yaan amenifurahisha sana reaction yake alipoulizwa habari za cjui kikuku kuhusishwa na udangaji, this is a perfect and clear mindset ya kwamba yupo busy na kufanya mambo yake yanayomwingizia kipato kiasi kwamba hana muda wa kujua upumbavu wanaowaza watu mitaani.
I have been looking for this song and the artist .. finally...I have never heard of her but am here for it..so mature eloquent...love her. And her vocals.. love love her
Uko vizuri sana, ila tatizo ni moja tu kuvaa uchi na kushikwashikwa na wanaume hadharani dunia nzima inakuona. amua moja kubaki na yesu tu au kubaki na dunia.mama ABY unaonekana hutaki mwana adhalilike , vipi hayo mavazi ya ambayo hayamsitiri mwili wake?
@@sheckycobb5240 hata wewe unaweza kumuombea huna imani au.kuwa na hakili wewe mazingira yanachangia Sana kuleta vishawishi.umeokoka halafu inaenda baa utadanga tu 😒
Abby i love you so much don't listen to people do your life and follow your dreams always stay true to your self bcz watu wataongea lakn ukwel unaujua mwenyew
No one should judge her, unless u are God, however, she's just a young girl who wants to experience the world she is a lost Christian but God still loves her. And we pray that she goes back to Jesus.
@@johnmichaellukindo21 saying the status of someone's Christianity is not judging. it is like when you are driving. if you are not on the right lane that is quite clearly visible.
She has a colonial mind. Being a community member of a certain people, language is identifying factor. But yes, you have to disown who you are for you to be a little bit fashionable or uniquely accepted in certain society. On the other side, watanzania ni watu flani wanaojudge watu sana, mwonekano wa mtu, maisha ya mtu, maamuzi ya mtu kwenye maisha etc. Watanzania tuna ushamba mwingi sana wa kutaka mtu aishi vile tunavyoona ni sahihi machoni petu. Kitu ambacho sio nzuri. Tuna tamaduni zetu hapa Afrika za kuvaa mikufu, ushanga na haina maana hiyo hasi ambayo hii jamii hasi imejiaminisha nyakati za sasa. Anyway all in all kama asemavyo babalevo, yote ni maisha na kila la kheri
Yaani mpaka mi ndio naona aibu yaani wanakataa tamaduni zao mpaka lugha zao . Kuna wakati waziri wa uvivu alikuja TZ yaani alikuwa akiongea kichana chake nyie wenywewe mlete mkalimani wa kiswahili , yaani hiyo inaonyesha vile lugha zao, majina yao vyakula vyao kwamba ni muhimu sana
@@samiraabdimahamed4449 Huwezi kukataa asili. Kusoma ni kustarabika na kutafuta namna ya kujiunga na jamii yako zaidi. Sisemi kingereza ni kibaya hapana ila kuwa mtanzania inajumuishwa na tamaduni zake, kanuni zake na mila pamoja na desturi zake. Ila utumwa na ukoloni umemwadhiri zaidi mtu mweusi kisakolojia katika kiwango cha yeye kujikataa zaidi. MalcomX alilalamikia chuki iliyoko kwenye Black Community wanaolimana marisasi na kukataa asili yao ya uweusi. Fratoz Fanon aliandika kitabu kinachoitwa Black Skin White Mask, hii kitabu kimemwonesha msichana mmoja aitwa Mayote Kapsia anayejidai kuwa yeye hatataka kumdate mtu mweusi, hatawahi mkumbatia wala kumbusu mtu mweusi lakini yeye msungumzaji ni MWEUSI KAMA MKAA! Ndio maana Walter Rodney aliandika pia, wimbo unaimbwa London, Paris na Newyork ila mtu aliyeko Legos, Kampala, Nairobi na Dar wako busy wakiicheza balaa! Fikria logic in it. Mungu aione tuu Afrika kwa jicho la huruma. Ndio maana Ngungi wa Thiong'o aliandika kitabu kiitwacho REMEMBERING AFRICA, na kingine DECOLONIZING THE MIND! Tuna ujinga mwingi sana!
