Vocal za Picco ni Pure Vocal za Mackamua Vocal ni Pure Vocal za PNC ni Pure Solid Ground Family Good old Memories Mabaga Fresh ✊✊ Sister P ✊✊ Chiku Keto ✊✊ Joslin Swags ✊✊ Rado ✊✊ Slaughter Kindumbwendumbwe daah good old days Manex Mipango✊✊
Daaah sema Bongo bhana utashangaa hii nguvu itaishia kati Sponsers washikilie hili swala mambo yasonge bhana Mziki wa zamani haufi sema hichi kizazi kipya kina mbinu sana japo wakongwe walikata tamaa sana aisee hope hili swala litafika mbali sana wangapi bado wanakubali Old Bongo flavour 😎
SAFI SANA YANI ALIYE TOA HILI WAZO BIG UP SANA... HIZI NYIMBO ZA ZAMANI YANI ZINAISHI SAANA YANI MPAKA LEO BADO TAMU BALAA NAKUJA TZ KWAAJILI YA HIYO SHOO NAWAKUBALI SANA WAKONGWE... ALL THE WAY FROM MOZAMBIQUE SALOOOT🔥🔥🔥🔥🔥
Ghafla nimekumbuka enzi Hizo maisha yalikuwa very simple! hakukuwa na hizi social medias! Kulikuwa hakuna complications kabisa! umoja wa kutosha, ujirani wa kweli, maadili yalikuwa bado hayajaanza kuporomoka kivile, yaani kwa kweli tulikuwa tunaishi vyema Sana na hizi nyimbo Sasa daaah maisha yalikuwa matamu Sana!
Old is gold nakuja kudhuudia marejendali wa burudani, all the way nakuja kufurahi na wakongwe. Kutoka South Africa ninapoishi kwa sasa to DAR ES SALAA TANZANIA.
Daaah sema Bongo bhana utashangaa hi nguvu itaishia kati Sponsers washikilie hili swala mambo yasonge bhana Mziki wa zamani haufi sema hichi kizazi kipva kina mbinu sana japo wakongwe walikata tamaa sana aisee hope hili swala litafika mbali sana wangapi bado wanakubali Old Bongo flavour
Ningependa wasanii wetu wa kongwe waandae matamasha tanzania nzima ili burudani za zaman ziweze kutufikia mikoa yote Tanzania isiwe kwa dar tuu ilo ombi langu pls naomba lifanyiwe kazi
Kuna sauti za baadhi ya wasanii hapa bado wako poa sana hawatakiw kuacha waendelee na music yaan wakonpoa sana ila kuna Marrow Mzee wa Rita na nimechoka kupiga honi hatuelewan wamemsahau wamlete nae na bushoke pia
From Taveta,kenya bigup sana kwa magenerali wa ukweli kuskiza hizi nyimbo zenu kidogo tu ningekuwa msani i love love you guys truly legendary. Salute tz bongo original
duuuh kitambo sana yani mpaka chozi lafuraha limenitoka wakongwe wenzangu wa muziki wetu wa kitambo hicho tujuane basi hiyo ndo ilikuwa bongo fleva yakueleweka wazee wandima
Shukran sana tunaomba pia hizi nyimbo za zaman kwa Kila msanii atutolea album ya nyimbo zake zote, tutanunua hata audio tu zikiwemo zinatosha. Tunahitaji sana sana tunaomba,. Weken tu utaratibu wa kutoa album kwa Kila mmoja kwa nyakati tofauti tofauti
Shida nimoja huo umoja hauwezi kukaa mwaka, Shida Tamaa nakutokuaminiana kwenye kipato, Mungu awajali msimamishe umoja wenu Hata Miaka 3 tu , Mtakua mmefika mbali
Daaaaahhh Sister p...kitambo sana kipindi hicho wewe sister Mimi dogo ...tunaingia Disco toto pale Triple A ....chugaa............kipindi hicho tunakalia viti vya ngozi .
Vocal za Picco ni Pure
Vocal za Mackamua Vocal ni Pure
Vocal za PNC ni Pure
Solid Ground Family Good old Memories
Mabaga Fresh ✊✊
Sister P ✊✊
Chiku Keto ✊✊
Joslin Swags ✊✊
Rado ✊✊
Slaughter Kindumbwendumbwe daah good old days
Manex Mipango✊✊
Picco m2 mbaya sana aisee
Jamaa wamenikumbusha mbali sana mpaka chozi la kumbukumbu limenidondoka dah!
Muda siyo rafiki unapaa sana.
