Zuchu - Raha (Official Music Video) Sms SKIZA 8549162 to 811

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 тра 2020
  • Get #IamZuchu EP Now 👇🏼
    zuchu.lnk.to/iamzuchu
    Set As Caller Tune👇🏼
    SKIZA - Sms 8549162 to 811
    TIGO TZ - Sms RN kwenda 15050
    Song Written By Zuchu & Produced By Lizer Classic, Nusder Venom
    Video Shot & Directed By Director Kenny From Zoom Extra
    Contacts: +255718546547 | directorkeny1@gmail.com
    Book Zuchu Now:
    Contacts -- bookzuchu@gmail.com
    Connect With Zuchu On:
    Instagram: / officialzuchu
    Facebook: / officialzuchu
    Twitter: / officialzuchu
    #Zuchu #Raha #Wasafi
    Copyright ©2020 WCB Wasafi. All rights reserved.

КОМЕНТАРІ • 4,2 тис.

  • @mohafadhili4464
    @mohafadhili4464 4 роки тому +27

    Hapo Abadan wanikosha zuchu......sauti top....mashaallah,SIMBA mungu akujalie nakukuza vipaji..W.C.B....4LYF..SALUTE SIMBA..BIN LADEN

  • @francoolash8196
    @francoolash8196 2 роки тому +321

    Watanzania si mtupee zuchu tuwape ringtone apoko na tuwaongeze willy pozze😂....🔥🔥ngoma tamu kweli

  • @officalsong2280
    @officalsong2280 3 роки тому +37

    Natamani nikutukane... Sio kwa ukali wa ngoma hii.. Ukisikia mashairi yanagusa mpaka ndani ya moyo... Duuuh zuchu sio poa.. Nimenyoosha mikono...

  • @mariyamariya8948
    @mariyamariya8948 3 роки тому +109

    I love listening to Tanzania music🎶 much love to you zuchu keep it up Mariyam from Sierra Leone 🇸🇱🇸🇱🇸🇱🇸🇱🇸🇱🇸🇱🇸🇱🇸🇱🇸🇱🇸🇱🇸🇱🇸🇱🇸🇱🇸🇱🇸🇱🇸🇱

  • @eidmox
    @eidmox 4 роки тому +37

    Kuna vitu wasafi mnafanya mpaka naona hakuna muziki kwengineko ila wasafi😍😍😘🤩🎵🎧🎧🎧 nimerudia mara kumi

  • @silawsang2565
    @silawsang2565 4 роки тому +215

    kumskiza zuchu jamani rahaa😍😍❤️❤️❤️much love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇹🇿

    • @samiarai5530
      @samiarai5530 4 роки тому +2

      😍😍😍😍😍😍😍😍😙😙🤗🤗

    • @silawsang2565
      @silawsang2565 4 роки тому

      @@samiarai5530 😊🔥

  • @omarngatia3613
    @omarngatia3613 3 роки тому +5

    Kama kunae msanii kazidi uzuri wa sauti ya zuchu.. naomba munidanganyeni
    Love mingi kutoka mombasani

  • @SimplyWangari
    @SimplyWangari Рік тому +29

    I just love zuchu period ❤️😍😍😍😍
    Her voice 1000%
    Her beauty 100000%
    Her creativity 1000000%
    And her dancing 💃 100000000000%
    You are my favorite female artist in east Africa 🇰🇪 so much love from Kenya 🇰🇪

  • @getwellmsafiri426
    @getwellmsafiri426 4 роки тому +15

    Du kweli Raha ,wasafi Raha iv zuchu ni human being ama angel, aya gonga like kwa zuchu ake weweeeeeeeeeeeëh

  • @rehemasongambele7374
    @rehemasongambele7374 4 роки тому +78

    Yani umeuwa hii si ya kitoto mashallah nice one like kwa zuchu ake

  • @robertkisasa1346
    @robertkisasa1346 3 роки тому +8

    Hivi mnasikia mashairi ya humo ndan au....hiyo kamati iliyokaa kuandika hyo ngoma noma sana

