Unajua nn aisee...watu wengi mnadout vitu tusivyokuwa na ujuzi wetu Ila dada anajua sababu tone yake ipo fresh Ila anawasi wasi kidogo Ila akipatiwa nafasi na akizoea mic atakuwa mmoja wa mapresenter wazuri ..by mogwa
Nyie waamuzi hamna tofauti na ngedere,na hao watahiniwa ni mahindi mabichi shambani,mnatamani sana kazi zenu,na hao mnaowatahini ni kama MAADUI zenu, sijui kama hii iko sawa, hii program ni ujinga mtupu, majaji wanatakiwa wawe watangazaji nguli,wapo wazee wetu wa heshima,kina Charles Hillary, na wenzao,tutavuna vipaji vingi sana vikubwa, hii program ni ya kihuni,!!!
Mh raisi Samia KUPITIA Broo Bashe nawomben sana Sana mchakato wa Kila kijana kupewa ekar 10 pamoja namtaji Ili kujikwamua KUPITIA kilimo ufanyike kwakasi maana haya yanayoendelea nikukatishana tamaa ktk maisha tu.
Tutaftie the story book mwingne jamari Hana kipaji Cha the story book kwanza ana saut ndogo haivutii kusikiliza!! Mwambie ajifunze kwa mtangazaji aliepita! Wa the story book alikuwa mlameshiba saut na ilikuwa inavutia !! Ko jamari ataftiwe kipind kingne!
Ayse huyu dada wa taarifa ya habari anajua mpaka anajua tena kuliko nyie madogi mnao jaji nyambafu 😡😡😡, sio bure harmonize alivyofanikiwa aliwasuta yale jibwa kama nyie kazi kuuwa vipaji wa watu😏😏😏

Dada wa taarifa ya Habari ni anajua kuliko hata hawa majaji
Haya maisha acha tu! Husimdharau mtu,,,leo Baba levo ni jaji wa kuwatafuta watangazaji. Amini husiamini haya maisha ni kupambana
Dada wa taarifa ya habari yupo vizuri
Unajua nn aisee...watu wengi mnadout vitu tusivyokuwa na ujuzi wetu Ila dada anajua sababu tone yake ipo fresh Ila anawasi wasi kidogo Ila akipatiwa nafasi na akizoea mic atakuwa mmoja wa mapresenter wazuri ..by mogwa
Baraka bless kigoma moja iyo
Nyie waamuzi hamna tofauti na ngedere,na hao watahiniwa ni mahindi mabichi shambani,mnatamani sana kazi zenu,na hao mnaowatahini ni kama MAADUI zenu, sijui kama hii iko sawa, hii program ni ujinga mtupu, majaji wanatakiwa wawe watangazaji nguli,wapo wazee wetu wa heshima,kina Charles Hillary, na wenzao,tutavuna vipaji vingi sana vikubwa, hii program ni ya kihuni,!!!
Namwanza mjee jmn tunavipaji vingi vya uprisenter nikiwa mmoja wapo
Mh raisi Samia KUPITIA Broo Bashe nawomben sana Sana mchakato wa Kila kijana kupewa ekar 10 pamoja namtaji Ili kujikwamua KUPITIA kilimo ufanyike kwakasi maana haya yanayoendelea nikukatishana tamaa ktk maisha tu.
🤣🤣swali je vijana wanataka kilimo?
@@rosemahenge9071 hawa taki
Ata watatu kw ekal yan
@@rosemahenge9071 Mimi Nataka.
Bange mbaya 😂, nenda huko handen utapewa ata heka 50 bure
Kila kitu mnakataa kuma njegere kabs machaliii wqnajitahid mazingua
Wanasema bora kuthubutu lkn aahhaha huku kujajiwa kisenge namna hii hapana
Uyo mzee wa Baisker kiboko
Baraka 🙌🏾🙌🏾
Barka kaishi nayo mic poa sana
Dada aliyetangaza taarifa ya habari anajua
Sanaaaaaaaaaaaaa
Tena sana kabisaa sijuwi hawa kama wanafaham wanachoki juge hovyo wote
Alipita jamani wali mwambiya utakuja tena
Tutaftie the story book mwingne jamari Hana kipaji Cha the story book kwanza ana saut ndogo haivutii kusikiliza!! Mwambie ajifunze kwa mtangazaji aliepita! Wa the story book alikuwa mlameshiba saut na ilikuwa inavutia !! Ko jamari ataftiwe kipind kingne!
Baba levo ana kiherehere sana
Jamani sawa babalevo anajua nini kweli
🤣 🤣 Nikose vyote lakini sio bado😆😆😆
mna jaji lakini kiukweli kuweni na uangalizi kwa washiriki Cz kuna kitu apa sijakielewa mna wakosea washirikii..
Yani utashangaa hawa kina baba levo waliobahatika shavu kwa ushkaji na kupendwa tu na daimond wanajiona wamefika ngoja tuone
Vraiment Tanzania kuko ba chaumière sana
Jamani waongo wengine wako vizuri
Kwani Wabongo kiswahili Tumeshindwa kabisa
Mwamba wa Whizzieh updates unajua🙌
Thanks, tufatilie pia IG @wizzhie_b
Hawafai wote kua majaji
😄😄😄😄😂😂😂 Kuna wa Taarifa ya habari 😂
Mbona kama majaji wenyewe awajui chochote kuhusu utangazaji
Mi hata sishangai ndio ajira zetu za bongo ajira zinatangazwa zina watu tayari sasa utatoboa kweli
Ety, mtu anashout,. Wanakatisha tamaa sana
Wengine hawajukubaliana nae. Safi.
Very good
Safi Sana Ana weza Sana uyu dada
majaji wenyewe wa mchongo hata wao wanatakiwa wajajiwe
Jamani Tanzania achaneni na kizungu...😂😂😂 kiswahili chawapendeza
0215 anajua si mwingine Baraka
Huyo kaka aliyevaa miwaniii jmn😂😂😂
Number 6
Uko bien
Huyu dada wa taarifa habar yupo var sana
Katika hao majaji akuna ata mmoja anayeweza kutangaza ni ujanja ujanza tustuke watanzania
Hawa majaji wa kiumue hawa hamna kitu
Majaji kiukweli naona hawana na hawajui kutizama vipaji
Kwa huyo jamaa wa mwisho liliomy kamuhofia
Mnaweza kumuonda baba levo?
Linaboa hilo lijamaa yani bab levo mpumbavu uyo
Hamjui kitu
Baba Levo anafukuza kwelikweli
Quality ndogo why
Dada wamabutu niliona km ameweza kwa upande wng Ila alichojibiwa Sasa 😓 wakati wa Mungu ndio wakati sahihi
Wallah ❤
Mwanza lini jaman
Baba levo unambuli ww lione uko
Majaji wenyewe hewa hata kuongea hawajui atleast baba level yupo vizuri
Baba Levo mtu konki
Brother #jamalApril umetutenga na #thestorybook kumbe umebunda huku😔😔😔😔
Amebunda kweli🤣🤣🤣
Hiniishara yakuonyesha kua hajira hakuna
Ayse huyu dada wa taarifa ya habari anajua mpaka anajua tena kuliko nyie madogi mnao jaji nyambafu 😡😡😡, sio bure harmonize alivyofanikiwa aliwasuta yale jibwa kama nyie kazi kuuwa vipaji wa watu😏😏😏
Si amepita Alakini?
Si amepita Alakini?
A minha pergunta é,esses candidatos são formados?
Nop
A onde são apanhados
kiukweli apa hakuna kitu..
😂😂😂