HOJA DHAIFU ZINAZOTUMIKA KUIPINGA SIKUKUU YA CHRISTMAS (NOEL)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 62

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe5132 День тому +1

    Safii sana mwl Daniel walizoea kutudanganya!! Wakafanye kazi sisi tunasherehekea kuzaliwa kwa Yesu. Tatizo wanajifanya wanajua na niwatakatifu wakati hamna kitu.

  • @JajiZakayo-fw9mk
    @JajiZakayo-fw9mk День тому

    Songs mbele mtumishi wa Mungu wanaokuelewa ni wachache ungekuwa utokani na Mungu waislamu wangekuwa wamesha kuuwa maana jitihada zako na huduma ya bibulia ni jibu ndiyo pekee mmeleta waislamu wengi kwa Yesu na kuzuia wakiristo wengi wasimuche Mungu wa kweli na kwenda kusilimu. wasamehe wote wanaokushambulia, maana hawajui nguvu ya Mungu itendayo kazi ndani yako.

  • @samuelgacheru4854
    @samuelgacheru4854 День тому +1

    Mwalimu balikiwa sana Kwa kufafanua haya,tangu niaze kukufuata umekua wa msaada kwangu

  • @BarakaStakus
    @BarakaStakus День тому

    Ubarikiwe mtumishi kuliweka sawa swala hilo

  • @mmasaalonda499
    @mmasaalonda499 День тому

    Mungu akubariki kwa uduma yake

  • @gabrielsaelie8091
    @gabrielsaelie8091 День тому

    Kwanza, Mwakemwa kuwahubiria waislam (Sule) juu ya kuzaliwa Yesu ni kupoteza muda . Maana hawaamini kuwa Yesu Kristo ni MWANA WA MUNGU.
    Pili kuamini Yesu Kristo alizaliwa siku ya christmass ni upagani wa kanisa la kirumi la kipangani la kutukuza siku aliyokuwa inaidhimishwa siku ya kuzaliwa mungu wao wa kipagani Tamuz. Ni wongo wako wa na kunisa lako kuidinisha siku wa christmas kama siku ya "kuzaliwa" Yesu.
    Tatu, Yesu ni MWANA WA MUNGU aliyozaliwa na Mungu Baba tangu milele na milele . Hili ni ndilo wanadamu wote wanapaswa kuelewa na kukiri ikiwa ni pamoja nao wa waislam. Na wakiri kuwa YESU NI MWANA WA MUNGU .

  • @ReginaChristopher-f5b
    @ReginaChristopher-f5b День тому

    Ubarikiwe Dan huyo mwingine arudi darasani Bado hajui sauti😢😢😢

  • @BAYYINATDMTV
    @BAYYINATDMTV  День тому

    ​@JameM-l1u ndiyo umeishia hapo? Nimeongea mahali popote kuhusu mayai? Kwa nini hutaki tujadili Luka 2:8-14 ambapo ndipo mwanzo wa Christmas? Uko tayari?

    • @JameM-l1u
      @JameM-l1u День тому

      Kumbe hufahamu na mambo yanayofanyika siku ya Christmas? Swali la Msingi ni
      1. Kwa Nini umefuta comment
      2. Ni kweli Yesu alizaliwa tarehe 25 December au ni Uongo?
      2.Father Christmas ni nani kimaandiko?
      3. Miti ya Christmas na kula sungura siku hiyo na kudecorate mayai kunakofanyika siku ya Christmas kumeandikwa wapi?
      4. Kuvaa mizula siku ya mnayodayi ni ya Christmas kumeandikwa wapi?
      5. Yeremia 25:31 inataja tarehe 25 December kuwa ni sherehe za kipagani zilikuwa zikifanyika na Kimsingi ndio waliokuwa wanavaa mizula mnayovaa na kupaka mayai na kula sungura ndio ilikuja mpka Kwa wanikolai mlikotoa neno Father Christmas hivi mnamdaganya nani Kwa mfano?
      6. Kwenye document za kanisa lililoinfluence Christmas si imeelezwa wazi ni sherehe za kizamani ila wameamua kufanya iwe Yesu alizaliwa ila haipo kimaandiko halafu wewe unaokoteza fungu lisilohusika Kwa vile wengi hawafahamu ndio unatake advantage hivi huna hata aibu ndugu?
      7. Huyo Father Christmas anayeleta zawadi usiku watoto wakiwa wamelala na kesho yake eti inakuwa boxing day huw ni nani??????????????????????????????????????????????????

