Usitazame Filamu Hii Ikiwa Huwezi Kuzuia Machozi Yako | Senorita | - Swahili Bongo Movies

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 229

  • @VeronicahOtwori
    @VeronicahOtwori 3 місяці тому +68

    Weeee hii n funzo kubwa kweli kweli adi nimelia 😢😢😢😢malipo n hapa hapa t nashukuru dada kwa moyo uliyo nayo mungu atawasaidia mutapona n mtakuwa n watoto kw jina l yesu kristo kila mwenye anasoma huu ujumbe tuseme amen maana mungu ndie kila kitu kwenye maisha yetu bila yy sisi si kitu kwa hii ndunia🙏🙏🙏🙏🙏🙏nawapenda sana ❤❤❤kutoka kenya 🎉🎉🎉

  • @maylucson001
    @maylucson001 3 місяці тому +10

    Yanii hìi movie ni yangu kabisa senorita anapitia kama mm😢😢😢😢😢 imenikumbusha mambo mengi sanaaa🎉🎉🎉❤❤

  • @peterluther5830
    @peterluther5830 13 днів тому +1

    Kwa kweli Senorita ni Mwanamke,Sura anayo,na ni mtoto mcha Mungu,Lakini hata uwe mzuri kiasi gani,huwezi kosa kasoro.Unaona kapiga mwenzio kusababisha mauaji,Uzuri wake wote umepotea.

  • @AsmaShemndolwa-l3u
    @AsmaShemndolwa-l3u 2 місяці тому +8

    😂Nimeshindwa kujizuia 😢 wangapi wameshindw kujizuiya tujuane kwa like🎉❤😂

  • @DENISOGOLA-w4e
    @DENISOGOLA-w4e 3 місяці тому +7

    Ni uchungu ule ule Hannah alipitia. Mungu hubadilisha Kila jambo. Msichana wa wenyewe analia Hadi mtu wa pembeni pia anatoa machozi. Mungu hurumia watoto wako.

  • @faridaali2820
    @faridaali2820 2 місяці тому +4

    😢😢😢😢Aky pole sana dadangu allah akupe wepesi na akujaliye utapata mtoto umenikumbusha mbali sana daaah😢😢

  • @AvestinaVitalis
    @AvestinaVitalis 2 місяці тому +1

    Mungu awape nguvu na uvumilivu zaid ya hapo,nimekupenda bure senorita

  • @peterluther5830
    @peterluther5830 13 днів тому

    Clips zako Senorita,Pamoja na za Baba Mzazi wa Kijana 100 Percent nimezikubali sana,Mnafaa kuwa kwenye movies kadhaa.Ningekuwa Director wenu,ningehakikisha nawahusisha kwenye movies kadhaa.mnaleta mvuto wa Cinema.mmecheza poa sana part zenu.Haswaa Senorita.watoto kama hao wanajua kucheza poa clips zao,watafutie nafasi kwenye movies kadhaa.

  • @NaimaHamis-h2j
    @NaimaHamis-h2j 11 днів тому

    Pole sana dada. Ina umaa mungu atunusuru sis ambao hatuna umizwa.

  • @faridayusufu2045
    @faridayusufu2045 28 днів тому

    Hayo nimazara yakutumia kinga kabla yakuingia kwenye ndoa Mungu atusaidie sana ss na watoto wetu wasije wakafanya hivyo wakiwa bado wadogo

  • @mariegoretteshondingarugam3714
    @mariegoretteshondingarugam3714 Місяць тому +1

    Pole sana nimeliya hadi kuchoka afazali ni mchezo tu loo!

  • @ElizabethKatinde
    @ElizabethKatinde 2 місяці тому +2

    Da senorita mungu akupe maisha marefu❤❤❤

  • @VailetySamweli
    @VailetySamweli Місяць тому

    Hata mm nimechukuriwa mme namfanya kazi wandani❤

  • @KhadSmiths
    @KhadSmiths 3 місяці тому +6

    Mm upo vizuri mama kukanya mama aliya kazinzuri

  • @yohanajohn8741
    @yohanajohn8741 3 місяці тому +34

    We dada nmependa sana unavyoecti unafaa kuwa mke

  • @ZipporahKitsao-x4l
    @ZipporahKitsao-x4l 3 місяці тому +2

    Hongera wa mama tena hongera sana ,hata kama anateseka kwa ndoa yake hayaoni hayo bado yeye anautu kwa mumewe

  • @LilianBhoke-g3c
    @LilianBhoke-g3c Місяць тому

    Pongezi Sana baba kwa kushauri mwanawe wababa Kama Hawa wako wapi wapewe like

  • @LekoiMzee
    @LekoiMzee 2 місяці тому

    Yaan senorita mung akubarik xanaaaaaaa kwa ujasiri wko

  • @AsiaRamadhani-r1i
    @AsiaRamadhani-r1i 2 місяці тому

    😂😂😂😂😂 pore sana dada yg 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤ nakupend sana

  • @NicholasKaberia-ni6be
    @NicholasKaberia-ni6be 3 місяці тому +7

    kuna funzo kubwa sana hapa walai wacha tumtangulize mungu katika kila jambo ata katika ndoa zetu.

