UCHEBE ABANANISHWA NA SOUDY BROWN NA MWIJAKU KUHUSU SHILOLE, AFUNGUKA KUHUSU KIBAMIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 301

  • @zainabmkomwa2064
    @zainabmkomwa2064 4 роки тому +17

    Vizuri sana Uchebe usimuongelee mtu kaka yng muungwana hua hajibizani

  • @mohamedhassan-pz1qr
    @mohamedhassan-pz1qr 4 роки тому +1

    Big up Sana mwijaku.. napenda ufafanuzi wako from 254 Kenya

  • @alibinali_
    @alibinali_ 4 роки тому +1

    Umetisha mzee babaa uchebee uko juu 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾

  • @publicrelations4600
    @publicrelations4600 4 роки тому +1

    Ustadh uchebe

  • @saudamwinyipembe8979
    @saudamwinyipembe8979 4 роки тому +8

    Uchebe unajielewa sana mungu atakulinda

    • @janethmgonja409
      @janethmgonja409 4 роки тому

      Atamlindaje MTU ambaye hakumbuki fadhila mkewe walitoka mbali walilala chini hadi alisaidiwa na wakwezake lakin hakumbuki wema akamuacha akamuoa shilole,ndomana haijadumu hiyo ndoa.Alafu kumbuka wema ni akiba ubaya niakiba.Sasa huyu mwanamke atamuachapia

    • @janethmgonja409
      @janethmgonja409 4 роки тому

      Kaachiwa laana na yule mke wake wa kwanza.Aombe msamaha haraka

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 4 роки тому +20

    I pray whoever who watching this beautfully video gets successfuly before ending of2020😍😍😍

  • @atulindakabalimu3789
    @atulindakabalimu3789 4 роки тому

    Huyo Uchebe anajielewa saana,Ni ana busara,ni kumuombea apate Mwanamke Mwenye Hofu ya Mungu.

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 4 роки тому +3

    Kumbe ana kibamia😋😋😋nakipenda kweli,,!!! Hali ya maisha' ni ngumu kiasi kwamba hata ukiachwa' unaweza kosa nauli ya kumove On!.

    • @brigitamakoha9941
      @brigitamakoha9941 4 роки тому +1

      Hahahahahaha hana kibamia msichama mrembo akikaa na jamaa jua ashakua na maaamuzi

  • @seyedsalehe1012
    @seyedsalehe1012 4 роки тому +1

    Safi

  • @lovvy854
    @lovvy854 4 роки тому +23

    Uchebe his a gentle man💪 halafu hapendi maswali ya kipuuzi🤣Wana habari kazi munayo hamulipati munalolitarajia🤣🤣

    • @janethmgonja409
      @janethmgonja409 4 роки тому +2

      Gentleman hapigi wanawake

    • @neemayatosha1618
      @neemayatosha1618 4 роки тому

      @@janethmgonja409 thank you

    • @everlineeverline105
      @everlineeverline105 4 роки тому +1

      Gentleman anaheshimu wanawake juu ni viumbe thaifu.

    • @lovvy854
      @lovvy854 4 роки тому

      @@everlineeverline105 so ikiwa niwathaifu ndio walewe na walale lale na wanaume nje za ndowa zao

    • @lovvy854
      @lovvy854 4 роки тому +1

      @@janethmgonja409 ukiwa Malaya hutosheki na ndowa yako kazi nikuleewa ukipanuliwa na wanaume Kwa ma bar 🤣 kwanini usipigwe musitumie uthaifuwenu kama sababu

  • @zakiangumbe9792
    @zakiangumbe9792 4 роки тому

    Allah akuweke uchebe kuwa na majibu ya hekma hivyohivyo Allah atakulipa,.