    • @JameM-l1u
      @JameM-l1u День тому

      Wewe unafuta comments Bure TU Wewe jibu maswali .
      1.Huyo Father Christmas anayeleta zawadi usiku wakati watoto wamelala akiwa amevaa mzula mwekundu na rangi nyeupe chini yake huwa ni nani?
      2.Yeremiah 25:31 inataja kuwa ni sherehe ya kizamani huko tena na wafungwa walikuwa wanasamehewa Sasa Kwa Nini unaihusisha na kuzaliwa Kwa yesu?
      3. Ni kweli Yesu alizaliwa tarehe25 December au ni Uongo?
      4. Kwa nini siku hii watu huvaa mizula na kula sungura na kudecorate mayai na kuwasha mishumaa? Nyama ya sungura inahisiana ni I na kuzaliwa Kwa Yesu?
      4. Kwa nini siku hii huwa hata vyombo vya usalama vinakuwa makini sana kuimarisha usalama?
      5. Kwa Mara ya kwanza nani Ali influence hii sikukuu?
      6. Je ipo hatia kimaandiko Kwa wasioisherehekea? Kama ipo useme na kama haipo ina maana jambo lenyewe halipo au siyo ndugu?

  • @liberatusmboje8332
    @liberatusmboje8332 День тому

    Hata hivyo wakatoliki ndo watu wa rohoni halisi,wanayafafanua maandiko na kuyaleta katika uhalisia wa maisha,wengi wenu ni kujimwambafai Kwa hisia tu uhalisia hafifu.tena mwislamu ndo asinyanyue mdomo wake

  • @JamalGermanus
    @JamalGermanus День тому

    Mungu huwa anaumba,na si kuzaa na mwanamke,ila miungu ya wapagani ndio imeona wivu,kuwaachia viumbe kuzaa,

  • @Revelation1412.
    @Revelation1412. День тому

    YAANI WEWE HUFAI KUVAA JINA LA MWALIMU.
    KWASABABU MANENO YAKO YAMEJAA MATUSI NA DHIHAKA NANI ATAKUELEWA ILA WALE WAFUASI WAKO TU PEKEE.
    JITAZAME UPYA ACHA KIBURI NDUGU YANGU KITAKUPOTEZA.
    JAMBO LA MSINGI TOA ANDIKO TAREHE YA KUZALIWA KWA YESU BIBLICALLY SIYO MANENO YAKO MATUPU 😊

  • @ShabanElias-vp4on
    @ShabanElias-vp4on День тому +2

    Roho mtakatifu, atusaidie kuelewa maandiko matakatifu, maana huyu mchungaji hata anachokiongea,

    • @ShabanElias-vp4on
      @ShabanElias-vp4on День тому

      Hajui hata anachokiongea

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  День тому

      Wewe unayejua tuambie mkusanyiko wa malaika na wachungaji katika Luka 2:8-14 karne ya Kwanza ulihusu nini? Jibu hilo

