Huu wimbo umenipa funzo la kubadirika maana hii tabia kwangu ilikuwepo sana tu 😢ila naahid kubadilika kupitia hili funzo Bwana awabariki sana nawapenda kutokea 🇹🇿
Barikiwa sana kwa kazi njema......Natumai siri ya Choir kuimba vile sababu ni kujikita kwa maandiko.....jameni si Mungu awabariki tu,napendezwa na nyimbo zenu ambazo hazina midundo,mnazungumza maneno dhahiri yaani ya kusikika kabisa pia na mavazi ya kusitiri.....Ombi langu muendelee tu hivyo kabisa hadi Yesu arudi mara ya pili.
this message has come to me and my family at the time .......nyarugusu Mungu awapatie nguvu na maarifa kila mtafakaripo Neno ....na atie nyimbo nzuri kama Hizi Kila mnapomwita 🙏🙏
Aahh ujumbe wenye hadhi yake shukrani kwa Mungu aliyemvuvia mtunzi Mungu azidi kumuinua na kumbariko.. Ujumbe umepangiliwa unajieleza hauhitaj maelezo ya ziada... I'll share the song 4 the whole week via my whatsapp status congrats Nyarugusu...!
I love this song God bless you continue to work ❤❤❤❤😢
Huu wimbo umenipa funzo la kubadirika maana hii tabia kwangu ilikuwepo sana tu 😢ila naahid kubadilika kupitia hili funzo Bwana awabariki sana nawapenda kutokea 🇹🇿
NIAMININI MIMI,,,,,,,,,,HUU WIMBOO ZA ZAIDI YA WIMBO...MBARIKIWE
sauti tamu.natumai kuwaona mkiimba mbinguni mkiwa na miili isiyokufa.hakika msirudi nyuma💪🙏👏
Kama wafu wako Mbinguni, Yesu anamrudia nani?, Je kuhusu ufufuo atafufuliwa nani sasa wakati wako mbinguni, Ujumbe Makini wimbo Makini.
Kweli kabisa alie kufa hana uwezo wa kusikia wala kuhisi chochote
mtabaki kuwa juu,Mavazi nadhifu,uimbaji nadhifu,sauti nadhifu Mbarikiwe @Nyarugusu
MUNGU awabariki sana kwa nyimbo zenu zenye jumbe nzito #wafuwakowapi???
Yaan nyarugusu ay nawapenda huu wimbo hauchoshi jamaan mnanibariki saana zabron ubarikiwe ww nakwaya hii nzuriii😍😍😍
Nyarugusu choir barikiweni sana hakika ninyi niwasabato kwelikweli
Amen mungu awabariki sana kwa wimbo mzuri mbarikiwe sana
Nabarikiwa Sana na nyimbo zenu mungu awape uhai muendlee kumtukuza kwa njia ya uimbaj ❤❤❤❤❤❤
Composition ya hii nyimbo ni unique kali sana
Mbarikiwe sana vijana kwa wimbo wenye Ujumbe mzuri Sana wa kibiblia..
Soma hapa katika Biblia "“Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu;”
- Ebr 9:27 (SUV)
Good music Nyarugusu I love you keep it up🎼🎶
wow!!!! it's so great. love you too, you sing so nice with wonderful voices.
jamani nina barikiwa na wimbo huu sana unanifanya nipate tumaini na kumtegemea mungu hasa sauti ya tatu imeturia
Muendeeeeeeeeeeee mnaimba siosiri tulikuwa tunajua ni ambassador from rwandaaa kumbe tz tumooo aminaaa aiveee kutoka mbeya kati sda nawapenda sanaaa
this is docrinal promoting song
l choose to listen and download it and inlude it in my media
be blessed
It promotes the doctrine o the STATE OF THE DEAD
Naipenda sana hii kwaya mungu awabariki sana
Barikiwa sana kwa kazi njema......Natumai siri ya Choir kuimba vile sababu ni kujikita kwa maandiko.....jameni si Mungu awabariki tu,napendezwa na nyimbo zenu ambazo hazina midundo,mnazungumza maneno dhahiri yaani ya kusikika kabisa pia na mavazi ya kusitiri.....Ombi langu muendelee tu hivyo kabisa hadi Yesu arudi mara ya pili.
Yaani hii kwaya inanibariki Sana,maana kwaya zingine midundo imetawala.
Please release the other songs of this Album.🙏🙏
And God keep blessing you AY.
If this is how Heaven tastes I must be in attendance 💕💕💕
Mungu atukuzwe mile na mile mana bila yeye hakuna mtu mwenyewe anaweza kutoka sauti
Jaamaaan daaaaah basiii tu ilaaa 💖💕💖💕💕😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😍😍😍
mwalimu tu mlipata aisee wimbo makini sana solo wapya hadi raha mbarikiwe
Nawapenda saaaaaaanaaaaaa, pokeeeeni Moyo wangu uliojaa upendo wa Kristo Yesu.🙏🙏❤️😁🌹🌹
Asanteni sana nyimbo zenu tamu mungu awabariki
Ninabarikiwa sana na nyimbo zenu nzuri.may God bless you abundantly
Mwenyezi Mungu awabariki sana kwa fundisho hili juu ya Hali Ya wafu
The blessed message.spiritualism is not real.
