If you would like to watch the video in English press the link ➡️ Meat stew recipe | How to cook fried meat stew | Tasty and easy Kenyan meat stew . ua-cam.com/video/KTJskWMtmtQ/v-deo.html
Halafu mimi napendaga kupika GA hivyo hivyo yani kukaanga nyama Kwanza. Halafu nilikuwa napendaga hizo masiala masiala nikawa nasema nitaitafuta na mimi nipikie mana ant zangu nao walikuwa wanapendaga zitumiaga
Rukia asante kwa kutuelekeza upishi wa Nyama ya makange,Swali langu unapokamulia ndimu moja kwa moja ktk nyama ina maana vipeke vya ndimu navyo vinaliwa ktk hayo Makange?
Dada nmekuelewa ila hiyo pilipili mboga ,za ragi tofauti zinapatikana wap maan mm nmepata tu ya rangi ya kijani ,,,hiyo ya rangi ya njano na nyekundi nmekoswa au zinajina lingne
If you would like to watch the video in English press the link ➡️ Meat stew recipe | How to cook fried meat stew | Tasty and easy Kenyan meat stew . ua-cam.com/video/KTJskWMtmtQ/v-deo.html
Sauti yako nzuri mama
Nilisema nitayapika
Mwanza, nasikia wanakula Sana makange samaki
Kenya na Makange? Hapana. Tanzanian dish.
Yani wewe dada unajua mpaka unakera sijawahi kifeli mapishi yako👍🏼💖nimejaribu navmakange matamu sanaa
Awwww brings back wonderful memories of my years in Tanzania. Asante sana Da Rukia
Nice napendaga, makange wengi wanapenda 😋
Nimependa aisee unajua hadi unakeraaaa🔥🔥🔥
Mashallah Tabarakaallah 😍 shukran Allhmdullah nimekuwa bingwa wa kupika kupitia wewe 👀💖💖👍
Mariam Hassan Asante sana❤️❤️
MashaAllah. Yummy 😋
Shukran habibty 🙌🏽👏🏼💐
😄Na mimi ndio nilikuwa niseme mashallah ni nzur Sana mimi napendaga mKange
Halafu mimi napendaga kupika GA hivyo hivyo yani kukaanga nyama Kwanza. Halafu nilikuwa napendaga hizo masiala masiala nikawa nasema nitaitafuta na mimi nipikie mana ant zangu nao walikuwa wanapendaga zitumiaga
Hujaweka Soya Souce but Fine nmependaaaaaa
Yan tnx ww mdada najifunza vingi mnooo ur the best ❤
Veronica Richard thank you so much ❤️❤️
Kam huna garam masala unafanyaj
Vizur sana mdada... tupe somo
Nimependa hiyo
Naomba nitajie vifaa vya kupikia makange pls ndugu yangu
Tumekuelewa
Very beautiful thank you
Asante sana dear nimejifunza
Nice work
Nimependa sana mapishi yako asnt❤
Thank you soo much
Maa shaa Allah Allah akubarik daima ktk kazi zko
Nakukubali sana dada
Jee hatuweki fresh tomato?
Napendaga mapishi yako
Asante
Hiyo ina kaa tamu kabisa
shukrani Dada💞💞
Asante je kuna kitabu chochote ulicho chapisha cha mapishi
Hapana sina
@@RukiaLaltia sawa dada
Naomba uniorodheshee vitu vya kununua had I nikamilishe set I nzima
Thanks my dear
mapishi matamu....sauti yako kama ya mpishi wa ....Aroma of zanzibar!
Uwez kukwangua karoti na sio kukata
Video nzuri Dada,,,
Binti scho Asante sanaa ❤️❤️
Please can you show us a cupcake recipie
I will inshallah
Thank you
Asalamu aleikum our names are Rayaan and Safia and we are chefs in our house we are so happy to be cooking your recipes since 2019 shukran
Yani ninavyo penda nyama na hii vile imepikika, mate yanitoka 😋
Tajiri's Kitchen Shukran sista sista yaani ungekuwa karibu tungejipiga na mokimo sio 😋😋👌na firifiri
@@RukiaLaltia 🤣🤣🤣 Exactly 😋
Pika kwako nasie tule
Mimi hua nafatilia tajiris kitchen nawashukuru Masada zangu
Samahani (Madada zangu)
Hi dear, asante sana tena sana kwa pishi zuurii
Rukia asante kwa kutuelekeza upishi wa Nyama ya makange,Swali langu unapokamulia ndimu moja kwa moja ktk nyama ina maana vipeke vya ndimu navyo vinaliwa ktk hayo Makange?
Ndimu ya huku ulaya hazina konde za ndani
I love your djsh ❤
Nice
Ok
Wow
Mmmmwaaaaaaa
Mashaallah
Dada nmekuelewa ila hiyo pilipili mboga ,za ragi tofauti zinapatikana wap maan mm nmepata tu ya rangi ya kijani ,,,hiyo ya rangi ya njano na nyekundi nmekoswa au zinajina lingne
Kkoo nenda
Mashaallah nice
Kuna tofauti gani Kati ya rosti na makange?
Rosti ni mchuzi na makange ndio haya yenye rosti kiasi
Hutumii nyanya????kwa makange aina yyte
Thanks Rukia Kitchen, umetumia olive oil sio?
Ndio
gram masala ndio nini??
Naomba mtu aniwekeye iyi majina kwa English please
maa shaa Allah
Wawuu
😋😋😋😋😋 Tamuuu Saana
Je umepika?
👍
Nisipooa nakulaumu wewe dada😂😂😂 kila kitu najua kupika sasa
😂😂😂😂😂mashallah mashallah nangoja kadi ya harusi
Yummy
😋😋
Kama hutaki kuweka pilipl je?
Sio lazima
Nini maana ya makange
Nyama ukiipika bila kuweka maji kwanza inakuwaje
Inakuwa tu sawa
Jaman nini maana ya makange
Ni kukaanga
Jamani me sijui iyo pilipili mbog
Pilipili hoho zipo za green, red na yellow ndo anaziita pilipili mboga kwenye vi supermarket vinapatikana
Veiler Onesmo ni pilipili hoho
Pilipili boda ni pilipili hoho alafu anatumia mafuta ya zaituni
jaman pilipili boga ndo nn..??🙃🙃
Pilipili hoho
@@RukiaLaltia asante dear
JE Kama CNA nyanya mkebe?
deepc workshop tumja tomato za kawaida
@@nellymwachai4638 sawa ahsante
woow
MashaAllah
Nice
Nice