    • @Swahili14
      @Swahili14 3 роки тому +2

      Yaan kaka hujui tu vile nasisimkwa😭😭😭❣️ Zuchu's voice 😭💎

    • @b.3845
      @b.3845 3 роки тому +1

      Aliandika huu wimbo hakusaidiwa. Yaani Zuchu ni mwandishi hatari sana 🔥

  • @BOASHAURI.09
    @BOASHAURI.09 2 місяці тому +2

    mtoto mzuri napenda sana nyimbo zako, huu wimbo nimeusikiliza mara 200 kwa kila wiki youtube

  • @raifamussa1522
    @raifamussa1522 4 роки тому +12

    Kaniweka darasani kunifundisha vizur, mengi hayajulikan yataka kuyakariri, kanichorea ramani kwamba ni nyingi siri, nyekundu nje na ndani rangi yake zingifuri....😘😋😙
    Best lyrics kupendwa rahaaa vooo

  • @aceotz2579
    @aceotz2579 4 роки тому +26

    ZUCHU wangu jmn hujawahi kuniangusha dear❤❤😍😍kupendwa raha jmn mnipende na mm bc niringe👌❤❤😙😙😍😍🔥🔥

    • @muzzoonlinetv7446
      @muzzoonlinetv7446 4 роки тому

      We love u

    • @aceotz2579
      @aceotz2579 4 роки тому

      @@muzzoonlinetv7446 thank you

    • @Mwalimuledi
      @Mwalimuledi 4 роки тому

      Zuchu kipenz #ZUCHU hujavuka boda ukaja KENYA ., umepenya mpaka ndan ya moyo wangu na kujaa kinywani mwangu. Unanipa raha.

    • @Mwalimuledi
      @Mwalimuledi 4 роки тому

      NAMPENDA ZUCHU
      Imi nampenda Zuchu, aujuwa baibuda,
      Aujuwa si kiduchu, namtoleya shuhuda
      Rijali awapa uchu, mjini kuona shida,
      Zuchu mtoto wa Kopa, anakuja kuwateka.
      Uledi Bryan
      Nakuru Kenya.
      Bryanrop8@gmail.com

    • @muzzoonlinetv7446
      @muzzoonlinetv7446 4 роки тому

      @@aceotz2579 karibu

  • @MaleiSila-pc2vx
    @MaleiSila-pc2vx 10 місяців тому +29

    2023 and still listening to the 🔝tune...zuchu killed it♨💯💯👊👊

  • @user-kb7tl8mn7o
    @user-kb7tl8mn7o 2 місяці тому +2

    Watanzania watupee zuchu ....huku Kenya tuwapee wasanii kumi

  • @benjaminkimaro6361
    @benjaminkimaro6361 4 роки тому +8

    Huyuu manzii Ananipaa Vibeee Husikaa saut Flan amazing sanaaaaa🙌🙌🙌🙌🙌kaniweka darasani Kunifundiaha Vizuriii Naraman Kachoraa####🙌🙌🙌🙌
    Kim's B papa

  • @luckyblack290
    @luckyblack290 4 роки тому +30

    Anaimba vizuri huyu dada jaman mashaallah yaan anajua sanaaaa big up girl zuchuu

  • @huxkey_4093
    @huxkey_4093 3 роки тому +141

    She's the queen of East Africa,, she's the promised queen of Africa.

  • @asumaniabasi7365
    @asumaniabasi7365 2 роки тому +13

    Mke wangu dah ctokusahau nikiangalia nyimbo yako pendwa 😢😢😢😢

  • @luckylac1240
    @luckylac1240 4 роки тому +77

    Japo nimechelewa hila nomba watu wote kutola🇱🇷🇱🇷wanipe like hapo chin. Zuchu our new shida🤣🤣

  • @claudiokelly8944
    @claudiokelly8944 4 роки тому +21

    Production kali kweli TEMBO Aanakazi dah! Kushindana na simba "king lion"🦔

  • @mastakialain4794
    @mastakialain4794 3 роки тому +2

    Zuchu niko Congo sehemu wanaita goma nakupenda sana haiko mie peke ni bamingi tolingaka yo mingi Penza mungu akubariki

  • @heriholder1625
    @heriholder1625 3 роки тому +8

    Zuchu msanii wangu no 2 baada SIMBA DANGOTE, Wallahi hii ngoma dah!! Inanigusa moyoni .

