MWANAMKE MWENYE UMRI MKUBWA ZAIDI DUNIANI APATIKANA ARUSHA| MAISHA YAKE |MIAKA 121 |UTASHANGAA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 січ 2023
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 152

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 Рік тому +19

    Mashallah tabaraka llah 🥰 hongereniiiiiii Kwa kazi nzuri sana ya kumlea bibi 🙌🤣 wenye wamependa hiyi interview wagonge like 👇😅 🥰❤️👌

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 Рік тому +23

    Hongereni wanafamilia kwa kumtunza bibi kwa kiwango cha juu sana. Mungu awabariki nanyi mpate kuishi maisha marefu. Hongera bibi

    • @adolfinaandrea5234
      @adolfinaandrea5234 Рік тому +1

      Hongereni Jamani nawaombea Kwa Mungu awajalie maisha marefu sana ukoo Wenu na Bibi yetu.Mbarikiwe sana ,Niko hapa Italia nawafuatilia.mimi ni mzawa Wa Tanzania

    • @devothatemu7374
      @devothatemu7374 Рік тому

      Hongera bibi.mungu akutuze zaidi

  • @shamzone388
    @shamzone388 Рік тому +7

    Mash allah bibi mzuri kwa sura ...yupo vizur sana
    Na faham zake zipo vizur sana

  • @rebeccasechuma4746
    @rebeccasechuma4746 Рік тому +8

    jamani sijabahatika kuwaona bibi zangu nimempenda bibi hongereni sana kwa neema kubwa mliyopewa mungu amtunze

  • @nahanakadiri3969
    @nahanakadiri3969 Рік тому +7

    Jamn Bibi anamjua magufuli alikua akionyeshwa dunia yote alipokufa na Rais mwngne Nyerere ndio anaowajua mama Samia hamjui Wala hajamckia,inabd Mama Samia awatembelee uko king'ori! hongera Bibi MUNGU azidi kukuongezea miaka mingine mingi ukiwa na nguvu na afya tele!nimependa xanaa Bibi na wajukuu mzidi kubarikiwa aswa uyo Halima anabaraka nyingi asee

    • @glorymsopa4221
      @glorymsopa4221 Рік тому

      Mama samia hajafanya kitu ndio mana hamjui

  • @deusdedit789
    @deusdedit789 Рік тому

    Bibi ana hekima jamaaaan❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤eee MUNGU tupe umri mrefu na sisi tukaone uzee wetu

  • @essykenya970
    @essykenya970 Рік тому +2

    120yrs nako very strong kuliko wati wa 90yrs she is so beautiful so wonderful may God bless those taking care of her so challenging I miss my grandma atupe siri yakuishi long thanks to God 🙏🏽

  • @arafaoman9504
    @arafaoman9504 Рік тому

    mashaallah bibi jaman umenikumbusha bibi angu ukimuuliza miaka yake anasema we mtoto wataka niuliwe akisikia mzee kafa halili ila anaroho mzuri San penda mungu amuweke tunamchoka na tunacheka ila ukimuuz matusi utakula

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 Рік тому +7

    Hongereni kwa kumlea bibi kwa upendo mkubwa sana

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 Рік тому +1

    Duuh. Ukweli bibi alikua mrembo sana. Ila pia very bright ukweli. Kipenzi cha uzazi wake, Tukifuata amri kuu tutapata mema ya nchi. Beloved grandma jmn. Nimempenda sana. Mungu amtunze haloo sana

  • @happinessmwenda2773
    @happinessmwenda2773 Рік тому

    Maisha marefu ni baraka kama zilivyo baraka nyingine.Hivyo utaishi siku tu Mungu alizokupangia tu.Tumshukuru Mungu ktk kila jambo

  • @mikambise6861
    @mikambise6861 Рік тому

    Mungu mzidishie umri mrefu zaidi hizo ndizo zile baraka za kuona wajukuu vitukuu Hadi vilembwe

  • @Daphne362
    @Daphne362 Рік тому +2

    Nakuimba Pia MashaAllah🤲🏽🤲🏽♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🎉🎉🎉🎉🎉

  • @jolemerci2155
    @jolemerci2155 Рік тому +1

    Bibi angali n'a ufaamu wote mungu nami ni rehemu niishi myaka hiyi nafurahi sana

  • @elizabethbwakila3982
    @elizabethbwakila3982 Рік тому +5

    Huyu bibi alikuwa nzuri sana. Hapo alipo tu lkn Bado mzurii.

