Niko saudia Ila sishikusikiliza qaswida nzuri zenye mafundisho .mashaallah hongereni habinty wetu Na sauti nzuri..maustadh nanyi pia najiisi Niko madrassa
Niko London England tangu mwaka 2013 mpk leo 10/3/2023 bad naskiliza kaswid nzur kadiria mashaallah mungu awazdishie awajaliie muwe wenye kutupa mafunzo kupitia kaswida za kislam
Mashaallah nikweli munasitahil pongez sana sana Qaswida imepanginga vilivyo asanteni ,mwezi ujao naoa naqaswida hindoitakuwa inasikilizwa na watu ckuhiyo
Asante sana kaka Ayoub kwa qasida safi hizi Jamani. Mimi niko Kampala Uganda lakini kila nikiyingia UA-cam nikazitazama hizi qasida, nalazimishwa nakushukuru.
thx a lot am anuary from tanzania Ilike this song and allah protect those muslimu against enermy of muslimu but all in all allah s.w help when iwill get marrage
Allah nakuomba unijalie nipate mume mwema amabae atakae kuw faraja yangu wallah hii qaswida yaniliza kweri hiyo siku ntacheza saaana pia ntamshukur allah
Am a Christian but I like Muslim songs
You are welcomed to join us
There's nothing like Muslim songs, those are lost indiduals
Welcome brother
We don't have muslim song
Wazaz wetu wana😢😢😢😢😢❤❤❤❤❤❤
Maashallah, "wazazi twawasifia," "tumboni waliwaweka", "Kisha usiku wakesha huku na huko" love it 💜💜
Nime ipenda hii qasweda kwa sahabu ni nzuri sana ❤❤❤❤❤❤
Wazazi twawasifia kwa ulezi wenu mungu awape heri mashallah Dada
BARAKALLAHUMA kwa qaswida nzuri👌 ALLAH atujaalie subra na masikizano kwenye ndoa zetu na ambao hawaja bahatika ALLAH afungue milango yake .
Mashaallah
Inshaallah
Niko saudia Ila sishikusikiliza qaswida nzuri zenye mafundisho .mashaallah hongereni habinty wetu Na sauti nzuri..maustadh nanyi pia najiisi Niko madrassa
ALLAH tufanyie wepesi ambao hajaowa nasi tuweze kupata wanawake wachamungu wenye huruma na kukuogopa wew ALLAH say Ameeen
Zulfa Shabani Ameen
Asante.sana.Dada.zangu.mnaimba.vizuri.sana.
Ishanllah mung mkubwa
Amiin
Amiin
Mashaallah this qaswida make me cry
Niko London England tangu mwaka 2013 mpk leo 10/3/2023 bad naskiliza kaswid nzur kadiria mashaallah mungu awazdishie awajaliie muwe wenye kutupa mafunzo kupitia kaswida za kislam
Mashallah mungu niongoze nipate mme mwenye kukujua yarabi
Still 2023 but the good job never dies sio powaa kaswida mzuri sana
nice one 💯
Mungu wangu nilini Mimi cku yangu namimi nifuraishe wazazi wangu na familia yarabi mola wangu nijalie mume mwema mwenye kheri namcha mungu
Asalamum aleikum wa rahmatulaahi wa baracâtuh, gosto muito desse nachido
Masya Allah, I like this Qasidah
mashaallah watt wakiislam mmependeza hadi raaha nakaswida nzuri nimeipenda
Mrs dully mashalaah
Nawakubali sana dah allah awape mwisho mwema
Dada wenda zako kwakimaso maso ❤️❤️🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Kanny Msa qaswida n nzur
Qaswisa n nzur xn n chid gway from dar ###0684413241
Hongera sana kwenu watunzi na watayarishi wa qasida mwasisimua nyoyo zawengi
مانشا الله ما افضل ما احسن وما اجمل الدين الاسلام
trop jolie j'adore , j'aime beaucoup écouté ça . continuez comme ça arrêtez surtout pas "***bravo à vous toute***"
Elles sont de quelle nationalité stp?
Nice And Soothing Anasheed MaashaAllah
Maa Sha Allah hii qaswida naipenda sana yanikumbusha nyumbani Tanga
Mashaallah nikweli munasitahil pongez sana sana Qaswida imepanginga vilivyo asanteni ,mwezi ujao naoa naqaswida hindoitakuwa inasikilizwa na watu ckuhiyo
Wazazi twawasifiya kuwaleya watoto Hadi kuwafungisha ndoa. Hongera Kwa wazazi wenye jitihada hizo
Alhamdu Lillah, ni kaswida nzuuuri kabisa iko na wasia mzuuuuri saana, lve it, baaraka Llah watunzi na watoaji kongole
Mashaalah mwenyezimugu tujaalie waume bora inshaalah
machozi yananitoka kwa furaha naona cku ilipangwa mbali natamani ifike niweze kuwafurahisha wazazi wangu
Jasmin Robby
خديجه عليnaaam
Jasmin Robby kweli kabisa
Mashallah
🎈 Happy Birthday!
