I have come here today, During the ongoing Palestine war and I realize the truth of this. Some in their countries have never known peace and they run day or night
Hongereni sana wimbo huu niliungoja sana toka mahubiri ya Mwanza......hatimaye leo mmeuleta Ahsante sana Bwana awabariki mzidi kumtumikia milele mpaka arudipo.
I have come here today, During the ongoing Palestine war and I realize the truth of this. Some in their countries have never known peace and they run day or night
Timiza ahadi yako Baba wa mbinguni. Machozi! Machozi!!
how I wish this will be my family yaani nyinyi nyarugusu Kama kwaya .....Mungu ayaandike majina yenu katika kitabu Cha uzima🙏🙏🙏🙏
Much love nyarugusu
Amina na Amina, Bwana Mungu awabariki. Mungu mwema sana ahadi zake ni za kweli.
Mungu awabariki Nyarugusu sda
Nyinyi vijana hamjawai kuniangusha, Mungu awabariki mmeutendea haki huu wimbo.
Amen. Bwana atafuta machozi yetu. Bwana atupaye kushinda na atushindishe ili tuione ahadi hii ikitimilika
Amina. Kwa kweli atafuta machozi yetu. Mbarikiwe sana Nyarugusu AY
Hongereni sana wimbo huu niliungoja sana toka mahubiri ya Mwanza......hatimaye leo mmeuleta
Ahsante sana Bwana awabariki mzidi kumtumikia milele mpaka arudipo.
Ila nawaomba ule wimbo wa ATAPE mliouimba kule simiyu hata kupitia email...b7delima@gmail.com
atatimiza ahadi yake kwetu...so inspirational
Mbarikiwe saana
Mbarikiwe Sana watumishi wake Mungu
Msonge mbeleeee
Be blessed wapendwa
Mungu awabiriki sana
Barikiwa watumishi kazi ya Bwana isonge Mbele Ahsante.
Mungu azidi kuwa nanyi milele daima.
be blessed nyarugusu
We’re longing for that glorious day when our tears will wiped away for ever to cry no more. What a blessed day that will be 🙏🙏🙏
Nabarikiwa na nyimbo za vijana hawa,mbarikiwe
Mungu na awabariki sana.
Nimeguswa sana
AMEN
God shall wipe away our tears
Mbarikiwe sana
Blessings be Upon you All.
😭😭
Be blessed
amen
Amen
😍😍
Kwakweli mi sifurahishi kwa sasa na sauti hizi ukweli niwe muwazi mbona zamani sauti ilikuwa tamu
Wasikia sauti ama ujumbe?hakika unakosea
Wimbo mzur mno
Mungu awabariki sana
Amen
Amen