Jebra Kambole Asimulia Yaliyojiri Akihesabu Kura za Mwabukusi Kwenye Uchaguzi TLS

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 33

  • @OscarKasalile-u4k
    @OscarKasalile-u4k 2 місяці тому +7

    Nakumbuka Jebra kambole nakumbuka mimi nilikuambia mungu akubariki tulivyokuwa wote pale mahakamani. nilikupa uzalendo wa kutosha.

  • @MwatijaFikoti
    @MwatijaFikoti 2 місяці тому +5

    Kaka kambole safi sana mlifanya kazi nzuri sana na Mungu alikuwa upande wa wananchi.

  • @luganomwaigomole7441
    @luganomwaigomole7441 2 місяці тому +2

    SAFI SANA BROTHER JEBRA KAMBOLE...WAKILI MSOMI..KWA UJUMLA MAWAKILI HAMJATUAIBISHA...HAKIKA MMETUHESHIMISHA

  • @fainessmwalukama1399
    @fainessmwalukama1399 2 місяці тому

    Hongereni sana sanaaa❤❤

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 2 місяці тому +3

    Hiyo ni shule kwa Jebra( tosha ..ni discussion ambayo yahitajika Dada Maria uipe nafasi isikilizwe hapo baadae!!!

  • @Goodlucklucas0281
    @Goodlucklucas0281 2 місяці тому +1

    @kambole🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙏

  • @AshekironikamanyongaKama-yi3hg
    @AshekironikamanyongaKama-yi3hg 2 місяці тому +1

    Huyo Bwana ana nyumba mbiguni

  • @YoabuChengula
    @YoabuChengula 2 місяці тому +2

    Hongera sana kwa kazi nzuri

  • @luganomwaigomole7441
    @luganomwaigomole7441 2 місяці тому +2

    HAIKUWA RAHISÌ...MMETISHA SANA MAWAKILI ❤

  • @saulocharles9306
    @saulocharles9306 2 місяці тому +3

    Hongera sana kaka kambole🙏🏻

  • @JuhudiJotham
    @JuhudiJotham 2 місяці тому +2

    Hongereni Sana,

  • @altonkanjolonga2380
    @altonkanjolonga2380 2 місяці тому

    Jebra wakili msomi Taifa letu na wapenda haki wote tunawapenda sana,MUNGU awalinde

  • @shadyalardhi7854
    @shadyalardhi7854 2 місяці тому +2

    Hongereni

  • @waziradam2794
    @waziradam2794 2 місяці тому +6

    Kazi Safi Jebra. Hasa la Judge kuwazuia wasiojulikana kuingia kwenye eneo la kuhesabu matokeo. Ameepusha goli la mkono kwakweli. Hongera.

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 2 місяці тому +1

      Huyo jaji Mungu Baba Aendelee kulinda ila Aendelee kutenda kwa haki

  • @charlesstanslaus371
    @charlesstanslaus371 2 місяці тому +2

    Jebra Kambore umeeleza vizuri. Utaalamu huo kwa nini usifanyike kwenye chaguzi za kisiwa?

  • @christianmwabukusi8132
    @christianmwabukusi8132 2 місяці тому +2

    Hii ndio taswira ya chaguzi za ulimwengu huu! Kura za upande wa Kristo ni Dhamiri ya Mtu-

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 2 місяці тому

    ASANTE SANA WAKILI MSOMI JEBRA

  • @shadyalardhi7854
    @shadyalardhi7854 2 місяці тому +3

    Naomba no ya mwabukusi

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 2 місяці тому

      Nami pia naomba yake. Kuna mambo mengi mabaya tunakosa kwa kupeleka

  • @StevenSanga-n3n
    @StevenSanga-n3n 2 місяці тому +3

    Daaa kweli mliwabana😂😂😂😂😂

  • @joejosca7594
    @joejosca7594 2 місяці тому +2

    🎉🎉🎉❤

  • @Thevineyard9889
    @Thevineyard9889 2 місяці тому +2

    Hiyo kuwa mlijipanga siku ya kupiga kura kwenda kujipanga mstari kusubiri upigaji kura ukamilike, kisha kubeba maboksi yote ya kura zilzopigwa na kukimbia nayo na kwenda kuyachoma moto ili kuuharibu imeniacha hoi na kucheka sana aisee🤣🤣🤣

  • @gadielkahemba6514
    @gadielkahemba6514 2 місяці тому +3

    Kutoka mbinga ruvuma sasa kama kula za wasomi tu.imekua mbinde je? Kwa nnchi nzima mnafikili itakuaje!? Ni hatari sana

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 2 місяці тому +1

    Mambo marahisi kama ni hivyo,ila ulinzi ndio mafanikio yenu

  • @christosiadanieli6512
    @christosiadanieli6512 2 місяці тому +1

    kama wanasheria wanateseka hiyo kulinda kura kwa hali za hivyo ni shida

  • @StevenSanga-n3n
    @StevenSanga-n3n 2 місяці тому +1

    Iyo mbinu itumike had kwenye uchaguz wa rais alooo nimependa ushilikiano wenu

  • @OscarKasalile-u4k
    @OscarKasalile-u4k 2 місяці тому +2

    Nakumbuka Jebra kambole nakumbuka mimi nilikuambia mungu akubariki tulivyokuwa wote pale mahakamani. nilikupa uzalendo wa kutosha.