Ulienda lkn KAZI zako nyingi Sana na njema Sana za kumsifu Mungu zinafanya utaendelea kuishi sauti Yako nzuri tutaendelea kuisikia ikituinjilisha. Pumzika Kwa amani Mwl. Fred Mwamakula
Ama kweli, wasiwasi wangu ni wa nini? Kilele cha ubora wa huduma ya uimbaji. Wakaguzi tumeona utamu wa sauti, mpangilio wa muziki, display njema. Mungu awabariki sana.
This song is always on repeat mode while I'm travelling upcountry. Mwalimu Freddy sauti yako ya kuongoza na ueledi wako utasalia nasi. This song has been ringing on my mind for the longest now going to work and doing some errands of who I am today. I am much suddened by your demise Freddy. May God Rest your soul in eternal peace. Mungu alitupa na pia ametwa sifa na utukufu kwake. Tunasheherekea maisha yake humu duniani na nyimbo hizi nzuri alizoongoza zitasalia nasi.
In deed If God Says Yes nobody can say No. I'm certain that this song talks about my life at the moment. God is true to His promises. He will fulfill at the appointed time.
BARIKIWA SANA BARAKA, KWA UIMBAJI MZURI, NAWAPENDA SANA EFATHA CHOIR TOKA ENZI HIZO MPAKA SASA, NIMEKOSA TAMASHA LENU LILIFANYIKA RUANDA MORAVIAN MBEYA, NIMESIKITIKA SANA
PUMZIKA KWA AMANI MTUMISHI FRED MWAMAKULA,umepigana vita,umeilinda imani hatimaye umemaliza mwendo,Mungu baba uliyemtumikia akupokee na akupe makazi mema kwake mbinguni,R.I.P school mate
Mtumishi MWAMAKULA ni prodyuza mnyenyekevu sana na kazi zake ni nzuri. Nimependa kuwa kumbe anatumika kwenye uimbaji pia. MUNGU ABARIKI SANA. Mungu azidi kuwainua watumishi wa NICE GROUP, wanatoa mabasi yao kusupport huduma za Injili kwa gharama nafuu sana.
Inafurahisha sana kuona kwaya sasa zimeanza kufufuka baada ya single artists kutamba huku uhuru pale shangilieni kule uinjilist forest nk nk safi sana...
Mungu awabariki sana.Nikisema mtadhani natania huu wimbo kila saa nikiungalia au kuusikiliza nalia.kwanini nalia nijuu ya upendo wa Yesu anaousisitiza dada wa solo wa kwanza anapoimba kwa hisia kali kwamba Yesu ametupa wokovu bureeeeeeee!!!! rudia kumsikiliza kwa makini na utulivu utafahamu ya kuwa ana hisia kali na angependa uelewe jambo hili kubwa alilolifanya Kristo Yesu Bwana.Waimbaji na masolo wote wameimba kwa namna ya ajabu kuufikisha ujumbe huu wa Baraka kwenye maisha yetu.Lala Salama Mtu Mkuu wa Mungu Mwamakula.Nilianza kuipenda kwaya hii na wewe mlipotoa albam yenu Usalama.Sijaacha kuwapenda na nawaombea sana.Karibuni KKKT Usharika wa Arusha Mjini mtaa wa Mjini kati siku moja Tumwimbie Mungu Pamoja Mbarikiwe
Wimbo mzuri, video nzuri, kila kitu kizuri! Mungu awabariki efatha choir! Mbona mmeshaimba kuwa maadui ni wengi!!!!! Kwa hiyo director usijali kuhusu comment !!!!
Pumzikaa kwa Amani mwal fredy Mungu aikumbukee huduma yako
Ulienda lkn KAZI zako nyingi Sana na njema Sana za kumsifu Mungu zinafanya utaendelea kuishi sauti Yako nzuri tutaendelea kuisikia ikituinjilisha. Pumzika Kwa amani Mwl. Fred Mwamakula
Hongera sana wapiganaji wa injili. Mungu azidi kuwatumia sawa sawa na mapenzi yake.
Kazi yenu ni njema.
Mbarikiwe watumishi wimbo mzuri sana
Kila nisikilizapo 👂wimbo huu na WA ulinz wako nabarikiwa San 😘👏👏👏👏
Masolo wangu mmetisha, wapigaji safii waimbaji safiiii
Nawapenda toka udogo wangu mpaka utuu uzimaa sijawahii wakinai nawapenda mnoo mnanipa motisha Zaid ya kumtumikia munguu
Naitwa Mch Malekela nipo morogoro kkkt naomba mawasiliano yenu
Aiseeeeee nawapenda mno mno mnooooooo
Aksate kwa ujumbe iyo mungu amubariki .ni mimi dido toka DRC
Hongereni kwa kazi nzuri kweli MUNGU akisema ndio hakuna wa kusema hapana
Hongereni sana watumishi napenda kuwasikiliza sana
Huu wimbo sichoki kuusikiliza Mungu awabariki sana injili ya Mungu isonge mbele🙏🙏🙏🙏
Wow nice sana watu wangu wa nguvuu
Kazi nzr Mungu awainue kwa viwango vya juu zaidi
Hii nyimbo original yake zilipigwa sana gitaa mule, album ilikuwa nzuri karibu nyimbo zote ikiwa kwenye kanda (cassette)...
