- 80
- 279 944
ABUU RUWAYDA Tv
Приєднався 15 жов 2022
TUMA MCHANGO WAKO KUPITIA NAMBA
+:0622768103 (HALOPESA)JINA MOHAMMED ATHUMANI MOHAMMED
+:0622768103 (HALOPESA)JINA MOHAMMED ATHUMANI MOHAMMED
DIWANI KAMA ANATATIZO KWENYE AKILI YAKE/NA UKUHANI WAKE WOTE UPO WAZI
DIWANI KAMA ANATATIZO KWENYE AKILI YAKE/NA UKAHANI WAKE WOTE UPO WAZI
Переглядів: 383
Відео
MUHADHARA WA KINA MAMA|MASJID AL FAROUQ SHINYANGA MJINI|🎙️ SHEIKH ABUU MUSA KIZA
Переглядів 1047 місяців тому
MUHADHARA WA KINA MAMA|MASJID AL FAROUQ SHINYANGA MJINI|🎙️ SHEIKH ABUU MUSA KIZA
ALIE WADANGANYA USUFI NI ZUHDI NI NANI USUFI NI UKRISTO NK 🎙️ SHEIKH ABUU KHAWLAH حفظه اللـه تعالـى
Переглядів 2759 місяців тому
ALIE WADANGANYA USUFI NI ZUHDI NI NANI USUFI NI UKRISTO NK 🎙️ SHEIKH ABUU KHAWLAH حفظه اللـه تعالـى
JE BIMA YA BIASHARA NA AINA ZAKE NI IPI HUKMU YAKE KATIKA KUZITUMIA?🎙️ SHEIKH QASIM MAFUTA
Переглядів 2,2 тис.10 місяців тому
JE BIMA YA BIASHARA NA AINA ZAKE NI IPI HUKMU YAKE KATIKA KUZITUMIA?🎙️ SHEIKH QASIM MAFUTA
WASIFU WAKO NI KHURAFI NA HUO NDIO UKWELI WALA USIKATAE 🎙️ SHEIKH ABUU KHAWLAH حفظه اللـه تعالـى
Переглядів 4,9 тис.11 місяців тому
WASIFU WAKO NI KHURAFI NA HUO NDIO UKWELI WALA USIKATAE 🎙️ SHEIKH ABUU KHAWLAH حفظه اللـه تعالـى
MAYUNGA ALIKATAA JINA ALILO PEWA NA WAZAZI WAKE KWA SABABU HII|RADD KWA MASHEIKH WANAOWATETEA MASHIA
Переглядів 61011 місяців тому
MAYUNGA ALIKATAA JINA ALILO PEWA NA WAZAZI WAKE KWA SABABU HII|RADD KWA MASHEIKH WANAOWATETEA MASHIA
BABDEO AMEANGUKIA PUA|BAADA YA POST YAKE KUHUSU SAUDIA KUJUZISHA POMBE
Переглядів 64811 місяців тому
BABDEO AMEANGUKIA PUA|AMEKURUPUKA
MASWALI YASIO JIBIKA KWA MUDIRU WA SHAMSUL MAARIFA TANGA SHEIKH SAMIRI
Переглядів 82311 місяців тому
MASWALI YASIO JIBIKA KWA MUDIRU WA SHAMSUL MAARIFA TANGA SHEIKH SAMIRI
HEKMA ZA SHEIKH ABUU KHAWLAH BAADA YA KUPIGIWA SIMU
Переглядів 2,6 тис.11 місяців тому
HEKMA ZA SHEIKH ABUU KHAWLAH BAADA YA KUPIGIWA SIMU
HISTORIA YA SHEIKH MUQBIL UHAI WAKE MPAKA KUFA KWA SHEIKH ALLAH AMREHEMU
Переглядів 81611 місяців тому
HISTORIA YA SHEIKH MUQBIL UHAI WAKE MPAKA KUFA KWA SHEIKH ALLAH AMREHEMU
ALICHO SEMA BAADA YA KUPIGIWA SIMU
Переглядів 7 тис.11 місяців тому
ALICHO SEMA BAADA YA KUPIGIWA SIMU
TAZAMA SHEIKH MZIWANDA ALIVYO PANIKI KABLA YA MDAHALO|JE MDAHALO ATAUWEZA KWA HALI HII KWELI ⁉️
Переглядів 4,5 тис.11 місяців тому
TAZAMA SHEIKH MZIWANDA ALIVYO PANIKI KABLA YA MDAHALO|JE MDAHALO ATAUWEZA KWA HALI HII KWELI ⁉️ #fyp #subscribe #live
MDAHALO WA KIELEMU KATI YA SHEIKH ABUU KHAWLAH NA SHEIKH MZIWANDA(HATUA YA KWANZA KABISA)
Переглядів 7 тис.11 місяців тому
