Kama umelea mimba halafu baadae unaambiwa mtoto sio wa KWAKO na kadi ya tangazo na cheti Cha kuzaliwa vimeandikwa jina langu. Inakuwaje hapo mwanasheria
Munatakakiwa kuangalia upande wadini sheria iko vipi kama mtoto atazaliwa nje ya ndoa, au wasia ulio acha unalingana katika dini hasa katika dini ya KIISLAMU.
Hongera sana msomi Ayall kwa uchambuzi yakinifu
Kama umelea mimba halafu baadae unaambiwa mtoto sio wa KWAKO na kadi ya tangazo na cheti Cha kuzaliwa vimeandikwa jina langu. Inakuwaje hapo mwanasheria
Jaman kamanikiki hibabalao man diamond nafamilia yake imewayumbisha weng ubong kama watangazaj kaz mnao kilasiku kunakuja mapy izi intaviu zilikua hazipogo kuhus masawl yakifamilia
mmh
Ni amri ya mwenyezi mungu,baba ndo mwenye watoto mama nikikapu tu kilibebea mume,so mume nijuu yake kulea watoto
Ongeza saut bana
Munatakakiwa kuangalia upande wadini sheria iko vipi kama mtoto atazaliwa nje ya ndoa, au wasia ulio acha unalingana katika dini hasa katika dini ya KIISLAMU.
Mpaka hao wahusika wawe wanadini namaanisha waumini
@@awadhially3753 sadakita
@@awadhially3753 haswaa