Kazi nzuri Mungu awatunze
Shawn Michael mafundi makapten wa kwaya yote majinayenu hamuja wahi niangusha
Hongera sana kwa kazi hii kakika hakuna wakupinga hii kazi sio ya kitoto nimeielewa sana
Naupendaga Sana wimbo huu mpaka basi tuu
God bless you
Viongozi nawaomba muwe tayari kupokea ushauri, kuukubali au kuukataa ni hiari yenu kulingana na vile mnavyoona inafaa.
mwenyekiti nimeanza kazi niliyo ahidi naomba mungu anisaidie amen
Mpo vizurii wapendwa Kristo azidi kuwasimamisha tena
Nice song..wimbo unagusa mno.mbarikiwe sana ktk huduma
🎉🎉🎉🎉hakika Mungu akisema ndio hakuna kusema hapana 🙏🙏barikiwa wapendwa wa Mungu
Ama kweli, wasiwasi wangu ni wa nini? Kilele cha ubora wa huduma ya uimbaji. Wakaguzi tumeona utamu wa sauti, mpangilio wa muziki, display njema. Mungu awabariki sana.
Kweli ukimwamini Mungu anatimiza ahadi ooo Asante yesu
Great music na ujumbe mzuri mno. Rhumba la YESU.
Hongereni sana watu wa Mungu kwa kazi nzuri sana
This song is always on repeat mode while I'm travelling upcountry. Mwalimu Freddy sauti yako ya kuongoza na ueledi wako utasalia nasi. This song has been ringing on my mind for the longest now going to work and doing some errands of who I am today. I am much suddened by your demise Freddy. May God Rest your soul in eternal peace. Mungu alitupa na pia ametwa sifa na utukufu kwake. Tunasheherekea maisha yake humu duniani na nyimbo hizi nzuri alizoongoza zitasalia nasi.
In deed If God Says Yes nobody can say No. I'm certain that this song talks about my life at the moment. God is true to His promises. He will fulfill at the appointed time.
Apumzike kwa amani Fred
Mungu Asantee sana efatha choir kwa kazi nzurii Mung awabarikii
Kazi nzuri sana wapendwa
Hongereni kwa uimbaji mzuri
Mbarikiwe
Mubarakiwe sana
Loh,mungu atunze kile alichotuachia.
Munguawabariki. Sana. Wapiganaji. Wazuri. Kwawimbohuu
Mungu awabariki,kwa kweli hili ni fundisho kwa vizazi vijavyo.
Mtangoo hawa jamaa wanamapigo kama yenu.
Mmaaa le mwalimbile bhajhubha na bhatata ndagha lelo bhanyaa👏👏👏👏
BARIKIWA SANA BARAKA, KWA UIMBAJI MZURI, NAWAPENDA SANA EFATHA CHOIR TOKA ENZI HIZO MPAKA SASA, NIMEKOSA TAMASHA LENU LILIFANYIKA RUANDA MORAVIAN MBEYA, NIMESIKITIKA SANA
Pumzika kwa amani kaka fredy Mwamakula daaaa inaumiza sana mwalimu
Yess!! Mungu akasema Ndiio hakuna wa kupinga
Oh Yes! Akisema ndio hakuna wakusema hapana
Amina Naomi
I see you da Ney Ambakisye Yesu azidi kukutumia apendavyo
AMEEEN
Mungu tu Chunge Ba lozi ba Chawi ba na Pita ba na Tess kiss I kiaku
Poleni sn kwa msiba mzito mlioupata. Mungu mfariji awe faraja yenu watu wa Mungu
Mbarikiwe watumishi wa Mungu kutoka Moravian church
Honestly I'm in love with Song. Mbarikiwe sana
Mungu awabariki kwa wimbo wenye ujumbe wa kutia moyo, mnavutia ata mavazi yenu.
Sana masolo wanguuuuu
Haleluya👍
Hakika.mungu.amesema.ndio👍🙏
Mbarikiwe sanaaaa
namuona anko wangu Lwitiko Mwangaya
Ukiachilia ujumbe mzuri, music arrangement imetulia sana solo na rhysim, piano, bass na drums🔥🔥🔥🙌🙌
Hii nyimbo itaishi moyoni mwangu
Asante Mungu wetu kwa kuendelea kutuwazia mema siku zote
Wimbo mzuri
Mbarikiwe sana Watumishi hongera sana kwa kazi nzuri M/Mungu awakumbuke
Mbarikiwe sana kwa ujumbe huu na Mungu azidi kuwainua
Naipenda hii, Ameen #SingAlong
Ongereni sana nimewapenda
Jaman siomuon yule dada iliekuwa sololist kwenye wimbo wa Effatha mweupe mnene ana mwanya
Ht mm simuon 😭
Namuona Uncle wangu katika ubora wake@Lwitiko Mwangaya
Wimbo mzuri sana. Mbarikiwe watumishi wa Mungu.
