siri ya kupika maandazi laini yaliyochanika. pika kwa urahisi kabisa.
Вставка
- Опубліковано 8 січ 2025
- mapishi, mapishi mbalimbali, mapishi ya kiswahili, mapishi ya keki, mapishi rahisi, mapishi ya pilau, mapishi mbalimbali ya vyakula, mapishi ya maandazi, mapishi ya tambi, mapishi ya biriani, mapishi ya chapati, mapishi ya vileja, mapishi ya dagaa, mapishi ya nyama, jinsi ya kupika chapati, jinsi ya kupika vitumbua, jinsi ya kupika kachori, jinsi ya kupika chipsi mayai, jinsi ya kupika katlesi, jinsi ya kupika chocolate cake, jinsi ya kupika keki, jinsi ya kupika chapati laini sana, jinsi ya kupika tambi, jinsi ya kupika maandazi matamu na laini, jinsi ya kupika pilau, jinsi ya kupika biriani, jinsi ya kupika maandazi, jinsi ya kupika sambusa
#mapishiyamaandazilaini #mapishiyadagaa #mapishiyachapatilainizakusukuma #mapishiyamaandazi #mapishiyahalfkeki #mapishiyavitumbuavyamchele #mapishiyakiswahili #mapishiyamaharage #mapishinakhadija #mapishiyamihogo #mapishiyatambi #mapishiyapilau #mapishirahisi #mapishi
#mapishi #chakula #mapishiyakiswahili #maandazi #chakula
Masha Allah
Nmekuelewa vizuri sana, asanteeee
@@KukuWaMayai karibu sana
Nawashukuru sana kwa maelekezo nimefurahi kipimo cha ngano mlichotumia kuelekeza ndo nimekiandaa
@@devothabahati6548 vipi matokeo yake?
Haya sio maandazi tafadhari hizo ni half cake 😎😵💫
Wewe acha kudanganya watu hayo sio mandazi hizo ni haf keki mamii
Kazi nzuri
@@stephanothebig6940 asante sana kipenzi barikiwa
Mko vzur Kwa mapishi yenu
Napenda mapishi yako
Nashukuru dear nawaandalia vitu nikurudi rasmi msiboeke
Maji baridi au
Vuguvugu
Salam aleiku warahmatulahi wabarakatu nauliza ndugu yangu hii halfcake au maandazi maana ndungu yangu maandazi hayatiwi backing soda yanatuwa kuwekwa hamira. Lakini congratulations nitajaribu
Salama ndugu mi naweka baking soda kulainisha na kupata hiyo njano. Jaribu uone utaniambia. Karibu tena dear🥰
@@linetshavu niunge kwenye group
@@magdalenakasubi njoo watsap 0625650326
@@linetshavumaadazimazuri
Wow yummy
Yani ukweli ni kwamba mnajuwa kupika maandazi jamani hongereni sana
Asanten jaman MB zangu hazijaenda bule
@@JoyceMsambili karibu tena dear wangu
@@linetshavu asante sana
Hongera mamy
Asante sana
❤❤❤❤
Salam wewe mtu wa wapi maana hamila au hamira kiswahili chako kinapoteza watu siweki coment wala ciment hayo sio mandazi ni halfcake
Jmn waungwana kunakuwaga na mandazi afake tena yanakuwaga matamu atar
Tunaomba uweke na mawasiliano.unga kiasi gani mpendwa
Sawa dia fuatilia video zingine nitaweka mawasiliano
Unga kg mbili dear
0625650326
Samahan nikitumia nus kilo tafadhar vipimo vinakuwaje
@@ChristinaSweetbert-g9n vikate mara nne ya hivyo nilivyotumia
Maji ni ya vuguvugu au yabaridi
Samahn lkn San ...sasa haya ni mandaz au khafukeki
Bila samahani haya ni maandazi dear🥰
@@linetshavu kenya hzo ni khafukeki....🤣🤣🤣🤣 alf mandz ni yale ya kijaluo...😂😂😂😂😂
@@binthkhamis8042 😁😁😁 tz tuna maandazi ya aina nyingi. Huenda huko hawajazoea yaliyopasuka. Karibu sana. Jaribu kupika utajua si half bali ni full andazi 😋
@@linetshavu ayaa I will try
Haya ni maandazi, halfcake hauweki Amira
Umetumia kilo ngapi ya unga?
Hapo nilitumia kg 2
Unachanganya nini na nini mumy
Katika kitaja viambata hutaji hamira nimeona unaichanganya...nieleze tafadhali
Niliweka vizibo vitatu vya soda
Kili moja ya unga unaweka kiasi gani cha amira na chapa mandash
@@AstridaKajema hiyo ni kg 2 weka nusu yake
Unachanganya nini na nini mumy???
Ngano, sukari, hamira, baking soda na mafuta na maji
Unga kiasi Gani?
@@gladysmsele4291 mi nilitumia kg 2
Maji ni ya baridi
Tumia ya uvuguvugu
Eti natumia maji ya baridi?
Tumia ya uvuguvugu
Tumia ya uvuguvugu
Nauliza maji ni ya moto au ya baridi ya kukandia?
Vuguvugu
Simba chafu Ni nn
Baking soda
@@linetshavu ok
Hizo ni halfcake sio maadazi
Hata mm naona Ni halfcakes
@@LillianNyaboke-kg3ee ni halfcake hizo hakutofautisha vizuri ila muhimu ziko vizuri
Baking soda inasaidia nn kwenye mandazi
Inalainisha na kuleta njano ya kuvutia
unga ni kiasi gani?
Kg 2
Jamani misina familia napika unga nusu nachanganyaje ivyovijikovijiko vyaviungo plizi
@@sesilialaga5403 kwa unga nusu sukari robo igawe mara nne, amira weka kisoda kisijae, mandashi na simba weka vijiko vile vidogo kabisa tena usivijaze. Maji tumia kikombe kidogo cha robo.
Maji ni moto ama
Vuguvugu
Mafuta ya kukandia unaweka kiasi gani
Robo ya kikombe cha robo usiweke mengi maandazi yatakinai
Vipi kuhusu maji na mafuta yanakua yabaridi au yavugu vugu
Mafuta kama umaengalia ni ya moto ila si sana maji ya uvuguvugu
❤❤❤❤