MGANGA WA CLAM VEVO, HAYA NDIO MAISHA YAKE HALISI, MWINYI MKUU (CHILI SOSI)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 94

  • @fahmiiidrisa5110
    @fahmiiidrisa5110 Місяць тому +24

    Huyu jamaa kwa uganga namba moja namkubali sana na mizim yake kulukutanta mantetele

  • @PeterMwilu-b4z
    @PeterMwilu-b4z Місяць тому +1

    Kumbe ni chili c.kua namfahamu chili🙏🙏 mungu akutangulie qwa Kila Jambo kka kazi zuri

  • @rajah9328
    @rajah9328 Місяць тому +9

    Apo zama izo uku Chili, Ringo, Zimwi uku Mzee Majuto, kingwendu, Bamboo wacha tu si wengi zama izo ila kama bdo uko uhai ady sai shukran kwa Bwana Mungu

  • @EshaomarmfaumeMfaume
    @EshaomarmfaumeMfaume Місяць тому +3

    MashaAllah kumbe chili mwana wa sossi bado kijana sana kazi nzuri sana bro hongera

  • @GloryEmmanuel-q4f
    @GloryEmmanuel-q4f Місяць тому +3

    Kumbe handsome hivyo ❤️❤️

  • @dadychaps7527
    @dadychaps7527 Місяць тому +11

    Chili kauwa sana kwa snake boy🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @ramagasper742
    @ramagasper742 Місяць тому +11

    Daaah sikujua kama huyu mganga ndio chilli😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @NanaNana-xo2og
      @NanaNana-xo2og Місяць тому

      Yaan nakumbuka kile kisauti chake😂

    • @babyg5911
      @babyg5911 25 днів тому

      Yaan wewe ndo mimi kabisa sikiwai ata kuwaza😂

  • @JoyceElias-bd3kt
    @JoyceElias-bd3kt Місяць тому +8

    Kurukutatat Kwa teteree wachaaaaa😂😂😂

  • @sadahamad6158
    @sadahamad6158 Місяць тому +19

    Kwaiyo huyu ndie yule chili mwana wa sosi 😂😂😂😂 nyie ile movie yake na marehemu majuto alkuwa naipenda sana

    • @MaishaMoviesTv
      @MaishaMoviesTv Місяць тому +1

      Ndiye mwenyewe halafu huyo kuigiza uganga toka kitambo sana. Ukiangalia shumileta utamuona katika nafasi ya uganga

    • @directorhaji2023
      @directorhaji2023 Місяць тому +1

      Kumbe unamkumbuka

    • @sadahamad6158
      @sadahamad6158 Місяць тому +1

      ​@@directorhaji2023tena nakumbuka haswa na kile kisauti chake cha salama bwana 🤣🤣

    • @sadahamad6158
      @sadahamad6158 Місяць тому +1

      ​@@MaishaMoviesTvkitambo sana kweli kabsa halafu jamaa bado kijana

  • @NGANGAWAKABARIMUSIC1028
    @NGANGAWAKABARIMUSIC1028 Місяць тому +7

    Anakaa Roma mkatoleki,,nduguye au

  • @MakaNkoka
    @MakaNkoka Місяць тому +3

    Kmb sio mzee 😂😂🌹🌹

  • @aminakatana8721
    @aminakatana8721 Місяць тому +1

    Huyu kakangu yuko sawa yaani kulitatantaraa mantelele hongeraa sana bro i salut you ❤❤❤❤