@@samiraabdimahamed4449 sio kweli Hawa watoto wanaanza kujifunza kingereza watoto wadogo sana anakua ni kama lugha yake hawezi kuongea sentensi bila kuongea kingereza.mimi mwanangu anamiaka nane lakini kiswahili anaongea na kumix na kingereza Sababu ameanza mdogo sana so akifika umri huo nadhani atakuwa Ivo
I think media is putting too much pressure on her to an extent she's been exposed to things she actually never cared. Imagine sasa anklet/kikukuu it's a just a body make up or accessory lakini watu kila mara ooh uko na mahusiano ooh uko na mdangaji that's not profession guys yaani interview yoote umbea tu . why not supporting her na kuuliza kuhusu kazi zake watu wapate wapi kumsapoti and all kinder stuffs, gladly she's having a very strong foundation on what she believes, hope media spotlights won't confuse her in anyway. God protect her 🤍🫶🏾
Tunakupenda sana .tunapenda mziki wako . Tatizo katika kuongea uwe unaongea umetuliya apana kurapuwa 👈 ongea umetuliya kama mtoto wakike .usiwe kama HAMISSA MOBETO 😋😋😋
Iyo ni watoto waleo wakisoma izo luga wanaujaja sana ,walimu wanawafuza mambo yote bila kuwafisha, iyo nikawaida nikurukaruka tu.utudu tuko naho ulaya wegi
MUNGU anajitegemea na hajachanganywa na stuffs nyingine zozote. Kama ukiamua kuwa moto kuwa moto kweli kweli na kama unakuwa baridi uwe baridi kweli kweli. 😂😂😂😂
Sidhani kama ni sawa kupost vile na unaongoza worshiping unapokuwa na kanisani. Wakristo tusifanye ukristo kuwa mwepesi sana. Ina maana utembee uchi halafu useme mi sina boy friend?
jamani sasa kutembea uchi kuna husiana nn na kuwa na boyfriend?? Mtu akiamua kukaa uchi hata awe na boyfriend au la atakaa tu uchi muwege mnajitahidi kufikiri kabla ya kutoa hoja hahahahaaaaaa
In other side I can support you, Iam not perfect either so I can not judge anyone. Lakini kuwa mkristo halisi inahitaji kujitoa asilimia 100%. Wakristo wengi now tunakuwa vuguvugu (warm) not hot or cold. Hili kweli sio jambo zuri, ila ndo hivyo Kila mtu na maamuzi yake, Ndo maana hata Abby ukimsikia anasema "Mbinguni nitaenda Peke yangu" kwa hiyo Kila mtu anajua anachokifanya.
ni mzur lkn mavaz yko na unavyojiweka inavunja ile utu wako unakaa uchi mm sion km umejistir yani unaonekana muhun kweli mungu hakupi vyote waswahili wamesema hvo
Mbona wa masai wanavaa vikuku na hawaitwi wadangaji ndo kwanza mnawataka wavae kama sehemu ya kupresent tamaduni also wahindi wanavaa vikuku pia people are ignorant.
You present Tanzanians artists around the globe 🌎🌍 big up Abbigail
Wasafi mrudisheni Alya katika utangazaji. Mnakosea sana kunuweka benchi
yaan amenifurahisha sana reaction yake alipoulizwa habari za cjui kikuku kuhusishwa na udangaji, this is a perfect and clear mindset ya kwamba yupo busy na kufanya mambo yake yanayomwingizia kipato kiasi kwamba hana muda wa kujua upumbavu wanaowaza watu mitaani.
Angekuwa gigi najua asingeulizwa maana ni mambo yake.....🤣
😂😂😂😂😂😂😂 kama vile havimshtui
she is remarkable. I'm officially her first kenyan fan
I have been looking for this song and the artist
.. finally...I have never heard of her but am here for it..so mature eloquent...love her.
And her vocals.. love love her
lov u abby na ni kwl dada
Nakakubali sanaa love u more mummy❤❤
sure i salute you ukipata mtu wa ku vibe nae just vibe tuuu 💕💕
Uko vizuri sana, ila tatizo ni moja tu kuvaa uchi na kushikwashikwa na wanaume hadharani dunia nzima inakuona. amua moja kubaki na yesu tu au kubaki na dunia.mama ABY unaonekana hutaki mwana adhalilike , vipi hayo mavazi ya ambayo hayamsitiri mwili wake?
