Highlights Shekhan Ibrahim khamis Mchezaji Mpya Wa Yanga , Ufundi, Kasi, Mashuti, Kama Pacome

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 гру 2023
  • shekhan ibrahim khamis skills and goals tazama uwezo wake wakupiga chenga kupiga mashuti kujiamini lakini pia aina ya uchezaji wake unataka kufanana na mchezaji pacome namna anavyo lazimisha kwenda mbele anacheza kama mchezaji alie komaa kabisa lakini ndio kwanza ana umri wa miaka 18 pekee
    #shekhanibrahimkhamis #shekhanibrahimkhamisskills #yanga #usajiliwayanga #michezotanzania
    #lunyamilatv #uchambuzi #michezo #yanga #simba #alikamwe #ahmedally #aziziki #pacome #maxnzengeli #tetesizausajiliyanga #usajilisimba #usajiliwayanga #usajiliwasimba #habarizamichezo
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 43

  • @bonifacejohnstone4483
    @bonifacejohnstone4483 6 місяців тому

    dogo ni bonge la mchezaji hyooo,anajua tena anajua tenaa💚💛💛💚💛💚💛

  • @jofreymachaninga2731
    @jofreymachaninga2731 6 місяців тому +1

    Yupoo vzuriii zanzibar finest

  • @kamgishaisaya4763
    @kamgishaisaya4763 6 місяців тому +1

    Yuko sawa naamini atafanya makubwa

  • @mhandomhina5503
    @mhandomhina5503 6 місяців тому +1

    Huyu dogo akipata kuvumiliwa,kuaminiwa na kucheza mechi za kutosha kama Mzize, hakika huyu ni Rivaldo kabisa pia atafika mbali zaidi baada ya Yanga SC
    amini kwenye hili ...

  • @user-hw9jl2je5f
    @user-hw9jl2je5f 6 місяців тому

    Safi sana anajuwa

  • @ausonjustinian4673
    @ausonjustinian4673 6 місяців тому

    Uzr Yanga mnajua kuchagua vifaa. Letaleta uyo

  • @MomadeMohammed
    @MomadeMohammed 6 місяців тому

    Fundi 🔥🔥🔥🔥

  • @naimasbuguza2395
    @naimasbuguza2395 6 місяців тому +1

    Vuta picha acheze na AUCHO, daddek...

  • @alphoncealmack9240
    @alphoncealmack9240 6 місяців тому

    Yaaa that's true

  • @naimasbuguza2395
    @naimasbuguza2395 6 місяців тому

    Angalia pass accuracy na ball control plus body physique... Utajua huyu dogo anajua

  • @tausikamau5958
    @tausikamau5958 6 місяців тому

    khamis Teisar ako wap

  • @fitinakisamuhagakisamuhaga693
    @fitinakisamuhagakisamuhaga693 6 місяців тому

    Makolo watakufa kwa wivu mchezaji nimzuri japo clip hizo siyo zinazocheza

  • @JeftaLukasi-bo4wd
    @JeftaLukasi-bo4wd 6 місяців тому

    Anacheza kama azizi k

  • @TausiAbudalah-rv7bo
    @TausiAbudalah-rv7bo 6 місяців тому

    Huyo anapenda udambwi udambwi kama skudu hakuna kitu hapo

  • @habisnasalum-nz4zo
    @habisnasalum-nz4zo 6 місяців тому

    Hamna kitu hapo

  • @mohammedhimba1647
    @mohammedhimba1647 6 місяців тому

    Shekhan ni Rivaldo mtupu

  • @isdorchuvu6280
    @isdorchuvu6280 6 місяців тому

    Uyu ni kama tepsi evansi tu .

  • @user-gk5fe6nn8t
    @user-gk5fe6nn8t 6 місяців тому +1

    Bado sana

  • @IslahiMohamed-qi2jf
    @IslahiMohamed-qi2jf 6 місяців тому

    Kama ndo uyo yuko vzur

  • @habisnasalum-nz4zo
    @habisnasalum-nz4zo 6 місяців тому

    Kama kina shua kibwana nkane faridi wanakufa viwango pale yanga uyo anaukubwa gani

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 6 місяців тому

    Mbao Ndefu zinamhusu

  • @AzizaHussein-wq8ql
    @AzizaHussein-wq8ql 6 місяців тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Yaaan Yanga SC laha iliojee haishikik duh taaaamu niaminin Mimi watu wangu

  • @BenMahende
    @BenMahende 6 місяців тому

    Huyu bado sana, sema tu Kwa yanga watamkuza na ataonekana baada ya miaka miwili au mitatu kabisa.

  • @exavery3082
    @exavery3082 6 місяців тому

    Apo wamezingua

  • @Filamumaridhawa
    @Filamumaridhawa 6 місяців тому

    Wenda mua kiwango tu

  • @bethmahela2182
    @bethmahela2182 6 місяців тому

    Shida yanga ni washambuliaji sio viungo,viungo wapo wengi yanga,sijui lkn viongozi wamewaza nini?

  • @user-yh6nz6ri2m
    @user-yh6nz6ri2m 6 місяців тому

    Wewe unataka achezaje?

  • @jeremiahrenatus2875
    @jeremiahrenatus2875 6 місяців тому

    Tatizo mnalete habari za siku nyingi

    • @tonnymusic9396
      @tonnymusic9396 6 місяців тому

      Hii Habari Ya Moto Kabisa Huyu Ni Mchezaji Mpya Wa Yanga Alie Sajiliwa Juzi Unasemaje Ni Habari Ya Siku Nyingi 😂😂😂

    • @user-nd4mv5mr8f
      @user-nd4mv5mr8f 6 місяців тому

      Nan kakuamby young wak vizur❤❤❤❤❤ iiiiiiii love young❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    • @AzizaHussein-wq8ql
      @AzizaHussein-wq8ql 6 місяців тому

      ​@@tonnymusic9396 jaman wew kwanini umemcheka mwenzko Ivo japo kua ata Mimi nimecheka ila baada ya kusoma comment yak duu jamaa ajui hapasw kuchekwa namna iyo aide mueleweshe vizur japo anachekeshaa AAA nimeshidwa kujizuia namim 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫

  • @HusseinKoja-ww7gi
    @HusseinKoja-ww7gi 6 місяців тому +5

    Huyu akicheza yanga hato cheza hivi hapo asilimia kubwa kama hawaamini wenzake hivyo anatumia nguvu nyingi kule ni kitimu

  • @pascalyalema6925
    @pascalyalema6925 6 місяців тому +1

    Hakuna kitu,ni mikimbio tu

    • @user-bw6wu1ob1g
      @user-bw6wu1ob1g 6 місяців тому

      😂😂😂 acha wivu

    • @user-nd4mv5mr8f
      @user-nd4mv5mr8f 6 місяців тому

      Weeeeeeeeeeeeeeeeeeee ten ishia hap hamia young wanacheza vizur

    • @user-nd4mv5mr8f
      @user-nd4mv5mr8f 6 місяців тому

      So wivu ukwel sku zote inaumaga

    • @AzizaHussein-wq8ql
      @AzizaHussein-wq8ql 6 місяців тому

      ​@@user-nd4mv5mr8fkama matako kheee ukweli gani unao uzungumzia apo sas😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @naimasbuguza2395
      @naimasbuguza2395 6 місяців тому

      Kwa hyu yanga hawakusudii kupata magoli kutoka mguun kwake, Bali ataisaidia yanga kwenye kuongeza ugumu wa kiungo