Good job
Barikiwa watumishi nawakubari sana sana
Nyimbo zenu ni zenye mafunzo na mmebarikiwa na sauti tamu mungu awabariki
thanks i like it from kenya migori
this message has come to me and my family at the time .......nyarugusu Mungu awapatie nguvu na maarifa kila mtafakaripo Neno ....na atie nyimbo nzuri kama Hizi Kila mnapomwita 🙏🙏
Sweet voices indeed.....may the good God always be with all the Nyarugusu AY fraternity
Nice song for real
This choir will cause me to learn Swahili to listen well all the songs
MUNGU awabariki Sana..
ninajua bwana atarudi kutuchukua wote wariopo tayari mungu awabariki one day yes if god wish
💕💕💕🇹🇿🙏🏿 powerful truth💪🏻🤛 three Angels message to the world
asante sana kwa wimbo huu
unique voices that have come my best tolisten to... God bless nyarugusu
Hakika Mungu awabariki Sana, wimbo una ujumbe mzuri mno.
Nabarikiwa🙏
Nice song listening from Mombasa Kenya
I'm here brother too..let's stay blessed
@@samuelongera1791 yeah
Aaameen amen.....I am So bressed with this nicely song brethren
Wimbo mzuri sana Mungu aendelee kuwabariki
Nyimbo inanibariki san mbarikiwe San make ni moja la fundisho
Good composition... Good message and content.. daktari Mungu azidi kuwasaidia
Amen barikiwa sana wapendwa katika bwana
Mbarikiwe sasa sana Mungu azidi kuwatumia kadri apendavyo
Amina na Amina .BWANA MUNGU awabariki sana.
Bwana azidi kuwahekimisha vijana wa sda nyarugusu
Amen, hamnaga kazi mbovu 😊🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Mbarikiwe sana watu wa mung msonge mbele sana
By maicko kanja
I simply like vile nyinyi huimba. Congratulations
Balikiwa sana mungu aibaliki kazi yenu amen
Bizuli baimbaji nabapenda Sana from Rwanda
Thoughtful song 🎧
Nice song
Love you from rwanda
mbarikiwe sana mpo vizuri
Mungu awabariki Sana.
Mungu awabariki sana nyimbo zenu zinanibariki sana Mungu awatie nguvu
Great job!!! Beautiful massage.......mbarikiwe sana AY Nyarugusu
Bwana awazaje roho wake
My all time favorite
Nawapenda buree🥰🥰
Ujumbe mkubwa sana!!! Mubarikiweee sanaaaa
Nawapenda sana jamn mungu awabarki
Good song keep it up with that highly teaching message about the death
Mungu awabariki sana
Na barkiwa xana na nyimbo zenu kutoka Kenya
I can't cease to get blessed with The Truthfulness and voices embedded therein.
Stay blessed Bros and Sisters
Aahh ujumbe wenye hadhi yake shukrani kwa Mungu aliyemvuvia mtunzi Mungu azidi kumuinua na kumbariko..
Ujumbe umepangiliwa unajieleza hauhitaj maelezo ya ziada... I'll share the song 4 the whole week via my whatsapp status congrats Nyarugusu...!
May God continue using you guys...you always make a bonnd btn God and me.. thanks very much
Great message ever,,,, stay blessed my fav#nyarugusu ay choir,,,,,,
thanks
Ewaaaaaaaa, mnanibariki Sana tena sana, Mungu wa Mbinguni awape nguvu katika kuifanya kazi yake Amina 🙏🏽
Have been blessed with this song I wish to join the choir
Wimbo mzur sanaa jman
Hongereni this song is amazing for sure! Asanteni
Y
The
Mung awabariki sana jaman
daima na daima natamani kusikia wimbo huu
Amen nyarugusu
..'' Mbarikiwe jmn nawapenda sanaaa
Amen barikiwa 💞💞
What a great song, Beautiful voices, wonderful people,,,,, love you guys
Looking for one from here
We love you...keep blessed
Amina Amina
Great message for such a time as this...*.the state of the dead* very crucial for people to know. Multitudes don't the truth on this.
Nice🙏
You always bless me you guys
Nawapenda sana!!
My all time best choir,
Nabarikiwa mno
Nice song ,Glory be to God,listening from southafrica
Mnanibariki sanaa nyarugusu mungu awabariki mfikeee mbalii nawapendaa sanaa
Mungu awabariki
Glory be to God
What a present truth, God bless your ministry
Nice Nice Nice... Nice message with thrilling melody and harmony. Keep up nyie watu
My favorite choir I love u nyarugusu