  • @auntyflorence2695
    @auntyflorence2695 4 роки тому +4

    Mwijaku mwijaku mwijaku

  • @jacksonmakasi
    @jacksonmakasi 4 роки тому

    Safi broo

  • @jobbup0lly700
    @jobbup0lly700 4 роки тому

    Mungu die anatoa rizik

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 4 роки тому +8

    Hahahahaha Mwijaku jamani nimecheka mimi jamani AllahAkbar

    • @thefactbook...1607
      @thefactbook...1607 4 роки тому

      Ko naww unafurahia anavyotaja jina la mwenyezimungu kwenye Mambo ya kijinga

    • @mwanajumaomahundumla6504
      @mwanajumaomahundumla6504 4 роки тому +3

      @@thefactbook...1607 wewe ndio hujielewi kabisa.
      Unaweza kuniambia ni jambo gani hapo la kijinga walilotaja? Watu kama nyinyi mnatakaga watu wapate misiba au matatizo maana mtu akimtaja Mungu huku amefurahi mnaona kosa
      Kilichonifurahisha mimi ni namna Mwijaku akiwa anamtaja Allah huku amefurahi au sababu amemtaja kwa kiarabu hiyo kusema Mungu mkubwa ndio unaona jambo la kijjnga kwenda zako kule nitolee stress zako za maisha kwenye comment yangu

    • @kadendeelishajaphet3230
      @kadendeelishajaphet3230 4 роки тому +1

      @@mwanajumaomahundumla6504 👏👏👏👏👏nice answer

    • @mwanajumaomahundumla6504
      @mwanajumaomahundumla6504 4 роки тому

      @@kadendeelishajaphet3230 thanks my dear. Wanaboa sana

  • @lizychris4776
    @lizychris4776 4 роки тому

    Mwijaku mnafiki huyu mara kwa shishi mara kwa uchebe unafiki umemzidi sana🖐️

  • @ghostelmendez7206
    @ghostelmendez7206 4 роки тому +2

    Mwijaku na uwaandishi wa habari ........... WAP na WAP ........ Full respect uchebe

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 4 роки тому

    Uchebe up

  • @abdulkarimmtumwa3039
    @abdulkarimmtumwa3039 4 роки тому +1

    Mwijaku hajui kazi ya uandishi

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 4 роки тому +7

    Maswal ya soud 🤣🤣🤣🤣🤣🤣shishi na agnes nani mweny hela 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @martinerichard5827
    @martinerichard5827 4 роки тому

    MwijaKu fwaaaaalaaa sana nyinyi Teh teh teh nikumbatie!

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 4 роки тому

    Uchebe🙏❤nakupendaaah

  • @khasimgange4213
    @khasimgange4213 3 роки тому

    Mshukuru mola

  • @husseinkazungu5101
    @husseinkazungu5101 3 роки тому

    Mwijaku 😎

  • @numbulajango7263
    @numbulajango7263 4 роки тому

    Haya sasa

  • @mussandikumana3561
    @mussandikumana3561 4 роки тому +4

    Sasa Soudy Brown na Mwijako twambiyeni yeye shilole njo anagawa rizki za watu ao rizki anagawa Mungu

  • @saudambinga3832
    @saudambinga3832 4 роки тому

    Masha Allah

  • @luciennedukuze2213
    @luciennedukuze2213 4 роки тому

    Nakupendeya miguu makapocho safi sana Uchebe wewe unajielewa acana na awo warevi

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 4 роки тому +3

    Mnajaribu kumzalilisha ila Mungu amekataa

  • @deliphinajosephat9640
    @deliphinajosephat9640 4 роки тому +7

    Alafu sio uchebe tu jaman siku zote ukitembea na mtu mwenye ela lazim waseme alikuw anakutunzia familia je kabla yake walikuwa wanakula wapi tuache mapenz ya kizaman

    • @amanimanase5794
      @amanimanase5794 4 роки тому +1

      Nakuunga mkono mpz ww

    • @dottnatt7110
      @dottnatt7110 4 роки тому

      Umeona eeh

    • @tatiya6883
      @tatiya6883 4 роки тому

      Kabisa umeongea ukwel 😘😘😘😘😘❤❤❤❤❤❤❤

    • @Zainab-sq1tc
      @Zainab-sq1tc 4 роки тому

      That y mm namuona shishi mjinga

  • @xmathematics_
    @xmathematics_ 4 роки тому +1

    Mwinjaku Mshenzi Sana###

  • @sarahmcharo1548
    @sarahmcharo1548 4 роки тому +8

    we nawe kila siku nimezaliwa mjini nimezaliwa mjini me sijaja apa dsm, sasa asilimia kubwa ao waliokuja mjini ndio wanafanya makubwa na wako mbali saivi

    • @igurusitv6553
      @igurusitv6553 4 роки тому

      Dadaangu 🤣🤣🤣

    • @maryammdoe5801
      @maryammdoe5801 4 роки тому +1

      Waliokuja wako mbali wamesha fika kwa mungu?🤔🤔acheni roho za kutu muacheni uchebe na kila siku mubgu anampa alichomuandikia fyuuuu waseewe nyie

    • @sarahmcharo1548
      @sarahmcharo1548 4 роки тому

      @@maryammdoe5801 mawazo na mwandiko tu mtu anakusoma, unaonekana mpuuzi wa akili.

