DAZ BABA AFUNGUKA KUHUSU KULA UNGA, NIMEOKOKA TANGU TUMBONI KWA MAMA YANGU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 бер 2023
  • Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
    BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB...
    Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
    Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
    Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 86

  • @EzzyK438
    @EzzyK438 Рік тому +14

    Bro anaongea fact sana, nipeni likes zake huyu mwamba

  • @msafirlaizer2368
    @msafirlaizer2368 Рік тому +11

    Hii miziki ya huyu mwamba Daz baba n miziki ambayo haijawai tokea , Yaan namaansha n ngoma kali all the times ❤🎉

  • @DavidLucas-ou7vp
    @DavidLucas-ou7vp Рік тому +11

    Jembe letu bwana Hilo 😍alifanya vizuri sana mpaka nipo gheto nasikiliza elimu dunia

  • @AhmadaMkingiye-qm8nu
    @AhmadaMkingiye-qm8nu Рік тому +3

    Ila jamaa kama kafanana na alioucisse yule kocha wa Senegal kama Kuna mtu kagundua hlo like hii comment 🤔🤔

  • @vaghoghontweki9827
    @vaghoghontweki9827 Рік тому +4

    Hawa ndo wasanii sasa,,,,content na uimbaji hamna wa siku za leo japo kizazi cha siku hizi wanachojua ni kusifu sifu vitu ili mrad2,,,Dazibaba big up sana broooo❤

  • @piuskusenge-jf2ob
    @piuskusenge-jf2ob Рік тому +10

    😂jamaa ana majibu smart Sana, I like it

  • @antidabanyikwa3259
    @antidabanyikwa3259 Рік тому +8

    Rudiii banaaa Daz we miss you 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @dayanamsuya6516
    @dayanamsuya6516 Рік тому +7

    Wakumshukuru mungu kapata afya na akili imetulia mungu wetu amsimamie vema

  • @abubakaralimohammed3388
    @abubakaralimohammed3388 Рік тому +6

    Tuko pamoja niliwa Saudia Arabia,great job for the East Africa Radio.

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 Рік тому +7

    Dazz baba nimesha kua mtu mzima mie, sasa naitaji mpenzi wa kuishi nae, kuzaa na kulea watoto na mie.

  • @ayoubimam7271
    @ayoubimam7271 6 годин тому

    Huyu jamaa ana hits nyingi na kali kuliko ferouz

  • @armandoleonardo6966
    @armandoleonardo6966 Рік тому +4

    Daz Baba você foi um homem que sempre nos deixou feliz na música tanzaniana. Deus abençoe a você e sua família 🇲🇿🇲🇿

  • @zkbeto2486
    @zkbeto2486 Рік тому +3

    Sauti bado ipo tena motooooo sana...NIPE TANO

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 Рік тому +3

    Mwamba huyu hapa🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @magrethsimon5787
    @magrethsimon5787 Рік тому +5

    kipaji cha kweli 🥰💪

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 Рік тому +3

    Jembe sana , me nakukubali sana mwamba 👍

  • @matunzojr4862
    @matunzojr4862 Рік тому +7

    raha ya kuandika ngoma mwenyew ata miaka 20 lazima utaikumbuka tu huez sahau verse kama yule msanii wao aliyesahau mistari ya kuandikiwa stejin😃😃

  • @kilasiovethi5040
    @kilasiovethi5040 Рік тому +2

    Safi kamanda nakubalii mkulugenzii wangu

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 Рік тому +5

    Safi sana kwa kweli jamaa ana hits kali bas tu madawa

    • @user-po8hz7xw9j
      @user-po8hz7xw9j Рік тому

      Halafu kwao wala hana choka. Mbaya yupo vizr tuu geti kali nini ilq. Kajiaharibu naulevi

    • @bainolatino3412
      @bainolatino3412 Рік тому

      Havuti madawa huyo wewe style ya pombe ikizidi ni inakua too much lakini ni Unga kitu kingine hiki

  • @user-ez7xs4xy3l
    @user-ez7xs4xy3l Рік тому +2

    Aloo Uyu mwamba anajua

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 Рік тому +1

    SALUTE 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👊👊👊 DAZ BABA

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 Рік тому +1

    Kiswahili Bhana Jamani Kifo Akiwezi Kumuumbua Mtu Mtu Akifa Aumbuki Kwasababu Kinachokufa Ulie Hai Uwezi Muona Utaona Maiti1 Sasa Maiti Itaumbuka Vipi Mbele Yako wakati Mtu Akifa Aludi Kwa Dunia Tena Mahisha Aya Kigeugeu Unaweza Msema Dazi Baba Wakati Wewe Ujui Mbele Yako Unajisifu Ukiwa Ujui Mbele Yako Unaweza Kua Teja Kuliko Dazi Baba

