DIAMOND sasa ni msanii wa Dunia,tazama alivyojaza Barcelona Spain,watu wamefurika,KOMASAVA imeimbwa.
Вставка
- Опубліковано 19 жов 2024
- Please subscribe now on our UA-cam channel to be the first to hear about latest news and updates on Time.
#middlesimba
#WeAreEverywhere
#diamondplatnumz
asante mungu kwa kutujaria diamond .god bless him mzidishie azid kupeperusha tz to the world🌏❤❤❤❤j🙏
Amin
GOD BLESS TANZANIA, GOD BLESS DIAMOND PLATINUM... 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Yani kutamba kwa watu haijawah kuwa kazi nyepesi
Proud of Tanzania
Daimond platinum Tanzania 🇹🇿 ❤❤❤❤❤
Simba la masimba dangote perusha benderaaa mwamba 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿♥️♥️♥️
Diamond Platinumz sio Tena msanii wa kawaida. Ni kama Alexander the great
Dah kweli kabisa
Hawajui 😂
Alexander the great I msanii😂😂😂🙄🙄
@@lorensjustus Uwo ni mfano .alaxendar the great alikuwa ni binadam asie shindwa.asie kata tamaa. ata Diamond Platinumz ni msanii ambae akatii tamaa.wala akubalii kushindwa
Depuis Bujumbura 🇧🇮 je valide l'artiste
Habari ndio hiyo.. 🔥🔥🔥
Jamani yeeeeh tumupe mauwa yake kaka yetu hakika he made it 💥 Simba
Balaaa na nusu 🔥🔥🔥🔥💯💯💯
Majini ya Mzee Popo Harmonize amebuma.... Harmonize aombe Radhi Watanzania 🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Umeona yan kiki Hana Wala promo dahh😭😭😭
🔥 love from +254 middle simba ❤
Daimond platinum ❤❤❤❤❤❤❤
Hili jamaaa limeshindikana wale wapinzani matumbo joto😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤
Diamond so fine like it keep it up love you too
Huyu diamond jaman hatarii
Nomaaa
Respect dangote
Huyu jamaa ni balaa tupu. 🔥
Apreciatee that
World's song
Simba la ma simba we zhombi 🔥🔥
Haujuiii
Lamasimba forever
Middle yangaa ❤😢
Mond hapo Xax Umeonyesh kuwa wew sio tena Wa mtu pole pole ni mxanii wa kimataifa Tz kwa Tz asitokee ata mxanii mmoja wa kujilinganisha na mondi
Middle Simba endelea na support Kwa Diamond Ili siku moja ni arena 02
Simba la masimba Niko mozambiqui
Kiswahiliii
SIMBA LAMA SIMBA 🎉🎉😢
@d.platnumz thanks for promote "jeje" since you know mtasubiri sana, you forget this your own song. very sad.
Simba. Lama simba🔥🔥🔥🔥💐💐💐💐
❤❤❤❤jamaa we nomaaa
😂😂this the Real Goat
Jamani jamani ivi uyu daimondi anamzim gani jamani mbn inakua tishio ulimwengu mzima show yake mwenyewe anajaza hivi mzima gani huyu
A show with about 2k and you’re here making noise. What of heavy hitters with 80k capacity.😂😂😂😂😂
Simba la❤❤
Mm pk sasa mpinzani wake sijamuona 😂😂😂
Jamani jamani huyu kiumbe mbn tishio
simba na masimba dangote
Pweza la Mapweza Dangote, popote kambi, popote anakiwasha.
😂😂 nimecheka sana
Harmonize acha atafute matako saii😮😮😮
Halafu Kuna visokolo kwinyo huku nyumbani unasikia ooohh sijuw Nini vikaenda vikarudi
Hatari sana 😂😂😂
Simbaaa kangurumaa
Natamani kuona mwijaku tu aki comment😊
I told them 🤣 this man ♂️ is terrible ❤❤❤
Me xmpng simba🔥🔥🔥💯
Ndio anaotoka ayoo mdogo mdogoo ohooo
Apo iniesta yupo
Hyujamaaa ninomaaaaa
Mido nakubal
❤❤❤❤
Na bado atazi kuwanyoosha
Simbaa
Simbaa atabak kuwa simba 2
La Simba lama 😂😂😂 dah sijui Kwann Kuna takataka wanamfananisha zombie na uchafu mwengine wa tz
Walisema anapiga show kwenye klabu TU Sasa waone hiyo
🔥🔥🔥🔥🔥
Anatisha
Mmyama
Jaman hii gramy sio bet ten
Kwahiyo tukubariane diamond siyo level ya kina panya 😂😂😂😂
1like
Tixaaa
❤❤❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Apo umeuwa jitho
Umu tu
Duh mimi bado nalia na legend wetu wa Bongo anayehusudu O2 Arena kama ibada! Kwake huyu msanii hamuoni. Sasa sijui ni kipofu au chuki?
Nikweli au sio muchezo kujaza uwanja wa Barcelone 😂😂😂😂 niatari
Ilikua Afro branch walikua na wasanii wengine
Ndio maana burna boy ampendi😂😂😂😂😂😂
Ila harmonize
Msanii wa buza🤣
Iv akitoka Barcelona anaenda tumbuiza wapi tena
Lilikuwa ni suala la muda tu
🫡🫡🫡💯
Sasa ilikua Show yake mwenyew
Kwanza pongeza kafanya vizur
Yeah hio niyakwake
Yake mwenyew huyu kasha shindikana
@@mbezzoprince9462Ni Afro branch walikuepo na Wasanii wengine
❤❤❤❤
Jamani jamani huyu kiumbe mbn tishio