    • @maryammdoe5801
      @maryammdoe5801 4 роки тому

      @@sarahmcharo1548 wewe ndo akili huna chizi wewe achaneni na huyo kaka wawatu na atasonga kila uchao nyambafu zenu wote mnao mchukia huyo uchebe

  • @coachhodari2249
    @coachhodari2249 4 роки тому +3

    Daaah mwijaku 😂😂😂😂

  • @shifaazawadi4438
    @shifaazawadi4438 4 роки тому +23

    Uchebe unajielewa Sana hata unayoyaongea

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 4 роки тому +2

    Wapambe kazi 😁 ila uchebe mstaarab pamoja na yote ❤

  • @samiramrabumrabu6378
    @samiramrabumrabu6378 4 роки тому +7

    Ila mwijaku ana sifa Alhamdullillah 😆😆😆😆

  • @halimakhalfan1196
    @halimakhalfan1196 4 роки тому +1

    kumbe umeolewa tenaa

  • @lifeonearth94
    @lifeonearth94 4 роки тому +5

    Af mwijaku sikuiz simsomi vile, ni kama anashoboshobo nyingi tu na kujichekesha sana, sijui insue ya ubunge imemuaffect akilini mwake sijui, mana ata shuhuli ya tunda anajichekeshachekesha ka kishoga

    • @islandgirl4578
      @islandgirl4578 4 роки тому

      😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

    • @winfridamakoyola4213
      @winfridamakoyola4213 4 роки тому

      😄😄😄😄aisee wa tz ha ha ko issue ya ubunge imemuaffect😀

  • @jeyjoyz9628
    @jeyjoyz9628 4 роки тому

    Kingereza chenyew hujui upo busy na so,so,so mbwaa ww... Kubali ukatae bila shilole usingekuwa hapo ...kazi kujificha kwa kivuli cha Mungu

  • @fakiikibakola1300
    @fakiikibakola1300 4 роки тому +2

    wa kwanza

  • @thefactbook...1607
    @thefactbook...1607 4 роки тому +3

    Leo mwijaku umenidisappoint Sana unatajaje kina la mwenyezimungu kwenye ujinga omba msamaha kwa mola wako

  • @hamzasalum5313
    @hamzasalum5313 4 роки тому

    Uchebe hekima nyingi

  • @maryamsylivester8662
    @maryamsylivester8662 4 роки тому

    Wallah Mwijaku na Uchebe mmenikosha Atiii

  • @allahakujazekheriwowww5694
    @allahakujazekheriwowww5694 4 роки тому +1

    Ushebe iko sawa

  • @zakiamsafiri123zakiamsafir7
    @zakiamsafiri123zakiamsafir7 4 роки тому +14

    Mwijaku 🤣🤣🤣😂😂

  • @mahewamahewa6461
    @mahewamahewa6461 4 роки тому +1

    Mbona mwijaku hawambananishi kuhusu menina

  • @edishaa3108
    @edishaa3108 4 роки тому

    Ilo mwijaku ata hajuiii kuhoji full kujishauaaa.....

  • @suzanemwangingo6932
    @suzanemwangingo6932 4 роки тому

    Ila mshukulu shishi uchebe jinalako shishi kalipaisha

  • @tishtash5531
    @tishtash5531 4 роки тому +2

    Arumost... au.......almost .......jamani

  • @mariamstephano5892
    @mariamstephano5892 4 роки тому +1

    Unaongea point uchebe we noma

    • @janethmgonja409
      @janethmgonja409 4 роки тому

      Mwambie akuoe wewe akupige.Kama anavyo piga wakezake

  • @annamwakibinga3190
    @annamwakibinga3190 4 роки тому

    Hebu mwacheni Uchebe jamani mbona mnamlazimisha hataki aseme

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 4 роки тому +3

    Eti uchebe mswali ina,na huyu Aginec inakuwaje hapo ebu uchebe atuweke sawa walengwa.