  • @patrisami8405
    @patrisami8405 Рік тому +5

    Mungu ampe maisha marefu

  • @sebastiankatalle2732
    @sebastiankatalle2732 Рік тому +7

    Hawa walikula natural food pindi hicho.saivi kutoboa miaka nyingi ni ngumu vyakula vya chipsi kuku

  • @bas2823
    @bas2823 Рік тому +3

    GREAT👌💖LOVE U GRANNY) GRANMA OF ALL😄😆😁👏

  • @lilianmoyo316
    @lilianmoyo316 Рік тому +2

    Hongera sana kwa familia nimempenda bibi ajibu vizuri sana mungu aendelee kumlinda

  • @rosinayrmoshy5396
    @rosinayrmoshy5396 Рік тому

    Miaka 120 yuko mzuri namna hii. Alipokuwa binti c alikuwa moto?? Ndio maana mkuu alikimbilia aisee. Mashallah Mungu aendelee kumtunza na hao wanaomlea Mungu awabariki sana. Kumbukumbu bado ziko vizuri sababu ya matunzo mazuri coz stress pia hupoteza memory hata kwa vijana. Big up family

  • @ameirdarueshi2593
    @ameirdarueshi2593 Рік тому +2

    Tatizo vyakula mtu wangu saivi ukitobowa 40 mshukuru Allah saivi chakula hakina mafuta si kitamu tumejaa magonjwa kitambi gesi sukari moyo kwasababu ya mapenzi na tamaa wanaumme hawana msimamo wannawake hawana kazi kweli kweli

  • @rosemaryjuliyo
    @rosemaryjuliyo Рік тому

    Mw Mungu awajalie heri ya miaka mingi dunia wazaz wangu walez wangu ndugu jamaa na marafiki Amiina . Hadi raha jamn

  • @habibaally2943
    @habibaally2943 Рік тому +1

    Mashaallah

  • @rizikimtei1635
    @rizikimtei1635 Рік тому

    Bibi hongera sana .nakuombea misa .Mungu akupe afya njema

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 Рік тому +4

    Mashaallah mungu kwema lakini na famila yake kwa kumtumza bibi .

  • @bettyking7794
    @bettyking7794 Рік тому

    Bibi yuko vizuri kabisa,yuko na nguvu ijspokua umri umesonga sana lakini anajielewa sana, naomba MUNGU anipe maisha marefu kama yeye

  • @peterkariuki9073
    @peterkariuki9073 Рік тому

    Wanaomuita bibi washa itwa bibi na babu kitambo. Kwa kweli amebarikiwa sana. Mungu atukuzwe sana! Kwa hivyo aliolewa na miaka 30 if the first born was born in 1932? Huenda ikawa!

  • @ellenmbota1241
    @ellenmbota1241 Рік тому

    Hongela sana bb Mungu akujaliye uingiye miaka 121 hongela sana bb Amen 🙏🙏🙏 💕💕💕

  • @judyjudy3513
    @judyjudy3513 Рік тому

    Hongera sanaa bibi mungu azidi kukutangulia akupe maisha mazuri wakutunze vizur hadi raha tuhombe he na sisi

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 Рік тому

    Allah amzidishie umri,na mama yangu Allah ampe umri mrefu wenyekheri

  • @sabinashabani1165
    @sabinashabani1165 Рік тому +1

    Hongera sana na mungu azidi kutunza bibi

  • @Daphne362
    @Daphne362 Рік тому

    Kwa hivio siri mtori mimi kuanzia leo mtori ba mimi mimi na mtoro❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ahsante Kwa hii Siri ...120 na yuko mrembo hatarii ebu watuonyeshe picha zake akiwa binti ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️