  • @DenisWambua-y2y
    @DenisWambua-y2y 2 місяці тому +2

    pole sana dada...mungu yunawe

  • @lushlashy5420
    @lushlashy5420 3 місяці тому +2

    Dada sonerita nakupenda sanaa mm naomba niwe kama wewe walai

  • @MohdSaid-m2c
    @MohdSaid-m2c 3 місяці тому +2

    Upo sawa mdada umeumbika kweli unafaakuwa mke wakweli ukweli dada

  • @christine1997-by9hh
    @christine1997-by9hh 3 місяці тому +1

    Daah! Asie sikia la mguu huvunjika guu

  • @jamillahkheir6536
    @jamillahkheir6536 3 місяці тому +5

    Limchepuko libayaaa 🥱🥱🥱

    • @NdayizeyeChemsan
      @NdayizeyeChemsan 2 місяці тому

      Kumbe hujatambua kwamba kila mwanamme msaliti wa ndoa yake husaliti mke we kwa mchepuko mbaya

  • @umentco9600
    @umentco9600 3 місяці тому +1

    Ukiwa na akili jifunze hapa unambia nampenda sana mke wangu na siwezi muwacha alale peke yake na bado unagagana mimba sio upendo

  • @monicakusenha8405
    @monicakusenha8405 Місяць тому

    Nakupenda sana senorita

  • @NeemaMkusa
    @NeemaMkusa 2 місяці тому +2

    Kiukweli inauma Sana, Poleni Ndugu ila Uvumilivu kwenye ndoai jambo la hekima Sana ila wengi tunashindwa

  • @Viginiankhoma
    @Viginiankhoma 3 місяці тому +4

    Senorita mwanamke mzuri sanaa

  • @MowakaMowaka
    @MowakaMowaka 3 місяці тому +1

    Asaite san baba simama katikati baba uabiyee ukweli mwanamuke api😮😮😮❤❤❤

  • @MenzaKanavidzo
    @MenzaKanavidzo 3 місяці тому +1

    Hongera. Dada. Unajua. Kuacti. Vizuri sana. Unafaa. Tuzo.

  • @PeterWatuwengi
    @PeterWatuwengi 3 місяці тому +3

    Mm nakupenda sana ❤

  • @naomijemutai9401
    @naomijemutai9401 2 місяці тому +1

    Waaah this a real movie

  • @johnsimiyunyongesa2735
    @johnsimiyunyongesa2735 26 днів тому

    Majaliwa ni mwenyesi mungu

  • @DenisWambua-y2y
    @DenisWambua-y2y 2 місяці тому +1

    ghaiiii......poleeee

  • @nasraN-c8l
    @nasraN-c8l 3 місяці тому +1

    Daaah ndg zang mpka naogpa kuolew jmn duuh 😢😢😢

  • @Maryam-j1d6u
    @Maryam-j1d6u 2 місяці тому +1

    Wenye ndoa w mko wapi kujeni tupate kufaidika maana hapa Kuna meng ya kutufunza na lituelimisha😢

  • @FrankShilingi
    @FrankShilingi 2 місяці тому

    Huyu jamaa nimempenda bule hawandio madaktar wazur angekuwa mwingi angeshenyenta mwenyewe

  • @thamratysuleiman3053
    @thamratysuleiman3053 2 місяці тому

    Baba mkwe kacheza vyema sana .dah adi rass

  • @JenivaJames-qz4xn
    @JenivaJames-qz4xn 3 місяці тому

    Da sinyorta nimekupenda sana, kiukwel nimejifunza mengi, make nimeguswa cn mtt at leo😢

  • @MaswagaSaide
    @MaswagaSaide 3 місяці тому +1

    Vizuri sana🎉

  • @elizabethmwafongo7829
    @elizabethmwafongo7829 3 місяці тому +2

    Baba mkwe oyeeee😂😂

  • @Fibi-og9ce
    @Fibi-og9ce 2 місяці тому

    Funzo zuri sana ❤❤

  • @ScolaMashalo
    @ScolaMashalo 3 місяці тому

    Mdada mwenye Mume anajua Sanaa hongera mwaya, unakipaaji

  • @FelistarMagige
    @FelistarMagige 3 місяці тому +4

    Kazi nzuri❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @NizigiyimanaIssa
    @NizigiyimanaIssa 2 місяці тому