    • @JameM-l1u
      @JameM-l1u 18 годин тому

      ​​​@@BAYYINATDMTV yaani Kwa akili yako walikuja kula krismas? Mbingu zilipanga azaliwe siku hiyo na ilikuwa kiunabii muda ulipotimia alizaliwa na ikumbukwe haikuwa 25 December. Na pia Yesu hazaliwi mara mbili au Kila mwaka Mission yake ilishatimia haihitaji kuzaliwa Kila mwaka as if kuzaliwa Kwa kwanza hakukutosha Kwa lengo alilokuja nalo. Hapa haihitaje eti heshima wala suti tunazovaa ni mambo serious! Mungu hafurahishwi!
      Hata hivyo kimaneno mnasema tu kuwa ni sherehe za kuzaliwa Kwa Yesu lakini kiukweli siyo , mfano kuna Father Christmas na kuvaa mizula. Na eti usiku huo huwa analeta zawadi Kwa watoto wakiwa wamelala na asubuhi wanazikuta na inakuwa ziku ya kupeana zawadi (boxing day) alizowapa huyo Baba Yenu🎉 krismas usiku. Je Kuna Biblia hapo?

  • @abdalahsuleiman8989
    @abdalahsuleiman8989 День тому +1

    Jinga lina tetea ujinga ulie simikwa na warumi ili lipate kula jiandae kwenda moton

  • @BenatdOnjiko
    @BenatdOnjiko День тому

    Mwalimu hatupingi kuzaliwa mwokozi lakini sherehe hizi za saturnula za December zinba msingi wa kipagani na n dio maana maovu mengi:uzinzi na ulevi vina shamiri sana krismasi.Sisi tumejengwa juu ya msingi wa manabii na mitume Efeso2:20 wote hawakuweka krismasi

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  День тому

      Kwa nini hampendi kuisoma Luka 2:8-14 ambapo ndiyo malaika na wachungaji walipoiadhimisha Christmas ya Kwanza Karne ya Kwanza na badala yake mnapeleka kwa Wapagani wa Kirumi karne ya 4? Kwenu wapagani ndiyo muhimu zaidi kuliko tangazo la malaika alilolitoa kuhusu kuzaliwa Yesu? Hebu punguzeni kufuru zenu. Mamajusi wanawashinda kuhusu suala hili.

  • @lutondestudio7896
    @lutondestudio7896 День тому

    Je watu wanakataa kuzaliwa kwa Yesu ao wanapinga tariki 25 ? Huyu mzee ni mnatheolojia wanguvu usiunganishe maneno sote tunampenda Yesu Kristo ila alifundisha Mathayo 24:24

  • @SirajiAli-s5l
    @SirajiAli-s5l 7 годин тому

    Bibilia ishaahabiwa ndio maana unachoonges hakieleweki

  • @denismugisha2
    @denismugisha2 18 годин тому

    Sisi ndio tunafaidika na kuzaliwa kwake, sio yeye anayefaidika hivo hata hatutegemei Yesu aisherehekee siku yake ya kuzaliwa,...hata hivyo kuzaliwa kwake yeye ni jambo alilolifahamu kabla

  • @liberatusmboje8332
    @liberatusmboje8332 День тому

    Liko jamaa jinga moja lilishwa matango pori,Kila likifundishwa badala ya kuleta hoja ya kimantiki linaleta jibu la Roma katoliki😅 Lina chuki mpaka litakapoenda kaburini

  • @Davidjame711
    @Davidjame711 7 годин тому

    Kumtetea shetani iyo luka unasema wapi imeandika tarehe ya kuzaliwa kwa Yesu na mwezi kipofu awezi mwongoza kipofu nwezake enderea kutetea shetani yaani sherehe iliyo ingizwa kanisa mwaka 336AD na contatine ndio unatetea kweli muongo ni muongo to siku zote

  • @Will-kaAlfred-k2n
    @Will-kaAlfred-k2n 8 годин тому

    Biblia inaweka wazi, katika 26 ni Kalenda, na 36 ni mwezi wa sita(kalenda hapo hapo ni wa mimba ya Yohana) fata kiswahili. vizuri Mwalimu. Mimba ya Yohana umri wake ni myezi 6 na pia huo mwezi kwenye kalenda ni wa 6. Usitudanganye. Fwata vizuri

  • @mohamedmillanzi9070
    @mohamedmillanzi9070 День тому

    Hamna kitu hapo.

