🔴

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 40

  • @shamissuleyman4894
    @shamissuleyman4894 20 днів тому +1

    Mm nadhani awe mfanyakazi wa nyumbani kwa Azizi kii na hamisa

  • @deoluma1706
    @deoluma1706 20 днів тому +4

    Tatizo la manara huwa anapenda ugonvi tuu. Simpendi kabisaaa mm

  • @dietrichoswald34
    @dietrichoswald34 20 днів тому +7

    Manara ana :
    #Mgongano wa maslahi, ana maslahi yake binafsi, na maslahi ya yanga.
    Identity crisis - anataka kama sio yeye hakuna mwingine.
    Nu mbinafsi aliyepitiliza😊😊

  • @user-rb5em5zp7s
    @user-rb5em5zp7s 20 днів тому +1

    Manara anapenda sifa

  • @ExaudMwakila
    @ExaudMwakila 20 днів тому +1

    Hana vyeti huyooo apewe kitengo Cha upakuaji wa supu tafadhari

  • @AhmedMohamed-zj8hi
    @AhmedMohamed-zj8hi 19 днів тому

    Kichwa cha habali na unavyoongea mbona tofauti?!

  • @jumamustapha8254
    @jumamustapha8254 20 днів тому +5

    Manara kuwa na subra, nikweli ulisimama kwa adhabu ya tff ally kamwe amefanya akarithi nakufanya vizuri sana. Kwasasa subiri upangiwe sehemu nyingine.

  • @rajabujohn1373
    @rajabujohn1373 20 днів тому +2

    Nyee huyo haji manyera mpeni kitengo Cha unjiwa Yani kutongozea watu mademu tu

  • @VIVIANEMAKOTO-rl8lt
    @VIVIANEMAKOTO-rl8lt 20 днів тому +1

    Kenge huyoo akatongozee
    Wachezaji wanawake

  • @nabiimgongolwa8728
    @nabiimgongolwa8728 19 днів тому

    HAKUNA CHA UJANJA NYIE WAANDISHI WANAFIKI

  • @JoyceKapaga-mb8tz
    @JoyceKapaga-mb8tz 20 днів тому

    Kaka manala kaa mbembeni kwa kutulia

  • @joharikashindye8655
    @joharikashindye8655 20 днів тому +3

    Nenda pamba

  • @geraldmmuya6658
    @geraldmmuya6658 20 днів тому +2

    Apewe kitengo cha uhamasishaji mikoani ili wanachama wawe wengi.

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 20 днів тому +4

    Manaea ni kunguruu hafugiki

  • @nairobistarsmoderntaarab5949
    @nairobistarsmoderntaarab5949 19 днів тому

    Sasa manara namuona aleta zilzala kwa yanga, itakuwaje yeye kapata adhabu ya tff akiwa msemaji wa yanga, nakama tujuavyo timu isingebaki bila msemaji, miaka hiyo miwili ali kamwe akapata nafasi kuwa msemaji, tena kwa uweledi mkubwa ali kamwe kauonyesha, sasa iweje tena manara ataka nafasi yake arejeshewe?

  • @FatumaAbdallah-f8o
    @FatumaAbdallah-f8o 20 днів тому

    Huyu jamaa usemaji ni maswala ya wasomi wewe itakuwa unapokea wageni 😂😅😂😂😂

  • @EnosMalele
    @EnosMalele 20 днів тому

    Akaoshe masufuria ya supu ndo Kaz inayomfaa mchekeen atawavuruga Yanga huyo hana lolote Ally Kamwe anatosha

  • @HABIBHASSAN-wf5mr
    @HABIBHASSAN-wf5mr 20 днів тому

    HAYO MAONI YENU TULIDHANI LABDA MNA TAARIFA YYT YA MANALA KUMBE AMNA LOLOTE

  • @AllyMasangaluka-bm5ib
    @AllyMasangaluka-bm5ib 20 днів тому

    We manala usimtishe lnjinia kwa lolote cc tutamsaidia uyo

  • @MahmoodAhmed-yt9me
    @MahmoodAhmed-yt9me 20 днів тому +1

    SPOKEN sio msemaji muandishi uwe unajiandaa kama unahamu yakutumia lugha ya kigeni basi isomee ipasavyo kuliko kuokotaokota maneno na pia kushindwa kuyaunganisha hii haotoi taswira nzuri katika kazi yako

  • @abdalla8193
    @abdalla8193 20 днів тому

    Njoo tabora FC ujeuporomoshe matusi

  • @saidishekalaghe3496
    @saidishekalaghe3496 20 днів тому

    Huyu si ndio alimuita Engineer kuwa hana akili? WENYE AKILI pale Yanga ni Kikwete na Mzee Sande? Sasa unategemea Engineer ampende manara ? Labda arogwe! ✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️ TUWE na AKIBA ya maneno mitandao tuiheshimu.