    Mimi waburundi nimeipenda sana

  • @MatridaElasto
    @MatridaElasto Місяць тому

    Noma sana

  • @elizamwacha7458
    @elizamwacha7458 3 місяці тому +1

    Baba nimekupendaaa

  • @ADIJAABEDI
    @ADIJAABEDI 2 місяці тому

    Hata mimi nimeshindwa kujizuia naandika machozi yakumwagika nimempenda huyo msichana naomba mungu apatie kijana wangu mke kama huyo

  • @victoriaMbilinyi-o3y
    @victoriaMbilinyi-o3y 3 місяці тому

    Nimekupenda bule senorita uko pw sana mfano wakuigwa

  • @ZunanOman
    @ZunanOman 3 місяці тому +2

    Nimempenda uyodada ambae ni mke

  • @Norah-s9f
    @Norah-s9f 3 місяці тому +1

    Nakupenda bure bevaaa🎉🎉🎉

  • @DevothaPeter-g3y
    @DevothaPeter-g3y 3 місяці тому +2

    Hiyo ni kweli Mume apatapo tatizo wakwanza kuulizwa ni Mke wake,hivyo basi nyie wanaume mlitambue hilo,pia siku zote mtambue kuwa mwanamke huwa anaona mbali sana hata kabla jambo halijatokea.

  • @Maryam-j1d6u
    @Maryam-j1d6u 2 місяці тому

    Babamkwe unafaa sana❤❤

  • @BoniphaceWambali
    @BoniphaceWambali 3 місяці тому +1

    Hongera ina maudhui

  • @AnthonyMwangombe
    @AnthonyMwangombe 3 місяці тому +1

    Indeed it's an interesting movie, good and nice acting just tu siwe na mahamuzi ya haraka good thing comes slowly, congrats huyo mwanadada na wote kwa hii filamu

  • @HappinessTumaa
    @HappinessTumaa 3 місяці тому +1

    Ama kweli ubaya utaomtendea mwenzko ni km deni,jiandae kwa kulipia

  • @IreneMsile
    @IreneMsile 3 місяці тому

    Najua ukweli nimchungu na unauma ningependa kuwa mkweli tu kuigiza bado sana mnatakiwa mfanye mazoezi sana, kwanza hamna confidence kuanzia kwenye kuongea yaani matamshi yenu mmmm hapana kwakweli yaani bado sana hebu mjitahidi kidogo😢😢

  • @ZipporahKitsao-x4l
    @ZipporahKitsao-x4l 3 місяці тому +1

    Nimependa vyenye baba anamwonya mwanawe

  • @عامرعفير
    @عامرعفير 2 місяці тому

    Kazi nzuri sana ❤

  • @DANIELBASSO-y9m
    @DANIELBASSO-y9m 3 місяці тому +1

    Daaah xijapenda kwani yy mung

  • @eshyndibalema1529
    @eshyndibalema1529 3 місяці тому +1

    Baba mkwe safii

  • @MillyWekesa-d7t
    @MillyWekesa-d7t 2 місяці тому

    Baba hongera kwa maneno yako

  • @ElisaAntônioAntônio-h1d
    @ElisaAntônioAntônio-h1d 3 місяці тому

    Kutoka 🇲🇿 hongera sanaa dada unajua kupenda

  • @wemachangula7585
    @wemachangula7585 3 місяці тому +6

    Wanaume wote mama Yao mi mmoja tabia mbaya tu kutulia haaa

  • @ZipporahKitsao-x4l
    @ZipporahKitsao-x4l 3 місяці тому +1

    Katika hii dunia mwanamume na mwanamke waamue kua na mtu wa nje nko na uhakika mwanamke atashinda ila ni heshima tu wanaume wanapewa

  • @allyzicko8149
    @allyzicko8149 2 місяці тому

    Tungekuwa twapata wakwee kaa hawa. Basi ndoa zingedumu kweli

  • @yohanajohn8741
    @yohanajohn8741 3 місяці тому +7

    Baba kama baba

  • @ZipporahKitsao-x4l
    @ZipporahKitsao-x4l 3 місяці тому +1

    Angepoteza maisha pia kwani hajui mume wa mtu sumu,aya mwanaume utaanzia wapi kumuuliza mkeo ilhali alikuulza ukakataa

  • @IreneMsile
    @IreneMsile 3 місяці тому

    Story ni nzuri ila wanaoigiza sasa hapana najaribu kuwaza hizo kofi zinavopigwa😂😂