  • @BahatiIsangu
    @BahatiIsangu Місяць тому +1

    Kaka unajuwa sana kucheza sehemu ya uganga hongera sana mwiyimkuu

  • @halimaali8732
    @halimaali8732 Місяць тому +3

    Much love from Kenya 🇰🇪

  • @isodonaman254
    @isodonaman254 Місяць тому +4

    Aaaahmmmm....waaaaacha🔥🔥🔥🔥

  • @KhalistMkonya
    @KhalistMkonya Місяць тому +3

    Huyu mwamba anajua xanaaa

  • @NasraFatuma
    @NasraFatuma 23 дні тому

    Jamaa kumbEh handsome na hamsemi 😂❤

  • @joycemlay5762
    @joycemlay5762 Місяць тому +5

    Mbona kule anaonekanaga babuuu

    • @MaishaMoviesTv
      @MaishaMoviesTv Місяць тому

      Zile ni make up Dada

    • @staraamr2770
      @staraamr2770 Місяць тому

      Hali ya maigizo

    • @staraamr2770
      @staraamr2770 Місяць тому

      Shahidi pia ni ķijana tu but katika maigizo ni mzee sana

  • @PeaceLondon
    @PeaceLondon Місяць тому +4

    Jamaa kipindi kile alikuwa mwembamba sana

  • @JamlickKiogora
    @JamlickKiogora Місяць тому +2

    Kenya Meru tunakupenda sana,mmmmmmhh wachaaaa 😅😅

  • @patricksadiki254
    @patricksadiki254 Місяць тому

    Huyu ni mganga kweli mbali na filamu 😂😂😂😂😂😂😂

  • @chesachesscomedian
    @chesachesscomedian Місяць тому +2

    Waaachhhaaa 😂😂😂😂😂 napendezwa naye naomba nimpe vocha,mimi ni mkenya

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar Місяць тому +1

    Heee jaman' nampenda sana chili

  • @Jackillyne
    @Jackillyne Місяць тому +9

    Dada ukihoji mtu hajana na simu jamani , kwangu naona kama disrespect. maoni yangu though 😅

    • @dadychaps7527
      @dadychaps7527 Місяць тому

      Point nzuri 🙏🏽👍

    • @DanielKovu-wh8ds
      @DanielKovu-wh8ds Місяць тому +2

      Hapo kwenye simu ndio amepanga maswali anayouliza na pia mwelekeo ambao afuate

  • @SaimonKamausaimon
    @SaimonKamausaimon Місяць тому +1

    Kam angukua kwal mganga daaah ingekua raha sanaaa

  • @Joyce-qf5px
    @Joyce-qf5px Місяць тому

    Chilii nakukumbuka sana na Mzee majuto majiiiii eeee unanini mbili mbovu ukiguswa watumbuka mbwaaaa😅😅😅😅😅

  • @Fm-MornStar2014
    @Fm-MornStar2014 Місяць тому +2

    Kumbe jamaa kijana!?🤔
    Kwenye Snake Boy anaonekana mzee.
    Hongera sana M. Mkuu.

  • @Janubaba-rz2xs
    @Janubaba-rz2xs Місяць тому +1

    Safi sana kaongea kielimu ya sanaa

  • @Sidhani-k8o
    @Sidhani-k8o Місяць тому

    Kazi yko ni nzuri

  • @aminazuhura-fs9eh
    @aminazuhura-fs9eh Місяць тому

    Nakkubali sana chili hata si kukutambuwa lakini kwa snake boy

  • @lekokojulius6339
    @lekokojulius6339 Місяць тому

    Tekelo mamaeh ooh wamkoma 😂waacha!😂😂😂

  • @shadhiriissabweraboymanda7732
    @shadhiriissabweraboymanda7732 Місяць тому +2

    cjawahi kwaz kama mganga vila ni chili kbxaa

  • @yoabulazaro8614
    @yoabulazaro8614 Місяць тому +2

    Nataman kujua account name ya huyu dada Reyna kwenye social media

  • @muhayarugaonlinetv
    @muhayarugaonlinetv Місяць тому +3

    Chili alikuwepo pia kwenye maneno yakuambiwa na jina la mwinyimkuu ndo lilitrend uko

  • @kayagoAziza-z2c
    @kayagoAziza-z2c Місяць тому +2

    Manshallah ♥️❤❤

  • @beneditofernandolucas1342
    @beneditofernandolucas1342 Місяць тому

    Kumbe uyu sio mganga jamani😮😮😮😮😮😮

  • @DeboraChales
    @DeboraChales Місяць тому +3

    Wachaaaaa

    • @Gainoz27
      @Gainoz27 Місяць тому

      Wachaaaa kumtetele wateteleee wachaaaaa

  • @almaarifonlinetv
    @almaarifonlinetv Місяць тому +1

    Hivi kuna haja gani ya kuvaa hijab ikiwa unatembea mabega wazi?