🔥 🔥 🔥
📍 📍 📍
📍 📍 📍
🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂
🎂🍓🎂🍓🎂🍓🎂🍓
🍓🎂🍓🎂🍓🎂🍓🎂
🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂
🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂
Taqabal yaarab duaa🙏🙏🙏🙏🙏
Asante sana kaka Ayoub kwa qasida safi hizi Jamani.
Mimi niko Kampala Uganda lakini kila nikiyingia UA-cam nikazitazama hizi qasida, nalazimishwa nakushukuru.
✨👑🎩👑🎩👑🎩✨
🎶😁😁😁😁😁😁🎶
👏👗👕👗👕👗👕👏
🎤🎶🎺🎶🎵📢🎶🎸
Party Time!
Nzuri sana
Nizr sana
Richard Nyombi karib sana ndugu
Mash allah amiiin
mashaallah kwakwel kila nikiiskiliza hii qaswida nakumbuka siku yang ya kharous
Eeeee mwenyezi mungu wajalie afya njema wadada wazidi kutuerimisha.yarabi Na kuomba unijaarie mume mwem
Awesome
mashaalah allah awazishie zaid nazipenda sana hiz qasd zenu
maashaall
mashallah nzuri mno
Nice voice
Aka kenye meno kma yamepangana kannikumbxha mbali sna na saut yake asee 2010 nyumbn kwtu kuna mtoto alkuwga na saut nzr kma hii infanan kbsaa❤❤
I love Allah.
We will never get tired of it , it indeed sounds awesome.
Allah ajalie kheer🤍
Ni nzuri
Nipenda sana hii kaswida zuri sana@√
Mungu anufanyie wepesi nami nipate wng insha'Allah 🙏
thx a lot am anuary from tanzania Ilike this song and allah protect those muslimu against enermy of muslimu but all in all allah s.w help when iwill get marrage
dada wenda zako kwa kimasomaso aaaah wallahi raaha ya Allah tupe wenye kher nasi
mashaallah qasida zenu mzuri sana mungu akuzidishieni uhai afya na kipaji kizuri hapa duniani na kiama
mashaallah Allah awajazeee kherii Amiiinaa Inshaallah
Oromiya
Insahallah shehee. Yangu IPO karibu
Wisalm ni mzuri sana tena ukiwa inajuwa dini vizr mashaallh
Amiiiinaaaa rabbil alaamiiiina
Machoz yako yalo kwenye uso yawe kicheko ukfka huko Mashaallah..
Hongereni sana ndugu zang u allah awabariki sana
Nataka nijiunge nanyi ni wapi mnapatikana ndugu
❤❤❤❤hiz ndio qaswida,,,zina ujumbe lkn saiv hakuna qaswida Ni mtihan tu
jmani mashaallahu inapndeza sana nafarijika sana nikiisikiliza hii qaswida love you islamic
woooow thumbs up so nice mashhaallah Allahu barik
mashaallah pakaa rahaa 😍😍😍😍
My favourite mashallah 🥰🌹
Masha allah allaha nijaalie mume mwema mwenye heshima mwenye din mwenye hofu na ww yaraby ammin insha allah 🤲😭
Hivi ww unacoment hiv ushapat mume au bado mume nipo hapa
Mashaaalluha mungu awasaidie na nyie mtulie kwenye ndoa zenu mnaimba mpaka natamani kuolewa mungu nisaidie nami ifike ya kwang
Mashallah mashallah mashallah very nice qaswida.
mashallah Qaswida za Al hidayatil nazipenda sana pamoja na kadir ria
2023 and still listening. all time favourite
Me pia yaan kaswida za kadilia hazijawah kuchuja kabisa yaan me ndio kaswida zangu pendwa saana ❤
Nami pia somu wangu
@@halimakhalfanmwareko4649❤❤❤
Ma ukhty kudos to beautiful qaswida ALLAH awabriki awape tawfiq 👌
mashaallah qasda nzur sanaa tena naipenda siichk kuisikiliz...