Mungu awabariki
PUMZIKA KWA AMANI MTUMISHI FRED MWAMAKULA,umepigana vita,umeilinda imani hatimaye umemaliza mwendo,Mungu baba uliyemtumikia akupokee na akupe makazi mema kwake mbinguni,R.I.P school mate
Nimeipenda sana hii Kwaya, Solo wote babu kubwa ila Dada wa Kwanza ana Golden Voice. Blessing to you Guys.
Amen mpendwa, be blessed
Mtumishi MWAMAKULA ni prodyuza mnyenyekevu sana na kazi zake ni nzuri. Nimependa kuwa kumbe anatumika kwenye uimbaji pia. MUNGU ABARIKI SANA.
Mungu azidi kuwainua watumishi wa NICE GROUP, wanatoa mabasi yao kusupport huduma za Injili kwa gharama nafuu sana.
Daah FRADI 💪💪🙏🙏
Akikukubali Mungu #Rest in Peace Mwalimu Mwamakula ♥️
Nimebarikiwa sana
Nawapenda Sana Mungu awabariki nataman Sana siku moja nije kuimba huo choir
Karibu
Naomba namba ya kiongoz wa kwaya hiii
Inafurahisha sana kuona kwaya sasa zimeanza kufufuka baada ya single artists kutamba huku uhuru pale shangilieni kule uinjilist forest nk nk safi sana...
Mubarikiwe wote mlioshiriki kufanikisha kazi hii, Hakika Mungu amesema kwangu haleluyaaaaaaaaaaaa
Pumzika kwa amani mwamakula
Mooo fireeee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Bwana yesu asifiwe
Safi sana Video iko Vizuri sana Safi sana Director Kazi yako iko Vizuri Safi sana Wanakwaya Vocal ziko Vizuri sana Big up sana Efatha Choir Moravian
Mungu azidi kuwatunza, ujumbe unatia moyo.
nice one
Hongera mwamakula production, mnajitahidi sana kuondokana na mabackground ya studio,mmeachana na ma blue sreen mko so natural ,hongera sana
Dah namkumbuka mwalimu fred mwamakula
Kazi nzuri sanaaaaaaaaa
Mungu awabariki sana.Nikisema mtadhani natania huu wimbo kila saa nikiungalia au kuusikiliza nalia.kwanini nalia nijuu ya upendo wa Yesu anaousisitiza dada wa solo wa kwanza anapoimba kwa hisia kali kwamba Yesu ametupa wokovu bureeeeeeee!!!! rudia kumsikiliza kwa makini na utulivu utafahamu ya kuwa ana hisia kali na angependa uelewe jambo hili kubwa alilolifanya Kristo Yesu Bwana.Waimbaji na masolo wote wameimba kwa namna ya ajabu kuufikisha ujumbe huu wa Baraka kwenye maisha yetu.Lala Salama Mtu Mkuu wa Mungu Mwamakula.Nilianza kuipenda kwaya hii na wewe mlipotoa albam yenu Usalama.Sijaacha kuwapenda na nawaombea sana.Karibuni KKKT Usharika wa Arusha Mjini mtaa wa Mjini kati siku moja Tumwimbie Mungu Pamoja Mbarikiwe
Wimbo mzuri, video nzuri, kila kitu kizuri! Mungu awabariki efatha choir! Mbona mmeshaimba kuwa maadui ni wengi!!!!! Kwa hiyo director usijali kuhusu comment !!!!
Amen
Am blessed with the massage
Nzambe apambola bino
Endelea kupumzika Kwa amani Mwamakula
A good song👏👏👏👏👏👏
RIP mwalimu mwamakula😢😢😢
Ndyooo..
Mungu hasemag uongo...
Ndyoo
Ni ndyooo
Hakika mubarikiwe kwa wimbo mzuri wenye upako ,bila shaka nyie in vijana kati mwanakondoo ameshinda
unaweza ukamshukuru MUNGU for this amazing video of MUNGU akisema ndio hakuna wa kusema hapana ,watumishi wameifanya kweli
Nawakubali balaa nafurahi Sana nyimbo zenu
My best choir of all time
Nunu fijo malafyale songa mbele
Amen, asante kwa ujumbe mzuri... Mungu akisema ndiyo hakuna wa kusema hapana... Hongera sana Efatha, Mungu aendelee kuwabariki
Mungu awabariki kwa wimbo mzuri
Nzuri sana. It's so good to see and hear you and your message. Greatings from Rimbach, may od bless you
Sweet!!
Kweli.mungu.akisema.nenolake.anatimiza
nakuona ccta neema mwasaga mungu abariki kipaji chako
good work
Mungu anatuwazia mema
Kabisa
Love this song thanks my good people
Good