  • @khadijaabubakar5494
    @khadijaabubakar5494 4 роки тому +50

    Mashallah Zuchu mimi mshabiki wako Ninakupenda sana Ila unachokera Ujibu Comment za wadau wako Ujue Tunaweka bando kwa Ajili yko

    • @iammusic3404
      @iammusic3404 4 роки тому +3

      Acha ushamba sasa😬😬😬😂

    • @emanuelgavile7474
      @emanuelgavile7474 4 роки тому

      @@iammusic3404 hahahahaah

    • @iammusic3404
      @iammusic3404 4 роки тому

      @@emanuelgavile7474 😂😂😂😩

    • @RuzoOwzy
      @RuzoOwzy 4 роки тому +1

      Labda huwa anajibu, sema hujabahatika kuona au kuwa wewe uliyejibiwa

    • @sikudhanimohammad7692
      @sikudhanimohammad7692 4 роки тому +2

      Khadija Abubakar atajbu wangap

  • @dailyfun1369
    @dailyfun1369 4 роки тому +16

    Yaani nyie mpaka mtu awambie 😋😋hongeleni kwanza

    • @Sanjuktabehari
      @Sanjuktabehari 4 роки тому

      ua-cam.com/video/UiJmurhW1g0/v-deo.html

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 3 роки тому +10

    Mange kimambe kanileta hapa 🤩🤩🤩🤩

  • @elvirakaganda3807
    @elvirakaganda3807 3 роки тому +7

    Kaniweka darasani kunifundisha vizuri😜😜😜😜😜 TANZANIA🇹🇿🇹🇿🇹🇿 NCHI YANGU

  • @pauljesus7648
    @pauljesus7648 4 роки тому +29

    Raha kusoma comments Rahaaah.Aaa Rahaah sana.Tim Zuu Hebu tusaidiane kusoma comments humu🤙🤙🤙.....kbgHome

  • @bluearmy1854
    @bluearmy1854 4 роки тому +25

    DIRECTOR tunaye mmoja tuu bongo hii....wengine waongozaji wa vichekesho tuu😃😃😃

  • @ndutakaranja4604
    @ndutakaranja4604 2 роки тому +1

    Umekubalika East Africa nzima..... Wakenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tumetii. Bongo music is on another level

  • @wawerunguba1368
    @wawerunguba1368 3 роки тому +51

    no Kenyan female secular artist has such a voice. Her beautiful eyes complements it all

    • @musicapprentice6682
      @musicapprentice6682 3 роки тому +4

      Lol😂😂😂👌😘
      But worry out not even nandy is close to her angelic voice too
      Zuchu is indeed the african version of late #WhitneyHouston!👌💥🙌😭😭😭😍😇
      TIME WILL TELL US MO OF HER

    • @alexmwau666
      @alexmwau666 3 роки тому

      Stop dumb comparisons

    • @wawerunguba1368
      @wawerunguba1368 3 роки тому +1

      @@alexmwau666 am entitled to my opinions, so I call it as I see it

  • @abuuabuuamed5366
    @abuuabuuamed5366 4 роки тому +19

    Wcb 4 life zuchu utakuja niuwa nakupenda Adi nazidiwa

  • @shifahkyomia1736
    @shifahkyomia1736 4 роки тому +36

    My number one Tanzanian diva. Love from uganda 🇺🇬

  • @atiangconstance487
    @atiangconstance487 3 роки тому +47

    Am from Uganda ...I love listening to Tanzania music a lot ....one love to the music industry ..big ups...

