Uwahabi❗️Bwana Mkulima alivyomuendea Shekh Abdallah Humeid baada ya kumchunguza kuhus Uwahabi wakeπŸ“š

ΠŸΠΎΠ΄Ρ–Π»ΠΈΡ‚ΠΈΡΡ
Вставка
  • ΠžΠΏΡƒΠ±Π»Ρ–ΠΊΠΎΠ²Π°Π½ΠΎ 17 ΠΆΠΎΠ² 2024

ΠšΠžΠœΠ•ΠΠ’ΠΠ Π† • 37

  • @SameerMdumbemalongo
    @SameerMdumbemalongo 8 місяців Ρ‚ΠΎΠΌΡƒ

    Allah akubarik ya sheikh...akupe khairrr.....ni haki hii...

  • @GharibAli-po6fp
    @GharibAli-po6fp 7 місяців Ρ‚ΠΎΠΌΡƒ +1

    ingekua ni kuengezeka uislamu, angeenda huko kusikokuwa na uislamu

  • @ThemadianVillage
    @ThemadianVillage 2 місяці Ρ‚ΠΎΠΌΡƒ

    13:18

  • @ThemadianVillage
    @ThemadianVillage 2 місяці Ρ‚ΠΎΠΌΡƒ

    Kazi ya shekhe ni kuyasema mambo ya haki huko kumungoza mtu ni kazi yake Allah Muache shekhe aongee dawa iwaingie vizuri

  • @AndulHida-hs5py
    @AndulHida-hs5py 8 місяців Ρ‚ΠΎΠΌΡƒ

    Nenda Arusha, mbeya, Iringa na kazalika huko waislam niwachache sana nenda ukalimganie kule upate sharafu kuliko kukosowa waislam kilasiku unajizalilisha tu, kwani kwenye hiyo Sunna unayoifuata umepata wangapi? Nipe jibu Toka umeanza sijaona ulichoongeza kwako shekhe vip?

    • @ammaarhussein7508
      @ammaarhussein7508 7 місяців Ρ‚ΠΎΠΌΡƒ

      Hii jazba yako n dalili tosha mwiba umekuchoma na shekhe anafanya kazi sahihi

  • @salehaljadidi8206
    @salehaljadidi8206 8 місяців Ρ‚ΠΎΠΌΡƒ

    Nasikia huyo mkulima a alikuwa hawara ya mama yako. Ndio ukazaliwa wewe mwana Haraam mmoja wewe.

    • @sabrizamilalmendhry
      @sabrizamilalmendhry  8 місяців Ρ‚ΠΎΠΌΡƒ

      Allah akuongoe Saleh

    • @ammaarhussein7508
      @ammaarhussein7508 7 місяців Ρ‚ΠΎΠΌΡƒ

      Huyo mkulima kumbuka n swahaba na n kosa kuwadhihaki maswahaba wa mtume kwa namna yoyote ile

    • @salehaljadidi8206
      @salehaljadidi8206 7 місяців Ρ‚ΠΎΠΌΡƒ

      @@ammaarhussein7508 Swahaba gani wa kutoka Kongo?? . Tokea lini Kassim Mafuta ya nguruwe akawa Swahaba?? labda Swahaba wa wapumbavu na wakongomani wenzake.

    • @Alyaapi-kb6mm
      @Alyaapi-kb6mm 7 місяців Ρ‚ΠΎΠΌΡƒ

      @@salehaljadidi8206 usitukane ndugu yangu muislam muonye mtu kwa maneno mazuri sio matusi haifai

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 8 місяців Ρ‚ΠΎΠΌΡƒ

    Salafy mamahji yao haokubali urafiki na watu
    Huo utakuwa sio usalafy utakuwa uislamu

    • @SalumuMatimbwa
      @SalumuMatimbwa 8 місяців Ρ‚ΠΎΠΌΡƒ

      kwamba usalafy ni ukafir?

    • @shamsuddin4582
      @shamsuddin4582 8 місяців Ρ‚ΠΎΠΌΡƒ

      We uloongea haya ni muislam?? Nauliza kwa wema

    • @SalumuMatimbwa
      @SalumuMatimbwa 8 місяців Ρ‚ΠΎΠΌΡƒ

      @@shamsuddin4582 mimi au huyo alie sema kwa huo si usalafy utakua uislam ? mana mm ndio nimemuliza yy kwamb inamaan usalaf sio uislaam? au labda atuambie anavyo jua yy usalaf ni nn?