UnaOngea harakaaaaa duhhh
Niliyategemea hayo 🥺 wokovu sio lele mama (yesu n mzito wa pendwa habebeki Ovyo ovyo
Hakika
Acha dharau, Kama unaona Yuko dhaifu muombee sio kumsimanga
Wewe Kama Nani? Watabiri wachawi Kama wewe, eti ulitegemea😳
@@sheckycobb5240 mimi kama mm.ulitaka niwe vp.alafu mchaw mwenyewe
@@sheckycobb5240 hata wewe unaweza kumuombea huna imani au.kuwa na hakili wewe mazingira yanachangia Sana kuleta vishawishi.umeokoka halafu inaenda baa utadanga tu 😒
Napenda kanvyoongea🥰🥰🥰🥰😘😘
19 ans petite fille 😍😍😍 vizuri zaidi umshukuru mzazi wako alokuweka shule mapema👍🤲🤲🤲
Abby i love you so much don't listen to people do your life and follow your dreams always stay true to your self bcz watu wataongea lakn ukwel unaujua mwenyew
this girl is 🔥🔥🔥🔥🔥
She is very impressive
Daaaaaah kweny mia nasikia moja anaongea uyu duuuuh😀😀😀😀😀😀
No one should judge her, unless u are God, however, she's just a young girl who wants to experience the world she is a lost Christian but God still loves her. And we pray that she goes back to Jesus.
You judged her already said she is a lost Christian!
@@johnmichaellukindo21 saying the status of someone's Christianity is not judging. it is like when you are driving. if you are not on the right lane that is quite clearly visible.
@@shau78
Whichever way you're trying to twist it, it's still judging.
@@unclepwechnov1381 So tell us how you will say then!
Eimen
Kwaiyo ww ujawahi kudangaa Dada acha uongo mungu anakuona
Tunahitaji mwana music msomi kama wewe. Dada mzuri sana
Kuongea kizungu haimaanishi ni msomi mamaa
@@bekatv1009Ongea na ww bila kusoma mbona kama imekukera Kingereza mchezo
@@FatmaMwinyi-jt2rr 😂😂😂😂😂fatima umeuwa unamauwa yako mbinguni mama kizungu mchezo 😂😂😂😂😂
New Vanessa in Town 🤗🥰
Hell nooooo ..... Vanessa was never this dumb.
She is nowhere near being Vanessa, hold your horses
@@mercynnko3416 you bitter AF
abby anajua sana kuimba
Huyu dada ana ishi maisha tofauti na sisi wengi😂😂😂 hajui neno kudanga
Wakenya wanasema watanzania 😂❤hatujui kingereza hiki ni nini
napenda sana mwana music msomi kama wwe😘😘
She is very smart
She has a colonial mind. Being a community member of a certain people, language is identifying factor. But yes, you have to disown who you are for you to be a little bit fashionable or uniquely accepted in certain society.
On the other side, watanzania ni watu flani wanaojudge watu sana, mwonekano wa mtu, maisha ya mtu, maamuzi ya mtu kwenye maisha etc. Watanzania tuna ushamba mwingi sana wa kutaka mtu aishi vile tunavyoona ni sahihi machoni petu. Kitu ambacho sio nzuri. Tuna tamaduni zetu hapa Afrika za kuvaa mikufu, ushanga na haina maana hiyo hasi ambayo hii jamii hasi imejiaminisha nyakati za sasa.
Anyway all in all kama asemavyo babalevo, yote ni maisha na kila la kheri
Yaani mpaka mi ndio naona aibu yaani wanakataa tamaduni zao mpaka lugha zao .
Kuna wakati waziri wa uvivu alikuja TZ yaani alikuwa akiongea kichana chake nyie wenywewe mlete mkalimani wa kiswahili , yaani hiyo inaonyesha vile lugha zao, majina yao vyakula vyao kwamba ni muhimu sana
@@samiraabdimahamed4449
Huwezi kukataa asili.
Kusoma ni kustarabika na kutafuta namna ya kujiunga na jamii yako zaidi. Sisemi kingereza ni kibaya hapana ila kuwa mtanzania inajumuishwa na tamaduni zake, kanuni zake na mila pamoja na desturi zake. Ila utumwa na ukoloni umemwadhiri zaidi mtu mweusi kisakolojia katika kiwango cha yeye kujikataa zaidi.
MalcomX alilalamikia chuki iliyoko kwenye Black Community wanaolimana marisasi na kukataa asili yao ya uweusi. Fratoz Fanon aliandika kitabu kinachoitwa Black Skin White Mask, hii kitabu kimemwonesha msichana mmoja aitwa Mayote Kapsia anayejidai kuwa yeye hatataka kumdate mtu mweusi, hatawahi mkumbatia wala kumbusu mtu mweusi lakini yeye msungumzaji ni MWEUSI KAMA MKAA!
Ndio maana Walter Rodney aliandika pia, wimbo unaimbwa London, Paris na Newyork ila mtu aliyeko Legos, Kampala, Nairobi na Dar wako busy wakiicheza balaa! Fikria logic in it.
Mungu aione tuu Afrika kwa jicho la huruma. Ndio maana Ngungi wa Thiong'o aliandika kitabu kiitwacho REMEMBERING AFRICA, na kingine DECOLONIZING THE MIND!