All in All God is great 👏🏿
Umeona eee
Pico 🔥🔥🔥🔥🔥
Daah hii show itakuwa powa sana asee kwelii mliondoka na mzikii wenu
Daaah sema Bongo bhana utashangaa hii nguvu itaishia kati Sponsers washikilie hili swala mambo yasonge bhana Mziki wa zamani haufi sema hichi kizazi kipya kina mbinu sana japo wakongwe walikata tamaa sana aisee hope hili swala litafika mbali sana wangapi bado wanakubali Old Bongo flavour 😎
Mimi wa kwanza
old is gold for ever
Zamani!Zamani! Hisia nzuri kama hizi..... Nakumbuka enzi za RFA Show Time na Kiss FM aiseee life was so good...
SAFI SANA YANI ALIYE TOA HILI WAZO BIG UP SANA... HIZI NYIMBO ZA ZAMANI YANI ZINAISHI SAANA YANI MPAKA LEO BADO TAMU BALAA NAKUJA TZ KWAAJILI YA HIYO SHOO NAWAKUBALI SANA WAKONGWE... ALL THE WAY FROM MOZAMBIQUE SALOOOT🔥🔥🔥🔥🔥
Kabisa hata mimi nampa heshima sana aliyetoa hili wazo
Izi nyimbo zinarejesh kumbukumbu tulizokuwa nzo utotoni shukran kwa kurud sn
Noma sana
Sana sana
Yaani natamani turudishe tena nyuma.
Kumbe ndio wewe uliyeimba nakupenda bibi kizee daah safi sana
Nimeipenda hii show nakuja tarehe 14/5/2022 kutoka South Africa to home sweet home tz dar es salaam
Ghafla nimekumbuka enzi Hizo maisha yalikuwa very simple! hakukuwa na hizi social medias! Kulikuwa hakuna complications kabisa! umoja wa kutosha, ujirani wa kweli, maadili yalikuwa bado hayajaanza kuporomoka kivile, yaani kwa kweli tulikuwa tunaishi vyema Sana na hizi nyimbo Sasa daaah maisha yalikuwa matamu Sana!
Saaaanaaa yaan nikikumbuka yale maisha yalivyokuwa matam nabaki kusiktika tuu
Kabisa wabongo tulikuwa wastaarabu ,hatuna ubabaishaji,Amani tunapendana yaan zamani rahaa kwakweli.
Kikongwe sauti bado ipo. Wakojwe turio zicheza hizi nyimbo tujuane hapa😅🔥
Sanaa sauti haijachuja no 🔥🔥🔥
Aliyeimba vinapanda bei 2022 aliona future gonga like kama umemuelewa kama mm
🔥🔥🔥🔥🔥😘😘😘😘😘😘 nmefurahi sn kuwaona hawa imerudi memory ya utoto dah I lov them wallahy yani sauti zao ni OG no feki feki na bdo sauti zao ziko vile vile
Josiline is pure talented his vocal still hot
Yan mshikaji ni balaa kinyama. Nimemkabr
Halafu kapungua mwili umeisha kidogo
I CAN'T BELIEVE I WATCHED THE WHOLE 29MINUTES JUST TO REFRESH MY CHILDHOOD MEMORIES
Me too
Nimeisikia ndege mtini ya ferouz na shaz imebid nikaitafuta kwanza nisikilize ndyo nirud😅😅🙆♂️
Siyo peke ako yan hizi ndizo ngoma.
Me too
Suma G
Solid Ground family
Long time sanaa nimefurahi kuwaona
May Allah keep on Guide Us.
Ameen.
This dude has a natural God gifted voice
Yan alie andaa hili tamasha la makutano ya malegend ni wazo bora sana sio siri 👏👏👋👋👋👋👋👍👍👍
Kabisa bro
Kafanya Jambo la msingi jamaa bado wako vzri kwa kuimba ni sapoti wanakosa
Hii show sio ya kukosa! Legendary, mtauaaaa kizazi cha zamani tunawakubali saana.. Mmetukumbusha zamani sana...
We miss you guys mje na Moro kiingilio 50 elfu mie nitakuwa wakwanza kuingia
Old is gold nakuja kudhuudia marejendali wa burudani, all the way nakuja kufurahi na wakongwe. Kutoka South Africa ninapoishi kwa sasa to DAR ES SALAA TANZANIA.
I wish ningekua bongo. Nakumbuka my childhood days😁
🫡
Wapi hiyo
One of the humble artists PNC namkubali sana brother yng mwanangu sana
Hatar sana
Aiseee hii itakuwa wapi jamani Mimi Namuomba MUNGU Anijaalie UHAI tu ili niweze kuwepo SIKU iyo kwa hakika 770_❤️❤️🇹🇿.
Pico you still amazing Ur vocal wooow
Wow! Ni nomaa wote ni 🔥 alafu nimependa kila mmoja anajiamini balaa.