  • @MahmoodAhmed-yt9me
    @MahmoodAhmed-yt9me 20 днів тому

    Imeweza kuchukuliwa BE SERIOUS ndio lugha gani

  • @rashidsaid1199
    @rashidsaid1199 19 днів тому

    Kuna Jambo natakiwa kufaham haji manara na Aly kamwe nivitu viwili tofauti kabisa. Manara Hakuna kama yy Tanzania tff ilifanya hujuma kwamanara ili apatikane msemaji mwingine.kumkomesha manara.uongoz wayanga tumieni busara msikurupike manara nimtu muhim Sana yanga

    • @aminaomari2312
      @aminaomari2312 18 днів тому

      Na yanga hawawezi kumuacha Manara sema hawa waandishi ndio wanachochea chuki.

  • @rajabujohn1373
    @rajabujohn1373 20 днів тому

    Kitengo kinacho mfaa ni kutongozea wanawake wachezaji wenuty msimtupe pumbafunyie haji kinjiwa mzulitu

  • @HussenMadimbwala
    @HussenMadimbwala 20 днів тому

    Haji kapiga Hera kwenye ubuyu na WA mond

  • @JohnHembweza
    @JohnHembweza 20 днів тому

    Kuljuan imeanza

  • @TwalibuKimaro-th5mv
    @TwalibuKimaro-th5mv 20 днів тому +1

    Bugatiiiiiiiii

  • @methodpeter-l8x
    @methodpeter-l8x 20 днів тому

    Sope we kuwa kuwadi tu kama yule sogs mchome

  • @HusseinHussein-f7n
    @HusseinHussein-f7n 20 днів тому +1

    kunguru anafugikia mkumbatien2 si muliwaon simba wajinga kuachan na simba haongelei yanga anamuongelea mobeto2 hhhhhh

  • @hajisimba4706
    @hajisimba4706 20 днів тому

    Sema nn nyie ni mafala sana mnapenda kuongea uongo mtajiaribia kuwen kama Mallard ayo mtakuwa wa mwisho kila siku

  • @methodpeter-l8x
    @methodpeter-l8x 20 днів тому

    Ulipata laana kutoka simba kaa pembeni sope huma mvuto

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 20 днів тому +2

    Mwandishi we MBWA TU PUMBAVU UCHONGANISHI TU

  • @DanKirahi
    @DanKirahi 20 днів тому

    "Ukapita kwenye ukurasa wake kuona kama kuna majibizano" huo ni umbea au udaku. Fanyakazi yako ya uandishi kwa umahiri.

  • @user-mb2ln1et5w
    @user-mb2ln1et5w 20 днів тому

    Mtangazaji unaboa sana hyo kazi unamdagani nayo?

  • @sammyjuma210
    @sammyjuma210 20 днів тому

    Wewe kalikonji rudi simba kawaombe raadhi hao yanga walitaka kukudhalilisha tu

  • @user-dz9cn1gw2j
    @user-dz9cn1gw2j 20 днів тому

    Tunamtaka azam

  • @mussandikumana3561
    @mussandikumana3561 20 днів тому +1

    Sasa Hersi Yanga ni yake ata yeye ataiacha ukimuuwa mwenzako kwa bunduki iko siku na weye utauwawa kwa bunduki Manara kuwa mwenye subira malipo ni apa apa duniyani mwenyeezi Mollah ametaka kukuokowa mwaka uyu awo jama ata makundi awafiki na Simba bingwa uyu mwaka

    • @NadiaSadam-u3i
      @NadiaSadam-u3i 20 днів тому +2

      We nawe unamuapiza herself kama vile wewe ni msafi mfyuuu kwanza hata kuandika hujui kajifunze kuandika kwanza halafu ndo uje umseme herself nyauba ww