Tuna ujinga mwingi sana!
@@samiraabdimahamed4449 sio kweli Hawa watoto wanaanza kujifunza kingereza watoto wadogo sana anakua ni kama lugha yake hawezi kuongea sentensi bila kuongea kingereza.mimi mwanangu anamiaka nane lakini kiswahili anaongea na kumix na kingereza Sababu ameanza mdogo sana so akifika umri huo nadhani atakuwa Ivo
True
Very impressive young girl
Kama kuna wadada mchaga anawazimia hapa Tanzania huyu hapa number1
Sio mchaga n mbondei wa muheza huyu hnanaa
@@husnamusa3178 mchaga huyo wew
Kikuku!?kichiken!?😂 Interview ya huyu mtoto kila wakati inaradha mpya.Nakupenda little sis
Ikr hahahaaaaaaa
😅😅
Mkuku
Interview ya kimbea sana😢
Kila kitu Kiko sawa
Ila hiyo speed ya kuongea ni kutoka sayari ya Mars...
😂😂😂
You are my strong woman I love what you do
I think media is putting too much pressure on her to an extent she's been exposed to things she actually never cared. Imagine sasa anklet/kikukuu it's a just a body make up or accessory lakini watu kila mara ooh uko na mahusiano ooh uko na mdangaji that's not profession guys yaani interview yoote umbea tu .
why not supporting her na kuuliza kuhusu kazi zake watu wapate wapi kumsapoti and all kinder stuffs, gladly she's having a very strong foundation on what she believes, hope media spotlights won't confuse her in anyway. God protect her 🤍🫶🏾
You know kikuku😀😀😀😀
Chicken 😹😹😹😹😹😹
@@biancashamra1761 yan nimecheka mno😀
Brava cute girl
MAMA USIWASIKILIZE TAFUTA PESA KWANI UKIWAAMBIA WAKUPE PESA HAWATAKUPA? JIBU NI HAPA..
PIA USIPANGIWE NAMNA YA KUISHI
Tunakupenda sana .tunapenda mziki wako . Tatizo katika kuongea uwe unaongea umetuliya apana kurapuwa 👈 ongea umetuliya kama mtoto wakike .usiwe kama HAMISSA MOBETO 😋😋😋
Hahaha shida Yako sasa
This is nature
Mutamusame kiukweli siyo yeye nishuleni wanawafuza ivo
Kwan kabila gan mbon anaongea harakaharak
@@poloinnocent9923 msukuma😂😂😂😂
Dada kameza CD
😂😂😂
Tena cd mbili
Sema umechangamkaa
Unamuacha Yesu .......pole sana
We unaye????
Katoto kanaongea kiswahili kwa tabu sana.
😂😂😂😂
Very smart
Huyu mtt mstaarabu mana interview za kwetu hata maji huekewi utapaliwa mpaka ujambe hakuna maji wala juice juu ya meza
Abigail Wewe sio mwimbaji wa bongo Wewe Ni mwimbaji wa dini
Kanajua kujieleza Sana🥰
Unaonea kama wafaransa . Mbiyo mbiyo kama mwenye kachelewa gari
hamna noma.
Interesting people to be clear 😅
Ongea taratibu kidogo.....!!!!
kwakwer kanaongea point tu
Kazuri kajanja sana
Iyo ni watoto waleo wakisoma izo luga wanaujaja sana ,walimu wanawafuza mambo yote bila kuwafisha, iyo nikawaida nikurukaruka tu.utudu tuko naho ulaya wegi
nakapenda ila kwa jinsi ulivyojichanganya mambo yako sikubali na maono yako
MUNGU anajitegemea na hajachanganywa na stuffs nyingine zozote. Kama ukiamua kuwa moto kuwa moto kweli kweli na kama unakuwa baridi uwe baridi kweli kweli. 😂😂😂😂
Ila Abbay alisema anataka kuwa pediatric cardiac surgeon what happened mpaka amebadilisha kusoma businesses and finance can she please tell us
Jamani kiswahili sihiko unaongea wasanii mma mbwembwe duuh
Anaongea speed sana but smart
Demu anaongea kwa kiingereza kwa jazbaaa hadi mtangazaji mchaga OG anatoka jasho anajifutaaa
Uyu ni mkenya au tz?..