MDAHALO WA KIELEMU KATI YA SHEIKH ABUU KHAWLAH NA SHEIKH MUHARRAM MZIWANDA(HATUA YA KWANZA KABISA)
SHEIKH MZIWANDA MAMBO YAMEKUA MAGUMU KWAKE|HANA MAJIBU YA MASWALI HAYA
Переглядів 72511 місяців тому
SHEIKH MZIWANDA MAMBO YAMEKUA MAGUMU KWAKE|HANA MAJIBU YA MASWALI HAYA
NIPO TAYALI KWA MDAHALO NA WEWE|LAKINI HAYA YATIMIE KWANZA/HATUTAKI UTOTO SISI
Переглядів 1,6 тис.11 місяців тому
NIPO TAYALI KWA MDAHALO NA WEWE|LAKINI HAYA YATIMIE KWANZA/HATUTAKI UTOTO SISI
SHEIKH ABUL FAADHWIL QASIM MAFUTA حفظه اللـه تعالـى AWANASIHI WANAFUNZI KATIKA KIPINDI CHA LIKIZO
Переглядів 21411 місяців тому
SHEIKH ABUL FAADHWIL QASIM MAFUTA حفظه اللـه تعالـى AWANASIHI WANAFUNZI KATIKA KIPINDI CHA LIKIZO
JE WAYA FAHAMU HAYA⁉️ 🎙️ SHEIKH ABUL FAADHWIL QASIM MAFUTA حفظه اللـه تعالـى
Переглядів 1,1 тис.Рік тому
JE WAYA FAHAMU HAYA⁉️ 🎙️ SHEIKH ABUL FAADHWIL QASIM MAFUTA حفظه اللـه تعالـى
HII NDIO NJIA YETU|ALBUM ONE|FAIDA MCHANGANYIKO NA SHEIKH ABUL FAADHWIL QASIM MAFUTA حفظه اللـه
Переглядів 471Рік тому
HII NDIO NJIA YETU|ALBUM ONE|FAIDA MCHANGANYIKO NA SHEIKH ABUL FAADHWIL QASIM MAFUTA حفظه اللـه
HUKMU YA UPASUAJE KATIKA SHERIA YA DINI NI IPI⁉️|MARKAZ IBNU BAAZ SHINYANGA MJINI
Переглядів 196Рік тому
HUKMU YA UPASUAJE KATIKA SHERIA YA DINI NI IPI⁉️|MARKAZ IBNU BAAZ SHINYANGA MJINI
HAYA NDIO MAUQIFU YETU (FINAL)🎙️ SHEIKH ABUU KHAWLAH MBWANA ABDI حفظه اللـه تعالـى
Переглядів 3,3 тис.Рік тому
HAYA NDIO MAUQIFU YETU (FINAL)🎙️ SHEIKH ABUU KHAWLAH MBWANA ABDI حفظه اللـه تعالـى
(HAYA NDIO MAUQIFU YETU) 🎙️SHEIKH ABUU KHAWLAH MBWANA ABDI حفظه اللـه تعالـى ورعاه
Переглядів 3,1 тис.Рік тому
(HAYA NDIO MAUQIFU YETU) 🎙️SHEIKH ABUU KHAWLAH MBWANA ABDI حفظه اللـه تعالـى ورعاه
TUHMA ZA ABUU IDD NI BURE KABISA|RADD KWA WATU WANAYO ITUHUMU(SEASON ONE EPISODE FOUR)
Переглядів 2,7 тис.Рік тому
TUHMA ZA ABUU IDD NI BURE KABISA|RADD KWA WATU WANAYO ITUHUMU(SEASON ONE EPISODE FOUR)
IFAHAMU MANHAJ SSALAFIY (SEASON ONE EPISODE THREE)🎙️ SHEIKH ABUL FAADHWIL QASIM MAFUTA حفظه اللـه
Переглядів 3,6 тис.Рік тому
IFAHAMU MANHAJ SSALAFIY (SEASON ONE EPISODE THREE)🎙️ SHEIKH ABUL FAADHWIL QASIM MAFUTA حفظه اللـه
IFAHAMU MANHAJ SSALAFY (SEASON ONE EPISODE TWO)🎙️ SHEIKH ABUU KHAWLAH MBWANA ABDI حفظه اللـه
Переглядів 4,4 тис.Рік тому
IFAHAMU MANHAJ SSALAFY (SEASON ONE EPISODE TWO)🎙️ SHEIKH ABUU KHAWLAH MBWANA ABDI حفظه اللـه
IFAHAMU MANHAJ SSALAFY (SEASON ONE EPISODE ONE)🎙️ SHEIKH ABUU KHAWLAH MBWANA ABDI حفظه اللـه
Переглядів 2,6 тис.Рік тому
IFAHAMU MANHAJ SSALAFY (SEASON ONE EPISODE ONE)🎙️ SHEIKH ABUU KHAWLAH MBWANA ABDI حفظه اللـه
SALAMU KUTOKA BURUNDI MPAKA TANZANIA|ALLAAH AMUHIFADHI SHEIKH ABUL FAADHWIL QASIM MAFUTA حفظه اللـه