  • @edsonhilary7492
    @edsonhilary7492 4 роки тому +32

    Raha kupata like za mashabiki
    Wa wcb ❤ OK 👌
    Gonga like apa twende sawa 🇹🇿🇹🇿 duuuuu awanipi like kweli

  • @kevtech3918
    @kevtech3918 4 роки тому +20

    The Queen oif WCB...wapi likes za Zuchu

  • @mainamwathi6790
    @mainamwathi6790 3 роки тому +20

    Talent, on top of Talent, yani, Kipaji mara dufu!!!! Bring them on Baby Girl... +254 Listening...

  • @BakariAthumani-vs8lk
    @BakariAthumani-vs8lk 3 дні тому +1

    Namuona ray c jmn mtu anasikiliza ngoma hii 2024 gonga like

  • @b.warron4631
    @b.warron4631 4 роки тому +9

    Zuchu umeingia kwenye top 4 yangu
    Maua sama, nandy , zuchu,ruby

  • @eupafrasikavishe6802
    @eupafrasikavishe6802 4 роки тому +112

    Kuna mda unasikiliza nyimbo hadi moyoni Unajihisi tofauti Asante sana Zuchu

  • @massimilianoraffadali5482
    @massimilianoraffadali5482 3 роки тому +14

    Bwana Zuchu unajua raha mpka moyo unauma jamani😍

  • @kaaysworld4038
    @kaaysworld4038 3 роки тому +38

    This song had the boo’d up by ela mai vibes, love it ❤️

  • @wagwan1941
    @wagwan1941 4 роки тому +23

    Mdogoetu anajuaaaa... Like twende sawa

  • @spodergunz7455
    @spodergunz7455 4 роки тому +30

    Kali sana queen wa #wcb #wasfi like hapa chini 👇🏻👇🏻👇🏻

  • @silaonesmo1322
    @silaonesmo1322 Рік тому +1

    Nakuapia huyu bint hiii mistar hawez kuitoa kichwan mwake yule Bimkubea wake anahusika sana maneno ya kiutu uzima sana yanarudisha mpk ndoa iliyokua imevunjika kabisa

  • @Nurudash
    @Nurudash Рік тому +1

    Mm nimezidisha kukubali nakupenda nakukupenda #zuchu mwenyewe daaahhh

  • @Weezy07
    @Weezy07 4 роки тому +150

    Don't worry i have found a frd that wanna teach me swahili, very soon i will understand the whole words...🥰🥰🥰
    Tanzania 🇹🇿 show me some love all the way from Nigeria 🇳🇬🇳🇬🇳🇬

    • @iammusic3404
      @iammusic3404 4 роки тому +7

      Nigeria has Simi
      Tanzania has Zuchu👌
      What beautiful vocalists!😱🔥🔥🔥🙌😍😭😭😭

    • @hajimbwanahaji7197
      @hajimbwanahaji7197 4 роки тому +3

      U need to be swahilian to get the message fully,,good luck anyway

    • @hajimbwanahaji7197
      @hajimbwanahaji7197 4 роки тому +2

      U need to be swahilian to get the message fully,,good luck anyway

    • @umojaafrika2447
      @umojaafrika2447 4 роки тому +5

      @@hajimbwanahaji7197 I'm french and I undertood the song. Every people can do it, if they learn swahili seriously

    • @kilacovers
      @kilacovers 4 роки тому +2

      ua-cam.com/video/6jqH8SqnitA/v-deo.html Here is the Official raha cover from WASAFI

  • @saintability4985
    @saintability4985 4 роки тому +41

    Ende tezi sina uoga atarejea ngamani🎶 Hii kali sana hakuna kitu napenda kama uandishi mzuri hongera mama hii #Raha

    • @pubgrealy8107
      @pubgrealy8107 3 роки тому +2

      Maneno Makali Hayo Jamani

    • @ZeProfesa
      @ZeProfesa 2 роки тому

      Mi mwenyewe nimeyakubali sana hayo maneno

  • @fredrickmbaruku7827
    @fredrickmbaruku7827 3 роки тому +1

    Jaman mapenzi balaa🔥🔥 hiyo video ni kama mm na mpenzi Wang kila siku ni kama sikukuu