Unasema huna mpenzi unavyoshikwa kwenye video huko upati nyege
😍😍🥰🥰🥰🥰🥰🥰😍😍
Kama bintiye Christina shusho 😊
Umeona eee wamefanana
@@RechoMsuya-fq1yp sana
Jmn yani kwenye mia nime elewa moja 2 , khaa ongea kama mtoto wakike Aby
Huyu ni muongo anajua kikuku vzr na mdangaji. Lazima amekutana na hayo maneno mtandaoni.
😂😂
Kikuku ni urembo tu mpendwa nilikuwa naogopa kuvaa lakini sasa hivi navipenda sana
unamjua kumbe hatar yaan kuna watu bwana
Hii nayo kenge tu kama kina Paula UTOFAUTI ni elimu...hii imesoma Paula kichwa maji( mbumbumbu)
😂😂😂😂😂
😅😅😅
Duuuuh tu heshimu watu jmn
Hiii jmn ety mbumbumbu😂😂😂😂
bwana kingeleza kingi sana yani sijaelewa k2 utazan umetusomesha wewe kwan wewe sio mtanzania
, 👍😂😂😂😂👆umeonaee
anazingua
Hahaaaaa nimechekaaa saana..unavituko
@@lelaiddy6856 amezingua
🤣🤣🤣
Akikuwa ataacha!!! Atamrudia mungu.. bado teenager…
😂😂😂😂😂 Kina itwajae kwa kingereza 😂😂😂 Kikukuuuuuuu 😂💦😂💦
an iglet
Closer video is coming soon x harmonize
Kwani hajui kiswahili,nahisi kuumizwa maskio hivo anavoongea
Hahahaha hahahaha
Sidhani kama ni sawa kupost vile na unaongoza worshiping unapokuwa na kanisani. Wakristo tusifanye ukristo kuwa mwepesi sana. Ina maana utembee uchi halafu useme mi sina boy friend?
jamani sasa kutembea uchi kuna husiana nn na kuwa na boyfriend?? Mtu akiamua kukaa uchi hata awe na boyfriend au la atakaa tu uchi muwege mnajitahidi kufikiri kabla ya kutoa hoja hahahahaaaaaa
In other side I can support you, Iam not perfect either so I can not judge anyone. Lakini kuwa mkristo halisi inahitaji kujitoa asilimia 100%.
Wakristo wengi now tunakuwa vuguvugu (warm) not hot or cold. Hili kweli sio jambo zuri, ila ndo hivyo Kila mtu na maamuzi yake, Ndo maana hata Abby ukimsikia anasema "Mbinguni nitaenda Peke yangu" kwa hiyo Kila mtu anajua anachokifanya.
nauliza kipindi kilikuwa chakiswahili ao kingereza naomba kutafsiriwa
hata kama
Mkuku😃😀😃😀what is mkuku???
Hahahaha
Wewe mishgaa
Nakipenda hiki
😁😁😁sijependa
Yani mtangazaji adi akumbuki maswali mengne kwa kuchanganywa na hii cheleani ya English
ni mzur lkn mavaz yko na unavyojiweka inavunja ile utu wako unakaa uchi mm sion km umejistir yani unaonekana muhun kweli mungu hakupi vyote waswahili wamesema hvo
Ndio anakuwa 19 yrs akionja boloconsss atao na utam atakuwa kama Gigy
Binti anaongea Kiswahili kwa taabu sana
Na speed ya 5G
Kininda iki anaongea kma mashine
Hamezi mate
Anatuchoshaaa na kizunguuu
Kwani dini ya kikristo inaruhusu mtu kuvaa nusu uchi na kushare na watu picha kama hizo?….naomba kufahamu hili tafadhali
Mbona wa masai wanavaa vikuku na hawaitwi wadangaji ndo kwanza mnawataka wavae kama sehemu ya kupresent tamaduni also wahindi wanavaa vikuku pia people are ignorant.
Hajui hata maana ya udangaji
Unaongea kama mzaramo😂😂😂au ume share ndugu uzaramoni lakini unaongea umechangamka mpaka raha
Huyu naye atupishe
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️✌️
Married to work
,😂😂😂kikuku chicken,,😂😂mdangaji liar,, akiii mie mbavu sin
Huyu anatoa Paula nje mara ishirini
Sana dogo ana vibe sana
Hv huyu ni mtanzania au
Anaongea englesh mtangazaji anashindwa kuhoji make aelewi
Tatizo ngeli nyingi
😅😅😅😅😅😆😇🥰
Mtangazaj kaishiwa had pozi..dada anaongea kama upepo
Mezaga mate na wewe utakuja kupaliwa !
😂😂😂
Tutafute hela tuu.
Unaongea sna mbk una boa akiii duuu
😂😂😂😂
Kenge maji wewe
Anaongea duh