  • @liberatusmboje8332
    @liberatusmboje8332 День тому

    Sasa majinga hayataki kula halafu yanataka na wengine tusisherehekee kujimwilisha kwa mkombozi wetu..kwanza hakuna aliyewalazimisha kusherehekea,kiherehere cha nini?
    Wakati tunasherehekea nendeni ofisini mkafanye kazi mjenge taifa,mkipumzika kama wanaosherehekea na kula mtakuwa mmesherehekea bila kutaka

  • @johndelefa973
    @johndelefa973 День тому

    Nilisikia kuwa hiyo unayoitetea kuwa ni NOEL haihusu BWANA YESU,
    umesema Noel ni la kilatini, mhh!!
    Tukichukua hilo neno NOEL
    ni muunganiko wa maneno ya lugha mbili
    No - ni kiingereza yenye maana ya Hakuna/ Hapana
    El - ni Kiebrania Yenye maana ya Mungu,
    Hivyo Ukiunganisha Neno NOEL kwa lugha zote mbili ina maanisha HAKUNA MUNGU,
    Noel - Inakataa Uwepo Wa Mungu,
    hapo unasemaje..!! tetea na hapo sasa,

    • @liberatusmboje8332
      @liberatusmboje8332 День тому +1

      Sasa hapo unayetaka aje kukujibu ni nani?yaani aache kufundisha aje kukuangalia wewe uliyeingiza ujinga wa makusudi?Sasa kama tukifanya hivyo mbona Dunia haitakalika,yaani nikitaka kuchafua kitu nilazimishe hata Kwa kuunganisha maneno ya kisukuma na kiswahili ili tu nipate maana?Sasa walikuwa wanaunga unga ili Nini?si wangesema tu no God kikaeleweka,wanakuficha Kwa kuunga unga Nini?

    • @JameM-l1u
      @JameM-l1u День тому

      ​​@@liberatusmboje8332 wewe unafahamu vizuri Maana ya Noel hebu eleza na wewe Yeye ameeleza anavyofahamu wewe kanusha TU na useme noel ina maana gani basi

    • @johnmayunga4445
      @johnmayunga4445 18 годин тому

      Pole umefundishwa vibaya

  • @denismugisha2
    @denismugisha2 17 годин тому

    Kama nyie mnapinga mwezi wa kuzaliwa Yesu, na mmepiga mahesabu basi mbona nyie hamsherekei kwa huo mwezi sahihi ? Yani na nyie mkawa na Christmas yenu sahihi ya mwezi sahihi wa kuzaliwa kwa Bwana???

    • @JameM-l1u
      @JameM-l1u 6 годин тому

      Kuna mtu anapinga kuwa Yesu hakuzaliwa??
      umeambiwa fanya adhimisho la kuzaliwa Yesu tarehe 25 December ? Na kesho yake ufanye boxing day? Unasoma Maandiko gani ndugu?
      2: Hebu soma Yeremia 25:31 uone ! Yaani mambo ya kizamani ya kipagani na saturnalia huko na kuvaa mizula yanahusiana nini na kuzaliwa Kwa Yesu?
      3. Tarehe halisi aliyozaliwa Yesu unaifahamu? Unadhani Kwa ni I Mungu aliificha? Ili watu msifanye kosa kama hili
      5. Kufurahi kuwa Yesu alizaliwa Kuna tarehe? Yaani unaweka siku maalum ya kufurahi ?

