user-ti6tn7bs9q 9 днів тому

    Babu huna watu kabisa itabaki ww na vibua vyako ivoo😂😂😂huna lako safari hii hupati ata kura 7