  • @wanjaninahimana8123
    @wanjaninahimana8123 3 роки тому +3

    asalam maleykum zuchu Ana mpizini kwa kweli natamani angekuwa wa uku kwetu Burundi ongeya

  • @albraaaboelmajeed7363
    @albraaaboelmajeed7363 4 роки тому +61

    🇸🇩 🇹🇿
    Am from Sudan
    I love listening to Tanzania music
    As for you zuchu I love you
    And I love all songs
    You always look beautiful
    And when you open your mouth.let people dance to your tunes
    Because you have high lyric talent
    Keep going bomb

  • @elardmadeez3382
    @elardmadeez3382 4 роки тому +15

    Raha saana kuwa shabiki wa mziki mzurii like za ZUCHU RAHAAAA

    • @Sanjuktabehari
      @Sanjuktabehari 4 роки тому

      ua-cam.com/video/UiJmurhW1g0/v-deo.html

  • @Swahili14
    @Swahili14 2 роки тому +97

    The way Zuchu effortlessly phrases those high notes is beyond amazing🙌🏿❤️👑

  • @andrewnyasuru2917
    @andrewnyasuru2917 2 роки тому +3

    Zuchu hapa uliimba...💛🧡❤️

  • @edsonhilary7492
    @edsonhilary7492 4 роки тому +27

    Shabiki wa wcb wakweli gonga like apa tuu Tanzania 🇹🇿 Kenya 🇰🇪 Uganda 🇺🇬 Somali🇸🇴 like zenu Oman 🇴🇲 like zenu apa South Africa 🇿🇦 like zenu apa 🇹🇿🇹🇿✊✊✊

    • @Sanjuktabehari
      @Sanjuktabehari 4 роки тому +1

      ua-cam.com/video/UiJmurhW1g0/v-deo.html

  • @japhetmalelo520
    @japhetmalelo520 4 роки тому +68

    WCB mtoto anazaliwa na anaanza kukimbia on the spot

  • @pendomichael9472
    @pendomichael9472 3 роки тому +2

    Zuchu uliimba hapa moom.....mwimbo mtamu

  • @bacarsoifouddine6445
    @bacarsoifouddine6445 3 роки тому +13

    Je comprends rien de ce qu'elle dit, mais franchement cette dame a une très belle voix. Continuez et ne vous arrêtez pas à nous faire plaisir ! Je suis à plus de 200% à vous écouter.

    • @user-wi6uk1vz1h
      @user-wi6uk1vz1h 7 місяців тому

      Ils sont beaucoup jalouser surtout la fille les gens ne jurent que pour leur séparation elle et DIAMOND Platnums son mentor ZUCHU est ma préférée j'aime l'écouter chanté c'est même elle qui m'a fait aimé PLATNUMS et je les adore et aime les voir ensemble bisous à mes deux musiciens préféré 💕💕💕💕❤❤❤❤💯💯💯💯💯💯💯💯

  • @michellesparks4502
    @michellesparks4502 4 роки тому +16

    Zuchu is soo pretty 😍
    Kupendwa rahaaaa ♥️♥️💘💘💖💖

  • @emmanueldecarzolin4955
    @emmanueldecarzolin4955 4 роки тому +13

    zuchu kama zuchu...wapi like zake
    😊
    😍
    💞

  • @silvianyambeki1170
    @silvianyambeki1170 2 роки тому +4

    Niko hapa juu ya mapenzi 😍❤

  • @trendymusic544
    @trendymusic544 2 роки тому +2

    dazuchu hakika huwa na kuzimikia sana nakudata kwa dhati ya moyo

  • @Cheetah837
    @Cheetah837 4 роки тому +20

    Jamani mnipe like za huyu mtoto wa KopA dah ❤️❤️❤️

  • @kagayugah5125
    @kagayugah5125 4 роки тому +461

    I don't understand swahili but it's so romantic. I can I get likes am new fun from South Africa

    • @alphaabdallah1406
      @alphaabdallah1406 4 роки тому +1

      Its fan not fun....

