Wizzhie updates
Wizzhie updates
  • 655
  • 676 444

Відео

This MAN turn his body in any form he like, WATCH THIS #comedy #funny #world
Переглядів 7Місяць тому
This MAN turn his body in any form he like, WATCH THIS #comedy #funny #world
AHMED ALLY awashangaza masheikh Baada ya kuongea KIARABU, apewa hela na Ostadh, Kamwe aona Donge.
Переглядів 92 місяці тому
AHMED ALLY awashangaza masheikh Baada ya kuongea KIARABU, apewa hela na Ostadh, Kamwe aona Donge.
AHMED ALLY | Msemaji wa Simba Sc Adai Simba kutoshuka kileleni hadi mwisho wa Msimu na Bahati yao..
Переглядів 62 місяці тому
AHMED ALLY | Msemaji wa Simba Sc Adai Simba kutoshuka kileleni hadi mwisho wa Msimu na Bahati yao..
GOLI LA MAMA | MSIGWA AKIKABIDHI FEDHA MILIONI '20' KWA RAIS WA YANGA HERSI SAID #yanga
Переглядів 92 місяці тому
GOLI LA MAMA | MSIGWA AKIKABIDHI FEDHA MILIONI '20' KWA RAIS WA YANGA HERSI SAID #yanga
PRINCE DUBEEEEEEEEEEEE | Vital' O Fc vs Yanga Sc | HIGHLIGHTS #yanga
Переглядів 72 місяці тому
PRINCE DUBEEEEEEEEEEEE | Vital' O Fc vs Yanga Sc | HIGHLIGHTS #yanga
AZAM FC vs COASTAL UNION | HIGHLIGHTS | Magoli yote haya hapa 🔥🔥 #azam #football
Переглядів 92 місяці тому
AZAM FC vs COASTAL UNION | HIGHLIGHTS | Magoli yote haya hapa 🔥🔥 #azam #football
WAZUNGU WA SIMBA WALIVYOMTAJA MUKWALA BAADA YA KUKOSA PENATI😱 #simbaday
Переглядів 392 місяці тому
WAZUNGU WA SIMBA WALIVYOMTAJA MUKWALA BAADA YA KUKOSA PENATI😱 #simbaday
EDWIN BALUA | HUYU ATAPIGA FAULO SANA, MO AKUBARI UWEZO WA KIJANA, AHIIDI KUMUONGEZA MSHAHARA
Переглядів 92 місяці тому
EDWIN BALUA | HUYU ATAPIGA FAULO SANA, MO AKUBARI UWEZO WA KIJANA, AHIIDI KUMUONGEZA MSHAHARA
DEBORA FERNANDEZ | GOAAAL BORA SIMBA DAY ZOOOTE NI HILI
Переглядів 122 місяці тому
DEBORA FERNANDEZ | GOAAAL BORA SIMBA DAY ZOOOTE NI HILI
MAZOEZI YA KWANZA YA KIPA MPYA SIMBA 'MOUSSA CAMARA' | KOTE ANADAKA JUU, CHINI, HUYU AZIZ ANAMFAA..
Переглядів 222 місяці тому
MAZOEZI YA KWANZA YA KIPA MPYA SIMBA 'MOUSSA CAMARA' | KOTE ANADAKA JUU, CHINI, HUYU AZIZ ANAMFAA..
MOUSSA CAMARA REKODI ZAKE HIZI HAPA | DIARRA AMEPATA CHANGAMOTO NYINGINE, MANULA ALIA NA.... #simba
Переглядів 162 місяці тому
MOUSSA CAMARA REKODI ZAKE HIZI HAPA | DIARRA AMEPATA CHANGAMOTO NYINGINE, MANULA ALIA NA.... #simba
Prince Dubeeeeee | Gooooooaaaaaaaaal Kaizer Vs Young African
Переглядів 173 місяці тому
Prince Dubeeeeee | Gooooooaaaaaaaaal Kaizer Vs Young African
KOMASAVA YAMKUTANISHA DIAMOND PLATNUMZ NA RAIS WA RWANDA PAUL KAGAME,Tazama alivyosalimia Kiswahili
Переглядів 173 місяці тому
KOMASAVA YAMKUTANISHA DIAMOND PLATNUMZ NA RAIS WA RWANDA PAUL KAGAME,Tazama alivyosalimia Kiswahili
KIBU D AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA | AMKATAA MENEJA WAKE NA AKAIKATAA SIMBA HATAKI KUSUMBULIWA
Переглядів 73 місяці тому
KIBU D AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA | AMKATAA MENEJA WAKE NA AKAIKATAA SIMBA HATAKI KUSUMBULIWA
MWIJAKU KIBOKO | Kawashinda Machawa wote Kwasasa Tanzania, Angalia alivyomakini Kazini #Bongo
