NINI KINATOKEA MTU ANAPOAMUA KUOKOKA 1 - Pastor Carlos Kirimbai
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- Karibu kushiriki ibada kanisa la MANNA TABERNACLE BIBLE CHURCH (MTBC). Kanisa linakutanika Posta mpya mtaa wa kisutu jijini Dar es salaam, Ukumbi wa shule ya msingi Kisutu. Tunakutana kila jumapili kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 7 mchana. Tunashawishika kukutangazia Maisha yako hayatabaki kama yalivyokuwa.
Amina ubariwe kwa neno.
This is awesome. I hope every christian would listen to this. I'm born again but I lived in fear... but now. I feel free and forgiven. Asante sana Mtumishi wa Mungu.