  • @NeemaEli-wl1dz
    @NeemaEli-wl1dz 3 місяці тому

    Kazi zuri sana waooooooo

  • @fikiriisaya5803
    @fikiriisaya5803 3 місяці тому +2

    Asanteni sana

  • @FocusDeogratius-r8v
    @FocusDeogratius-r8v 3 місяці тому

    Hongera dada yangu

  • @AlfredinaKaumbya
    @AlfredinaKaumbya 3 місяці тому

    Wanaume jifunzeni kitu🙏🙏

  • @naomijemutai9401
    @naomijemutai9401 2 місяці тому

    Malipo ni hapa hapa Duniani tu 😂😂

  • @zainabalabri61
    @zainabalabri61 3 місяці тому +1

    Kapenda limama hata halimuelekei tizama hiking kibint kizurii

  • @MbjMbaj
    @MbjMbaj 2 місяці тому

    Very nice ❤❤❤❤❤❤

  • @maimunamselemo8427
    @maimunamselemo8427 3 місяці тому

    Funzo zuri sasa

  • @MuhammedYussuf-dx6wg
    @MuhammedYussuf-dx6wg 3 місяці тому

    Hunger dada❤ kazi nzuri❤🎉

  • @JanetKimindu
    @JanetKimindu 3 місяці тому +9

    Chaukweli mbinadam tuna wivu.hasa unapokuta unashare utamu wako na mwingine uwatunajiisi viby.lakini kumiza mwezio si suluu.jipe nguvu mboma mungu Yuko nayote utayashudia na macho yk

  • @LorrieDiella
    @LorrieDiella 3 місяці тому

    asanteni saan naapenda

  • @BakariMajid
    @BakariMajid 3 місяці тому

    Nimeipenda hy9

  • @LatefaHussain
    @LatefaHussain 2 місяці тому

    Kweli malipo duniani akhela kuisabiana

  • @IreneMsile
    @IreneMsile 3 місяці тому +1

    Nimeangalia comment nyingi humu nimegundua watu ni wanafki sana yaani mnawasifia tu bila kiwaambia ukweli kuwa hawajui kuigiza ili waweze kuongeza juhudi yakujirekebisha, mimi sipendi unafki nauongo hawajui kuigiza wamenimalizia tu mb zangu mfyuuuuu😢

    • @StevenAsunga
      @StevenAsunga 2 місяці тому

      Wewe unajua kuigiza wivu tu

    • @IreneMsile
      @IreneMsile 2 місяці тому

      @@StevenAsunga wivu unao wewe ambae huwaambii ukweli

  • @Norah-s9f
    @Norah-s9f 3 місяці тому

    😂😂😂 anaona haya huyoooo

    • @ErnestChengula
      @ErnestChengula 3 місяці тому

      Hakuna ngumu kwamungu dada vumilia❤

  • @JenithaHariri
    @JenithaHariri 2 місяці тому

    We mshangazi kwani huo ni mwanya uchochoro

  • @DayanaMathias-c4h
    @DayanaMathias-c4h 3 місяці тому +1

    Chakwanz ni mzul san piah unasaut nzul.piah hii movi umeichez vizul San San unafaa kwel jaman

  • @MrsGloryMassam-id7dr
    @MrsGloryMassam-id7dr Місяць тому

    Nawachukia wanaume kama hawa wanaonyanyasa wake zao waziristan na kubebeba tu

  • @maureennaliaka8936
    @maureennaliaka8936 2 місяці тому

    Baba umeongea kingereza 😅

  • @BahatiMitanda-c5s
    @BahatiMitanda-c5s 3 місяці тому +7

    Ni ngumu kusimulia

  • @ZipporahKitsao-x4l
    @ZipporahKitsao-x4l 3 місяці тому +1

    Enda uzembe xx

  • @JanetKimindu
    @JanetKimindu 3 місяці тому

    Jamani kweli manuto ni mjukuu

  • @wemachangula7585
    @wemachangula7585 3 місяці тому

    Huyu baba nimempenda bure jamani ka alikua wapi kwani hajawa mkwe wangu mwee

  • @dorcasmueni2290
    @dorcasmueni2290 2 місяці тому

    Fundisho kwake

  • @FatmaSalum-w2o
    @FatmaSalum-w2o 2 місяці тому

    Mbona ya huzuni

  • @VailethAlex-s9j
    @VailethAlex-s9j 20 днів тому

    Me ina road tu

  • @BeatriceKamama
    @BeatriceKamama 3 місяці тому +2

    Kwani huyu kaka ni ndugu na Yusuph mlela

    • @maylucson001
      @maylucson001 3 місяці тому

      Ata kuongea wanafanana ❤

  • @elishagregory1595
    @elishagregory1595 3 місяці тому +1

    Hakuna daktari hapa

  • @gudanemma1459
    @gudanemma1459 3 місяці тому

    😢😢😢😢mmeniliza mwishoni

  • @ZipporahKitsao-x4l
    @ZipporahKitsao-x4l 3 місяці тому +1

    Mtu hua hathamini alichonacho ila pindi anapokipoteza anaona umuhimu na akili zake hurudi mahali pake na hapo anaanza kujutia na kuomba msamaha wa kila aina