    • @GG-iu6ls
      @GG-iu6ls 4 роки тому +2

      Heeey handsome 😉😉 come i teach you swahili

    • @RuzoOwzy
      @RuzoOwzy 4 роки тому +4

      This song and the rest of her album songs, can cure corona. Mark my words.....😎

    • @theblessedone7526
      @theblessedone7526 4 роки тому +2

      Kagayuga from south Africa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂Biro umenichekesha sivyo lol

    • @brunobruntix5177
      @brunobruntix5177 4 роки тому +3

      Fun?? Then which language do you understand cause you also have dificulties in expressing yourself in english

  • @queen_lodestar1379
    @queen_lodestar1379 3 роки тому +5

    Ndege asili ya mbuga kufugwa hawezekani💓

  • @kyalokyalo1815
    @kyalokyalo1815 3 роки тому +4

    Zuchu nilisikia hii ngoma kwa boda boda nikiwa Mombasa leo hii nipo nairobi naitazama UA-cam nina haya ya kusema
    1.Am a bachelor and how love feels mimi najua since i miss it
    2. Hii ngoma yote naipenda ikifika 2:44-2:45 min that smile is very sinceere infact lpovely
    3. On your launch a guy said unafaa mtu wa kukuchunga,sina ya kununua ndege ama saloon mara tatu kwa wiki lakini tunaweza pata ya dagaa na ugali lakini roho yangu nikupe utembee nayo my love.
    Nimeanza kukupenda bure kama kuna watangulizi wangu waambie O.G (Ounda Gilvance) ameamua...............zuchu mbona unataka nikuje TZ mguu silali.......
    LOVE ME ZUCHU YOUR KENYAN BABE

    • @iammusic3404
      @iammusic3404 3 роки тому

      Urghhhhh😬😬😬😬
      Kenyans!😳

  • @edsonhilary7492
    @edsonhilary7492 4 роки тому +15

    Uganda 🇺🇬 like zenu apa tuwe sawa sawa

  • @stephenvodasalano4945
    @stephenvodasalano4945 4 роки тому +38

    FROM MOMBASA KENYA 🇰🇪🔥🔥🔥🔥

  • @osamasaid813
    @osamasaid813 2 роки тому +3

    Sielewi maneno, tafadhali mtu anitafsirie kwa sababu nampenda mwimbaji huyu sana

  • @hamisaharuni680
    @hamisaharuni680 3 роки тому +1

    Nakupenda Sana my nyimbo nzuri siwezi kushinda siku bila kusikiliza nyimbo zako umejitahidi Sana mwenyezi mungu akuepushe na husda za waja

  • @muddymussa3483
    @muddymussa3483 4 роки тому +77

    I'm in love with this girl.... She's wild

    • @RuzoOwzy
      @RuzoOwzy 4 роки тому +2

      Muwahi kabla hajachanganya na kuwa busy na tours... 😁

    • @muddymussa3483
      @muddymussa3483 4 роки тому +2

      @@RuzoOwzy hahaha aisee inabidi niruke nae fasta

    • @RuzoOwzy
      @RuzoOwzy 4 роки тому +1

      @@muddymussa3483 yah, fanya yako mkuu, tuanze kuku-follow

    • @kilacovers
      @kilacovers 4 роки тому

      ua-cam.com/video/6jqH8SqnitA/v-deo.html watch Raha UGANDA COVER

    • @azimadamjee6303
      @azimadamjee6303 2 роки тому

      I love this song alot I here on my bike as I cycle to work every day Keep u the great music mashallah

  • @jittinkhalifa343
    @jittinkhalifa343 4 роки тому +66

    From Ghana 🇬🇭....this song 🔥🔥🔥...diamond is genius for bringing out Zuchu

  • @Richard_Range
    @Richard_Range 11 місяців тому +6

    2023 i think its still one of my fav song of Zuchu and allll because of mashairii!!
    Make us proud Zuchu
    🇹🇿❤️🇺🇸

  • @Mnakx001
    @Mnakx001 2 роки тому +3

    Kaniweka darasani kunifundisha vizuri ,,...🔥🔥🔥 can't get enough of this song,❤️❤️

  • @saidimpako5186
    @saidimpako5186 4 роки тому +22

    hapa ndo nakiona kipaji halisi cha zuchu kwenye uimbaji

  • @mukaplatnumz2313
    @mukaplatnumz2313 4 роки тому +264

    Leo nimeona mapema
    Like za zuchu akeee JAMANI alafu najisikia raha.