😅😅😅😅iyi festival itakuwa 🔥 🔥🔥🔥 y’all got me miss my childhood fr
Sema mimi wananifunza confidence.walikua wanakifurahia wanachokifanya
Izi nyimbo zilkuwa nzuri sana tulikuwa tuna enjoy hamna matusi 💪💪💪💪🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Dah... Hii show itawaka Moto 🙏🔥🔥🔥, Itabaki History ijawaitokea kuliko show zote bongo.....+254🇰🇪🙏🙏🙏 True fan🇰🇪🔥🙏
Vocals bado ziko on point ☝️🥂😁 Mashallah 🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Muziki ni muziki, kiki sio mziki.
I am grateful I lived during the music moments
📻🎤🎧BONGO LEGENDARY MUSIC FESTIVAL 14-05-2022 Gonna be A Holiday in Tz 🇹🇿 Itakuwa NOUMAAA SANA 🔥🔥🔥🔥🔥 OLD IS GOLD ✊✊✊
Kiukweli inafurahisha kuona kila msanii akipita mbele kuimba wenzake wanamuitikia tena kwa shangwe zote.. Old iz Gold🔥🔥🔥
Nyimbo za zamani ni kali sana diamond na mmakonde hawawezi mziki huu
.Amin
The humbleness in P.N.C ❤️❤️
Daaah sema Bongo bhana utashangaa hi nguvu itaishia kati Sponsers washikilie hili swala mambo yasonge bhana Mziki wa zamani haufi sema hichi kizazi kipva kina mbinu sana japo wakongwe walikata tamaa sana aisee hope hili swala litafika mbali sana wangapi bado wanakubali Old Bongo flavour
Ningependa wasanii wetu wa kongwe waandae matamasha tanzania nzima ili burudani za zaman ziweze kutufikia mikoa yote Tanzania isiwe kwa dar tuu ilo ombi langu pls naomba lifanyiwe kazi
weuweeeee wa kongwe wenzangu 🥰🥰🥰🥰🥰😘😘😘😘
Duh watu na sauti zao🔥🔥🔥🔥
Kuna sauti za baadhi ya wasanii hapa bado wako poa sana hawatakiw kuacha waendelee na music yaan wakonpoa sana ila kuna Marrow Mzee wa Rita na nimechoka kupiga honi hatuelewan wamemsahau wamlete nae na bushoke pia
Nimefulai sana hili tamasha
Nitakuwapo nitakuwapo nitakwapo
Wazee ya kale ni zahabu.amkeni amkeni mziki wetu urudi vilevile .hii kitu ni bomba sana.
leo ndio nimesikia vizuri chorus ya asina, nilikuwa sielewi
The voice
Ingeluwa kira anaetokea apombere nakumuandika jina ilituwakumbuke majina tuyatafite nama nyimbo zao
OLD IS GOLD FOR SURE
Hizi ladha huwez kuzipata popote pale. kwel tuliwafaidi san enzi zenu. 💪💪💪
Sio yakukosa mzee tamu sana Ulinzi wakutosha Mzee tumoo Humo mzee
Yani fireee zaman mziki mzuri wallah
Kama hili tamasha litakuwa classic, sehemu ambayo hakuna mivurugano! Its not place to miss
Hakika
wakongwee waeshiwe Sanaa. wanamusic mzuri kinomaa siohawa wasasa matusi nyimbozao zakisenge
Pasha yupo fresh Sana hongera manake wasanii wegi wa zaman wanavuta Sana wamechoka cjui Ni stress 🤔
Mnajitunza vyema kwa kweli hamjachoka kabisa.
Picco hpo chonjoo na sauti yko mwaaah🔥🔥🔥🔥
From Taveta,kenya bigup sana kwa magenerali wa ukweli kuskiza hizi nyimbo zenu kidogo tu ningekuwa msani i love love you guys truly legendary. Salute tz bongo original
duuuh kitambo sana yani mpaka chozi lafuraha limenitoka wakongwe wenzangu wa muziki wetu wa kitambo hicho tujuane basi hiyo ndo ilikuwa bongo fleva yakueleweka wazee wandima
Kweli kaka
@@albanotabia9413 kabsa mzee
BONGO LEGENDARY MUSIC FESTIVAL....🌎💥💥💥
Kitambo
@@sawakmsuya64 Kitambo sana.
Ni watu wazima Lkn sauti Bado zipo maashallah mbarikiwe,sijawaona man dojo na Domo kaya,feruzi,mchizi mox, Feisal,Zay B.
Shukran sana tunaomba pia hizi nyimbo za zaman kwa Kila msanii atutolea album ya nyimbo zake zote, tutanunua hata audio tu zikiwemo zinatosha. Tunahitaji sana sana tunaomba,. Weken tu utaratibu wa kutoa album kwa Kila mmoja kwa nyakati tofauti tofauti
Picco you still got it bro!!
