NARUDI BY AY NYARUGUSU CHOIR Official Video 2021
Вставка
- Опубліковано 18 січ 2025
- Subscribe, like & share
Rudi Nyumbani leo
Email: aynyarugusuchoir@gmail.com
Facebook; @Ay Nyarugusu Choir
UA-cam; AY NYARUGUSU CHOIR
Phone; +255769253067
+255755000788
+255768652134
Mm namkubali shemu wangu kama shemu anaeimbisha huyoo ni fireee🔥🔥
Mwl Enock pamoja na team nzima mbarikiwe sana kwa kazi hii
Tulibarikiwa kuwa nanyi kwa kambi la Njiro 2021
Nyarugusu, mzidi kubarikiwa.
This song is powerful. Tuliondoka wenyewe lakini Mwokozi bado anatungojea. Amen
a song i an not stop listening to..let God be God
The second to comment so beautiful voices. Much love from Kenya Nyarugusu my favourite ay choir
Wimbo wangu wa muda wote 🙏
hongereni sana kwa nyimbo nzuri kwamba ulipotea na kutangatanga sasa rudi nyumban Mungu wa mbinguni awabariki sana
Nyarugusu mubarikiwe sana ninyi mnabaki kuwa mfano mzuri katika ma choir zetu mubarikiwe milele
kila ninaposikiliza wimbo huu nabalikiwa sana.mungu azid kuwatumia katika vipawa venu vy uimbaji
Mbarikiwe Sana sana , wiki iliyopita mlitubariki Sana makambi ya Njiro 2021.
Hongereni sana,kwaya nzuri Mungu awabariki sana,lakini tumemiss uwepo wa Beatha na Neema.....
Mbarikiwe sana Nyarugusu Ay choir ,may you continue blessing us with your wonderful melody and lyrics
Narudi nyumbani Baba nipokeee🙏🙏🙏😭
Mungu awabariki kupitia ujumbe wa nyimbo watu wa Mungu waokolewee
Am blessed brethren.....I really treasure you and the hair style of my sisters....my weakness
right on time 🥺.Lord I'm coming home open wide thine arms of love🙏
Go on AY nyarugusu🙏
Mungu azidi kuwa tumia na mue na hekima nasiku akiludi nanyi mkaurithi uzima wa milele
Thank you for this song.. You are surely blessing many including myself.
Mungu awabariki kwa kazi nzuri
Ubarikiwe sana mwl Enock, pamoja na wana Ay nyarugusu wote. Mungu awe pamoja nanyi cku zote
Amina
Mungu awabark xn hakika naupenda xn uu wimboo
All the way from Kenya big up guys .Nice voices
Mbarikiwe sana kwa kazi nzuri mnayofanya,,,hebu Mungu awazidishie na awajalie munapozidi kufanya kazi shambani mwa Bwana🙏🏾
Safi sana nyarugusu choir TANZANIA.
Ooh Nimebarkiwa
Amen watching from Australia
Amen GOD bless you
Hello Wilson
@@rozinahstellah4787 hello how's you
Am good how about you
@@rozinahstellah4787 am doing well sis
VOICE ON POINT ...MBARIKIWE SANA
wimbo unabariki sana mbarikiwe kwa kazi nzuri
Damn what a song, Mungu aendelee kuwatunza Nyarugusu
Ameen,,,Mungu azidi kuwainua mno
Very inspiring songs may our almighty God bless the choir
Wimbo umenitoa machozi, "niacheni nirudi"
Niliusbiri kwa hamu Sana hatimaye🙏🙏🙏💞💞💞💞
So blessed by the song . God bless you Ay nyarugusu
Barikiweni na BWANA azidi kuwatumia Katika kazi yake
Mubarikiwe sana napenda nyimbo zenu
Aminaaaaaaa. BWANA MUNGU awabariki sana
Very nice songs, you guys never dissapoint. Heavens are happy wuth us Wanadventista.
MUNGU awatie nguvu nabarikiwa sana kupitia nyimbo zenu
This song is touching touching 🥵🥵
It has made me shed tears😔😭
Amina kubwa
Wimbo mzuri Ila shooter sio mzuri kbs
Such a nice song. Barikiwa sana Nyarugusu.
Nos meilleures salutations et bon courage pour l'œuvre du seigneur proclamé dans le monde entier au travers vos chants que le très haut vous comble de toute ses bénédictions
Barikiweni ay nyarugusu
Hongeren kwa kaz nzur ya bwana
Asante kwa wimbo huu muzuri. Mubarikiwe
Kazi nzuri sana ....
Fanyeni Kaz ya bwana kwa moyo mtabalikuwa san
Great keep it up
Wow just wow favorite choir❤️
Aisee mbalikiwe Kwa kuwa heri kati ya watu na baraka na matumaini kati ya watu
Hello mdada unaeimbisha ndio wewe uliimba wimbo kwenye ndoa yako unaitwa KWA MOYO WA SHUKRANI AMA
thank you for the nice son be blessed
Mbarikiwe sana ay nyarugusu
Barikiwa na bwana
Aisee mpo vizuri
Mungu Awabariki
Divine love 💕 it
Mbarikiiwe na bwana ili muendeleze mlipoishiia
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN
Wimbo mzuri sanaaa
Ambassador nyimbo mpya
Kazi nzuri vijana
Glory to God be blessed AY
Nyimbo zenu zoooooote zina nibariki mnooooo, how can I get your all DVD ,or in which way I can get your all songs, am at Mbeya.
Wonderful song!
Amina
Amina Bwana awabariki
Nice song
Ilove ay nyarugu
God bless you
POWERFUL!!
Be blessed
jamn hawa watu wanaimba
Hiyo microphone condensers inauzwa Tsh ngapi ? Au naomben namba zenu
GOOD SONG
Amen Amen
Mbona wengeni hatuwaoni wako wapi
Amen 🙏
Nahitaji email ya kwaya nataka tuyajenge kidogo....
Amina sana
Ay nyarugusu Bwana awabariki natamani niwe nanyi live
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
😘😘😘😘😘😘Amen
Amen
Mine too
Nice
Amen
Amen Amen
Glory to God 🙏 be blessed Ay nyarugusu
Amina
Amen