  • @veronicandakaba4639
    @veronicandakaba4639 Рік тому

    Mungu awatangulie sana

  • @joycemathew7401
    @joycemathew7401 Рік тому

    Hongera bibi mungu akitunze

  • @womanofsteel1402
    @womanofsteel1402 Рік тому

    Muandishi unamchsha Bibi jaman nakurudirudia maswali, anyway Bibi umebarikiwa sana Mwenyezi Mungu amekubariki sana Amekupa umri,Amekupa uzao ukaona wajukuu ,vitukuu ,virembwe n.kakakupa ufahamu Pamoja na umri huo mkubwa bado uko smart Mshukuru sana Mungu 🙏

  • @mariyammariyam7209
    @mariyammariyam7209 Рік тому

    Mungu. Akupe. Umri. Mrefu. Bibi

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 Рік тому +5

    Bibi mnamuona mpaka Sasa ni mrembo Anawaka je Alipokuwa mschana Alikuwaje

  • @lovenessaron2669
    @lovenessaron2669 Рік тому

    Waooooh 😍❤️

  • @shamilamohamedi1469
    @shamilamohamedi1469 Рік тому

    Bibi yetu hongera sana mungu azidi kukuweka bado tunnakupenda tunakuhitaji

  • @veronicandakaba4639
    @veronicandakaba4639 Рік тому

    Hongera bb napia wanafamilia hiyo hongereni san

  • @mariamalongo8803
    @mariamalongo8803 Рік тому

    Hongera familia kwa kumwangalia bibi mwenyezi mungu amlinde

  • @user-xk6ub1os9u
    @user-xk6ub1os9u Рік тому

    Up❤❤

  • @asinatimpendwa3702
    @asinatimpendwa3702 Рік тому

    Roho nzuri aliyonayo ndio imemfanya Mungu amubariki kuishi miaka 120 na akiwa bado na akili timamu, wengine miaka 70 tu akili umeshaanza kusahau.

  • @prettymasha2430
    @prettymasha2430 Рік тому +1

    Kamjua Magufuli 😢😢

  • @NyotaBalolane.
    @NyotaBalolane. Рік тому

    Bibi ana nichekesha aseme sikuizi simunatumiya madawa kieeeeeee cheko Sana mungu awenawe siku zote bibi

  • @mandjamandjiloranu3880
    @mandjamandjiloranu3880 Рік тому

    Safi sana hapa Kongo Kuna patikana mzee anayo 144kongo

  • @aishatarimotarimo2689
    @aishatarimotarimo2689 Рік тому

    Mashaallah Allah aendelee kkukuweka bibii

  • @verenikapallanjyo41
    @verenikapallanjyo41 Рік тому

    Hongera Bibi yangu wa kingori

  • @manasa2449
    @manasa2449 Рік тому +1

    Masha allah bibi bado anakumbukumbu

  • @abdallahmmary8591
    @abdallahmmary8591 Рік тому +1

    Inakisiwa kuwa kula ndizi nimoja ya kuishi maisha marefu an sna ujuzi sans ila Kwa hapa Tanzania inakadiriwa Mkoa WA Kilimanjaro Arusha Ziwa magharibi na Mbeya, Asia ni Cambodia nk

  • @neemamassawe8091
    @neemamassawe8091 Рік тому

    Mungu akutunze bibi🙏

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 Рік тому

    Maashalla maashalla mzuri sana

  • @robertmartin5501
    @robertmartin5501 Рік тому

    💪💪💪💪💪💪💪👍👍

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 Рік тому +19

    Nimempenda bibi, ana kumbukumbu sana kulingana na umri wake, ni mzuri na anaonekana alikua mrembo hasa na ana upendo 🥰🥰🥰

    • @judyjudy3513
      @judyjudy3513 Рік тому

      Humeonae hadi raha mungu amtangulie

    • @devothatemu7374
      @devothatemu7374 Рік тому

      Jamani.nani kwenye familia hiyo atafikia hivyo.mungu akutunze bibi.

