HUU NDIYO UJUMBE WA MCHUNGAJI MPYA WA KANISA LA TAG MAJUMBA SITA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 44

  • @JeremiahJuliet-r7p
    @JeremiahJuliet-r7p 12 днів тому

    Huyu mchungaji nimempenda sana ametulia na mahubiri yake Mungu amwinue sana

  • @revmsamilaofficial6607
    @revmsamilaofficial6607 17 днів тому

    MUNGU akubariki pastor kwa ujumbe mzuri ndani ya huduma ya ualimu na uinjilisti, ni Mara yangu ya kwanza kukusikia, nimetambua unacho chakula cha kiroho cha kulisaidia kanisa.
    Be blessed .

  • @DevoteAndwea
    @DevoteAndwea 14 днів тому

    Magembe daa mungu huko ulipo akulinde viatu vyako haviwez kumuene huyu mchungaji

  • @LeventinaNyamya
    @LeventinaNyamya 17 днів тому

    Amina mtumishi ubarikiwe sana

  • @TwinusaKibiki
    @TwinusaKibiki 17 днів тому

    Mungu mwaminifu kwa walio wake!

  • @victormajenge1396
    @victormajenge1396 17 днів тому

    Mungu atusaidie.

  • @advelatandika6313
    @advelatandika6313 18 днів тому

    TUNATAKA SAANA KUSIKIA HABARI ZA UTAKATIFU
    Jitafakarini saana na Mungu wa mbinguni awasaidie saana

    • @isayamwanjoka3958
      @isayamwanjoka3958 17 днів тому

      Hivi ninyi mnadhan tag inahubir nn kama sio utakatifu achen unafiki

  • @laurellmoses8322
    @laurellmoses8322 18 днів тому

    Kwanini Baba useme mabibi na mabwana haiwezekani ivo mtumishi wa Mungu nihivi mabwana na mabibi

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 19 днів тому +4

    Moto u 1:02 mezimika imebaki itifaki na mazoea na protocally..mi niko na mchungaji wa.awali....

  • @JosephMarco-cs2xv
    @JosephMarco-cs2xv 20 днів тому

    Mungu akutuze Baba

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 14 днів тому

    Huyu amepata nafasi ya utajiri.
    😮watoto wangu wamezaliwa hapo.Huyo ni hela tu😢😮

  • @LucasMwijage-oc5nx
    @LucasMwijage-oc5nx 17 днів тому

    Mkitaka kufika mbali,sikiliza maonyo ya MUNGU!Kuweka kiongozi mpya sio jibu!

  • @Niika870
    @Niika870 20 днів тому +1

    Mm huyu hapana humuwez magembe 😂😂

  • @makutimalubu
    @makutimalubu 19 днів тому +1

    TAG twende Bora liende, ile TAG asili ya nguvu za Mungu imepotea kwa kasi Sana. Wakuu wa makuhani wamebaki na mipini shoka zimeshazama. Mnatumia jina la Yesu kwa matakwa ya kuwaletea vitambi na Sio Watu kufika mbinguni.

    • @JosephUrassa-q7m
      @JosephUrassa-q7m 16 днів тому

      Tatizo la wengi lipo kwenye mtazamo kama wale kumi(10)

  • @davidmazengo626
    @davidmazengo626 20 днів тому +3

    Nikae kinywaa naheshimuu watuu wazimaa

  • @ReginaLyimo-tg8ho
    @ReginaLyimo-tg8ho 19 днів тому

    Ametulia sana mchungaji

  • @DerickNdasalama-s9n
    @DerickNdasalama-s9n 20 днів тому +3

    Aibu tupuuu

  • @PatrishaPatricia
    @PatrishaPatricia 17 днів тому

    Mi naona Povu jingi

  • @C7Simulizi
    @C7Simulizi 17 днів тому +1

    Uongozi haukutoa msaada siku zote Magembe akifanya kazi ya Mfarme Yesu , ila kusikia anatoka mnanadi kanisa kama siasa na kufanya enelo alilo salia magembe si kitu kwa kutoa msaada wa kanisa lingine jipya😮😮😮 duuu niko naandika huku natetemeka

  • @JosephUrassa-q7m
    @JosephUrassa-q7m 16 днів тому

    👍

  • @SophiaLondo
    @SophiaLondo 20 днів тому +1

    Hamna kitu hapo

  • @gabrielnakey4194
    @gabrielnakey4194 20 днів тому +1

    Kwani imekuwaje kwa magembe?

  • @AndrewBukakiye
    @AndrewBukakiye 16 днів тому

    Kumbe wewe siyo mtumishi wa Mungu, hahahaha,, unaigiza kunena

  • @MisaJonathan-v2p
    @MisaJonathan-v2p 16 днів тому

    Tutaona meng

  • @tygadaclassic3488
    @tygadaclassic3488 20 днів тому +1

    Makamu anaupiga mwingi kama mbowe vile 😅😅😅

  • @YOSHUAMWAMPETA
    @YOSHUAMWAMPETA 19 днів тому

    VIZURI SANA

  • @PetroJos
    @PetroJos 20 днів тому +1

    ❤❤

  • @AhmedMia-uu2of
    @AhmedMia-uu2of 19 днів тому

    We katafute kazi ya kufanya umeitwa kuhubili sio kuleta maneno maneno

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 19 днів тому

    Tusipige makofi kila kitu tufikiri na kupima zaidi...

  • @KalebuYohana
    @KalebuYohana 19 днів тому +1

    Nothing

  • @gabrielnakey4194
    @gabrielnakey4194 20 днів тому

    Samahanini jamani sijaelewa pastor Magembe ameenda wapi?

    • @leonardkalafya3200
      @leonardkalafya3200 19 днів тому +1

      Magembe ameenda mwembeni kituo cha 3 kutoka pale majumba 6 njooni tunaotakak kuokoa nafsi zetu hatumfat mch ila tunaifuata kwl kama petro akamwambia Yesu niende wap dunia imeoza tupate wapi mtumishi wa kusema kwl kama huyu Magembe? Mungu aliyeko ndani yake ndie tunaemfuata twendeni mlioko mbali muombeeni sana baba uclale bla kumuombea

  • @PaulMwenda-w9v
    @PaulMwenda-w9v 20 днів тому +3

    Nahayo ndo mahubiri mtu unaeza elewa kitu so Makelele kama ya magembe bhn

    • @emmanuelrweikiza6117
      @emmanuelrweikiza6117 19 днів тому

      Ustaarabu ndio unaliua kanisa

    • @PGM20179
      @PGM20179 18 днів тому

      point

    • @pastoremmanueltumbo6948
      @pastoremmanueltumbo6948 17 днів тому

      Huna unalolijua juu ya injili ya kweli isiyoghoshiwa

    • @rosebosco669
      @rosebosco669 17 днів тому +1

      Unakosea unaposema Magembe anapiga makelele

    • @emmanuelrweikiza6117
      @emmanuelrweikiza6117 17 днів тому

      @@PaulMwenda-w9v alafu akumbuke huyo magembe Ni mwalimu wa wachungaji wengi na walimuelewa shida ni capacity ukishidwa kumwelewa mzee

  • @KalebuYohana
    @KalebuYohana 19 днів тому +1

    Nothing🎉

  • @KalebuYohana
    @KalebuYohana 19 днів тому +1

    Nothings

  • @KalebuYohana
    @KalebuYohana 19 днів тому +1

    Nothing