Music zamani dah!...sahi kelele tu!...hi microwave generation got nothing on this legends.
Solid ground family Athuman jamani jaman, nimejiskiaa kuliaa huu mziki
Kwa nn ulie
@@samwelimoshi5614 Nimekumbukaa Maisha ya zamani mzee
Shida nimoja huo umoja hauwezi kukaa mwaka, Shida Tamaa nakutokuaminiana kwenye kipato, Mungu awajali msimamishe umoja wenu Hata Miaka 3 tu , Mtakua mmefika mbali
Upo sahihi kabisa Bro
kazi kazi wazeeee sauti ziko sawA
sana hongereni wakubwa mungu yupamoja nanyi
waooo wakongwee rudini tumefurahi sanaaa
Mabaga fresh jmn🔥🔥🔥🔥🔥
Yan vdeo yao had kesho naikumbusha ile mabaga fresh ktambooo😃😃
Solid ground farmily daah mabaga freshi kweli enzi zetu tuliinjoi mziki mzuri
Huyu Pikko Swag ni Nouma💓💓💓💓💓💓
Naheshimu wasanii wanaoimba na ku rap Joslin nakupa salute jibaba
Really gone are the days when music was music.... One love legendaries all the way from +254..
Huyu joclin yuko very talented big up
Daaaaahhh Sister p...kitambo sana kipindi hicho wewe sister Mimi dogo ...tunaingia Disco toto pale Triple A ....chugaa............kipindi hicho tunakalia viti vya ngozi .
Daaah Mungu awabariki Sana Hawa wasanii wetu awaweke miaka mingi.... A big reminisce ... Hongera waandaaji... Tutakuwepo
Noma sana, nataman niwepo, aseeh mje mpaka mikoani, wakongwe tunainjoy mbaya💪💪
Itakuwa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Sanaaaaaaaa, Kikubwa Uzima nitakuwepo mapema saaanaaaa
whoever came with this idea of bringing back these legends,Jah bless!
Pico unatisha brooo unanikumbusha mbalii
Makamua Broo unanikumbusha 2008 nikiwa college
PNC nice Broo kweli zamani mlikua mnaimba
Squizer Nakubapli sana mwamba sana uyup
Ebhana nimependa sanaa huuu MUUNGANO!!! True STORY
Mmefanya K2 kikubwa sana kurudisha bongo fleva ile ya zamani
Oya wanaa tuwach yot ila haw wtu w kale wpo vzr zaid kuliko haw w saiv kw kuimb live 🙌🙌🙌
Mash Allah ❤
DAAAAAAAA NIMEKUMBUKA MBALI SANA
Bongo legendary. Heshima sana dah hisia sana
Picco is 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌
Much appreciation daah thanks alot for lesson
Au basi😁😁😁😁🙌🤭🤭🤭🤭🤭🤭...sema big up hii itasaidia kuwafanya bize wasijialianate👏🤜🤛🙏🙏🙏
Wow,, OLD is GOLD 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️
Mtulize kabla haja kutuliza,kudaadeki🙌😀😀🔥🔥🔥
😁😁
Safisanaaaaaa mungu alitangulie jambohili ili wanamuziki pendwa hawa warudi gemuni
We forgot their names but we remember the songs .🔥🔥
Sure
Majina yao
1.Picco
2.Makamua
3. PNC
4.Squeezer
5.Baby Madaha
6.Solid Ground Family
7.Mabaga Fresh
8.Sister P
9.Chiku K
10.Josline
11.University Corner
12.
@@kingiryn8656 Asahnte
Kabisa
Da mmefanya vizur kuturudishia wasanii wetu nawakubali Sana wote
Wakulungwa tuu ndo tutaelewana! Watoto mliozaliwa 2003 show haiwahusu😀😀😀
mziki ulikuwa 🔥🔥
Apo kwenye jonita 😋😋💃💃💃
😁😁
Good idea
Goob music 4 the old school vibe.
Wahuni wote ndani ya nyumba bala tupu kikongwe, solid ,PNC makamua n wengine dah mbali sanaaaaaaa
Wasanii wa zamani hawakuwa na mambo mengi💥💥💥🙌🏾,life before covid19,old is gold! Im feel so sorry kwa watoto waliozaliwa miaka ya 2000
old is gold
Oooh my god!! My old days 😍
daaah asee hii combo ya hawa wahenga itakuwa faya bin faya
Hapa ndio tunasikia Original Vocal Cords, sio Hawa wabana pua wa Sasa hivi, Leo anaimba kama mondi kesho Harmonize 🤣🤣🤣🤣😂😂
Kakakaaaa
Hahahahaha