  • @neemamwita9733
    @neemamwita9733 Рік тому +3

    Mimi mama yake na bibi yangu mpaka leo yupo anamiaka 132 sasa

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 Рік тому +3

    Alhamdulillah mungu ampe Umri Mrefu Amiiin 🤲

    • @ukhtyrayyan7884
      @ukhtyrayyan7884 Рік тому +4

      Hapo alipo apewe umri mrefu tena sema apew6e mwisho mwema nahuko anakokwenda

    • @halimahalima1488
      @halimahalima1488 Рік тому

      @@ukhtyrayyan7884 amiiiin

  • @hanifaalbalushi2483
    @hanifaalbalushi2483 Рік тому

    Bibi nimrembo na ni mstaarabu sana ni dhahabu wallahi

  • @madamloveness7274
    @madamloveness7274 Рік тому +2

    Watanzania wengi sana Wana umri mkubwa Ila wazungu hawapendi kusema waafrica kwa uzuri

  • @maryammdoe5801
    @maryammdoe5801 Рік тому +4

    MashaAllah ❤ halafu bb bado anaufahamu, Allah aimarishe afya yake

  • @nooor1120
    @nooor1120 Рік тому

    Mrembo mpka leo bibi maa shaa Allah

  • @evaakyoo3009
    @evaakyoo3009 Рік тому

    Kuninchiwe mbora bibi🥰

  • @mwanakonyaume3611
    @mwanakonyaume3611 Рік тому

    MashaAllah tena kumbu kumbu pia anazo

  • @senseiamani4684
    @senseiamani4684 Рік тому

    Hongera saana kwakufika salama umri huo bibi so hata Mimi bibi angu alikufa mwaka Jana akiwa na umri wa miaka 130

  • @mcmabawaclassicevents.
    @mcmabawaclassicevents. 2 місяці тому

    Hatimaye Leo tumeagana na Bibi yetu😢

  • @ednanambua6171
    @ednanambua6171 Рік тому

    Wapo zaidi ya 120 nje ya Tanzania

  • @stanleymhozi7590
    @stanleymhozi7590 Рік тому

    Nampenda sana bibi stori zake kama mtoto jamani

  • @antoniamkilindi7744
    @antoniamkilindi7744 Рік тому

    Hakika nimempenda bibi jamani ❤❤❤❤

  • @tegemeakyangenyenka6111
    @tegemeakyangenyenka6111 Рік тому

    Mungu azidi kukupa kumbukumbu bibi,Mungu mkubwa

  • @sashahauke2032
    @sashahauke2032 Рік тому +3

    Sema nini hii familia wazuri wa sura kwakweli alafu wanampenda sana huyu mama yao 🥰

    • @mcback4384
      @mcback4384 Рік тому

      Hao ni wajukuu sio watoto wake

  • @richardmagaka9525
    @richardmagaka9525 Рік тому

    Duh huku ndo kule kushika vema amri ya nne eti waheshimu baba na mama ....ili upate miaka mingi na heri duniani afu bibi alikuwa kifaa kwelikweli mbona hadi leo anaonekana mrembo licha ya umri mrefu

  • @sofiyabakari9730
    @sofiyabakari9730 Рік тому

    Ezi zake alikuwa mzuri sana

  • @ains1122
    @ains1122 Рік тому

    Maendeleo ya hii video iko wapi video nzuri sana

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 Рік тому +3

    we kuna bibiangu ana miaka 137 sema tu huko bushi hakunaga Media na kunawengine wamemzidi bibi hio miaka

  • @deusdedit789
    @deusdedit789 Рік тому

    Naomba tuje kwenye birthday jaman mwandishi tag mtu moja kwenye familia atupe update

  • @mwanakonyaume3611
    @mwanakonyaume3611 Рік тому

    Anaona

  • @dreamonline1997
    @dreamonline1997 Рік тому +1

    Mi mwenyewe bibi nakulaga makande tutakuja kula pamoja 😂

  • @jesusfirstchurch4162
    @jesusfirstchurch4162 Рік тому

    Hongera...ila wako wenye zaidi ya miaka mia vile hawajatangazwa...wilaya ya Rombo wako pia wenye na waliokuwa na umri....baba aliyekuwa anaitwa saronga tarimo wa Mkuu alifariki akiwa na miaka 130 ...mdogo wake wa kike akafariki na 127 na mwingine mdogo wake wa kike alifariki miaka mitatu iliyopita akiwa na miaka 135..na mwenyewe alikuwa anasema hiyo ni michache. Huyu mwanae wa kiume alikataa tusimtoe kwenye mtandao.