    • @zuchuu6659
      @zuchuu6659 4 роки тому

      Kabsa jmn kuswal na mwanamke awajaoana inakuaje hapo

    • @marymamntine1909
      @marymamntine1909 4 роки тому

      Mm mwenywe simuelewi huyu kaka

  • @genofevagrayson1862
    @genofevagrayson1862 4 роки тому +1

    😀😀😀😀mwijaku jamani sina mbavu uwiii

  • @12322879
    @12322879 4 роки тому

    Mwijaku choko...Haujawahi kuona fundi gereji yeyote anayejibrand social media!

  • @fatmahamisikipindura6640
    @fatmahamisikipindura6640 3 роки тому

    Kweri kabisa uchebe

  • @Sppah697
    @Sppah697 4 роки тому

    Mpeni peni aandike neno Diamond! Kumbe hajui kuandika!

  • @menalikechildren8836
    @menalikechildren8836 4 роки тому

    Uchebe nakukubali una Majibu mazur kwa machoko

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 4 роки тому

    Uchebe 🤣🤣🤣jmn uchebe anavonikosha roho mim kwamajibu yake adirah. Saf sn uchebe siri za ndani zibaki ndani tu. ✌🏻✌🏻💕wanalolitafuta wambie hawalipati babuuùuu👌👌💕👌👌👌🤣👌

  • @suzanemwangingo6932
    @suzanemwangingo6932 4 роки тому +1

    Eti nani anaela kati ya shishi na agness .😂 umenifulaisha sana sudy

  • @Noah-zt5zf
    @Noah-zt5zf 4 роки тому +1

    😂😂😂😂wangapi wanasubiri kujutana na mwijaju peponi

  • @hanifaalmasi5194
    @hanifaalmasi5194 4 роки тому +1

    Yaaan hawa uchebe leo 🤣🤣👐

  • @jumawaziri8501
    @jumawaziri8501 4 роки тому +1

    hahahahaaa mwijaku bhanaaaaa daah anampamba sana

  • @kpetres2872
    @kpetres2872 4 роки тому +1

    Uchebe ni bonge la fighter

  • @joymsupagladysijeya8384
    @joymsupagladysijeya8384 4 роки тому

    Watangazanji uchebe Akili anayo yani nakupenda uchebe niko na na wewe mpaka mwisho sikuwachi 🤣🤣🤣🤣🤣 Jamaa awenzi ropoka😂😂😂😂😂😂😂ananjielewa

  • @janethmgonja409
    @janethmgonja409 4 роки тому +1

    Mimi ungenioa alafu ukanipiga sikufichi ningekusubiria umelala alafau na chemsha maji ya moto nakumwagia yani ningehakikisha huamki.Unabahati yakupata wanawake ambao wanahuruma

  • @hidayah1295
    @hidayah1295 4 роки тому

    Wallah nimecheka dah mwijaku unatia raha sana na Sudi na maswali yake ya umbea

  • @najma3268
    @najma3268 4 роки тому

    Mwijaku upo lakini huvumi, mpambe unapamba huku Na huku, baki njia kuu my brother

  • @mackenzie8037
    @mackenzie8037 4 роки тому

    Kaka Uchebe Aya haisemi WALAA TAHAJUSI usipotoshe

  • @twalib09
    @twalib09 4 роки тому +4

    Mwijaku 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 4 роки тому +3

    Mwijaku una vituko😅😅😅😅

  • @oyay2821
    @oyay2821 4 роки тому +5

    Napenda majibu ya Uchebe. Kama anavyo sema yeye ni Gentleman

    • @janethmgonja409
      @janethmgonja409 4 роки тому +1

      Gentleman hapigi mwanamke so kama umemshindwa mrudishe nyumbani kwao mpetalaka

  • @salehsaleh548
    @salehsaleh548 4 роки тому

    Mwunjaku banaaaa😀😀😀😀😀😀

  • @stellalupondo8472
    @stellalupondo8472 4 роки тому

    Neno la mahaaaabaaaaa

  • @zeyounhabibty6868
    @zeyounhabibty6868 4 роки тому +3

    Walaatajassasuuu sio walaatahajjusss 🥴

  • @hassanabuu6
    @hassanabuu6 4 роки тому

    wandishi habari ovyoo kweli

  • @scolabahame2214
    @scolabahame2214 4 роки тому

    😂😂😂😂😂😂💃💃💃💯💯Mwijaku aisee ysni wewe

  • @balolepaul1515
    @balolepaul1515 4 роки тому

    Msenge ww,, eti umezaliwa mjini!! Ndo maana ulikuwa unalishwa alafu shida yakuolewa ndo hio