Переглядів 53 місяці тому
MWIJAKU KIBOKO | Kawashinda Machawa wote Kwasasa Tanzania, Angalia alivyomakini Kazini #Bongo
JEAN OTHOS BALEKE | WHAT A HEADER, HUYU DUBE ATAMSUBIRI NJE | Yanga Sc vs Fc Augusburg #yanga
Переглядів 233 місяці тому
JEAN OTHOS BALEKE | WHAT A HEADER, HUYU DUBE ATAMSUBIRI NJE | Yanga Sc vs Fc Augusburg #yanga
GOOOOOAAL | YANGA SC vs AUGSBURG FC 2 - 1 | BEKI ZA YANGA HAZIJAKABA HAPA 😱 #football
Переглядів 93 місяці тому
GOOOOOAAL | YANGA SC vs AUGSBURG FC 2 - 1 | BEKI ZA YANGA HAZIJAKABA HAPA 😱 #football
🔴 Live | ENG. HERSI, ALI KAMWE WAOMBA KUONGEZWA MUDA NA MAHAKAMA ILI WAJIBU MAPIGO KWA WAZEE #yanga
Переглядів 113 місяці тому
🔴 Live | ENG. HERSI, ALI KAMWE WAOMBA KUONGEZWA MUDA NA MAHAKAMA ILI WAJIBU MAPIGO KWA WAZEE #yanga
DILI LA CHAMA KUJA YANGA LINAVIPENGELE HIVI | GSM ALIZUNGUMZIA NA OMMY DIMPOZ
Переглядів 143 місяці тому
DILI LA CHAMA KUJA YANGA LINAVIPENGELE HIVI | GSM ALIZUNGUMZIA NA OMMY DIMPOZ
LEO MTAANI KWETU | Coming Soon Season Zote Zitaoneshwa humu, Vimbwanga Uswahilini, Wizi, Utapeli!
Переглядів 163 місяці тому
LEO MTAANI KWETU | Coming Soon Season Zote Zitaoneshwa humu, Vimbwanga Uswahilini, Wizi, Utapeli!
PRINCE DUBE NI MWANANCHI, YANGA YAANZA KAZI | faida zake Yanga hizi hapa, Kamwe adai bado baleke🔥🔥🔥
Переглядів 203 місяці тому
PRINCE DUBE NI MWANANCHI, YANGA YAANZA KAZI | faida zake Yanga hizi hapa, Kamwe adai bado baleke🔥🔥🔥
STEVEN MUKWALA | GOLI LILILOMTAMBULISHA SIMBA SC HADI KUSAJILIWA #football
Переглядів 363 місяці тому
STEVEN MUKWALA | GOLI LILILOMTAMBULISHA SIMBA SC HADI KUSAJILIWA #football
KIBU DENIS ALIVYOHUDHURIA SHOW YA AFRO NATION YA DIAMOND PLATNUMZ 'HUYU HAPA' #bongotrending
Переглядів 144 місяці тому
KIBU DENIS ALIVYOHUDHURIA SHOW YA AFRO NATION YA DIAMOND PLATNUMZ 'HUYU HAPA' #bongotrending
'KOMASAVA' YA DIAMOND PLATNUMZ YAMFIKIA RONALDO NA MBAPPE | WOTE WADAI KUWA NYIMBO BORA #bongotrend
Переглядів 1184 місяці тому
'KOMASAVA' YA DIAMOND PLATNUMZ YAMFIKIA RONALDO NA MBAPPE | WOTE WADAI KUWA NYIMBO BORA #bongotrend
AHMED ALLY WA MCHONGO | ATIA NENO BAADA YA MASHINE MPYA KUTOKA GHANA KUTUA BONGO #simba
Переглядів 294 місяці тому
AHMED ALLY WA MCHONGO | ATIA NENO BAADA YA MASHINE MPYA KUTOKA GHANA KUTUA BONGO #simba
SPORTS ARENA | ZA NDAAAANI KABISA NA RICARDO MOMO, JE HUYU NI MCHEZAJI GANI? #yanga #simba
Переглядів 224 місяці тому
SPORTS ARENA | ZA NDAAAANI KABISA NA RICARDO MOMO, JE HUYU NI MCHEZAJI GANI? #yanga #simba
PORTUGAL vs TURKEY | SHABIKI ALIVYOMVAA RONALDO NA KUSHINDWA KUFUNGA GOLI LA NNE #football
Переглядів 324 місяці тому
PORTUGAL vs TURKEY | SHABIKI ALIVYOMVAA RONALDO NA KUSHINDWA KUFUNGA GOLI LA NNE #football
SELE 9 na 10 UGALI MTAMU TRAILER | COMING SOON | BONGE LA MOVIE | MKOJANI NDANI #Muvi
Переглядів 276 місяців тому
SELE 9 na 10 UGALI MTAMU TRAILER | COMING SOON | BONGE LA MOVIE | MKOJANI NDANI #Muvi
HIGHLIGHTS IS SECURE HERE #football
Переглядів 36 місяців тому
HIGHLIGHTS IS SECURE HERE #football

