Miongo miwili ya Sheria ya Ugaidi Tanzania | Mateso ya Kimyakimya na Sheikh Ponda | EP. 01

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024
  • Mwaka 2002, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilipitisha sheria ya kupambana na ugaidi likifuata matakwa ya Marekani iliyokuwa imetangaza kile ikiitacho Vita Dhidi ya Ugaidi Ulimwenguni. Tangu hapo, kumejiri matukio mengi yanayohusishwa na utekelezwaji wa sheria hiyo. Sheikh Ponda Issa Ponda anaiangalia miaka hii 22 ya sheria iliyoleta mateso mengi zaidi kuliko manufaa.

КОМЕНТАРІ • 26

  • @rashidomar2771
    @rashidomar2771 Місяць тому +2

    Shukran shekh Ponda,,allah akupe umri mrefu,,na uzidi kuwatetea wtu

  • @SALMAVOICE_
    @SALMAVOICE_ Місяць тому +5

    Mzee Kigogo kama halijakifika utaona ni upuuzi lakini likishakufika na alau mmoja katika familia yako akikutwa na hilo jambo basi ndio utaona maumivu yake

  • @maqalbinkicha
    @maqalbinkicha Місяць тому +1

    Wanajali maslahi yao tu, usalama wa raia ni takataka, labda wakati wa uchaguzi.
    Mungu anatuona.

  • @omarizuberi7163
    @omarizuberi7163 Місяць тому

    Shekhe tunakuelewa sana

  • @HafidhOmar-rs4ty
    @HafidhOmar-rs4ty Місяць тому +1

    Mohd mjadala mzuri huu haswa wakuongea na hyu shekh ponda lkn mackitiko makubwa nikuwa hta awamu hii kumbe yanaendea hya ssa tufanye hawa nimagaidi jee mtawala hzi zulma za waislamu unamajbu nazo cku ukifa

  • @Zanzibar-e4h
    @Zanzibar-e4h Місяць тому +2

    Leo hii niliwaza nikasema mm sina shekhe ninae mkubali zaidi ya shekhe ponda pekee na ambae haogopi kuzungumzia kazia

  • @MauBonde
    @MauBonde Місяць тому

    Dah ebwanaee masheikh wetu wamekazania maulidi tuu inasikitisha,tuwekeeni namba ya sheikh au taasisi yoyote ili tisaidie ndugu hao ndugu zetu walikuepo magerezani.

  • @SALMAVOICE_
    @SALMAVOICE_ Місяць тому +3

    Ni mazungumzo muhimu sana haya

  • @salyali7807
    @salyali7807 Місяць тому

    Hasbiyallah waneemal wakeel

  • @SALMAVOICE_
    @SALMAVOICE_ Місяць тому +2

    Miongoni mwa walioandika kitabu cha kupinga hiyo sheria ya ugaidi nakumbuka alikuwa ni Professa Chachage

  • @ayyamirubba5226
    @ayyamirubba5226 Місяць тому

    Serikali inasemaje kuhusu haya..na katukio haya mpaka lini..!?

  • @imraniqbal00765
    @imraniqbal00765 Місяць тому +1

    @mzee kigogo @ siku familia yako itakapo fikwa na kadhia kama hiyo ndio utajua kama hujui wacha upuuzi zenzako wanamaumivu wewe unaleta ujinga
    Au wewe ni puuu mtoto si risk ??????

  • @imraniqbal00765
    @imraniqbal00765 Місяць тому +1

    @mzee kigogo @ bado tupo na uhai yatakukuta hayo na familia yako uonje na wewe raha ya mateso kunguru wewe

  • @Zanzibar-e4h
    @Zanzibar-e4h Місяць тому +1

    Anapo chukukiwa shehe wanafanya kwa akili maalum.yani aliondoka shekhe pale nyumban watoto watakuwa hawasomi tena hasa dini na wao wanajuwa watoto wa shekhe mara nying huwa na msimamo wa dini na hao huja kushika usukan ktk dini .wao huwa hawana huruma na familia wangekuwa na huruma na familia wasinge mteka mzee

  • @MzeeKigogo_
    @MzeeKigogo_ Місяць тому

    Upuuzi! Kila kitu mnalamika tu. Kama mnahifadhi magaidi lazima mshughulikiwe kwa mujibu wa sheria.

    • @Kim19onlinetv
      @Kim19onlinetv Місяць тому

      Jenga hoja ikiwa unadhani unachakusema

    • @Kim19onlinetv
      @Kim19onlinetv Місяць тому

      Tunapenda tusikie kila upande tuone hoja zenu wote itakua vyema si vizur kutukana

    • @Zanzibar-e4h
      @Zanzibar-e4h Місяць тому

      Sawa shukran ila matatizo yapo ya kila aina lisije kukufika ukalia nalo

    • @Stillrunlikeaball
      @Stillrunlikeaball Місяць тому +1

      Mwenyezi Mungu akuangamize wewe kubwa la Makafiri Siku hii yaleo kabla ya kesho

    • @hamishassan6784
      @hamishassan6784 Місяць тому

      unaushahidi au ndio chuki tu maana ujue unaweza ukawa na chuki mpaka hata ukiulizwa unachochukia hukijui. Rudi iwe Binadamu kama wapo wanaolalamika kuwa wamefanyiwa vibaya jitahidi kuvaa viatu vyao kisha ufikiri mwisho wa wote ni upi usiendekeze chuki si sizo na maana

  • @imraniqbal00765
    @imraniqbal00765 Місяць тому +1

    Wewe unaejiita kigogo ni Fala sana tu na yule lotekwa juzi akaenda kutupwa porini nae ni gaidi wacha ufala wewe unaejiita kigogo ni mpuuzi tu kama wapuuzi wengine

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 Місяць тому

      Wewe ndio Fala namba moja. Umeelewa Topic au unajibu ufyoro wako tu? Topic yake ni maandalizi ya wauwaji wa kimagharibi na marekani kulazimisha serikali kutafuta magaidi wakati magaidi ni hao wenyewe. Topic ni kudhalilisha waislamu. Lkn Ahkera sio mbali kabisa na inamuhusu kila mtu.

  • @imraniqbal00765
    @imraniqbal00765 Місяць тому

    Ikiwa rais hayajui haya basi sifikirii kua anakidhi kua rais ni sawakua na nyumba halafu kukawa na mpangaji ndani ya nyumba na ikawa hujui kua kunampangaji sifirii kua samia anakidhi kua rais mwenye uwezo