  • @catherinesichangi9051
    @catherinesichangi9051 Рік тому

    Mrembo mwenzangu, ulikula Nini, ukaishi miaka mingi hivi, nami niishi kama wewe. mrembo kweli.😂😂😂😂😂😂😂🤭🥂

  • @nooor1120
    @nooor1120 Рік тому

    Mtangazaji wapime watu na ufahamu wao usiende speed sana huyo ni mzee.

  • @anitarafa
    @anitarafa Рік тому

    Kuna kinyanya uku Kenya ako na miaka 126

  • @happynelson1180
    @happynelson1180 Рік тому

    Na yule wa Ufaransa aliyekufa jana mwenye miaka 118 maana alijulikana kama mtu mwenye umri mkubwa duniani nafikiri wapo wengi ila wabongo hawajulikani nje ya bongo

  • @bridgitsirengo7342
    @bridgitsirengo7342 Рік тому

    Mashallah lakini hapa Niko Ako na Miata 130

  • @peterkariuki9073
    @peterkariuki9073 Рік тому

    " Mimi napenda kutumia githeri, ucuru,.."Huyu bibi kwani ni mkikuyu wa Kenya? Infact anaongea kikikuyu! ✍️🙄

  • @safiaothman5175
    @safiaothman5175 Рік тому

    Maa Shaa Allaah.
    Huyo anayemsaidia kujibu ni mjukuu au mtoto wake?

  • @asinatimpendwa3702
    @asinatimpendwa3702 Рік тому

    Mbona huyo mke mwenzie amenuna

  • @BeatusKLeon
    @BeatusKLeon Рік тому

    Kama amezaa mtoto wa mwisho mwaka 1958, yaani miaka takriban 65 iliyopita, ina maana alizaa akiwa na umri wa miaka 55. Maajabu mengine.

  • @ashurakodd1589
    @ashurakodd1589 Рік тому

    Yaani ni mzuri kama bibi yangu na yeye amefariki na Miaka 125 akiwa hahapoteza kumbukhmbu

  • @vaghoghontweki9827
    @vaghoghontweki9827 Рік тому

    Mtangazaji unajitambua kweli ww au basi tu umepewa mike ulishe tumbo,,,,next time ukifanya interview tambua ni mtu wa aina gani unafanya naye na matumizi sahihi ya lugha ili akuelewe pia,,,,''MWENYEZI MUNGU AKUONGEZE UMRI BIBI UISHI ZAIDI YA HAPO''🤲

  • @senseiamani4684
    @senseiamani4684 Рік тому +1

    Wazee wengi zamani hawakusomaga

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 Рік тому +1

    Kamtaja upesi Halima inaonyesha ndio mwepesi wake.

  • @nkulikandusi5282
    @nkulikandusi5282 Рік тому +2

    Bibi bado Mrembo aiseeee

  • @ndohoriomsacky445
    @ndohoriomsacky445 Рік тому

    Bibi yetu tumemzika mwaka Jana alikua anamiaka 107 maeneo ya kisamo old Moshi

  • @verenikapallanjyo41
    @verenikapallanjyo41 Рік тому

    Ndumi iruva awaninge mbora Nini den na masaa Anu akwenjerie

  • @rosinayrmoshy5396
    @rosinayrmoshy5396 Рік тому

    Kweli Magu alikuwa kifaa dah hadi bibi anajua ubabe wake 😄😄

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 Рік тому +1

    KIJANA HUYO ANATEMBEA NA ANASIKIA NA ANAONGEA.

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 Рік тому +1

    Yani mimi sina hata bibi mmoja pande zote 😢😢🙆🏽‍♂️

  • @ashurahaji4794
    @ashurahaji4794 Рік тому

    Hadi raha harafu ukipata watu wa kukutunza inapendeza pia alikuwa mrembo

  • @adiliwasanga4521
    @adiliwasanga4521 Рік тому

    Sema huko ila huku yuko mwenye miaka 135 tena hapa mbeya

  • @aminaabdalla9949
    @aminaabdalla9949 Рік тому

    MashaAllah anaonekana alikuwa mrembosana

  • @kilungahamis1270
    @kilungahamis1270 Рік тому

    Usomi ndio huu unaleta ujuaji wa kufa na miaka 70 umekuwa kikongwe. Hawa ambao hawakusoma wanachukua muda mrefu kwakua akili zao zinakuwa hazina mambo mengi.