  • @Basagamp4
    @Basagamp4 Рік тому +1

    Heshima saana Mwalimu Daz

  • @sontrillthereal8186
    @sontrillthereal8186 7 місяців тому

    Kuna kitu hakipo sawa ila yeye mwenyewe hataki kukubali, muda utaongea

  • @dastopadady2402
    @dastopadady2402 Рік тому

    Kweli

  • @amirimohammed2875
    @amirimohammed2875 Рік тому

  • @xaverisunday699
    @xaverisunday699 Рік тому +1

    #aboi_4rm_makambako maniger faza wetu huyu tunajivunia hiki ni cha kwetu njombe boi mwanetu daz baba

  • @ZachariaMwita-bu7rw
    @ZachariaMwita-bu7rw 23 дні тому

    Mtu wa maana kabisa

  • @nackplankton1669
    @nackplankton1669 Рік тому +3

    Hajawah kutokea nahatotokea kama huyu miaka30 mbele

  • @user-po8hz7xw9j
    @user-po8hz7xw9j Рік тому +2

    Huyu anaivuta sanaa ukimkuta kwao pale duu😅😅sema nampenda yani ukipita salam kwa sana

    • @noelbryson7840
      @noelbryson7840 Рік тому

      Anaivuta nini sasa? .. Acha unafki..

    • @user-po8hz7xw9j
      @user-po8hz7xw9j Рік тому

      @@noelbryson7840 Wewe fala kweli niongee unafki wanini namjua vizr sana mpqkq ndani kwao nyumba ya baba yangu ipo karibu NA alikiba dada angu yupo karibu nq nyumb yakin dazz baba huyu anashinda nnje kwao kunakibar kidogo kilikuwakinauzwa pombe halafu kikafungwa anashinda hapo nje NA msela. Wenzie kuvuta mda wote sahii nenda utamkuta ukishuka sanene tabata segerea shuka. Vuka. Barabara ongoza ile. Njia kuelekea shule ya tusime mpqkq. Police jamii kata kona upande wakushoto utamkuta nje tuu geti lao jeusi ukiuliza tuu unapeleka mpqkq ndani

  • @deogratiusdominick8882
    @deogratiusdominick8882 Рік тому

    Looooohhhhhh kweli maisha yanaenda,,

  • @Theonethatismissing
    @Theonethatismissing 5 місяців тому

    Namba Nane Is the Best so far na Kamanda

  • @hamisibaharia-bl9og
    @hamisibaharia-bl9og 10 місяців тому

    Sema umepoteza brand uyu mwamba kaja na 20parcent mikumi wamekunywa tungi awana ela acha wavutane apo bar 20parcent kapigwa mbaka chupa ya mkono

  • @vickieeddie2230
    @vickieeddie2230 14 днів тому

    ananikumbusha utoto wangu sana

  • @patrickdezzy9871
    @patrickdezzy9871 Рік тому

    Muulizaji anapwaya sana,
    Kuzoea kuuliza maswali ya udaku udaku, eti umewai shika sh ngapi.

  • @JamesJastin-bg1rx
    @JamesJastin-bg1rx 2 місяці тому

    Tako

  • @domisonrichman6499
    @domisonrichman6499 Рік тому

    Kamanda ...kichwa hiki

  • @sautikaliitz934
    @sautikaliitz934 Рік тому +1

    mwamba

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 Рік тому +4

    Wasanii ya siku hizo walikuwa wanafanya vizuri sababu walikuwa wanatembeleana maskani zao na kupeana chalenge sema tu mziki ulikuwa haulipi

  • @salehhemed9388
    @salehhemed9388 Рік тому +2

    Elimu Dunia

  • @bainolatino3412
    @bainolatino3412 Рік тому

    Kuna maswala waandishi wanauliza ili kumpima mtu kama at Atoka kwene reli au vipi lkn Kwa Daz naona kajipanga kisaikolojia halafu shule pia imemsaidia form 6 ya zamani sio kama yasasa