  • @annajohn2488
    @annajohn2488 4 роки тому +7

    Ivi uyu uchebe nae ni star😂😂😂

    • @sherin3171
      @sherin3171 4 роки тому

      Nashangaa

    • @fhvbvgkvgc8073
      @fhvbvgkvgc8073 4 роки тому

      Hajaita media, media zinamfata mwenyewe ndio ustar huo.

  • @winnshirima4122
    @winnshirima4122 3 роки тому

    Mwijaku mnaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @marymamntine1909
    @marymamntine1909 4 роки тому

    Uchebe umenidanganya wanyakyusa hawavai heleni wala hawana tatooo mbona yule sshv anavaa heleni?

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 4 роки тому +1

    Una kibri Mr

  • @MohammedOmar-hs3nz
    @MohammedOmar-hs3nz 4 роки тому

    Oromost mwaka

  • @samsonsaimon7351
    @samsonsaimon7351 4 роки тому +3

    Ila mwijaku jaman

  • @hawakisura4260
    @hawakisura4260 4 роки тому

    Nyooooo

  • @sanisani5266
    @sanisani5266 4 роки тому +1

    Muulizeni halishsoji waga akasema yeye simdhinifu na huyo mwanamke kamuowa kwanza dini tofauti muongotu shishi kakufanya ujulikane mshukru unakataa nini kwani ukizaliwa dar ndio nini bwana wangapiwamezaliwa dar naawajulilani wewe shishi ndio kaja naanajulikana kuliko wewe unao jisifia kuzaliwa dar kwio

  • @kheirmbarouk8373
    @kheirmbarouk8373 4 роки тому

    mwijaku nakukubali sn sn

  • @asmatabdallah1368
    @asmatabdallah1368 4 роки тому +3

    Kiufupi huna jipy 😂😂😂😂

  • @brunodemarx9198
    @brunodemarx9198 4 роки тому +3

    🔥🔥🔥

  • @kabonakabona8121
    @kabonakabona8121 4 роки тому

    Mnyakyusa aliezaliwa dar 🤣🤣🤣 haki uchebe ana mambo

  • @mgeniali7489
    @mgeniali7489 4 роки тому +2

    Mwijakuuuuu hahahha unafurahisha

  • @halimakhalfan1196
    @halimakhalfan1196 4 роки тому

    mbona unazin kma unafanya ibada unapiga picha za utupu

  • @halimakhalfan1196
    @halimakhalfan1196 4 роки тому

    hahahha umezaliwa mjin kabla ya shahi mbona ulikuwa wap

  • @lenoxbuhanza4926
    @lenoxbuhanza4926 4 роки тому +1

    Sooo mi nakaa na matajiri

  • @mariamothman7404
    @mariamothman7404 4 роки тому

    jaman mwijaku nakukubali 😁😁😁

  • @selinkatega3257
    @selinkatega3257 4 роки тому

    Uchebe anatia huruma jamani duuu

  • @omymcatalunya2331
    @omymcatalunya2331 4 роки тому +8

    Mwijaku 😅

    • @teresiajohn2489
      @teresiajohn2489 4 роки тому +1

      Hakuwa mungu ila mliko toana mpaka mkafunga ndoa mlikuwa kioo Cha jamii watu wengi walipenda mausiano yenu

  • @amnahskitchen317
    @amnahskitchen317 4 роки тому +1

    Nakuamie ushebe

  • @abdaiiyatv7570
    @abdaiiyatv7570 4 роки тому

    Mwijaku pepo utaisikia tuuh sio kwa unafki huo

  • @nurdin.mndeme3447
    @nurdin.mndeme3447 4 роки тому

    sudi hana akili ndmaana hawezi kuongea na Uchebe but mwijaku ni genius ndo maana amemuweza Uchebe sababu ni magenius wote 😂😂😂

  • @mwajumasaidi3592
    @mwajumasaidi3592 4 роки тому

    Mwijaku