TUFANYE KAZI KWA BIDII By AY NYARUGUSU CHOIR Geita-TZ.(Official video vol:4, 2021)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 31 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 55

  • @esthermasatu2386
    @esthermasatu2386 3 роки тому +1

    Nawapenda sana,kila wimbo una ujumbe mnaimba maandiko kabisa,nabarikiwa sana sanaaa

  • @GloryLyimo
    @GloryLyimo 3 роки тому +1

    Nyimbo zenu zinanigusa sana jamani.Nawasalimu hapo Geita! Tukaze mwendo tutafika.

  • @pro.daividjohn1316
    @pro.daividjohn1316 2 роки тому +1

    Can't stop listening to your sweet melodic songs,God bless you so much ❤

  • @maxmillantaylor4995
    @maxmillantaylor4995 3 роки тому +2

    makanisa mengine wajifunze kwa nyarugusu na waache kuimba muziki wa disco kanisani

  • @Neema-tg5xi
    @Neema-tg5xi Рік тому +1

    MUNGU awatangulie Katka huduma yeu

  • @carolmosomi488
    @carolmosomi488 3 роки тому

    dada wa pharmac uko vizur nimeipenda hyooo

  • @samwelgwitaba6454
    @samwelgwitaba6454 3 роки тому +1

    waoooh nice song jaman@tufanye kaz kwa bidii#japo jana nmeusubr kwel kwel mkaona muucheleweshe kwanza duuh akat mlitupromiss ijumaa saa 11 jion,,ila syo mbaya mbarikiwe watumish wa MUNGU nice song kwakwel

  • @Ben-bs6pv
    @Ben-bs6pv 3 роки тому

    Amri ya Mungu yasema hivi:
    Kut. 20:9-11
    Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote; lakini siku ya saba ni Sabato ya BWANA, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote...Maana, kwa siku sita BWANA alifanya mbingu, na nchi, na bahari, na vyote vilivyomo, akastarehe siku ya saba; kwa hiyo BWANA akaibarikia siku ya Sabato akaitakasa.
    Mubarikiwe sana wananyarugusu kwa kazi hii nzuri mnayofanya,🙏🏾

  • @nessy1245
    @nessy1245 3 роки тому

    Jumbe nzuri sana to us young people

  • @joshuaomariba5115
    @joshuaomariba5115 3 роки тому

    Baraka tele Wananyarugusu..Rudi Nakuru KITI tena

  • @goestaffnzioki8208
    @goestaffnzioki8208 3 роки тому +1

    Blessed is a faithful hardworking person. Wonderful song it is.

  • @eliabomiti9016
    @eliabomiti9016 3 роки тому +1

    Amen, your messages are such a blessing. Fanyeni kazi yake kwa bidii

  • @okodeochieng8012
    @okodeochieng8012 3 роки тому

    Baraka tele watumishi wa Mungu.

  • @ngassamalongo3476
    @ngassamalongo3476 3 роки тому

    Mungu awabariki Sana nyarugusu na msonge mbele

  • @musalucas6712
    @musalucas6712 3 роки тому

    Nyiee ni noumaaaaaa sanaa naomba kuwaarika makambi

  • @dannydc1259
    @dannydc1259 3 роки тому

    Mbarikiwe na Bwana Nyarugusu

  • @DanielThomas-mn6sd
    @DanielThomas-mn6sd 3 роки тому

    Asante sana Mungu awabariki sana kwa ujumbe wanu

  • @callenabugah
    @callenabugah 3 роки тому

    My guys! Mungu awatie nguvu na awazidishie. Kazi nzuri sana!

  • @mrmusic6309
    @mrmusic6309 3 роки тому +5

    Me: Nimechoka na hizi kazii
    Nyarugusu:Fanya kazi kwa bidii Mungu sio mvivu😁
    Me:Asee kwelii ngoja niongeze muda wa kazii
    Nyarugusu:Usisahau siku ya saba Pumzika🔨.
    Aloh Mbarikiwe nyarugusu 😁

  • @emmanueltangale2587
    @emmanueltangale2587 3 роки тому

    Mbarikiwe Sana Vijana makini

  • @staceyouma6541
    @staceyouma6541 3 роки тому

    nice song from migori kenya

  • @macmillavenessa1408
    @macmillavenessa1408 3 роки тому +1

    Wow...I feel like liking this a thousand times such a wonderful song,..we all should work hard thanks for the reminder

  • @daud8785
    @daud8785 3 роки тому

    Amina, MUNGU awabariki Sana.

  • @cbsmedia33
    @cbsmedia33 3 роки тому

    Safi sana

  • @maxmillantaylor4995
    @maxmillantaylor4995 3 роки тому

    God bless you for you are the leading example

  • @cyrusoguku7468
    @cyrusoguku7468 3 роки тому

    Waao waao. Wimbo mtamu

  • @mosesoduma838
    @mosesoduma838 3 роки тому

    I love you keep it up Nyarugusu 🎼🎶👏

  • @kafwembajr.8785
    @kafwembajr.8785 3 роки тому

    Mbarikiwe sana .

  • @MEDIA-sq9mx
    @MEDIA-sq9mx 3 роки тому +1

    I love you guys. When are you going to visit the USA?

  • @bonemzuma7678
    @bonemzuma7678 3 роки тому

    Wow nawapenda sanaa😍😍😍

  • @kaguripenina63
    @kaguripenina63 3 роки тому

    Barikiwa sana

  • @paulinemuugu8773
    @paulinemuugu8773 3 роки тому

    Wow always love your songs..

  • @willymosses1612
    @willymosses1612 3 роки тому

    Kazi kwa nguvu na akili

  • @samsonplatson2136
    @samsonplatson2136 3 роки тому

    best like always 🎶 God bless you

  • @briandeco4722
    @briandeco4722 3 роки тому

    my all time favorite😍😍

  • @megastudio9166
    @megastudio9166 3 роки тому

    wimbo makini sana

  • @officialjanethmathias
    @officialjanethmathias 3 роки тому

    Be blessed AY NYARUGUSU CHOIR

  • @ascarkerubo.9398
    @ascarkerubo.9398 3 роки тому

    Amina

  • @mogakakevin3173
    @mogakakevin3173 3 роки тому

    Amen and be blessed

  • @neemaemanueli8555
    @neemaemanueli8555 3 роки тому

    Ameen

  • @sengalianbarakabaraka2496
    @sengalianbarakabaraka2496 3 роки тому

    Be blessed

  • @ernestgundo9920
    @ernestgundo9920 3 роки тому

    Amen.

  • @rehemaisaack1728
    @rehemaisaack1728 3 роки тому

    amen

  • @lutemahindiakaje5046
    @lutemahindiakaje5046 3 роки тому

    AMEN

  • @johnsonjuliusmassaka5519
    @johnsonjuliusmassaka5519 3 роки тому

    🙏🙏

  • @phinawatwego7260
    @phinawatwego7260 3 роки тому

    Barikiwa sana

  • @EllenJoshua-c1n
    @EllenJoshua-c1n 3 місяці тому

    Amen

  • @Anielmax
    @Anielmax 3 роки тому

    Amina