КОМЕНТАРІ

  • @Rai_online_tv
    @Rai_online_tv Рік тому

    Safi safii safi Wizziiiiiiii

  • @amosafrica2350
    @amosafrica2350 Рік тому

    Kazi kazi kazi hakuna kulala😊😊

  • @MENGO_MEDIA
    @MENGO_MEDIA Рік тому

    KAZI nzuri mjuba 🙋... ila mkude yanga hatumtaki

  • @Rai_online_tv
    @Rai_online_tv Рік тому

    Go baba Kazi nzur sana mdogo angu

  • @Mahonda8080
    @Mahonda8080 Рік тому

    sawa

  • @alfredirankunda3698
    @alfredirankunda3698 Рік тому

    Duuuh majaji mumejifunziya wapi mbona kijana wa mwisho amefanya vizuli zaidi kiukweli hamna lolote

  • @sakinamohamedy4646
    @sakinamohamedy4646 Рік тому

    Namwanza mjee jmn tunavipaji vingi vya uprisenter nikiwa mmoja wapo

  • @husnarajabu4343
    @husnarajabu4343 Рік тому

    Sijapenda majaj wabadilishwe

  • @Msuya-w4v
    @Msuya-w4v Рік тому

    Hichi kipind kinauwa carrier ya watangazaji. Anyway wangefanya usiwe public kama wanataumia qualifications

  • @hawakibambe8678
    @hawakibambe8678 Рік тому

    Wanasema bora kuthubutu lkn aahhaha huku kujajiwa kisenge namna hii hapana

  • @fedrickaloyce9660
    @fedrickaloyce9660 Рік тому

    Kwa huyo jamaa wa mwisho liliomy kamuhofia

  • @fakihassan9021
    @fakihassan9021 Рік тому

    Jamali Doo mbona Ivo mwamba Kila mtu hajui

  • @baemajesta2805
    @baemajesta2805 Рік тому

    Huyo kaka aliyevaa miwaniii jmn😂😂😂

  • @Jenny-qu2od
    @Jenny-qu2od Рік тому

    Baba levo unambuli ww lione uko

  • @habibahabiba7128
    @habibahabiba7128 Рік тому

    😂😂😂

  • @daniellusinde2855
    @daniellusinde2855 Рік тому

    Majaji wajinga jinga tu nyie nani aliwajaji nyie

  • @independent9079
    @independent9079 Рік тому

    Mi hata sishangai ndio ajira zetu za bongo ajira zinatangazwa zina watu tayari sasa utatoboa kweli

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 Рік тому

    Tutaftie the story book mwingne jamari Hana kipaji Cha the story book kwanza ana saut ndogo haivutii kusikiliza!! Mwambie ajifunze kwa mtangazaji aliepita! Wa the story book alikuwa mlameshiba saut na ilikuwa inavutia !! Ko jamari ataftiwe kipind kingne!

  • @dianakweka6947
    @dianakweka6947 Рік тому

    Majaji wenyewe hamleweki cjaona

  • @listerlujiso6009
    @listerlujiso6009 Рік тому

    Huyu dada wa taarifa habar yupo var sana

  • @keyla3641
    @keyla3641 Рік тому

    Jamani waongo wengine wako vizuri

  • @alexjacobndagile8708
    @alexjacobndagile8708 Рік тому

    Vijana wanavipaji sana kuliko kwenye midia mbalimbali tunazofuatilia

  • @magrethyasso9834
    @magrethyasso9834 Рік тому

    Ayse huyu dada wa taarifa ya habari anajua mpaka anajua tena kuliko nyie madogi mnao jaji nyambafu 😡😡😡, sio bure harmonize alivyofanikiwa aliwasuta yale jibwa kama nyie kazi kuuwa vipaji wa watu😏😏😏