  • @oscarngowi4750
    @oscarngowi4750 День тому

    Ni upagani wa roma katoliki

  • @BenatdOnjiko
    @BenatdOnjiko День тому

    Sherehe hizi zaanzia meaka wa 350 AD misingi upagani mtupu soma history mwalimu

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  День тому

      Luka 2:8-14 ni upagani? Hebu nijibu

    • @JameM-l1u
      @JameM-l1u День тому

      ​@@BAYYINATDMTV Kwa akili yako hayo Maandiko yametaja Christmas?
      2. Hapo ilikuwa December 25?
      3 kulikuwa na mizula hapo iliyovaliwa?
      3. Kulikuwa na Father Christmas hapo aliyeleta zawadi usiku Kwa watoto kama atakavyoleta Kwa watoto wako kesho usiku?
      4. Watu walilewa kama watakavyolewa kesho wakiadhimisha?
      5. Je Yesu alisema watu wa sherekee au walisherekea siku hiyo TU alipozaliwa wakasubiri apae ndio wakaanza tena? Guy s be serious!
      .

    • @JameM-l1u
      @JameM-l1u 23 години тому

      ​​​​@@BAYYINATDMTV na wewe soma Yeremia 25: 31 na Kisha usome Sartunalia kwenye computer yako ujue sherehe hiyo ni ya kipagani zamani hizo. Sasa sijui utafuta tena hii comment ? Na je Mzula umenunua wa kuvaa kesho?
      Halafu angalia image za neno Father Christmas kwenye computer yako Kisha ujiulize huyo ndiye Yesu aliyezaliwa?
      Na Kwa Nini unasingizia Yesu wakati unaona kabisa ni jamaa flani anaonekana ana ndevu nyeupe na mavazi mekundu n yenye weupe chini?

    • @JameM-l1u
      @JameM-l1u 5 годин тому

      ​@@BAYYINATDMTV mama

    • @johnmayunga4445
      @johnmayunga4445 2 години тому

      Siku kuu yoyote ile shetani anaweka mambo yake, lakini siku zote za Mungu. Sasa ww umefundishwa kuhusianisha vibaya ndiyo maana unasoma kwa hisia hizo hizo.

  • @StephenMwijage
    @StephenMwijage День тому

    Mwl. Mwankemwa Biblia inasema usiongeze au kupunguza . Sasa onyesha fungu katika Biblia maali Mitume wa Yesu waliposherekea sikukuu hii . Hacha maelezo tuna kitabu cha Matendo ya Mitume tuonyeshe fungu

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  День тому

      Kwani Mitume ndiyo waliyozaliwa? Mbona Yesu mwenyewe kaeleza kwa nini amezaliwa? Sababu ni moja tu hamkutaka kumsikiliza malaika aliposema amewaletea habari njema za kuzaliwa Mwokozi Yesu. Sasa unahoji nini?

    • @Smart_jarm
      @Smart_jarm День тому

      Tarehe kuzaliwa YESU hakuna,masaa yesu kasukubiwa saa ngapi ni vurugu mechi,kufa ijumaa kufufuka jumaapili siku 3 hazinatimia ni usanii,sikukuu hii ni upagani full stop​@@BAYYINATDMTV

    • @nicodemuswidambe5132
      @nicodemuswidambe5132 День тому +1

      Wewe humfuatilii mwl Daniel. Mbona hilo swali alishajibu hoja hiyo. Unataka uone neno chrismas ktk biblia?? Wewe amini unacho amini usitulazimishe tukufuate. Wewe kalime cku hiyo sisi tunaazimisha kuzaliwa kwa Yesu.

    • @dyno4tz
      @dyno4tz День тому +1

      Pasaka imeelezwa kwa uwazi ila neno Christmass haliko hata kwenye Biblia ya Kiingereza na sio kwamba kuzaliwa kwa sio watu wanakataa ila wanaishi katika dhambi na siku ya Christmass pia ndio siku watu wanatenda dhambi sana kwa uchafu wa kila aina.​@@BAYYINATDMTV

    • @gabrielsaelie8091
      @gabrielsaelie8091 День тому

      ​​@@BAYYINATDMTV Bibilia ndio mwongozo wa Wakristo. Mungu kama angetaka tiijue na kuiadhimisha siku ya kuzaliwa Yesu yangekuwepo maandiko kwenye biblia kutukumbusha hilo. Wewe hujui maandiko na ni mpumbavu na muongo na unataka kuendeleza upagani wa Kanisa la Kirumi la kutukiza chirstmass siku ya kuzaliwa mungu wao wa kipagani tamuz.
      Kuwa na hekima na uelewa wa maandiko kwamba Yesu ni mzaliwa wa Mungu BABA tangu milele na milele na hiyo ndio wanadamu wanapaswa kuelewa na kushika sio Christmas's ya kipagani.