  • @dicksonkisanga7380
    @dicksonkisanga7380 Рік тому +1

    Ndipo wazazi wangu walipokaa chin na kufkri japo kuwa mm mkubwa nianze skul

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 Рік тому +3

    Hapa kapona mbona anang'aa

  • @JescaLameck-mr9dw
    @JescaLameck-mr9dw Рік тому +1

    Waje bana waje tumewa mc bana hawa wakisasa wametuchosha na mapenzi

  • @bakarimuhibu602
    @bakarimuhibu602 Рік тому +1

    Madawa kweli yanaharibu sana

  • @dicksonmbuta6700
    @dicksonmbuta6700 Рік тому

    Elimu DUNIA HATARIII MNOOO

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 Рік тому

    Dah kumbe daz yukonpoa tuu leo wamemkuta hajalewa anaongea poa tuu bado anajielewa tuu

  • @dicksonkisanga7380
    @dicksonkisanga7380 Рік тому

    Anafanana na Bob

  • @abeidsaid9635
    @abeidsaid9635 Рік тому

    akuna kitu mm nilimuona tabata teja aswa huyu leo kaoga kavaa kapendeza

  • @IDV630
    @IDV630 Рік тому

    Uyu jaama namukubali nyimbo zake hazitatoka kwa hewani

  • @diwanikatayankonko2671
    @diwanikatayankonko2671 Рік тому

    Ngoma zake ninazo mpaka saiv

  • @elisanteshayo3882
    @elisanteshayo3882 Рік тому

    Unga ni jambo baya sana jamaa ameshindwa kabisa kuacha unga ni ngumu sana

  • @djtobasoba3660
    @djtobasoba3660 Рік тому

    Tatizo ukilikataa inakuwa mbaya

  • @michaelmwalupale3354
    @michaelmwalupale3354 Рік тому

    Mwandishi ana maswali ya kiwaki sana huyu hakujipanga kabisa

  • @kadaskarim5081
    @kadaskarim5081 Рік тому

    Daz umeanza kupendeza hongra san

  • @elishamwangolo1560
    @elishamwangolo1560 Рік тому +1

    jembe langu tanzaniano

  • @oscanyakunga
    @oscanyakunga Рік тому

    NAWEWE OKOKA KWA NEEMA'

  • @derrickwanatanzega5047
    @derrickwanatanzega5047 Рік тому

    MWANDISHI UNA MASWALI YA KINDEZI

  • @nzitogondwe9976
    @nzitogondwe9976 Рік тому

    Mond msaidie huyu jamaa

  • @mudriqbutton8372
    @mudriqbutton8372 Рік тому +1

    Rasta

  • @championtv255
    @championtv255 Рік тому +2

    Dah huyu jamaa kazeeka na utam wake

  • @kuvetamzazi8689
    @kuvetamzazi8689 Рік тому +3

    Daz ndugu yangu acha kuficha maradhi, kwani kuna siku kifo kitakuumbua. Wewe kubali tu kwamba wewe ni teja ili usaidiwe kupata tiba na baadae urudi upya kutupa burudani yako tuliyoikusa muda mrefu.
    Acha unga na utubu maana vijana wengi wanaangamia kwa kuficha maradhi.

    • @benmbuya1814
      @benmbuya1814 Рік тому

      Acha kuhukumu, una uhakika gani anatumia hivyo vitu?

    • @dayanamsuya6516
      @dayanamsuya6516 Рік тому +1

      Ila ata kama hivyo anaonekana yuko fresh kuliko kipindi cha nyuma anapambana vizuri

    • @salimrizikijaji1281
      @salimrizikijaji1281 Рік тому +1

      Dah bos wng huon km anatumia hayo mambo hapataki toch hapo

  • @rashidomar1558
    @rashidomar1558 Рік тому

    Heavy weight

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 Рік тому +1

    Kila Mtu Anakuja Anaishi Anaenda Kikubwa Kila Mtu Amueshimu Mwenzie Akila Madawa Asile Madawa Kikubwa Jamaa Alileta Fulaa Kwa Vijana Wakale Waleo Na Wakesho Na Hata Milele Amina Hata Ukiwa Teja Lakini Ngoma Zako Tamu Muda Wote Zote Tamu

  • @zkbeto2486
    @zkbeto2486 Рік тому

    Sauti bado ipo tena motooooo sana...NIPE TANO

  • @sultanmsoloni8635
    @sultanmsoloni8635 Рік тому +2

    Daz akiri mingi

  • @trillionthamani
    @trillionthamani Рік тому

    Mario hawezi kuulizwa atukumbushe alichoimba