Переглядів 1,4 тис.Рік тому
SALAMU KUTOKA BURUNDI MPAKA TANZANIA|ALLAAH AMUHIFADHI SHEIKH ABUL FAADHWIL QASIM MAFUTA حفظه اللـه
TUTANGULIZE UFAHAMU WA NANI MASWAHABA AU NYINYI|MASWALI NONDO KWA MASHEIKH WOTE WA KISUFIY
Переглядів 2 тис.Рік тому
TUTANGULIZE UFAHAMU WA NANI MASWAHABA AU NYINYI|MASWALI NONDO KWA MASHEIKH WOTE WA KISUFIY
HIVI NYINYI UWAHABI UKO WAPI HAPA SEMENI 🎙️ SHEIKH ABUL FAADHWIL QASIM MAFUTA حفظه اللـه تعالـى
Переглядів 2 тис.Рік тому
HIVI NYINYI UWAHABI UKO WAPI HAPA SEMENI 🎙️ SHEIKH ABUL FAADHWIL QASIM MAFUTA حفظه اللـه تعالـى
KWA NINI MAUWAJI YAMEKITHIRI SABABU NI IPI NA VIPI LITAISHA HILO
Переглядів 179Рік тому
KWA NINI MAUWAJI YAMEKITHIRI SABABU NI IPI NA VIPI LITAISHA HILO
UKWELI UMEWEKWA WAZI KUHUSU HILI KUNDI LA BAATWILI 🎙️ SHEIKH QASIM MAFUTA حفظه اللـه تعالـى ورعاه
Переглядів 2,1 тис.Рік тому
UKWELI UMEWEKWA WAZI KUHUSU HILI KUNDI LA BAATWILI 🎙️ SHEIKH QASIM MAFUTA حفظه اللـه تعالـى ورعاه
Je na ile picha inayosambaa mbona ujaijibia
Amebana ameachia
peleka matako huko..masufi masufi...we nan bhana..
Away watu abidaha
Ww mwehu kweli
Allah awajaze kheri
NATAMANI MUFANYE RADI YA SHOW YA MUZIKI YA JENIFA LOPEZ KULE SAUDIA MBONA MUPO KIMYA
safiiiiiiii
mbwa hawa...tumewachoka mavi hawa
😂😂😂 picha haramu lakini kwenye kuandamisha mwezi wa kimataifaa inafaa 😂😂 huu ndio ujingaa wa masalafi fekii
Waislam tumekua wajinga kupindukia
Ndio uleule ukanisani huna tofaut wewe na mwamposa
Huy jamaa ni mtihani mtupu
Maashaa Allah, mtu wamaana kabbisa
حفظك الله يا شيخنا
حفظك الله يا شيخنا
acha uongo mbona ulipigiwa na bab deo tv ukaogopa masingizio hutaki kuonekana umeku mungu wewe
kasha ingia hofu huyu abu haula basi tena
,hatuoni ubaya wa watu maulid hawadhumu mtu tuona hao ansar suna wakidhilumu yatima mbona hamumwambi aache dhulma awape yatima wajanjira walidho pora kwa nini mnalindana hamuambiani kweli muopeni kesho mtakwenda ulizwa
HATA WAZAZI WENGINE HUWACHA WATOTO WAO KUTEMBEA UCHI😢
HATA WENGINE HUKAVIBARAZANI NAKU JADILIANA WATOTO WA WATU KUWATONGOZA😢
Masha Allah
إخواني نری الصوفية مسلمین یصلون ویصومون ولکن خطرهم عظیم حیث يفسدون عقاٸد المسلمین, فیبیحون دعاء غیر الله الذی هو من الشرک الأكبر, ویعتقدون أن الله في كل مکان, وینفون علو الله علی عرشه مخالفین القران والحدیث
Yani we kasim mafuta Ni mjinga mkubwa kabsaaaa huna lolote
Heh basi jamani si kila mtu anamsimamo wake jamani
Kwa akil zako
Aamiyn
Wallah nakupenda abul fadhil kwa ajili ya ALLAH na ALLAH aitakase kazi yak kwa hakika licha ya kusemwa vibaya ila wengi ALLAH ametuongoa kupitia ww na mashekhe wenzako