  • @TumsifuMbamba
    @TumsifuMbamba Місяць тому

    Jamaa hazeeki kama kazaliwa 95

  • @mohamedmwinjuma
    @mohamedmwinjuma Місяць тому +3

    Kwani uwezi kuandika chili mpaka useme mganga wa kicheche

    • @TausRaj
      @TausRaj Місяць тому

      😂😂😂😂😂😂 etiiii

  • @DjShalom-uw6sk
    @DjShalom-uw6sk Місяць тому

    Namkumbuka kwa filamu ya shumileta

  • @JumaJumabaraka-vd1jm
    @JumaJumabaraka-vd1jm Місяць тому

    Hata movie ya shumileta alitisha sana chili

  • @MrRab-yr2yu
    @MrRab-yr2yu Місяць тому

    Walileee walilee niwayawaya-wayaaa. NAKUKUBALI CHILI

  • @SafarimwanyuleBaya
    @SafarimwanyuleBaya Місяць тому

    Nahiyo sauti mbona yuko na bazy

  • @RazaquePedro
    @RazaquePedro Місяць тому

    Huyu dada huwa anamuhoji sana doctor sule ila mbona kama hataki kujifunza Badoo anavaa hovyo anakaa uchi kwani hajifunzagi chochote

  • @staraamr2770
    @staraamr2770 Місяць тому

    Amekua sana physically na...kikazi pia

  • @HassanHerry9
    @HassanHerry9 Місяць тому +4

    Mpe uyo

  • @kanzenzole4029
    @kanzenzole4029 Місяць тому +1

    Ivo ivo 😅

  • @pkcamlesh2465
    @pkcamlesh2465 Місяць тому

    Mmh waaacha

  • @how4114
    @how4114 29 днів тому

    Huyu dada aliishiwa na nguo au

  • @Mohammedmwalimumohaa
    @Mohammedmwalimumohaa Місяць тому

    Alikua mganga kwa mariam (shumileta)

  • @ParfaitKalemela
    @ParfaitKalemela Місяць тому

    He looks like Matonya

  • @minahsamwel
    @minahsamwel Місяць тому

    Mi nilimjua tu😂😂😂

  • @OmaryHame-x8u
    @OmaryHame-x8u Місяць тому

    Chili mwana wa sosi kula hali kuharisha matata

  • @HusnaaAbdul-rahmaan-lu8uj
    @HusnaaAbdul-rahmaan-lu8uj Місяць тому

    Hapo Nipo nazaliwa jamani uwiiii duuh

  • @NorobertJeremia
    @NorobertJeremia Місяць тому

    Ndio

  • @alenipaschal3447
    @alenipaschal3447 Місяць тому

    Kalikutanta matentete😂

  • @RahmaSimeon
    @RahmaSimeon Місяць тому

    Tena nlimfananisha kumbe ni yeye

  • @Richardrifan
    @Richardrifan Місяць тому +1

    Waacha, aah!! Namukubali sana

  • @Innocentfilm
    @Innocentfilm Місяць тому +1

    Powa kabisa

  • @jacklineindoshi1810
    @jacklineindoshi1810 Місяць тому

    Waacha😘

  • @BenjaminNickson
    @BenjaminNickson Місяць тому

    🙌🙌

  • @kanzenzole4029
    @kanzenzole4029 Місяць тому

    Ivo ivo 😂😂

  • @Rajab-Raj
    @Rajab-Raj Місяць тому +2

    Rajab 😂😂😂

  • @saraphinalupondo1115
    @saraphinalupondo1115 Місяць тому +3

    Kumb kijna

  • @MerryMerry-g1j
    @MerryMerry-g1j Місяць тому +2

    Wachaaa

  • @dashuu5295
    @dashuu5295 Місяць тому +2

    Kwenye garage ringo amuuliza chilli sauce mbona skukuona kwenye urojo!!!?😂😂😂 nilchekkaaa $@nna ringo ni muhun , alimaanisha kala urojo hauna pilpili❤❤❤

  • @fatumashabani9820
    @fatumashabani9820 Місяць тому

    Kumbe uyu ni chill aisee sikumjua mpka leo kanenepa hakua ivi

  • @FettyOriginal
    @FettyOriginal Місяць тому +1

    Boss wa hii media naomba uyo dada musimamishe kaz ata miez3 awez kuwa yupo kazin uku anachat na bwana wak

  • @QofSaidiKbsk01
    @QofSaidiKbsk01 Місяць тому

    Kama na wewe ulifikilia kusoma komenti tujuane.

  • @KhalistMkonya
    @KhalistMkonya Місяць тому +1

    Huyu mwamba anajua xanaaa

  • @BenjaminLoth
    @BenjaminLoth Місяць тому

    Wachaaaa

  • @KhalistMkonya
    @KhalistMkonya Місяць тому

    Huyu mwamba anajua xanaaa