Allah awazidishie
Mashallah, mwenyez mungu anifanyie wepesi pia mimi wa kupata mume alo kheir kwangu 😢
Mola nijaalie mke mwema na mwenye kukujua ww inshallah
Masha Allah very NYC qaswida Allah Awajaze kila la kheri na kuzidi kuwapanulia vipaji vyenu amiiiin💕💕💕💕💕💟💟💟💞💞💞💞💘💗❤💙💖💓💛💛💚
✍️✍️✍️✍️✍️✍️🙏
Masha Allah l really salute Tanzania keep it up my sisters. My wishes are wid u guys jazaka allahu ya habibty
mjue Tanzania ni inchi yenye amani na utulivu na mafunzo mazuri tuko vizuri kwenye Quruan na pia kaswida
Inafahamika hilo
Ya rabby nifanyie mimi pia wepesibwa kupata mume alo bora kwangu 😢
Mashaallah mashaallah tabaraka llah qaswida ttamu mungu awazidishie inshaallah
ماشاءالله...مبرووووووووووووووووووووووووووووووووووووك🌺🌺🌺مروووووووووووووووووو...
Ramadan Mubarak💝🤩🤩2021
Mash aa Allah
😍😍😍😍😘😘😘😘😘hasbiya Allah🙏💞😘
mashaalah mmependeza na kaswida pia zapendeza na zavutia allah awazidishie
Ni nzur inanifanya ni olewa wallahi
Allah awape kheri inshaallah.....Maashaallah qaswida nzuri sanaaaaa
mashalllah sauti mashallah... na Qasida wow......Mungu awazidishie kipaji
iLvu
Jeylani
Hy
I love you mama ,baba and fellow Muslim 😭 may Allah make us meet in Jannah Allahumma ameen 🙏🙏
Asante kwa kaswida nzuri💞
Mashaalla mashaalla mashaalla
Yý@@fatimahasan6689
Fayyyýýýýýy
@@fatimahasan6689ýyyyý ýyýyý
Mashallah
Mashallah
MashaAllah qaswida nzuri Sana
Mashallah very nice.Allah awajaalie kila alokua hajaowa apate Mke Wa kheri nawalokua hawajaolewa wapate waume wenye Kheri Amin Yarraby.
I really like all qaswida songs mashallah
Yarrabbi nijhrie niolewe nipate mume mwema 😭🙏
Mashallah Mashallah my favorite song❤️🥺
mashallah rabi tujalie si wazazi pamoja na vizazi vyetu
Nix
mashallah, next time tuonyeshi wapigaji pia mana ilo twari mashallah!
Allah nijalie nipate mumemwenye kukujua ww
Naima nice maya Assallsm Alaykum,upon WAP dadake.
Ameen
Naima nice maya
amina
ameen siz
Masha Allah, qaswida nzuri ya ndoa...Allah awajazie kheri inshaaallah
Haikifu wallah🥰 2023still trend💋
نشيد ابدااعع صراحه 😘😘💙
Allihamdulillah Allah awape maisha marefu
Allah nakuomba unijalie nipate mume mwema amabae atakae kuw faraja yangu wallah hii qaswida yaniliza kweri hiyo siku ntacheza saaana pia ntamshukur allah
Tumeipenda sana sana kaswida zetu ss waislam
Masha Allah wallah mwwz mumg anijalie mwanaume mwenye her inshallah
watoto wazur sana
So impressive
masha Allah masha Allah 😍
Yarabi mola wangu nijalie Mimi nawezangu ambao hawajaolewa kama Mimi tujalie wanaume wenye kheri kwetu nawenye kujuwa mungu
masha Allah alafu mavaz mazr wallah yamenipendz.Alafu nauliza kwan hii madrasa ikoupande gan maana nateseka nikisikiliza roho wallah we acha2
Mashaallah kanzi nzuri sana na wasomaji wazuri na sautizao
maaashallaa Islamic nidini inayo pendeza sana
watoto wanacheza vizur Qasida ntumien 0782399816👩💬Cool💫
👚👏💥
👖
👠👠
Hawa Qassim22 hasaa
Sana
mashallah
😍
Nasituwe wazazi wema, mashaallah mola hawazidishie
Who is listening 2020, August 10🙋♂️
2022😍😍😍😍
2023
Take me back to 😂drama and music 🎶 festival 😭🔥🔥❤️
Masha Allah mko vzr saut Masha Allah imenibamba San big up
mashallah qaswida yaukweli nimeikubali
wallah mnanitia shauk ya kutaman ndoa inshaaallah
Muombe Mwenyezi Mungu atakufanyia wepesi utapata
Yaalah tujariy ❤
Allah nisadie niolewe
I finally got it,it is to much to hot and very inspiring axe.
my favorite qaswida.
Mashaalla Allah wafanyiwe wepesi ma ukhuty zangu mlinifurshisha kwenye harus yangu