  • @lucasbatano333
    @lucasbatano333 Рік тому

    Dada wa taarifa ya habari yupo vizuri

  • @ndosiissackjoseph8520
    @ndosiissackjoseph8520 Рік тому

    Mi nashauri mgewawekea mazingira ya studio namaanisha meza kiti na mic kama ya studio badala ya kutangaza wakiwa wamesimama itawapa kujihamini zaidi

  • @dannymkenga606
    @dannymkenga606 Рік тому

    Njoen na arusha bax

  • @barakareonand6620
    @barakareonand6620 Рік тому

    Baraka bless kigoma moja iyo

  • @erickmukamba310
    @erickmukamba310 Рік тому

    Vraiment Tanzania kuko ba chaumière sana

  • @nawechi4818
    @nawechi4818 Рік тому

    Washenzi sana nyie mnaojifanya majaji mxiuuuuu huyo kaka wa mwisho kayangaza vizuri sanaaaaaa

  • @nawechi4818
    @nawechi4818 Рік тому

    Huyo jamal mxiuuuu miwani ka Fundi saa

  • @slimmuhabesh2400
    @slimmuhabesh2400 Рік тому

    Uko bien

  • @abelmbilinyi1262
    @abelmbilinyi1262 Рік тому

    Dada wamabutu niliona km ameweza kwa upande wng Ila alichojibiwa Sasa 😓 wakati wa Mungu ndio wakati sahihi

  • @skola3217
    @skola3217 Рік тому

    Unajua nn aisee...watu wengi mnadout vitu tusivyokuwa na ujuzi wetu Ila dada anajua sababu tone yake ipo fresh Ila anawasi wasi kidogo Ila akipatiwa nafasi na akizoea mic atakuwa mmoja wa mapresenter wazuri ..by mogwa

  • @officialtaslima5409
    @officialtaslima5409 Рік тому

    Mwanza lini jaman

  • @eminix2132
    @eminix2132 Рік тому

    Baba Levo anafukuza kwelikweli

  • @shakilasharifa9
    @shakilasharifa9 Рік тому

    🤣 🤣 Nikose vyote lakini sio bado😆😆😆

  • @betrackjasson6698
    @betrackjasson6698 Рік тому

    Uyo mzee wa Baisker kiboko

  • @harunahamza8547
    @harunahamza8547 Рік тому

    Very good

  • @chidybwax8080
    @chidybwax8080 Рік тому

    Kila kitu mnakataa kuma njegere kabs machaliii wqnajitahid mazingua

  • @franklindiehnjavike1525
    @franklindiehnjavike1525 Рік тому

    Baba Levo mtu konki

  • @Storyzaibrahim
    @Storyzaibrahim Рік тому

    Unajua kutangaza

  • @nurumwenkale3387
    @nurumwenkale3387 Рік тому

    Hawafai wote kua majaji

  • @victaboy7273
    @victaboy7273 Рік тому

    Ety, mtu anashout,. Wanakatisha tamaa sana

    • @mwana4599
      @mwana4599 Рік тому

      Wengine hawajukubaliana nae. Safi.

  • @victaboy7273
    @victaboy7273 Рік тому

    Majaji kiukweli naona hawana na hawajui kutizama vipaji

  • @victaboy7273
    @victaboy7273 Рік тому

    Dada wa taarifa ya Habari ni anajua kuliko hata hawa majaji

  • @kigodolotv
    @kigodolotv Рік тому

    Kwani Wabongo kiswahili Tumeshindwa kabisa

  • @ludovickanael3426
    @ludovickanael3426 Рік тому

    Nyie waamuzi hamna tofauti na ngedere,na hao watahiniwa ni mahindi mabichi shambani,mnatamani sana kazi zenu,na hao mnaowatahini ni kama MAADUI zenu, sijui kama hii iko sawa, hii program ni ujinga mtupu, majaji wanatakiwa wawe watangazaji nguli,wapo wazee wetu wa heshima,kina Charles Hillary, na wenzao,tutavuna vipaji vingi sana vikubwa, hii program ni ya kihuni,!!!

  • @mwakiretililian3530
    @mwakiretililian3530 Рік тому

    Jamani Tanzania achaneni na kizungu...😂😂😂 kiswahili chawapendeza

  • @samwelgodwinofficial
    @samwelgodwinofficial Рік тому

    Mwamba wa Whizzieh updates unajua🙌