  • @Masotastv1389
    @Masotastv1389 День тому

    Wewe si Mwl ni muongo fulani hivi ;

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  День тому

      @@Masotastv1389 ndiyo umeishia hapo tu? Ahsante kushiriki

    • @JameM-l1u
      @JameM-l1u День тому

      ​​​@@BAYYINATDMTVKwenye Maandiko hakuna Cha wengi wape wewe unatetea upagani uliokuwepo enzi na enzi kabla ya Yesu kuzaliwa ila mmeuequivalent na kuzaliwa Kwa yesu ndio maana hata Kuna Father Christmas, Christmas 🌲 tree , kula sungura siku hiyo, Mara Christmas eggs , kuvaa mizula n.k, sijui ulisha soma wapi hayo mambo. Hivi unayafahamu mafundisho ya wanikolai kweli? Fungua computer yako u type Christmas eggs uangalie images uone kama kweli Yesu kristo anaweza kufanyiwa mizaha kiasi hicho na eti unatetea. Acheni hizo neema ya Kristo yatosha

    • @nicodemuswidambe5132
      @nicodemuswidambe5132 День тому

      Wewe ndo mwongo toa data acha kuleta kejeli.

    • @JameM-l1u
      @JameM-l1u 23 години тому

      ​@@nicodemuswidambe5132 Na wewe chukua computer yako uandike neno sartunalia ndio ufahamu haya mambo . Yalikuwepo zamani huko hata Yesu kabla hajazaliwa Sema uzembe wa kufuatilia mambo ndio shida na infact hata walioanzisha hii sherehe hawajalikataa jambo hilo kuwa ni sherehe ya kizamani na Sasa Waifanye kuwa Sherehe ya kuzaliwa Bwana wao Yesu ila haihisiani na Maandiko Matakatifu , Cha kushangaza leo Mtu aliyeikuta anaitetea Kwa kutumia biblia. Ndio tinauliza kwenye Biblia Kuna maelekezo ya kuvaa mizula siku aliyozaliwa Yesu na ikumbukwe kuwa Yesu hakuzaliwa 25 December ila haya ni mambo ya sartunalia

    • @JameM-l1u
      @JameM-l1u 19 годин тому

      ​@@BAYYINATDMTV msifute comments ili watu wapate ufahamu! Ninyi mnaofundisha Mengine wakati mioyo yenu inawachoma kuwa Mnaongea uongo mtajibu Mungu siku ikifika.
      Swali simple tu. Ikitangazwa sherehe za Uhuru zihamie labda June 20 unadhani itaungwa mkono?
      Sasa je Kwa Nini ukomae Yesu alizaliwa December 25 wakati siyo kweli?
      Umeulizwa, je Kuna hatia kimaandiko Kwa wale wasioadhimisha ? Je adhabu yake ni ipi?
      Je na wao wanaoadhimisha adhabu yao ni ipi kimaandiko ? Au Yesu anafurahi sana mnapolazimisha wakati wa kuzaliwa kwake kiunabii ulitimia December 25?

  • @liberatusmboje8332
    @liberatusmboje8332 День тому

    Majinga kazi mnayo😅
    Moto mnaujua nyie?mnajifanya mnamjua sana Mungu mnaweza mpaka kumpindua pindua na kumweka mfukoni.moto mnaujua nyie?

    • @WillBat-gc9ex
      @WillBat-gc9ex День тому

      Wewe nawe pepo ulie kufa kiroho huo moto unaujua