Kwa hizo hizo picha ndio tumewajua Mashekh weengi humu duniani bila hizo picha hatuna tofauti na kuwa kwenye ulimwengu wa Giza tena wakizamani hapo Shekhe Baki na msimamo wako
Maashaallah shekh anajitahd
Kwan mtumie saw humjui
Allah akuhifadhi shekhe wetu mpendwa achananao hao mashia ni makafiri tu
@mohamedswalehe we njinga usio jijuwa Kama wewe njinga
Huu ni uoga wa hali ya juu amejipima kwa mziwanda ameona hatoshi ingekuwa sisi wengine angekurupuka haraka kutaka mjadala. Shekhe mziwanda kasema nendeni na hoja zenu za bidaa mkamkosoe na bidaaa yake mnafyata mkia apa kufundishana kwetu kuko wapi huku ni kupotoshana na mungu atawalipia nyinyi nyote msiotaka kutuelimisha
Huu kasim mafuta aache uzandaqa tumishambain
Mtihan sn
Mashallah
Watu wengine ktk izi koment wallahi kama wasenge yani mtu anaongea kisenge senge wallahi Shekh akakubali kwamba jambo lina khilaf lkn yy kakamata fatuwa ya kuto kuchukuliwa video sasa apo kosa likowapi ?. Hatimae lina jitokeza jitu halina muono wwte wa mambo ya kielemu lina zungumza kisenge ilimradi tu.
Inalillahi wainailahi rajuun😢 jamani nimsiba hu kwahuyu anaejiita shalifu Allah atuepushenae na wenginepia mfonowa huyu
Allah akuhifadhi sheikh wetu Abdul fadhi Qassimu mafuta Qassimu na akupe mwisho mwema inshaallah
Allahuma amiin. Anaitwa Abulfadhil
Ivyoo vigezo vnaushaidi katk hadith....coz ninyi maneno y wanchuon hamtaki sikuzote Leo unatumia kama marejeo......wap bhn... Niny ubabaifu
Amesemakweli mtume sal na salam ziwe juu yk
Shekhe khawlah hamtomuweza ikomakinisana masufi mutalupata
Manshallah
Utawaweza
Shekhe wewendoo utawaweza hawamasufi kahuumufumo wataisoma aramtara
Huodiwani kwakulingana na aya umezitoa kwenye Quran zinaonesha diwani nimchawi na anatumia majini
Huyu shekh sembe hodari sana allah ambarik yaani anajua kupangilia maneno na kujenga hoja❤
Huo nimtihani
Abdul Fadhwil BARAKALLAH FIK
Mziwanda njaa lakini haq anaitambua. Na awezi kuweka mijadala na masalaf huu
Huyu Abuu haula ni gogo la kiwahabi lakini nimoga kuliko kunguru naona anarukaruka tu, unajua mawahabi ni maneno mengi lakini hamna kitu na ufahamu wao ni mdogo sana sana
ALLAH SUB'HAANAHU WATA'ALAA AMHIFADHI SHAYKH WETU ABUL FADHL. katika kuweka sawa upotofu mfano wa huu wa wazushi katika dini hii
Mafuta ni pimbi
Inna lillah waina illayh rajuuna
Yaani mtu anajitolea tu hoja ili kuvuta upande wake anasingizia enza za mtume hakukua na camera wala enzi za imam shafi haya xw lkn anasahau enzi hizo hizo hakukua na microphone wala sim mbn anatumia na hasemi mma ilikua hakuna yaani huu mwngine ni ujuha bora mtu anyamaze tu
Allah amuhifadhi sheikh letu