  • @AbuuAbdillah-hb8li
    @AbuuAbdillah-hb8li 8 місяців Ρ‚ΠΎΠΌΡƒ

    Yaani huyo kasimu mafuta na ndugu yake Mohamed mafuta ni wanachama wa ccm mahizbu wa vyama vya kisiasa

    • @sabrizamilalmendhry
      @sabrizamilalmendhry  8 місяців Ρ‚ΠΎΠΌΡƒ +1

      Una ushahidi ndugu?

    • @AbuuAbdillah-hb8li
      @AbuuAbdillah-hb8li 8 місяців Ρ‚ΠΎΠΌΡƒ

      @@sabrizamilalmendhry ndio upo tena wa kutosha tu nyinyi mnawaonatu watu mimbari

    • @sabrizamilalmendhry
      @sabrizamilalmendhry  8 місяців Ρ‚ΠΎΠΌΡƒ +1

      Haya thibitisha basi kama una ushahidi huo

    • @abuahlaam
      @abuahlaam 8 місяців Ρ‚ΠΎΠΌΡƒ

      ​@@AbuuAbdillah-hb8li subhanallah yaani nyie ndugu hamuogopi kusema urongo kiasi hichi yaani Saltoun wanavopiga vita mambo ya kisiasa leo wawasingizia mche allah haya ni maisha tu

    • @AbuuAbdillah-hb8li
      @AbuuAbdillah-hb8li 8 місяців Ρ‚ΠΎΠΌΡƒ

      @@sabrizamilalmendhry nitumie namba yako ya whatsapp nikutumie kadi ya uanachama wa ccm wa Mohammedi mafuta nyinyi watu hammuwajui

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 8 місяців Ρ‚ΠΎΠΌΡƒ

    Bwana mkulima ndio nini sasa, ati kaja kuuliza kuujua uwahabia. Mna propaganda

    • @sabrizamilalmendhry
      @sabrizamilalmendhry  8 місяців Ρ‚ΠΎΠΌΡƒ +2

      Akhiy Hilal, ukulima ni kazi yake kama vile wengine ni walimu, madaktari nakadhalika

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 8 місяців Ρ‚ΠΎΠΌΡƒ

      @@sabrizamilalmendhry nilifkiri mwanachuoni ndio kaja kujua. Kumbe mjinga wa mwituni πŸ€”.

    • @Ψ£Ψ¨ΩˆΩ‚Ψͺيبة-Ωƒ2Ωƒ
      @Ψ£Ψ¨ΩˆΩ‚Ψͺيبة-Ωƒ2Ωƒ 8 місяців Ρ‚ΠΎΠΌΡƒ

      Shekhe Muhammad ishaka ​@@hilalkhalfan1452

    • @abrahamansaidi8631
      @abrahamansaidi8631 8 місяців Ρ‚ΠΎΠΌΡƒ +1

      ​@@hilalkhalfan1452
      Hata waliokua wakisilimu zama za mtume Ψ΅Ω„Ω‰ Ψ§Ω„Ω„Ω‡ ΨΉΩ„ΩŠΩ‡ ΩˆΨ³Ω„Ω… wengi walikua ni mafukara wasiojua kitu

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 8 місяців Ρ‚ΠΎΠΌΡƒ

      @@abrahamansaidi8631 ahaa, walikuwa wajinga lakini hawana elimu. Nilifkiri wanachuoni.

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 8 місяців Ρ‚ΠΎΠΌΡƒ

    Teh teh jiwahabi hili lakubali majazi
    Mtu aseme hakuna mitume Kisha utetee ?
    Kwahiyo majazi ipo eee!!!

    • @AbuuAbdillah-hb8li
      @AbuuAbdillah-hb8li 8 місяців Ρ‚ΠΎΠΌΡƒ

      Aliekwambia hakuna majazi ninani
      Majazi inakanuni zake nyinyi hawaa za UZUSHI NA BIDAA zikiwapanda hamuangalii kanuni za majazi mnatumia hawaa zenu

    • @abuahlaam
      @abuahlaam 8 місяців Ρ‚ΠΎΠΌΡƒ

      Doh nyie mna tabu kweli
      Umemskia wapi akimtetea mbn mwapenda kuropokwa wakati sh amebainishq hilo ni kosa mbali ni kufru
      Subhanallah yaani bora tu msem3 hamyogopi allah atawauliza

    • @shamsuddin4582
      @shamsuddin4582 8 місяців Ρ‚ΠΎΠΌΡƒ

      Yn we unachekesha nadhani itakuwa bora uache kucomment maake nina mashaka na usawa wa akili yako...maake sijui hata km waelewa unachokicomment, kwa ufupi una vituko