Madame vinegar wengine inawaletea kiungulia au gas hasa wenye vidonda vya tumbo je wakat wa kuchemsha huwez kuiacha na mchuzi mchuzi wa kutoshea kusagia kwenye brenda!?
Hope you doing fine. Samahani kwausumbufu sister Dina illa just nilikuwa nauliza jee nikifanya achari ya beti jekundu inaleta faida nakitu gani unachanganyisha
Asante Dada
Wow 😊😊unauza shingp dear,,,na faida unapata km shingp kwa mpiko mmoja ukijumlisha na hizo package zake
shukrani sanaaa dada mungu akubariki
Am your new follower,shukran ❤
Ngoja nipike nitaleta😂 mrejesho hapa ❤
Ni nzuri Dina, kuna kitu sijapata matamshi Vizuri.... ...hiyo inaitwa Cori flour, Corn flour au Cori fly?? Naomba jibu sahihi ili nikienda dukani nijue ninachoenda kununua
Maduka gani wanauza Sodium Benzoate let say ni kigamboni au kariakoo??
Na ikiwa nzito unaweka maji ya moto au ya baridi ili iwe nyepesi maana nafanya kwa ajili ya biashara
Madame vinegar wengine inawaletea kiungulia au gas hasa wenye vidonda vya tumbo je wakat wa kuchemsha huwez kuiacha na mchuzi mchuzi wa kutoshea kusagia kwenye brenda!?
Plz anwer this
Hata isipowekwa kwenye fridge haiharibiki?
Embe lolotee au
👌
Asalam aleikum dear Dina.
Hope you doing fine
Hope you doing fine.
Samahani kwausumbufu sister Dina illa just nilikuwa nauliza jee nikifanya achari ya beti jekundu inaleta faida nakitu gani unachanganyisha
Mungu akubariki sana 🥰
Thanks a lot darling
Unaweka sodium kwa kipimo cha maji ya kupikia viungo vyako?
Unaitwa sodium nn?
Km hauna vinegar unaweza kuweka limao
Unauza shingap???
Kichupa kama hcho unauza bei gan dear nahitaj
Kama hamna pilpil mbuz unaweza kuweka za kawaida
Uwo unga Ni unga wa Nini dada?
Corn flour
Ukiweka sukari kwenye pili pili je watu wenye sukari hawawezi kutumia kwa hiyo biashara yako unauza kwa watu wasio na kisukari
Sh ngapi unauza chupa moja ya pilipili
niandikie namba yk
0769826193
Iyo cone fly shingp
Wanasema et vijiko viwili kwa lita kumi je imekaaje hii
Kwa mimi ninavyofahamu unatakiwa kuweka gram moja kwa lita moja mamy
Kwa hiyo Lita moja kijiko kimoja cha sodium so ndio jamani maana na Mimi nataka kuanza hii biashara hivyo nafuatilia haya mafunzo
iyo nayo nini
hii ni pilipili dear
Nisipoweka hiyo sodium benzoate inaweza kukaa kwa mda gani dear?
Unaweza usiweke sodium benzoate lakini lazima uweke vinegar ili ikae muda mrefu unaweza ukaweka vinegar pekeyake na ikakaa zaidi ya miezi sita
Shukran dada