  • @chantedeallende2388
    @chantedeallende2388 3 роки тому +32

    She's pretty and has a beautiful voice
    I don't understand Swahili but I'm starting to like this girls songs so much🙏👌🇿🇦

  • @hassanmzava6416
    @hassanmzava6416 3 роки тому +1

    Leo nimependwa Sikujua raha Nimekuja kumsikiliza zuchu kwanza aniambie raha ya kupendwa

  • @Kiroboygini
    @Kiroboygini 4 роки тому +200

    Team Kenya sign here if you like de song is dope🔥🔥🔥🔥

    • @rajabhafidh9725
      @rajabhafidh9725 4 роки тому +4

      Msije sema msanii wenu maana hamchelewi

    • @tkalestz9320
      @tkalestz9320 4 роки тому +1

      KIRO BOY KB noma sana check na hyo ua-cam.com/video/mbg09WL4EoM/v-deo.html

    • @CaperAfrica
      @CaperAfrica 4 роки тому +1

      "Aina za wanawake na K zao" pita na link hii..
      ua-cam.com/video/CuO1gbIMdss/v-deo.html

    • @OsarisTsunguch
      @OsarisTsunguch 4 роки тому +3

      @@rajabhafidh9725 we take them sisi wakenya banaa😂😂😂

    • @ifkasergioaguero1247
      @ifkasergioaguero1247 4 роки тому +1

      @@OsarisTsunguch 😂😂

  • @AbcdEfgh-ju7dg
    @AbcdEfgh-ju7dg 4 роки тому +14

    Yani zuchu napenda unavojiachia wallah ww namba 1 tz

  • @emmanuelwayi2950
    @emmanuelwayi2950 3 роки тому +1

    Daaaaah!!narudiaa zaidi hata ya mara kumi kwa cku!!You kill me Z!!!!!

  • @rukiajoha1859
    @rukiajoha1859 3 роки тому +1

    Deep from my heart I really love you zuchu sio kwa sababu upo wcb ila unaimba vizur sana sana sana na nyimbo zako naweza sikiliza ata mara buku kwa siku azichoshi nlikua nakufayilia eversince upo kwenye yale masindano ya tecno ad saiv am so happy for you baby girl u deserve it kaza buti baada miaka mi2 mbele daaah! Utakua mbali sana sana sana girl unabahat unawasimamizi wazur beonce wetu wa kesho

  • @ummulkhairkarama2741
    @ummulkhairkarama2741 4 роки тому +10

    Kama unampenda Zchu nipe Like 👍👍👍This is fantastic

  • @iammusic3404
    @iammusic3404 4 роки тому +83

    "Ndege asili ya buga kufugwa hawezekani....!"🔥🔥🔥🙌😍😭😭😭😭
    Mtoto anasauti huyu
    Si kwakughani huku👌👏

  • @ianmirikwa
    @ianmirikwa 3 роки тому +31

    Once more haha a I am back to add this to the on repeat mode playlist ...sweet voice what an angel ..big-time fan Zuchu this was lovely...raha tuu straight outer 254

  • @josephombete5066
    @josephombete5066 2 роки тому +1

    kweli kupendwa raha jamani!!!Zuchu⚘⚘⚘

  • @erickaruna417
    @erickaruna417 4 роки тому +42

    I just love how Dee treats zuchu,like his small sis
    'anything you want you get sis'

    • @iammusic3404
      @iammusic3404 4 роки тому +1

      Absolutely👌
      And
      I really love it😭😭😭😍

    • @kilacovers
      @kilacovers 4 роки тому

      ua-cam.com/video/6jqH8SqnitA/v-deo.html watch Raha UGANDA COVER

  • @kefawales8187
    @kefawales8187 4 роки тому +13

    Kuanzia hapo dakika 2:21 ni shida sana mtoto una sauti nzuri sana

    • @Swahili14
      @Swahili14 3 роки тому +1

      Hatari 😭🙌❣️

  • @jeremihkyambi395
    @jeremihkyambi395 Рік тому +7

    2023 na huu wimbo unapamba tokea Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪💎

  • @Miss_Emmz
    @Miss_Emmz 3 роки тому +7

    Kupendwa jamani ni raha...❤❤❤

  • @nefisasebit9802
    @nefisasebit9802 4 роки тому +13

    mje kenya baada ya corona nairobi zuchu we love u gal

  • @azizibakari7783
    @azizibakari7783 4 роки тому +31

    Nyie wakuda mnajua kutengeneza video kali 🙌🏾 Hii ngoma nlikua naisubiri chupa lake kabla bwana corona ajanibeba 😂

    • @djohn5621
      @djohn5621 4 роки тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @khalidmangi6666
      @khalidmangi6666 4 роки тому +1

      😀😀😀eti bwana Corona

    • @azizibakari7783
      @azizibakari7783 4 роки тому +1

      Khalid Mangi Ee n bwana corona 😂🙌🏾

    • @khalidmangi6666
      @khalidmangi6666 4 роки тому +1

      @@azizibakari7783 huyo bwana Corona pia Mimi namuogopa Sana

    • @azizibakari7783
      @azizibakari7783 4 роки тому +1

      Khalid Mangi ni jangili la majangili 🤣

  • @walulyasadat4256
    @walulyasadat4256 Рік тому +3

    Am Ugandan but dis zuchs songs are awesome Swahili great

  • @shabani_hashim3622
    @shabani_hashim3622 3 роки тому +1

    Nakubali sana wimbo wa zuchu toka drc🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @chanjamabilo3963
    @chanjamabilo3963 4 роки тому +11

    Duuuuh Zuchu wewe Ni mkali kabisa one of my favourite song from your Ep I am Zuchu, watching from Australia keep it up sister.

  • @nasmahanhashil4620
    @nasmahanhashil4620 4 роки тому +8

    Nyimbo imetulia jamaniii aaahh mmmwaah...na sana nimependa hapo ya "vineno vya kisirina.."wakomeshe hao ...kupendwa raha jamani

  • @chachabatekila7556
    @chachabatekila7556 7 місяців тому +7

    Je suis congolaise je ne connais cette langue mais j'aime ça beaucoup la première personne m'a fait l'aimé c'était diamond maintenant la fille elle est devenue ma préférée j'aime revoir ces anciennes chassons

    • @user-wi6uk1vz1h
      @user-wi6uk1vz1h 7 місяців тому +2

      Moi aussi je suis congolaise de BZV depuis que je l'si découvert elle a conquis mon cœur c'est ma préférée je connais presque tout son répertoire bien que je ne comprenne pas bien la langue swahili mais le rythme est envoûtant elle très bien et tout ses duos avec Diamond sont mortels en tout cas j'ai craqué pour ces deux artistes mon couple préféré 💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕

    • @chachabatekila7556
      @chachabatekila7556 6 місяців тому

      @@user-wi6uk1vz1h moi de même je connais pas leur langue les deux diamond et zuchu je les aimes tellement ils sont mignons est zuchu je connais aussi presque tous ces répertoire je l'aime beaucoup zuchu elle est devenir mon artistes préférés dans la liste des mes préférés.

  • @graceabalem1577
    @graceabalem1577 2 роки тому +2

    Raha kupendwa rahaaa😍😍I miss being inlove again, staki ya kushare mie.

  • @mickeychui5631
    @mickeychui5631 4 роки тому +13

    Dawa ya Nandy !! Kenya twakupenda sana totoo!

    • @atienograce7564
      @atienograce7564 4 роки тому +1

      Mickey chui achq uchonganishiii Nandy ana nafasi yake na Zuchu ana nafasi yake poles🏃🏃

    • @iammusic3404
      @iammusic3404 4 роки тому

      Kweli anasauti yadhahabu😍🔥🙌